Nashukuru Mungu kkwa kunipa zawadi nipate nyimbo hizi nasikiliza mara kadhaa kila siku. Shukrani sana dada Valerian. mwenyezi Mungu akuongezee baraka na vipaji vya kumuimbia na sauti hii nyororo sana❤💘
Dada Valeriana, Shalom! Ahsante kwa kazi nzuri na iliyotulia, ikishusha upako kwa unyenyekevu sana. Hakika Watesi wangu, uwasamehe kwa vile hawajui watendalo. Barikiwa sana!
Nashukuru Mungu kkwa kunipa zawadi nipate nyimbo hizi nasikiliza mara kadhaa kila siku.
Shukrani sana dada Valerian.
mwenyezi Mungu akuongezee baraka na vipaji vya kumuimbia na sauti hii nyororo sana❤💘
Amina na amina
Tuisali novena hii Ina miujiza mingi mno ameeen
Amina Mama.
Mungu ni mwema. Anatuhurumia. Wote tumshukuru
Asanteni sana kwa nyimbo hizi zinanijenga kiroho.
Mungu kweli awasamehe watesi wangu wote kwa maani hawajuwi walitendalo kunitesa vikali 😢❤
Barikiwa sana dada Valeriana Mwenyezi Mungu akuzidishie nguvu na vipaji vya kutangaza huruma na upendo wake kupitia sauti yako hii tamu sana🙏♥️✋
Mungu anatupenda sana hata anatuhurumia Kila siku
Bravo, the Lord reigns supreme, amen.
Asante kwa nyimbo mzuri zinanifariji mno jamani mungu awatie nguvu KATIKA ubora wenu kazi mzuri .
Amina
Jesus I trust in you.....the song has really touched and blessed my day.
Janeth
🎉😢o@@janethchacky
Huruma yake Mungu ni ya milele.....Amina kwa Uinjilishaji Mzuri
Dada Valeriana, Shalom! Ahsante kwa kazi nzuri na iliyotulia, ikishusha upako kwa unyenyekevu sana. Hakika Watesi wangu, uwasamehe kwa vile hawajui watendalo. Barikiwa sana!
Amina. Tubarikiwe sote daima.
Amina.Ubarikiwe Sana.
Hakika huruma ya MUNGU ipo nasi 😢
Amina, ubarikiwe dada
It is good
Ubarikiwe Sana kwa Ujumbe mtamu na wa kutukumbusha kutenda mema daima, ahsante sana! Penda Sana shoghoo!
Amina Amina na daima milele popote!!!! Huruma yake juu yetu tunayo
Mungu akubariki
Amina na amina
😊😊@@Valerie365
🙏🙏🙏🙏🙏