Huyu hapa mwanachuon wa Shia anae walaani ABUBAKRI OMAR UTHMAN AISHA MUAWIYA na wafwasi wao.no:1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 64

  • @أمحسين-ش2غ1ر
    @أمحسين-ش2غ1ر Рік тому +6

    MashaAllah ujumbe umefika
    Allah akujaze kheri nyingi

  • @fatmamuhamad3762
    @fatmamuhamad3762 Рік тому +4

    Asalamu aleikum allah awalinde nyoote munaoutete usilamu allah awalipe in Sha allah

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 Рік тому +1

    Shukan sana Sheikh wetu
    Tunakusikiza sana

  • @selemanmartin
    @selemanmartin Рік тому +3

    Uchambuzi mzuri sana Mashallah; ila Unachukua muda mrefu na speed ndogo sana kueleza kitu hadi watu wanasinzia.

  • @IbrahimuChiputula
    @IbrahimuChiputula 9 місяців тому +2

    Naomba no yako ya smu shekh na unapatikana wapi nije kutoa kopi hicho kitabu maana ndani ya Afrika mashariki hakipatikani
    Na Anllah akujaalie afya na elimu yenye manufaa

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana 2 місяці тому

    9:52

  • @hamynas
    @hamynas Рік тому +1

    kuhusu mama aisha...tarekhe inasema aliwatuma watu wakairembee mishale jeneza yenye maiti ya mjukuu wa mtume saww akiitwa imam hassan a.s?
    hakutaka azikwe nyumbani kwake....

  • @AmiliMnundu
    @AmiliMnundu Місяць тому

    Shekhe ongelea Mambo ya maana acha kuwa bagua mashia wapo kabda ujazaliwa

  • @issandegea8307
    @issandegea8307 Рік тому +2

    Hadi Abubakar na Omar walaaniwe, walifanya Nini?

  • @KhalidIdrisa-x4z
    @KhalidIdrisa-x4z 3 місяці тому

    Allah akupe nguvu umesema kile unachokijua ktk mashia

  • @TwalibSaid-c4x
    @TwalibSaid-c4x 10 місяців тому +1

    hata akawa vipi more zifa zote Anaetukana hawakilishi ushia , hata ibnu taimia asema mayahudi na manaswara hawana hatari na uuislam kuliko watu wa bidaa na mashia Jee hio Ni aqida ya kisuni ? kwani hio fikra yaenda kinyume na Quran

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 2 місяці тому

    Twendeni palestina kama kweli nyinyi mawahabi mnatetea sharafu za uislam

  • @sababusiosababu9919
    @sababusiosababu9919 Рік тому +2

    UKIZUNGUMZA ACHA MBWEMBWE ; NA MAMBO AMBAYO SI MUHIMU NA LA ZIMA ACHANA NAYO NENDA KWENYE HOJA CHAP CHAP WATU HAWANA MUDA WA KUKAA HUMU ; MADA YAKO YOTE INGETOSHA KWA DAKIKA 5 TU NA SIO ZAIDI

    • @nzigamasabohussein9194
      @nzigamasabohussein9194  Рік тому +2

      Sio hivo ndugu hayo ni mambo ya ubishi unaonaje akijamtu akasema huyu sheikhe hatambuliki katika ushia ?
      Kumbe hilo lakuelezea lazima liwepo kwasababu ukitazama utaona sheikhe alieomba kitabu aliweka vugezo vya mwanachuoni huyo .
      Masheikhe alieleta kitabu cha mwanzo huoni kilivyo jadiliwa ?

    • @hamynas
      @hamynas Рік тому

      utajuaje kasoma masri?

    • @muhammadmochenje1409
      @muhammadmochenje1409 Рік тому

      @@nzigamasabohussein9194 aslm alkm warahmatullahi wa barakatuhu sheikh hussein,nilikuwa naomba namba yako nataka kukutumia clip fulani uirekebishe inshallah

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 Рік тому

      Elimu isiyokufaa isikupotezee muda kusikiliza. Kwanini ulalamike???

