#MAJADIDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 562

  • @ERLY1234-z9r
    @ERLY1234-z9r 4 місяці тому +19

    Ninachokupendea sheikh wetu wallahi kwenye raddi unazozitoa unatumia hekima na lugha muafaka na yenye kumridhisha msikilizaji tofauti na yule anaetia matusi ,kebehi na kejeli .Namuomba Allah akuhifadhi sheikh wetu Muhammad Bachu.

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad 4 місяці тому +8

    Allah akuhifazi sheikh muhammad bachu from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq 4 місяці тому +1

    Wallahi napata faraja kumsikiliza sheikh Muhammad. Allwah amjaalie umri mrefu. Ameen yaa rabbi

  • @IbrahimuMgeni-gz5vx
    @IbrahimuMgeni-gz5vx 4 місяці тому +11

    MashaaALLAH
    ALLAH akuhifadhi Shekh Muhammad Bachu

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر 4 місяці тому +9

    Unafanya kazi nzuri shekh muhammad allah akuhifadhi

  • @abdallahtamim6829
    @abdallahtamim6829 4 місяці тому +4

    Allah akuhifadhi Akhy safi sana mtoto wa bachu upo sawa

  • @SeifHassan-wl7ur
    @SeifHassan-wl7ur 4 місяці тому +2

    Allah akuhifadhi sheikh wangu Muhammad bachu una hekma ndio maana majadida jibu huwa wana matusi na kejeli hawakuwezi kabisa hao.

  • @IsmailFadhil-w8k
    @IsmailFadhil-w8k 4 місяці тому +1

    ماشاء الله حفظ الله يا شيخنا الفاضل

  • @Muharram-c5n
    @Muharram-c5n 4 місяці тому +4

    Baaraka llahu fik sheikh wng Muhammad Bachu

  • @ImranAmran-b6t
    @ImranAmran-b6t 4 місяці тому +8

    Safi sana unatufaidisha Allah mtukufu akuhifadhi

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 4 місяці тому +1

    MAASHAA ALLAH tabarakallah sheikh. umenichekeshaaa sanaaa Leo

  • @sadikiissa7756
    @sadikiissa7756 4 місяці тому +8

    Kwa Hakika kila Zama Allah analeta mtu wa haki kwa mujibu wa Quran na Sunna anayeweza hata kuwarekebisha wale wenye kupotosha dini Kwa kuelemea upande mmoja Wa maandiko.
    Mtu huyu aliyepewa kipawa cha kuweka wazi ni Muhammad Bachu. Allah amjaze kheri na elimu zaidi na kila lililozuri na amuepushe na shari mbalimbali.

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 4 місяці тому +4

    Jazaaka Allaahu khayran
    (Allaah Akujaze khayr)

  • @jamaldineali3228
    @jamaldineali3228 4 місяці тому +12

    Tangia nakufahamo wallahi nimetokea kukupenda kama nilivokuwa nampenda marehebu mze

  • @masoud744
    @masoud744 4 місяці тому +3

    Mashallah.... Unajua kuvunja hoja na kuweka hoja

  • @SaddamMuhammad-fn9js
    @SaddamMuhammad-fn9js 4 місяці тому +2

    Allah akuhifadhi shk Mohammad bachu.ameen

  • @AmirathumaniSori
    @AmirathumaniSori 4 місяці тому +3

    Mashaalahu honger san shkh wang

  • @rajabTaratibu
    @rajabTaratibu 4 місяці тому +1

    Allah akuhifadhi akhy Muhammad bachu wape haki ilivyooo

  • @yasiniramadhani400
    @yasiniramadhani400 4 місяці тому +5

    Tumeelimika vya Kutosha
    Allah (S.W) Akulipe.

  • @ibrahimjumaa538
    @ibrahimjumaa538 4 місяці тому +10

    Finally, hii nimeipenda sana!!

    • @Muharram-c5n
      @Muharram-c5n 4 місяці тому +2

      Mm pia

    • @tariqsinga8440
      @tariqsinga8440 4 місяці тому

      Hahahaa jamaa mjanja sana sio tena Ile Ya Tutaona Mimi na wewe ni nani Allah atamdhalilisha

