#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2022
  • #LIVE🔴JIANDAE KUTAPIKA UCHAWI || KUULIWA MAJINI KWA KISOMO HIKI KIZITO || SHEIKH OTMAN MICHAEL

КОМЕНТАРІ • 86

  • @AliMakame-lw4xe
    @AliMakame-lw4xe 2 місяці тому +1

    Mashaaallah mungu atulinde nashari waislam wote aaamn🙏

  • @afric01
    @afric01 2 роки тому +6

    Aslm alkm ww... Masha Allah. Allah akulipe jannah firdous Kwa hili Sheikh wetu kipenzi. Jazakallah kheir 🙏

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 6 місяців тому +2

    Ameen shekhe jazakallah kher ❤

  • @user-kc8he6nn2o
    @user-kc8he6nn2o 11 місяців тому +2

    Shukran sheikh mungu ametuletea wewe kwa waja wake wanao teseka

  • @user-bl8hr2cq3r
    @user-bl8hr2cq3r 10 місяців тому +1

    Shukran jazakallahu kheir maalim Othman Micheal. ALLAH akujaze kheri

  • @user-mg2qp1jb8n
    @user-mg2qp1jb8n 7 місяців тому +2

    Uyo shetani anaitwa hafiniki

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 5 місяців тому

    Asante sana shehe inshaalah mungu akulinde na kila baya amin uzidi kutusaidia amin yarabilalamin

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому +1

    Anabasilisha usowangu anaongeya kikiriyama na kiarabu piya hajui sana

  • @husseinjey23
    @husseinjey23 10 місяців тому +1

    Amin

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 роки тому +1

    Shukran Jakka Allah khairan, Barak Allah fykum.

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 2 роки тому +1

    Shukkuran jazakka Allah kheiran

  • @lucyiraq4402
    @lucyiraq4402 2 роки тому +2

    Amen

  • @RahmaRujaina-qq3cd
    @RahmaRujaina-qq3cd 9 місяців тому

    Ma ash a llah!!

  • @BiumbeBiumbealiy-fe1zt
    @BiumbeBiumbealiy-fe1zt 9 місяців тому

    Allah.akubarik.dunia.walakhera

  • @mariamumsanzu8266
    @mariamumsanzu8266 6 місяців тому

    MashaaAllah

  • @andrewmwandau8364
    @andrewmwandau8364 8 місяців тому

    Amin🤲

  • @user-yd9jd4bh8t
    @user-yd9jd4bh8t Рік тому +2

    Ustadhi umeongea vtu ambavyo nikonazo

  • @user-cu5jr7yc8n
    @user-cu5jr7yc8n 10 місяців тому +1

    Wallah zote unazo zungumza nko nayo hayo

  • @BiumbeBiumbealiy-fe1zt
    @BiumbeBiumbealiy-fe1zt 10 місяців тому +1

    Allah.akujaze.kher.dunia.walakhera

    • @user-qd8qu6vw7s
      @user-qd8qu6vw7s 2 дні тому

      ٧٠٠٠😮ج٠0😮😮😮😊😊😊😮😊😊😊😊😊😊٠٩٠😮٠😊😮😊😊😊😊😊

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому

    Saahi kicwa kinaniuma sana na macho yaniuma sana

  • @rehemaabdallah6260
    @rehemaabdallah6260 6 місяців тому

    Asalaam alaykum shekhe wangu nipe ramani ya kukufikia hapo kwako,inshaala nijaliwe kukutana nawe

  • @biumbemohamed9377
    @biumbemohamed9377 Рік тому +1

    Mashallah nimepata .afuennaomba.namba.tafadhali

  • @sikudhanimwamgumi3341
    @sikudhanimwamgumi3341 9 місяців тому

    Mashallah 🙏

  • @user-fs2bs8ji1f
    @user-fs2bs8ji1f 7 місяців тому

    Ameen

  • @animamichael3968
    @animamichael3968 Рік тому +1

    Shukran

  • @user-vq5ww4qo5j
    @user-vq5ww4qo5j 11 місяців тому

    Aamiin😊

  • @margaretzacharia5877
    @margaretzacharia5877 11 місяців тому

    Amen 🙏🙏

  • @evelynengilah523
    @evelynengilah523 Рік тому

    Amina

  • @user-mg2qp1jb8n
    @user-mg2qp1jb8n 7 місяців тому

    Ustadhi umeongeya vitu ambacho mke wangu anavyo

  • @fidelisnzisafidelisnzisa-qx3dd
    @fidelisnzisafidelisnzisa-qx3dd 9 місяців тому

    mnapatikana wapy.

