BREAKING: TUNDU LISSU KUFUKUZWA CHADEMA,,KAMATI KUU KUFANYA MAAMUZI HAYA MAGUMU,,TAZAMA MPAKA MWISHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 148

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 18 днів тому +10

    MIMI SIPENDI SIASA LKN LISSU NI MSEMA KWELI, SIO MUOGA, ANAONYESHA NJIA IWAPO KAMA AKICHAGULIWA NAOMBA NIWE WA KWANZA KUKABIDHIWA KADI YA CHADEMA NA LISU

  • @MavaiboMavaiboo
    @MavaiboMavaiboo 18 днів тому +47

    Sasa mbowe anauwezo gani wa kumzidi lissu? Wanangu wa lissu tujuane kwa like

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 18 днів тому +2

      Lisu ana uwezo gani .anapesa kiasi gani wewe unafikiri makelele yake Kama ya mwanamke Malaya ndio kuongoza chama.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 18 днів тому

      Kuongoza chama sio una hela kiasi gani. Ni maono na uzito wa hoja. ​@@samwelmatemu8873

    • @wiliamkatala
      @wiliamkatala 18 днів тому

      Uongozi sio pesa ww,Rudi shule.​@@samwelmatemu8873

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba 18 днів тому

      We msenge tu Kuma la mama ako​@@samwelmatemu8873

    • @MavaiboMavaiboo
      @MavaiboMavaiboo 17 днів тому

      Icho kipindi cha uwenyekiti wa mbowe zaidi ya miaka 20 amefanya nini atuoni mabadiliko ya aina yoyote mbowe ndo atulize kishundu sio tena lissu ndo uwone Kelele za lissu unazozisea zitakavokuja kuleta mabadiliko ata Ivo nyinyi wanaccm si mnamuogopa kua atakuja kuwapindua madarakani ndio maana mnampiga sana vita mbaba wawatu mfano mzuri mmediliki kumfyatulia risasi je angekuwa wewe ungepona tumwache mkombozi wetu na msemaji wetu ambaye ana confidence(ujasiri)wakutusemea maana sisi sote atuna uwo uwezo

  • @BARAKALUKUMAI-h7t
    @BARAKALUKUMAI-h7t 18 днів тому +11

    Lissu your the best no one like youuuuuuiiii,

  • @JaphetAndondile
    @JaphetAndondile 17 днів тому +3

    Xaxa naanza kuamini hii sacos ya wachaga

  • @JoelSanka-u3n
    @JoelSanka-u3n 18 днів тому +7

    Lissu muhimu

  • @JoelSanka-u3n
    @JoelSanka-u3n 18 днів тому +6

    Lissu ni wa muhimu kwa sasa

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 18 днів тому +4

    jamani anastahili kuwa wapi acheni kumusema vibaya lisu sio vizuri mungu hapendi aheni lisi aiongozi chadema mbowe umechoka

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 18 днів тому +3

    Lisu ❤💪✌️

  • @7stianPius
    @7stianPius 18 днів тому +5

    lisu yuko juuuuuuu sana

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 18 днів тому +2

    Lissu hizi zama zake now apite Kwa kura nyingi sio bila kupingwa.

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 16 днів тому

    Lissu oyeee 😊

  • @PaulLaizer-vz9vw
    @PaulLaizer-vz9vw 17 днів тому

    Lissu ni kiongozii Bora kutoka kwa munguu, wew uwezi Amin kiongozii anayechukiwa na wapinzanii wew unazanii ni nin, yaan wanaona chadema itasongoa mbele

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 18 днів тому +10

    Sisi tunamhitaji mh Lisu

  • @antonygibson464
    @antonygibson464 17 днів тому +1

    Yeriko Nyerer aache uchawa.Kwa Hali ya kisiasa ya nchi hii na kiusalama Chadema inahitaji mtu mwenye kusimamia haki na Sheria tu.Mengine yatafuata lkn kwanza kipaumbele kiwe uwazi,ukweli,na utetezi we a misingi ya haki na utawala Bora hasa ktika kupiga vita ufisadi wa aina yoyote ikiwemo Rushwa.

  • @samwelyesaya1202
    @samwelyesaya1202 18 днів тому +5

    Mtahangaika sana Lisu atashinda uchaguzi

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 18 днів тому +3

    Sasa tunajua Hakuna demokrasia Chadema. Waongoooo

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 18 днів тому +5

    Majungu hayana faida mbowe msipo angalia mtauwa chama

  • @AthumaniMzimbiri
    @AthumaniMzimbiri 18 днів тому +2

    Hana busara kabsaaa lissu. Tena haifai hata kidogo kuwa kiongozi.Kazidi ubabe

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 18 днів тому +3

    Tunataka tundu lisu.

