Bwana Yesu atukuzwee,Fatma.Jitahidi upige simu za call centre. Namba zinapita kwenye screen, wataweza kukusikiliza na kukusaidia.Kimaombi na kushauri. Yesu akupiganie.
Bwana Yesu atukuzwee,Baba lao,mimi binafsi nabarikiwa sana na mahubiri yako.Kila siku unalo neno jipya kwa ajili yangu na familia yangu.Nasema hivi,mwaka huu lazima kitaeleweka,watake wasitake.
Amina baba
Amen 🙏
AMEN AMEN AMEN
Amen
Bwana yesu atukuzwe naitwa fatuma Mateo ninasjida kubwa nanitaji msaada
Bwana Yesu atukuzwee,Fatma.Jitahidi upige simu za call centre. Namba zinapita kwenye screen, wataweza kukusikiliza na kukusaidia.Kimaombi na kushauri.
Yesu akupiganie.
Bwana Yesu atukuzwee,Baba lao,mimi binafsi nabarikiwa sana na mahubiri yako.Kila siku unalo neno jipya kwa ajili yangu na familia yangu.Nasema hivi,mwaka huu lazima kitaeleweka,watake wasitake.
Ameeeeen. ACHIZA toka Bukavu DRC