    • @issambamba9236
      @issambamba9236 11 місяців тому

      Huyu mpuuzi analemba lemba kama hana utumbo.😂😂😂😂😂

  • @hamynas
    @hamynas Рік тому +2

    kuhusu othman bin affan...kwa nn waislamu wa madina walimuua?
    kwa nn walikataa kumzika mpaka akaanza kuoza?
    kwa nn walikataa asizikwe janatul baqee?
    hebu ongoeni hili nyie

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 2 місяці тому +1

    Washiawooooot motoni

  • @OmarHamad-c3u
    @OmarHamad-c3u 2 місяці тому

    Hata na wewe unaeyasema haya uongo huu kuupotosha uislam laana ya mwenyezi ikushukie inshaallah uislamu hauto rudi nyumma Kwa fitna za mshia

  • @AbdurahmanMahfoudh
    @AbdurahmanMahfoudh 4 місяці тому

    Sheikh wajuzi wa kislam tumawajua ndan ya dini yetu sio nyinyi wanazuon bidah waharobifu wa dini kawaondoeni makafiri wa kizungu makka ndio mshughurike nawengine

  • @HasaniAbdi
    @HasaniAbdi 4 місяці тому

    Allah akuingize motoni ww unaezungumza huu upumbavu wako

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 Рік тому

    Masalafy ni tatizo ktk UISLAM wao ndio wanamambo mengi mabaya kuliko hata shia wanawakufurisha waislam wote hata MAIBADH ambao IBADH ndio wanaonekana wanajiepusha sana na Uzushi pengine kuliko DHEHEBU jengine lolote

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 Рік тому +2

    Wewe nenda unajulikana ulivyo muongo.unataja vitabu alafu tukienda kufungua hamna kitu.yani hili jamaa ni jinafik kweli

    • @jumaselemani7051
      @jumaselemani7051 Рік тому

      Si kwa sababu ww ni jikafiri lienzalo toka hapo

    • @jumaselemani7051
      @jumaselemani7051 Рік тому

      Huwez elewa mpaka utoke kwenye ukafiri

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому +1

      @@jumaselemani7051 sasa sheikh wangu utanitoaje bila dalili. Kwasababu mimi nilikuwa huko huko ahlul sunna lkn nikaona hoja za shia zina nguvu sana

    • @jumaselemani7051
      @jumaselemani7051 Рік тому

      Hoja za shia zina nguvu kwa watu wote wasio na elimu .....sishangai ukisema hvo nashaur ungepita kwenye elim kabla ya kuwa murtad

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому +1

      @@jumaselemani7051 majidai ya mawahabi ni kiburi tu lkn hawanauwezo hata wakutetea itikadi zao.nimekupa mfano.kama nyinyi mnadai maswahaba wote ni waadilifu,je muawiya aliye mtukana Imam Ali na kumuua Ammar bin yasir je ni muadilifu? Je Abdulrahman ibn udais aliye muuwa halifa othman naye ni muadilifu? Huna haja ya vurugu kama unaijua itikadi yako kweli naomba uitetee kwa kujibu maswali yangu hayo. Siyo kujipiga kifua bure

  • @hamynas
    @hamynas Рік тому

    SHEIKH INZI HUYU AALIM UMEMTOA WAPI?
    UNAMJUA WEWE TUU?
    KITABU UNACHO WEWE TUU?

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 2 місяці тому

    Wewe taqfir huna elimu

  • @hamynas
    @hamynas Рік тому

    anaweka jiwe analisujudia?
    kusujudu juu ya jiwe au kusujudia jiwe?
    wale suni wakitoa mkeka au mswala wanaujudu juu ya mswala au wanausujudia mswala?
    SHEIKH INZI?

    • @eddiemay547
      @eddiemay547 7 місяців тому

      Elimu hamna mkeka na jiwe linafanana?