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 17 днів тому

    Mfukuzeni halafu tutangazieni wanachama wote kuwa mmemfukuza tujjue ila kura zote apewetundu lisu

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 17 днів тому

    Huyo siyo kada chawa muondoweni muone mmetuchosha tunamtaka lisu

  • @ignasmahundi4734
    @ignasmahundi4734 17 днів тому +1

    Hapo ni ngumu hakuna kosa la kumfukuza

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 17 днів тому +1

    Hii midahalo inayoombwa ni mkaanikane juani na siri za chama? Hata mkipewa serikali si ajabu isiwe "sir kali". Sifa ya serikali ni siri kali na ndio maana kuna kiapo kinasema " kwa vyovyote sitatoa siri......". Je vyama vya siasa vina viapo vya kutunza siri za vyama? Ama sawa tu na ndoa ambayo wakikaribia kutalikiana ama wakitalikiama mmoja aweza anika siri zao barabarani?

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid 18 днів тому +4

    Lisu must go

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 17 днів тому +1

    Simba wawinda kimya kimya ndio watakula nyama .

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 18 днів тому +1

    Sijawahi kusikia sera toka kwa Lisu ,huwa ni kulalama tu na matusi.Kichaa kabisa. Na afukuzwe kwenye chama. Hana maadili kabisa nafiki kibwa

  • @7stianPius
    @7stianPius 18 днів тому +3

    lisu apewe uenyekiti tafadhali,huyo wenje na mbowe wamekula hela za abduli

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 18 днів тому +1

    Mbowe Hana issue!!
    Akakojoe, alale!!

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 18 днів тому +1

    Hiyo Kamati kuu inakaa vipi bila Lissu

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 18 днів тому +2

    Tena wafanye hivyo haraka sanaa kama taarifa hizo ni za kweli. Lissu tutampigia kura za nje mbowe apigiwe za wajumbe.

  • @PinelMlay
    @PinelMlay 17 днів тому

    Tukumbuke Kulee usa Vyombo via habari

  • @AllyKija
    @AllyKija 18 днів тому +2

    Kumbe hiki chama ni Cha mtu mmoja Bali c chama Cha wanachama

  • @ignasmahundi4734
    @ignasmahundi4734 18 днів тому +3

    Hawana.jeuri hiyo

  • @gidamayshoarajick5399
    @gidamayshoarajick5399 17 днів тому

    Yeriko nyerere...ni chawa wa mbowe...wametumwa na mbowe kukimaliza chama chetu cdm

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 17 днів тому

    Chama hakina hasara kumpoteza yeyote anaekwenda kinyume na katiba, mila ,utamaduni ustaarabu, desturi na maadili ya chama. Wameondoka wengi na chama kimezidi kuimarika. Jiulizeni walioondoka wote wakaenda kumpiga chura teke mitandaoni chama kimezidi kuwa imara na kujulikana zaidi kila uchao. Kuanikana mitandaoni hakutakisaidia chama. Mda uliobaki mchache kuanza kuanika chama kunagharama za kukianua moja ni pamoja na kuchelewa ktk mambo muhimu.

  • @RashidShedaffa-v9x
    @RashidShedaffa-v9x 15 днів тому

    Wanaomuunga mkono Mbowe ni madalali wa siasa.wana maslahi binafsi na mwkt. Hayo ni maoni yangu binafsi.

  • @mayalahassan9912
    @mayalahassan9912 17 днів тому

    lisu akitoka wote tutahama mbaki na lichama lenu

  • @MolondiMasinge
    @MolondiMasinge 17 днів тому

    Mbowe siyo kwa sasa

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 18 днів тому

    Machawa ni Ndumila kuwili sana. Mbowe ana Uroho wa Madaraka chama kitamfia Mbowe kama yule wa CUF
    Kwasasa Mbowe ana siri gani? Raia wamemchoka Mbowe aondoke apate Heshima yake na awe Mshauri kama walivyo muachia Walio Mtangulia Wenje aache kumchafua Tundu Lisu aache Uchawa aende na Upepo. Ajue upepo uko kwa Lisu

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 10 днів тому

    Kwa hiyo Mboe ndie anauwezo peke yaka sio

  • @adamsanga062
    @adamsanga062 18 днів тому

    Mbowe know brother heshima yako ipo mwachie lieu tunaipenda chadema

  • @antonygibson464
    @antonygibson464 17 днів тому

    Busara mara nyingi huongozwa na washauri kwasasa tuanze na Sheria kwanza ,ujasiri na ukweli.Tusiendekeze unafiki.

