MASHEIKH WA BAKWATA WANAWASAPOTI MASHIA TANZANIA sheikh Mohammed Issa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @MariamEdison
    @MariamEdison Місяць тому

    ALLAHU AKBAR ALLAH AKUHIFADH AKULINDE UKWEL MUTUPU NA MUSEMA KWELI NI KIPENZI CHA ALLAH....❤❤❤

  • @abdulrashidjuma8229
    @abdulrashidjuma8229 Рік тому +3

    Allaahu akuzidishie kheir nyingi sheikh Mohammed Kwa kusema kweli

  • @HamijeyHamijey
    @HamijeyHamijey 6 місяців тому +1

    Sheikh umewaambia ukwer hela ndio inamkoroga amemsahau allah

  • @musarashid3482
    @musarashid3482 21 хвилина тому +1

    Ukosefu *wa kuungwa* *mkono* - ni *usaliti* kwa Mwenyezi Mungu,na Mtume Wake,
    na waumini wote.✔️
    Na usaidizi (unao fanywa na inchi za kiarabu) kwa mzayuni mhalifu,
    *Adui* wa Mwenyezi Mungu na Palestina, ni *(usariti na ushiliki wa inchi za kiarabu kumwaga dam ya wapalestina)* 😭
    Ikiwa *(mnadai)* uungaji mkono(na msaada) wa Shiah kwa Palestina si wa Mwenyezi Mungu,‼️
    *Basi je* ,⁉️ ukosefu wa msaada wa Masunni kwa Palestina, ndio utiifu (wasunni) kwa Mwenyezi Mungu.⁉️
    😭😭😭😭😭

  • @mams1892
    @mams1892 Рік тому +2

    Innalillahi wainnaillahi Rajionn Allah atustiri na vizazi vyetu amin ya Rabb

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому +1

    KWELI MASHIA ARUSHA WAMEANZA KUONYESHA MAKUCHA YAO KUPAMBANA NA AHLUSUNNAH WALJAMAA!!

  • @HassanAhmedAbdallah
    @HassanAhmedAbdallah 4 місяці тому

    Allah akuhifadhi na akufanyie wepesi wa kuingia jannah kama unavyo ifanyia haki wepesi wa kufahamika

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 Рік тому

    Jazaka llaah kheira

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому +4

    BAKWATA ILIUNDWA KUUSAMBARATISHA UISILAM TANZANIA !!
    LEO WAMEUZA NYUMBA NA PLOT ZA WAKFU ZA WAISLAMU!!

  • @SherallyHussein-tu1nk
    @SherallyHussein-tu1nk 4 місяці тому +2

    Nyie mpingao maelezo hayo ya Sh. Muhammad Issa, katika watetezi wa Mashiia au Mashiia wenyewe, Cha kufanya ni KULETA HOJA DHIDI YA KAULI YAKE. SI kubwabwaja TU. :- Qul haaatuuu burhaanakum inkuntum Saadiqiin.

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 6 місяців тому

    Allah akuongoze ktk sunna

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 5 місяців тому +1

    😀😃😄😁😆🤣😂 shekh anajiwekea kinga ya usalama kwa kuielezea answari inavyofanya kazi zake nchini

  • @Sobo740
    @Sobo740 Місяць тому

    Mohamed isaa

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 4 місяці тому +1

    Umefeli sanaa

  • @Abdulnassir-n6n
    @Abdulnassir-n6n 3 місяці тому

    Hadi huruma watoa comment umu wengi munaonekna ni mashiaaa....badilikeni.

  • @mohamedsheha-jz6hn
    @mohamedsheha-jz6hn 23 дні тому

    Hatariiii!!!!

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 5 місяців тому +1

    mpaka mseme mashia ni bora kuliko waisilam wengine , hampambani na mambo mengine kila siku mashia na mashia wana elimu ya kutosha ila ninyi hamna elimu yoyote

  • @Abdulnassir-n6n
    @Abdulnassir-n6n 3 місяці тому

    Yani kweli watu wanawatukana maswahaba munafurai ALLAHU atatuadhibu siku ya kiamaaaa

  • @bakarikitenge4768
    @bakarikitenge4768 Місяць тому +1

    Maskini Shaykh wetu mweupeee huwajui mashia itikiadi zao! Wala huijui Historia ya Kiislamu, rudi Suudia ukasome tena. Ongea kwa hoja na siyo kupayuka.