  • @user-mk4ul4vd7h
    @user-mk4ul4vd7h Рік тому +1

    Ananionesh mamabo kwa macho

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому +1

    🇰🇪mimi

  • @evaboaz1311
    @evaboaz1311 10 місяців тому +1

    Asalam aleikum

  • @jawadurashidi9262
    @jawadurashidi9262 11 місяців тому

    ❤❤

  • @bintbanj3990
    @bintbanj3990 10 місяців тому

    Wallah dalili zote ninazo

  • @RahmaRujaina-qq3cd
    @RahmaRujaina-qq3cd 9 місяців тому

    AAmin

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому

    Mini tathiya nime tapika moja

  • @user-mk4ul4vd7h
    @user-mk4ul4vd7h Рік тому +1

    Niliitwa fathiya an sema anataka mbuzi mja husna yahudi mgiriyama naona kila suraa nasilali nameza dawa za kulala piya nikapelekwa pteizi na mimi fathiya najuwa ni jini miyaka 3 please please please 🙏 help me please anaongea na mimi fathiya

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k 11 місяців тому

    52:26 Ninasumbuli sana na ndoto mbay

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому

    Namhisi sehemu kumayake nahisi ananitiya nahisi nyege naniko na hedii kila nikipata damu namhisi ndani yafanya nanikitu kama kidole mgiriyama na anajileta kama mumewangu

  • @user-mk4ul4vd7h
    @user-mk4ul4vd7h Рік тому

    Napelekwa kwa umtto

  • @ramayasly4584
    @ramayasly4584 2 роки тому +1

    Asalaam aleykum Sheikh wangu shida hiyo mbona mke wangu yuko nayo

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому +1

    Na kicwa anavuvia kwanza nimemtowa ulimi inje

  • @user-cu5jr7yc8n
    @user-cu5jr7yc8n 10 місяців тому

    Assalam aleikum

  • @user-mk4ul4vd7h
    @user-mk4ul4vd7h Рік тому

    Hata mimi fathiya nihivo

  • @user-kc8he6nn2o
    @user-kc8he6nn2o 11 місяців тому

    Mbona nikiwachat kwa whatsp hamnijibu jamani
    Niko na matatizo jamani mana nataka hizo Dawa mm

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому +1

    Nanimetapika manyute

  • @user-cu5jr7yc8n
    @user-cu5jr7yc8n 10 місяців тому

    Wallah zote unazo zungumza nko nayo hayo yote

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому +1

    Ni liitwa fathiya

  • @user-kc8he6nn2o
    @user-kc8he6nn2o 11 місяців тому

    Mbona nikiwachat kwa whatsp hamnijibu jamani

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому

    Napia sipati damu miyezi 3 ama 4

  • @user-mk4ul4vd7h
    @user-mk4ul4vd7h Рік тому

    Akonakilarang

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому

    Akokwa kicwa na shkiuo lakushoto

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому

    Kwanza nilimuona amepaka piku magaribi nikamfwata Mimi fathiya nikaanza ajikune mwili

  • @FathiaAhmed-px2lm
    @FathiaAhmed-px2lm Рік тому

    Natumbo kubwa mara lapunguwa nitakutiya bardi leo anasema antaka kuku

  • @user-mk4ul4vd7h
    @user-mk4ul4vd7h Рік тому

    Nakama ni meva mapete ni towe

  • @HusnaRamadhan-hn6qf
    @HusnaRamadhan-hn6qf 7 місяців тому

    Nina shida nitkupataje shekhe

  • @user-cu5jr7yc8n
    @user-cu5jr7yc8n 10 місяців тому

    Iko whatsup nataka kuongea private

  • @mgosilawanukoviri2734
    @mgosilawanukoviri2734 Рік тому +1

    Hivi wewe zainabu unajifanya una ijuwa sana dini kwani kakosea nini kueleza maswala haya haya kwani hayapo haya jaelezwa katika kitabu nasuna au nawe ndio tawi lilo tengenezwa na wayahudi kupinga kila lenye tija kulipinga Au ndio kupingapinga

  • @user-mk4ul4vd7h
    @user-mk4ul4vd7h Рік тому

    Na kiongea na shetani mimi ni fathiya nashika kiyo namwambia kama wewe shekhi uko kwameli ana badilsha usoni

