Safi sana mdada. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hakika goliati ameanguka hainuki tena kazi nzuli dada yangu Beatrice mwaipaja nakupenda sana wewe pamoja .na nyimbo zako mungu akupe maisha marefu dada Beatrice
Feeling blessed 😇 mungu ninainami utaangusha akina goliati wanao vuruga maisha yangu na hawatainuka Tena🙏🧎, Thanks for such healing touching song ❤❤❤❤❤❤❤❤
Ujitahidi utengeneze nyimbo zisizojirudia sauti,,,, hii Ngoma sio Kali na inatakiwa ubadilike ,, star utadhani Mwimbaji wa leo, ...... Hii ngoma Haina tofauti na Ile wamesalenda yesu Ni Bwana ..... Kama umeshindwa kutunga omba Roho Mtakatifu akufunulie , hapo naona unatumia akili zako
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe dada mungu aongezee kukushika mkono
Goliat wangu ameeanguka kwa Jina La yesu🙏🙏
Bwana Yesu akubariki dada Beatrice kwa nyimbo nzuri kiukweli nabarikiwa Sana Lazima waanguke kina Goliati wote !
Hongera sana goliati ameanguka
Kweli alihanguka kwangu Mungu asifiwe ndani yangu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ubarikiwe uuende viwango vyajuu sana sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wimbo nmeusikia jana uuh
Yani wimbo taratibu TU ...wow... Tamu sanaaaa Nabarikiwa taratibu Sina sababu yakulalamika
Asante kwaku tubariki ❤❤❤❤❤ like tafadhali wote mlio barikiwa na huu wimbo kama mm ❤❤❤❤❤
Auuuuuuuuuwiiiiiiii,hii iko juu mtumishi
Safi sana mdada. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
God bless your job 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Waooo wimbo mzuri
blessings to you mum
Hakika ameanguka goliati
Ongera Sana kwa kazi nzr Sana 🔥 fireeeee 🤝❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera mama , Joan ni Goliath wa Familia ya Mzee Mwaipaja, leo ameanguka ,
Mwaipaja Family Mmemuangusha kwa kishindo na hairudi tena:
Ameanguka mazima!
Mungu akupe maisha marefu bite unanibariki mwee❤
Hongera Sanaa my ❤. Hakika Goriat hana nafasi
Wooow Goliath Ana lake Tena Kazi njema mwimbaji mwenzangu Beaty Mbingu Zikukumbuke Daima❤❤💪🙏🙏🇰🇪
Unajua kuimba kuliko ata dada ako
wote wanajua Kila mtu mungu anampa ujumbe Kwa kufuatana mioyo ya watu ilivyonauhitaji ni roho mtakatifu anawapa nyimbo
Dada nakupenda sana , barikiwa sana kwa nyimbo zako , ❤❤❤❤❤
❤️❤️💔💔 jamani kama goliati wamaicha Yako amengu leta link hapa mambo ni🔥🔥🔥 from Congo 🇨🇩🇨🇩 tunakupendadada
Napenda sauti yako sana. Anointed
Akina goliati lazima waanguke katika jina la Yesu Kristo, Bwana wa majeshi ndio uzima wetu
Toa video madame, nyimbo Kali sana hii, ninachokupendea hujawahi niangusha!
Aminaaa goliati kwangu kashaangauka hainuki tena kwajina la yesu
Much love more sister
hakika goliati ameanguka hainuki tena kazi nzuli dada yangu Beatrice mwaipaja nakupenda sana wewe pamoja .na nyimbo zako mungu akupe maisha marefu dada Beatrice
Thankx my sister bless you
Kumbe ire nyimbo ushindi ni lazima kamuibia mdogo wake
Hakika goliat ameanguka,wimbo mzuri sana hongera kipenz
🎉congratulations viombo na sauti ya Wimbo ni baraka kwangu
Amen nabarikiwa
Kweli amenguka na hainuki tena kwakua tuna mshindi ambaye ni Bwana Yesu.......
Ubarikiwe kwa wimbo wakutia moyo
Good song my sister keep it up
ameanguka na matusi yake🫣
wow this song is special to me because am going through hard times lakini najua goliati waanguka
Mambo ya mduara 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hongera sana Mdada wa Yesu
Ahsante yesu nimeamini maombi Kwa njia za uimbaji nisehemu ya uponyaji
Amen Amen hallelujah
Good song be bless dear
Washindwe kwa jina la yesu
Is this sister to Martha Mwaipaji??
Be blessed dear
Ubarikiwe sana wimbo mzuri sana
Woah Ameen naupenda huu wimbo Sanaa be blessed much dear ♥️♥️🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana mtumishi kwa kazi nzuri.
Unanibariki sana Dada Beatrice na huwa nafarijika sana kuona mtu unayejulikana kuimba vizuri na kuwa mnyenyekevu MUNGU akuinue sana
Napenda sauti Hadi mwimbaji
How I love this song!
Ubarikiwe sana mtoto wa Mungu
Kbs mungu akiwa upande.wetu.akuna aliyejuu yetu
Barikiwa sana dada angu
Amen🙏🏻🙏🏻❤️❤️
Feeling blessed 😇 mungu ninainami utaangusha akina goliati wanao vuruga maisha yangu na hawatainuka Tena🙏🧎, Thanks for such healing touching song ❤❤❤❤❤❤❤❤
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu kwa nyimbo nzr
May God bless you my sister all your songs very fully blessings i love it ❤❤❤ from 🇬🇧
Ameanguka kabisa
Ujumbe mazuri
Smart song
Imba dada
Nimekula tayari na wimbo
Much blessings, ✅🫡
Ujitahidi utengeneze nyimbo zisizojirudia sauti,,,, hii Ngoma sio Kali na inatakiwa ubadilike ,, star utadhani Mwimbaji wa leo, ...... Hii ngoma Haina tofauti na Ile wamesalenda yesu Ni Bwana ..... Kama umeshindwa kutunga omba Roho Mtakatifu akufunulie , hapo naona unatumia akili zako
Uongo huyu mwimbaji ameimba vyema sana,usichafulie mwingine
Ukiona wimbo unakasoro ujue roho mtakatifu hakukusundia wewe,walio suhundiwa wamepona
Ubarkiwe sana mtumishi wa mungu Hongera sana kwa wimbo mzuri
Be blessed
Saf amin❤❤❤❤❤
Barikiwa sana Dada Beatrice kwa nyimbo zako . Unapo towa wimbo kweli na barikiwa sana . ❤❤❤
Amena❤❤🎉🎉
Wooow beatrice mwaipaja kazi njema mtumishi wa mungu keep going in Jesus name I love you from kenya 🇰🇪 ❤
Ameanguka
❤❤🎉
❤❤❤❤❤
Hainuki teeeena imeisha
Habari yake imeishia hapo
Ameeen
We owe you million love Beatrice!! ❤️❤️🎉🎉
Amen
❤❤❤wow a very blessing soul frm our sister it sounds like amenitengeneza by her sister Martha mwaipaja this is a house of talents
💥💥
🎸🎸🎸🎸🎤🎤🎤
Nice song. We thank God for the grace.
❤❤❤❤❤
❤❤
Amazing 👏 song 🎵 ❤
🎉🎉🎉🎉🎉
Inspiring song 👏💟
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙊
❤❤❤
Amen 🙏🙏🙏🙏
Ameanguka
❤❤❤❤