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 5 місяців тому +1

    mashia ndio wakweli masuni waongo sana

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 4 місяці тому +1

    Wewe shiba ukalale

  • @Kekulebenzene
    @Kekulebenzene 6 місяців тому +2

    Unakuta kuna mtu ana akili zake timamu anawafuata na kuwasikiliza masheikh wa BAKWATA

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 6 місяців тому +1

      Kama hawaogopi kuwasapoti mashia, wataogopa kuwaongopea waislamu?
      BAKWATA ni sehemu ya kupiga pesa tu

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 6 місяців тому

      ​@@Kekulebenzenebaarakallahu fiyka

  • @AbdallahsalehjafferElchunu
    @AbdallahsalehjafferElchunu Місяць тому

    Bakwata hawana maana pesa mbili moto wanao

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 3 місяці тому

    Kumbe Kuna wakati mashia wanakuwa siyo waislam na wakati mwingine ni waislam,nasema haya baada ya kuwaona waislam wengi wakiwasapoti Iran kwamba ni waislam wenzao lakini mijadala kama hii mnawakataa kwamba siyo waislam

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana 2 місяці тому

    Maneno ya hekma mwenye kutaka kuelewa ataelewa uko sahihi kabisa

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 4 місяці тому +1

    Hata sisi tulizaliwa tu tulikua hatujui uwahabi

  • @rajabuhashimu-bv8qt
    @rajabuhashimu-bv8qt 4 місяці тому +1

    Hakuna ulicho ongea ni kupiga kelele tu ongea kwa dalili acha kutupigia kelele

  • @sameeraidd2109
    @sameeraidd2109 Місяць тому +1

    Pelekeni ujinga huko shehe zima unaongea utadhani una elimu na hshia. Eti wanamuabudu husein. Acha kupotosha watu kwaajili ya chuki. Usisambaze uongo shehe mzima utakuja kujibu mbele ya mungu. Acheni chuki nyie mawahabi maana mnajiona kama nyie ndio mtaingia peponi kwa kuona wenzenu makafiri.

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 Рік тому +3

    BAKWATA WAPATA PESA KWA MASHIA NJAA ZIMEWAWEKA MOYONI BUSTARDS

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 4 місяці тому +1

    Wewe rudi darasani ukasome hekima huna elimu yadini

  • @dauddavid6837
    @dauddavid6837 4 місяці тому +1

    Yani huyu anavyoongea anaonesha wazi kwamba hana alijualo kuhusu mashia bali nikuropoka tu

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 5 місяців тому

    hamna shekh hapa sasa hivi anawasifu nyerere na madiba wakati alinza kumponda ayatollah khomeini kwa kupinga umagharibi na kusimamisha dola ya kiisilam ya iran , hamna akili hapa bali ni hasira

  • @Sh_Taqee
    @Sh_Taqee 4 місяці тому

    Huyu ni Mzuri kwa kupiga kelele na ni Jahili.

  • @AL-WAARITHUUNTZtv
    @AL-WAARITHUUNTZtv 9 місяців тому

    Wee mzee wewe hapo unawapaka mafuta .au jamaii gani kwani hiyo jamii mashia hawao we tengeneza nchi yako uhamie

  • @dauddavid6837
    @dauddavid6837 3 місяці тому

    Huyu mzee muongo nyie mawahabi na salafy sindo mmenza kuwatenga wenzenu mkawaita watu wabidaa na makhuraf leo wasema mlikua pamoja mzee acha uongo

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 5 місяців тому

    elimu ndogo haongei kwa kutoka kwenye kitabu cha hadith wala quran bali apapatika toa hoja ya kidini sio kuongea usichokijua . kazi ni kuponda hamna lolote

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 4 місяці тому +1

    Ukiingia mtandaoni Mawahabi utadhani nchi nzima wamejaa wao ila uhalisia uwahabi wachache sana.
    Mawahabi wazee wa Mtandao