Mungu azidi Kubariki Kazi Zote za Mikono yako....Unainjilisha Wengi sana Mwalimu...Tungo za Miaka ya 1980's...Umezihuisha Upya 👏👏Ubarikiwe na Mama Maria anafurahi kwa Kumwimbi...Hatakupungukia kwa Lolote🙏
Mzee Francis Makoti sauti ya nne kwaya ya Mt. Cecilia Parokia ya Familia Takatifu Mburahati enzi hizo rafiki yako huyo Amefariki nikisikiaga ili albam yenu ya Nyimbo za roho Mtakatifu na Mwalimu Itatilo na Mzee Ng'ambila nakumbuka mbali sana na naumisi sana ule ukatoliki wa kipindi kile. Basi watoto wake wote tunaendeleza wito wa Uimbaji. Tunamshukuru Mungu.
Hongera sana kwa kutupea nyimbo nzuri sa bikra maria upalikiwe❤🎉
Asante sana kwa nyimbo za Mama Maria zinatujenga kabisa.
Hongera sana kwa utume mzuri John Maja mjukuu wangu
Asante Babu
Mungu azidi Kubariki Kazi Zote za Mikono yako....Unainjilisha Wengi sana Mwalimu...Tungo za Miaka ya 1980's...Umezihuisha Upya 👏👏Ubarikiwe na Mama Maria anafurahi kwa Kumwimbi...Hatakupungukia kwa Lolote🙏
Amina
11
Amjambo bbmtungaji wahizinyimbo unitumie maneno yahizinyimbotano5 asante
@@Jeanmariebahati-k1n asante
Hongera Sana nyimbo nzuri sana
Asante sifa na shukrani ni kwa Mungu anayetuwezesha kufanya yote haya
Maman Bikira Maria, Maman wa mwuumba utuombee na utusaidie.
Aminà🙏🙏🙏🙏
Tumsifu Yesu Kristu. Daima na Milele. Mama wa Mungu utuombee
nimependa nyimbo zenu Mungu awabariki🙏🙏
@@DenisiDeogratiasi Amina
Amina
Jamaani tusidi kumuombea. Mngu wetu aminaa nakushukulu mungu wangu. Kim I jina langu zubely
Hongera kwa utume Mungu Akutu ze uzidi kulitangza Neno lake
Amina
Amina
Hongera Sana Mr John Maja
Asante mkuu
Kazi njema na mungu azidi kupanua vipaji ndani mwenu ili muzidi kusinga mbele
Amina
Naipend sana Romani katorik
Mungu Azidi kukurinda na kulibariki wazo lako jema
Hongera sana mtaalamu kazi nzuri huu ndio ukatoliki
Amina
@@ImeldaMkude-zg5rc Amina
Ameen mungu ndiye kimbilio letu🙏🙏🙏
Hongera
Hongera Kwa utume kaka... Mungu Mwenyezi akubariki
Amina
Amina
mungu anaonesha njia kila wakati
Amina
Naaam
Usiniache ee mama maria Kwa maneno hy ❤
Safi Sana Sana.
🙏🙏👋🙌😂 AM ina mungu
Hizi nyimbo zinanifanya roho iwe na amani
Amina
Ngoja tumshushe Roho WA Mungu Atende
ASANTE I SANA.
Swafi mno Maja
Hahahaha
Mama maria wa wote
Mama wa Mungu utuombee tufike mbinguni
Amina
🎉🎉 Amen 🙌🙏
Uwinguni ulipo mama utuombee
Ninajisikia ni amani moyoni mwangu
Amina sifa kwa Mungu
Hakika hii ni hazina Kubwa sana
❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Mzee Francis Makoti sauti ya nne kwaya ya Mt. Cecilia Parokia ya Familia Takatifu Mburahati enzi hizo rafiki yako huyo Amefariki nikisikiaga ili albam yenu ya Nyimbo za roho Mtakatifu na Mwalimu Itatilo na Mzee Ng'ambila nakumbuka mbali sana na naumisi sana ule ukatoliki wa kipindi kile. Basi watoto wake wote tunaendeleza wito wa Uimbaji. Tunamshukuru Mungu.
Mungu Amrehemu Mzee wetu nanyi pia nawapongeza Kwa utume Kwa kuendeleza pale Mzee alipoishia Mungu Awatunze
Lilian mburu
Amina
🙏🙏🙏🙏🙏
@@MarytaabuMutinda Mungu ni Mwema
🙏🙏
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