BEATRICE MWAIPAJA AFUNGUKA : MARTHA MWAIPAJA NI DADA YANGU KABISA / NAACHIA ALBAM HIVI KARIBUNI .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @pili4758
    @pili4758 Місяць тому +3

    Nawaombea haya maneno yaishe mkuwe saw❤❤❤❤

  • @menyekivuyo7540
    @menyekivuyo7540 Рік тому +4

    Love you dada❤❤ unajua sana

  • @leticiabwanduluko3732
    @leticiabwanduluko3732 2 роки тому +12

    Nakapenda hako ka Dada jamani hakanaga Dharau ❤️❣️

  • @ashafatia
    @ashafatia Місяць тому +2

    Hujazalilika dada Beatrice umeongea ukweli wala hujamcafuwa Martha👌kwaiyo wakuace waace kukucafuwa bure

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 23 дні тому

    BEATRICE ANA SAUTI NZURI SANA NA ANAJUA KUIMBA SANA❤❤❤❤

  • @ZainabuIddy-r1o
    @ZainabuIddy-r1o Рік тому +1

    Saut zenu nzur sana Mungu hawabariki ❤❤

  • @GidionKombe-h1p
    @GidionKombe-h1p 29 днів тому +1

    Nakupenda

  • @FaridaOngala
    @FaridaOngala Місяць тому +3

    Nakupenda ww mzuri

  • @justinklins335
    @justinklins335 2 роки тому +4

    hata na mimi nimeyapitiya maisha mangu ila mungu alitosha mbali maisha ya kifamiliya ebwa nimengi ni neema tu

  • @AliceNeemaKarisa
    @AliceNeemaKarisa Рік тому +1

    Mubarikiwe nyote na Mungu wa mbinguni

  • @Muthonimk
    @Muthonimk 2 роки тому +2

    Amen amen

  • @Aee-w5i
    @Aee-w5i Рік тому

    Praise God

  • @upendokininki6897
    @upendokininki6897 2 роки тому +1

    Hogera my🥰

  • @ashafatia
    @ashafatia Місяць тому +1

    yani amefanana sana na Dada yake mpaka na Kuongea sauti zao ni kama moja

  • @DanielGongeOfficial
    @DanielGongeOfficial 2 роки тому +1

    🔥

  • @marthamashinji6830
    @marthamashinji6830 2 роки тому +5

    Nakupenda Beatrice

    • @mussahajiramadhani4508
      @mussahajiramadhani4508 2 роки тому +1

      Unampenda ?? Uyo mswahili ndio maana martha mwaipaja anasema anamchukia kuliko mtu yoyote duniani mnafiki uyo

    • @leticiabwanduluko3732
      @leticiabwanduluko3732 2 роки тому +2

      @@mussahajiramadhani4508 undugu hua haufagi mpendwa

    • @BeatriceSamwel-p7u
      @BeatriceSamwel-p7u 3 місяці тому

      ​@@mussahajiramadhani4508Martha anamchukia Beatrice???

  • @d.methuselah9329
    @d.methuselah9329 2 роки тому +3

    Fire

  • @mussahajiramadhani4508
    @mussahajiramadhani4508 2 роки тому +7

    Njaa lazima ikuuwe maana umemsema sana martha mwaipaja na ukadhania kupitia ww Atachafuka mwishowe yamekurudi leo unajizalilisha 😂😂

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema Рік тому +1

      Huyu ni nani?

    • @aaronmailuofficial251
      @aaronmailuofficial251 Рік тому +2

      Huyu ni dadake Martha mwaipaja,dadake wa mama mmoja ...

    • @evelynefuraha4053
      @evelynefuraha4053 Місяць тому

      Mambo ya familia

    • @Bintimrembo-y1v
      @Bintimrembo-y1v Місяць тому

      Ingekuwa byema ukadili na magumu ya familia yako kwanza

    • @veronicakayungi
      @veronicakayungi Місяць тому +1

      Sasa Mussa hao ni ndugu wakigombana kalime,wakipatana kavune na kwa ufupi aliye ndani ya Kristo Hafi njaa

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 2 роки тому +1

    🙏🙏🤝❣

  • @LucasMapundu
    @LucasMapundu Місяць тому

    Mtangazaji upo less saahuna sauti yakumhoji mtu yaan unapayuka payuka tuuuu tengeneza tenshion Kwaza

  • @miriammustafa5380
    @miriammustafa5380 29 днів тому

    Huyu dada alitaka atensheni ya watu nicheke tena😂😂😂kwanza mhhhhh yaaani kumdhalilisha dada yako halafu eti kasomeee uchungaji atachunga mbuzi wambea wenzie siooo kondoooo

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 29 днів тому +2

      Unajisikiza kweli?Tungejulia wapi Joan hapendi Wakristo?Tungejulia wapi anajua kutusiana?Tungejulia wapi hunywa pombe?

    • @salumntulo1589
      @salumntulo1589 27 днів тому +1

      Una chuki binafsi

    • @Iblahim-p9r
      @Iblahim-p9r 25 днів тому +1

      We vp hii ndio dawa bite nimekupenda kujifanya wachungaji kumulea mama haaaaa,!!!

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q 19 днів тому +1

      Mmmmm jmn dah muogope mungu jaman hajamdhalilisha bali amemuombea mungu amfungue dadaaake ,mimi nawewe hatujamuombea ndo maana mungu amepokea maombi na matha hata kama hajaongea kitu lkn akikaa peke yake anamajibu mazur na amepata kujua kitu japo kidogo lkn matha ameshaokolewa ila sisi hatujui .matha hongera sana

    • @Neemasolomon-uy4pj
      @Neemasolomon-uy4pj 11 днів тому

      Usikute ww ni Joan mmmh pole akant fek ukwl utabaki siku zote

  • @gracejohn9358
    @gracejohn9358 5 днів тому

    🤣🤣🤣🤣nauli muhimu