  • @BiumbeBiumbealiy-fe1zt
    @BiumbeBiumbealiy-fe1zt 10 місяців тому

    Shukuran

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 роки тому +1

    Kwa hiyo Sasa badlands ya mawaidha na kulingania dini, kazi imebaki kuongelea uchawi na majini🤔🤔🤔🤔🤔na ndiyo maana dini yet ina husishwa sana na mambo ya kishirikina

    • @saidalsalmi9313
      @saidalsalmi9313 2 роки тому +5

      Wako wa Islam wengi tumewaona wanakwenda mpka makisani kuombewa na maskofu, kila jumapili maelfu ya watu pamoja na uislam wanakwenda kanisani, kutolewa majini kwa mshirikisha mwenyezi mungu. Sasa na masheikh nao lazima wajibu mapigo ili watu wasiende makinisani. Hii mada ni muhimu kutolewa kwa waislam. Tiba za kisheria

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 роки тому +1

      Hao wanaohusisha uisilam na ushirikina wanachuki zao tu! Na jengine ni washirikina.
      Kwa sabbu uisilam uhushishwe na ushirikina kwa wasiokua waisilam wa Afrika tu??? Mbona Urope hakuna mambo hayo???

    • @chamashom
      @chamashom Рік тому +1

      Ndio walio jaa na wanatusumbua katika maisha sio dini yetu tu hata wasio kua waislamu wanaenda kuombewa makanisani wote ni majini wewe kama hujasibika nayo omba mungu akulinde na sisi tulokumbwa tuombee tupoe usitie hila

    • @aishamohamed226
      @aishamohamed226 Рік тому +1

      Mm nalala ukifika saa nane sipati tena usingizi unakata na nimeota nipo shule na mm shule nilimaliza maana yake ni gani

    • @uaeuae4814
      @uaeuae4814 Рік тому +2

      Hayaja kukuta ety ndo ukasema ivo.

  • @user-bh6rt7xm6w
    @user-bh6rt7xm6w 8 місяців тому

    Amin

  • @user-mg2qp1jb8n
    @user-mg2qp1jb8n 7 місяців тому

    Uyo shetani anaitwa hafiniki

  • @user-cu5jr7yc8n
    @user-cu5jr7yc8n 10 місяців тому

    Wallah zote unazo zungumza nko nayo hayo

  • @user-kc8he6nn2o
    @user-kc8he6nn2o 11 місяців тому

    Mbona nikiwachat kwa whatsp hamnijibu jamani
    Niko na matatizo jamani mana nataka hizo Dawa mm

  • @user-kc8he6nn2o
    @user-kc8he6nn2o 11 місяців тому

    Mbona nikiwachat kwa whatsp hamnijibu jamani

  • @evaboaz1311
    @evaboaz1311 10 місяців тому

    Amin

  • @user-mg2qp1jb8n
    @user-mg2qp1jb8n 7 місяців тому

    Uyo shetani anaitwa hafiniki

  • @user-kc8he6nn2o
    @user-kc8he6nn2o 11 місяців тому

    Mbona nikiwachat kwa whatsp hamnijibu jamani
    Niko na matatizo jamani mana nataka hizo Dawa mm

  • @user-kc8he6nn2o
    @user-kc8he6nn2o 11 місяців тому

    Mbona nikiwachat kwa whatsp hamnijibu jamani
    Niko na matatizo jamani mana nataka hizo Dawa mm

  • @user-kc8he6nn2o
    @user-kc8he6nn2o 11 місяців тому

    Mbona nikiwachat kwa whatsp hamnijibu jamani

  • @user-kc8he6nn2o
    @user-kc8he6nn2o 11 місяців тому

    Mbona nikiwachat kwa whatsp hamnijibu jamani

  • @user-kc8he6nn2o
    @user-kc8he6nn2o 11 місяців тому

    Mbona nikiwachat kwa whatsp hamnijibu jamani
    Niko na matatizo jamani mana nataka hizo Dawa mm

    • @ASHURAASHURA-jx2if
      @ASHURAASHURA-jx2if 6 місяців тому +1

      Yani kumbe nawewe yamekukuta yan sms natuma siku tofauti tofauti lkn hamna ilio jibiwa watakuwa biz labda

    • @user-kc8he6nn2o
      @user-kc8he6nn2o 6 місяців тому

      @@ASHURAASHURA-jx2if na hata ukichat kwa whatsp pia kukozii

    • @user-dj2wk2hu7i
      @user-dj2wk2hu7i 6 місяців тому +1

      Mpigien atapokea hana shida mbona