  • @epmakala7994
    @epmakala7994 18 днів тому

    Lisu anzisha chama. Kitakuwa kikubwa kuliko chadema

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 18 днів тому

    Huwezi kujaji kama anasema kwwli mpaka tupate udhibitisho

  • @masijamajogoro7231
    @masijamajogoro7231 18 днів тому

    Yeriko ndio kitu gani.. pitapita kule
    Lissu ndo habari ya mjini

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 18 днів тому

    Ropokaji Lisu.hajui atendalo. Alimshupalia Makonda kanipiga risasi mbona hajampeleka mahakamani . Kazoea kuzushia watu tu.Fukuza kabisa huyu

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 17 днів тому

    Haahaa vipi boni yai? Vipi yeriko nyerere?

    • @MavaiboMavaiboo
      @MavaiboMavaiboo 17 днів тому

      Ao wanafiki tu Kwanza so wana chadema oliginal sema awajawashitukia tu

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 18 днів тому

    Lisu ni mropokaji tu hana sifa na mwongo .

  • @patrickymkoma3558
    @patrickymkoma3558 18 днів тому

    Fukuza lissu

  • @jetymagereja4058
    @jetymagereja4058 18 днів тому

    Lisu ameomba mdaharo kwani mbowe anasemaje?

  • @naftalsigwejo623
    @naftalsigwejo623 18 днів тому +1

    Hivi makamu wa sasa anatofauti yoyote na zelensky ktk misimamo na mtazamo. Zelensky anaua watu wake kwa faida ya magharibi. Huyuu ni hatari. Mbowe!!! Huraaaàaaaaasa

  • @HalidiKasimu
    @HalidiKasimu 17 днів тому

    baada ya kujibu hoja za Lisu mnataka kumfukuza, fanyeni hivyo bc muone kama hatbaki na wenyeviti wakaanda tu

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 18 днів тому +2

    Kibajaji my best MP

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 18 днів тому

    Ukiwa mkweli utaonekana hufai mbowe ni mla rushwa na vichawa wake walamba asali mbowe ashazeeka apumzike ashalamba sana asali za samia mbowe hana nguvu tena kwenye siasa

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 18 днів тому

    Kwa awamu hii lissu ilikuwa yake ila lissu baraka yako inakuja kwa haraka vumilia.

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 18 днів тому

    Niwakati wa LISU Enough is Enough Tunamtaka LISU mpende msipende ni LISU.

    • @osmannassor1845
      @osmannassor1845 18 днів тому

      @@michaelmshighati8432 kisha naona hamna kazi, nchi hiyo ni ndoto za mwendawazimu kuchukua nchi,

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 18 днів тому

    Lissu kwanza mengine badae

  • @RamsonBosco
    @RamsonBosco 18 днів тому

    Kwenye chama lisu nijuu

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 18 днів тому

    Mbowe hana hekima angekua na hekima huu ndo wakati wa kuonekana hiyo hekima lkb mpaka sasa haijaonekana

  • @AndrewChilua
    @AndrewChilua 18 днів тому

    MTAISHA CHADEMA KABISA HAMTA AMINI

  • @balljmushi9599
    @balljmushi9599 18 днів тому

    Ajadiliwe huyooo,,anaesema hvyoooo--pumbav kbsaaa nyieee. Hakun sheria inayoweza kumng,oa lissu CHADEMA.

  • @BeniMwengo
    @BeniMwengo 17 днів тому

    Inchi hii ina wasomi wa ajabu sana. Sasa ona wasomi wanavyokubali kutumika kushambulia wasomi wenzao walioamua kusimama kidete kutetea haki na kukemea rushwa hadharani. Tuna wasomi wa ajabu hajawahi kutokea.

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 17 днів тому

    Hii post ni mbaya ni hatari kwa maisha ya kisiasa ndani ya Chadema.
    Kamati kuu kumpangia kumfutia uwanachama wake hii itakuwa hatari kwa maisha ya siasa z ushindani.
    Hivi hamwezi kujifunza kwa baba wa siasa Africa (CCM?)
    CCM pamoj na kasoro nyingi zinaoendelea kufnyiwa kazi ndani ya CCM bado CCM Itaendelea kuwa kinara wa siasa Africa.