    • @eddiemay547
      @eddiemay547 7 місяців тому

      Mtihani kweli mna upeo mdogo hivi wewe kwa akili yako mfano hukuhudhuria ktk msiba ,au kuvisha sanda au kuingia kaburini la mama ako inamaana ulaniwe ww umekuw mbaya? Kutangaza habari ya msiba wa mtume saw kuwa anaemuabudu muhammad ,muhammad amekufa anamuabudu allah yupo,wako watu walivuka mpaka ku tokana na utukufu wa mtume kufikia kubaya na kumtafsri vibaya

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 2 місяці тому

    Kuna mayahud wanavaa kofia kama yako nyeupe pemben na nyekundu juu

  • @johnbigirimana8715
    @johnbigirimana8715 Рік тому

    Ungepewa million tano ,sasa ushapitiwa n'a wakati.Dah kumbe ni hivyo ,umeelewa makosa Hussein usiejua Imam Hussein as manzil Yake.

  • @AbdurahmanMahfoudh
    @AbdurahmanMahfoudh 4 місяці тому

    Mimi sio Shia ila nyinyi mawahabi hamna hoja mbele ya Shia to a hoja mauwaji mliyafa;nya nyinyi mawahabi hijazi na kubadilisha jina la mji nakuita Saudi Arabia hujui hayo yote unayosoma huyajui someni

    • @AthumanAthuman-b6q
      @AthumanAthuman-b6q 2 місяці тому

      Eti unasema wewe sio shia,!nawakati wewe nirafidhwa nguruwe pori.

    • @AbasHabimana
      @AbasHabimana 2 місяці тому

      ww ni msufi nyie masufi na mashia lenu moja tu

  • @hassanimoshi6486
    @hassanimoshi6486 Рік тому +1

    ACHA UONGO WAISLAM HAWASIFIKI NA URONGO WAWADANGANYA WATU WASIO JUA NIMTIHANI KWELI KWELI

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 Рік тому

    Kusoma kwa sheikh huyu ni kujitia kili yako katka ujinga

  • @hamynas
    @hamynas Рік тому

    aboubakar na umar walimfanyaje bibi fatwima a.s?
    mbona hamsemi?
    nimesoma kuwa umar alimshambulia fatma a.s kwa mateke na maneno mabaya na alimtandika makofi mpaka akawa haoni...kwa nn hamyasemi haya nyie?

  • @hamynas
    @hamynas Рік тому

    IBN TAYMIYA?
    MINHAJU SUNNA?
    NDANI YAKE KUNA FATWA ZA KUCHINJA WATU ZAIDI YA 200?
    IBN TAYMIYA

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 2 місяці тому

    Umbwà wewe kafiri

  • @hamynas
    @hamynas Рік тому

    IBN TAYMIYA ?
    SHEIKHU L ISLAM?
    HAKUWAHI KUOA MPAKA AKAFARIKI?KWA NN?
    ALIISHIJE HUYU BWANA?
    PUNYETO?
    IBN TAYMIYA?

    • @ramadhanomar8093
      @ramadhanomar8093 Рік тому

      Unaongea sana lakini maneno yako yana harufu ya upumbavu na uzandiki

    • @hamynas
      @hamynas Рік тому

      @@ramadhanomar8093 bro wewe umeoa?
      kama umeoa unawachukuliaje wale waliofika na kupitiliza umri wa kuoa?
      wanamalizaje haja zao za kimwili?
      kama hawazini je wanapiga punyeto?
      swali rahisi saana usikimbilie kutukana

    • @ramadhanomar8093
      @ramadhanomar8093 Рік тому

      @@hamynas ama kwa kweli wewe ni juha kabisa

    • @hamynas
      @hamynas Рік тому

      @@ramadhanomar8093 kiufupi huna majibu wala hoja

    • @ramadhanomar8093
      @ramadhanomar8093 Рік тому

      @@hamynas upuuzi wako huu ndo unaita hoja...shameonyou.