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 18 днів тому

    Cdm ni chama cha mafisadi wa awamu wa serikali ya kwanza msimamizi wa pesa zao walizoweka nje ni mbowe

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 18 днів тому +1

    Lisu hana uwezo ,siasa zake ni za mihemko ,Mbowe ni mzee wa siasa za mikakati ndie anaefaa

    • @EphraimMwandemange
      @EphraimMwandemange 18 днів тому

      Muongo wewe acha kuwachanganya watu

    • @SalambaPeter
      @SalambaPeter 18 днів тому

      Toa hoja tujagiri sio kubeza mtu , hivi kugombea kwa mujibu wa katiba wazifa wowote ndani ya chama au lisu amefanya kosa kugombea?

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 18 днів тому

      Hapo sasa. Kumfukuza Lissu, ni sawa na kung'oa goli.

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 18 днів тому +2

    Uimara wa chama ni wanachama.Chadema mlikuwa na muda mfupi kujulikana,Sasa tumewajua .chama kina wanachama wa ovyo sana.mwanachama na akili zake unampa uongozi lissu !! Mtu ambaye mpaka leo hajui ni akina nani wamempiga risasi,anatumia ulemavu kuhurumiwa na kuuchafua uongozi uliopo madarakani.

  • @PinelMlay
    @PinelMlay 17 днів тому

    Mmmmm

  • @kalekela-j1e
    @kalekela-j1e 18 днів тому

    UKABILA UTAWATAFUNENI CHADEMA

  • @ShaibuAwadhi
    @ShaibuAwadhi 18 днів тому

    Miaka ishirini ni mwenyekiti duu inanipa shida hiyo

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 18 днів тому

    Chadema shida yenu ni utawala tu.Hamuongelei sera mtusaidieje.Mnaongelea kuwa Lissu awatishe CCM ili mpate madaraka.Vitisho vyake ni kupeleka ujumbe kwa vibaraka ili tusipate mikopo😢.chizi.
    Chadema tunawaamini.nyie hamjafanya lolote zaidi kelele ugonmvi matusi😢usaliti nk
    Chadema mjitambue😢

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 18 днів тому

    Apewe lisu mbowe abaki na maridhiano yake ya uongo

  • @AndrewChilua
    @AndrewChilua 18 днів тому

    ENDAPO mtasubutu kufukuzalisu NDIO mwisho WA CHADEMA ukwelinihuo

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 17 днів тому

    Wagombea wangejifunza kwa wale waliokiuka katiba, mila, desturi, utamaduni, maadili na ustarabu ktk vyama vikongwe ktk vinyanganyiro wa chaguzi kuu wakaanza kampeni chafu, kiburi, kejeli na dharau kabla. Wazee wa maadili ( wazee wa mafaili) hawakuchelea kuwaengua na kuwaweka pembeni wakawachagua wenye maadili, nidhamu, unyenyekevu na walifuata katiba. Ikumbukwe hata kama wewe ni mzuri kiasi gani utawahitaji wenzako hutafanya kazi na wapambe wasiokuwa wanachama waaminifu kwa chama hasa mitandaoni.!

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 18 днів тому

    Lissu a n a uwezo gani kumshinda Mbowe au kwsa kakaas U b eljiji au vipi😮😢

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 18 днів тому

    Kifo cha CHADEMA itakuwa Mbowe.

    • @mutabebwa1713
      @mutabebwa1713 18 днів тому

      Mbowe usiue chama achia ngazi vizuri kwa heshima mkabidhi Tundu Lisu . Tunajua kilichopo nyuma ya pazia usiwafanye wananchi wajinga kwa kukataa kumwachia Lisu wakati ukijua ya kwamba kwa kufanya hivyo chama kitakufa na wapinzani wenu watashangilia - una agenda ya siri.

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 18 днів тому

    Chadema imekula upande

  • @andreahongole9332
    @andreahongole9332 18 днів тому

    Umeitoa wap hii boss wang

  • @Chungueni
    @Chungueni 18 днів тому

    Hicho chama cha mkwe wambowè mzee mtei yaani mbowe kuachia hicho chama mpaka MUNGU apende wezangu namimi tunashabikia tusichojua luzuku ni zafamilia kn lisu kutetea chama kote leo mnaona hafai atafute chama chenye katiba na miongozo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 18 днів тому

    Acheni uongo jwenye Media yenu

  • @Selemlaki132
    @Selemlaki132 18 днів тому

    Wazee wanataka kuchafuana hawa

  • @JohnKatwanga-l1g
    @JohnKatwanga-l1g 18 днів тому

    Iisu mwamba

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 18 днів тому

    Hizi media zingine zinatafut kujikuza kwa mambo ya kipuuzi to

  • @omarinyahegs4539
    @omarinyahegs4539 18 днів тому

    Acha ujinga

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 18 днів тому

    Chadema kwisha na muaji wa chama hiki ni mbowe kwa nini akae miaka yote hiyo alikuwa asigombee tena
    Good bye chadema

  • @augustinomwacha1658
    @augustinomwacha1658 17 днів тому

    Mbowe hafai Tundulisu ni jembe Yerico ni yeye ndio hafai ata kuwa mwanachama anajua ukali wa Lissu na ni tishio kwa baada yawatu unakaa na chama miaka 20 unafanya chafamilia yako maanake ni nn?

  • @MahyoroKalokola
    @MahyoroKalokola 18 днів тому

    Kwa hiyo ndani ya Chama kinachojiita cha demokrasia kinamfukuza mtu kwa sababu ya kugombea!

  • @JEREMIAHNYANGA-d4q
    @JEREMIAHNYANGA-d4q 18 днів тому

    Lissu alichofanya ni kutimiza Demokrasi

  • @SuolFat
    @SuolFat 18 днів тому

    Tunaenda na mwamba

  • @RubensaroSaro-ip6by
    @RubensaroSaro-ip6by 18 днів тому

    Watajuana wenyewe , chadema chama kuzur lkn viongozi wake wote n wapenda fujo hawana matendo kazi fujona makejeli pamoja na uchochezi wa vurugu, hawana chochote kwanza hawaaa

  • @JoelSanka-u3n
    @JoelSanka-u3n 18 днів тому +1

    Sion uongo niuwazi mtupu

  • @mage5371
    @mage5371 18 днів тому

    Yote ya Nini tusubiri kura zitaongea

  • @BarakaMsusa-m4s
    @BarakaMsusa-m4s 17 днів тому

    Lisu alitakiwa kuzaliwa mwanzon mwa karne ya 17 au mwishon mwa karne ya 18 kwa watu wenye akili kubwa lkini kwa sasa anajichosha hoja zake hazieleweki kwa watu wa kizazi hiki maana wana akili nyepesi huyu mzee alitakiwa kuwa mzungu tena kutoka mataifa makubwa yenye nguvu duniani cjui kwa nini zawadi hii kubwa Mungu kaileta kwenye taifa la wajinga hili

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 18 днів тому

    Habari Kiganjani online tv kama si wewe basi mtangazji wako ni wahuni. Kichwa cha habari hakina kushabihiana na unayo ongea, ila kichwa cha habari ni kuzusha taharuki kwa wapenzi wa Lissu na hivyo wewe ni chawa wa CCM. Hauna jipya kazi yako ni kusoma maoni ya watu na kazi ya kuisambaratisha CHADEMA tunaiona, nawe ni mmoja wa kambi hiyo.

  • @OmaryHeri-c3h
    @OmaryHeri-c3h 18 днів тому

    Ndio maana hua tunakataa kubonyeza alama ya kengele ya tv zenu kwa ujinga huu

  • @magesadani9058
    @magesadani9058 18 днів тому

    Acha uongo na uchonganishi

  • @JacksonKavana
    @JacksonKavana 18 днів тому

    No

  • @JohnS.mwafubo
    @JohnS.mwafubo 18 днів тому

    Ww ni ccm acha uchafuzi

  • @NicholausVedasto
    @NicholausVedasto 18 днів тому

    Nyoko kabisa na channel yako

  • @HafidhMaalim
    @HafidhMaalim 18 днів тому

    HUO NI UONGO

  • @osmannassor1845
    @osmannassor1845 18 днів тому +4

    Huyu lisu hafai kbs kuwa kiongozi, kwanza anaropokwa bila kujua anasema nn, ukifuatilia hotuba zake ni za uchochezi na ubaguzi, hivi karibuni nanukuu, akisema Raisi Samia ni mwizi na uislamu wake,imehusu nn uislamu? Kwsni chama hicho hakina waislam?

    • @iddykivu050
      @iddykivu050 18 днів тому +1

      Kwaiyo Huo ndo Uwezo wako wa kufikili Ulipoishia

    • @7stianPius
      @7stianPius 18 днів тому +1

      wewe ndo hufai Kennedy wewe,lisu viva

    • @JoelSanka-u3n
      @JoelSanka-u3n 18 днів тому +1

      Anafaa lissu sanaaaa

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 18 днів тому +1

      Mkundu wewe mzee wako ndo hafai

    • @7stianPius
      @7stianPius 18 днів тому +1

      @YohanaMasebo wewe ndo mkundu,akili huna,utakua una msapoti mbowe,tako weee