  • @abuuiqiramtv
    @abuuiqiramtv 4 місяці тому +1

    Maa shaallah ❤❤❤❤Allah akulipe kheri hawa watu wanasumbua sna mitaani

  • @Salim-yt7oh
    @Salim-yt7oh 4 місяці тому +2

    Muhammad bacu anatumia hikm kwasababu ni mjuzi❤

    • @KhalidAbdalla-lb4ph
      @KhalidAbdalla-lb4ph 4 місяці тому

      Uo upotoshaji wake huoni

    • @Sidrasidra636
      @Sidrasidra636 4 місяці тому

      Ume anza vizuri ume kosea hapo mwishoni 😢 Mjuzi ni Allah peke

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 4 місяці тому +8

    Hhhh wape vitu sheikh wangu nakupenda kwaajili ya Allah Muhammad ❤❤

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 4 місяці тому +2

    Allah akuhifadhi ili tuzidi kufaidika na ilimuyako

  • @ش.ف.ا.ع
    @ش.ف.ا.ع 4 місяці тому +4

    Allah akulinde na akuhifadhi

  • @BinmuhamadSuwayd
    @BinmuhamadSuwayd 4 місяці тому +9

    Kumekucha Alhmadullh Allh AKUHIFADHI Shekh wetu mpendwa

  • @suleimanmohamed2559
    @suleimanmohamed2559 4 місяці тому

    Shekh mohammad Allah akuhifadh kiukwel tupo tunao kukubali sana kwa nasaha n mawaidha yako mazur enyew hawa majadida wana tabu sana kias cha kua wana tufanya sisi wa chini kuwaeleza hawa marika zetu ina kua ngumu kutuelewa kwa fikra wanazo wapa juu ya salafi wema walio tangulia wame sababisha maulama wana tukanwa na kukejeliwa kwa sababu ya misimamo yao n kauli zao ngumu kiukwel hawa jamaa wana haribu sifa za masalaf wema na sisi tunao fuata nyao zao wana tutoa bila ata kuangalia wame kua mahakimu

  • @z34-kp9qq
    @z34-kp9qq 4 місяці тому +9

    MPASUEEEEE MPASUEEEEE MVURUGEEEE MPIGE MAKWAPABYA USOOO..
    HIYO NDIO SHIDA YA KUFANYA GHULUWWU KATIKA KUFANYA RADDI.

  • @sadikiissa7756
    @sadikiissa7756 4 місяці тому +6

    Daawa ya Kisalafi ni nzuri isipokuwa inaharibiwa na watu wachache wenye kushika fatwa ya mwanazuoni mmoja na kulazimishia kila mtu amfuate hali ya kuwa kuna fatwa za Wanazuoni wengi. Na jambo la pili ni kule kujizatiti ktk kugawa umma na kukufurisha watu. Yaani utakuta mtu hata kama ni Salafi kafanya kosa moja basi ndo inakuwa sababu ya kutengwa kwenye kila kitu kana kwamba hana heri yoyote ambayo anaifanya.
    Allah akuwezeshe Sheikh Bachu uzidi kutuonyesha njia ya haki ili kuwadhibiti wapotoshaji wanaojiita Masalafi kumbe ndani yake ni upotoshaji mtupu.

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 4 місяці тому +1

      Ndug yang umeongea kisomi sana allah akulinde inaonekana c mjinga kwenye dini yako

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 4 місяці тому

      @@KhalfanMakota
      Allah atulinde sote Akhy.

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 4 місяці тому +4

    Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 4 місяці тому +6

    Tatizo wankurupukwa Hawa wezetu , huwa wanjisahau sana. Matokeo yake ni kuaibika km hivi . Asante Simba wa zanzbar

  • @ImanSaid-q4i
    @ImanSaid-q4i 4 місяці тому +2

    Hakika imetokea kukupenda sana kwaajili ya allah kama nilivyo mpenda baba yako kwaajili ya allah

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 4 місяці тому +8

    Shekh Muhammad Allaah akuhifadhi na akulinde nakila shari.
    Kitu nilicho gundua, nikwamba watoa coment wengi ni mabupuru matupu, hawana elimu hata ndogo, na niwashabiki tu, wala hawana shida na haqqi.
    Bali hawajui hata kidogo kua kwenye jambo fulani linalo jadiliwa haqqi iko upande upi.
    Mtihani huu.
    Na weeeeengi wanaliwa na kutafunwa na HASAD ndani ya nyoyo zao, masufi na majadida, wakimtazama Shekh Muhammad Bachu Maashaa Allaah yuko vizuri sana sana sana, na anaeleweka na anafatiliwa na watu wengi kuliko hata Shekh Qassim Mafuta na Salafi yeyote wa Tanzania na Kenya.
    Na ukamilifu ni wa Allaah Azza Wajalla peke yake.
    Sasa wakiona mambo yanaenda vizuri kwa Shekh Muhammad, na anaongea vitu vya msingi, wao huumia nyoyoni mwao, na kutamani aharibu au akosee ili wamsakame!!!
    Sasa mutaumia sana, maana Shekh Muhammad Bachu Allaah amhifadhi na ampambe kwa afya njema, na amzidishie Maarifa ktk Dini na inswaaf na adlin ktk kupambana na mienendo mibovu yenye ushamba ndani yake, akikosolewa, na ikawa kakosea kweli hana kibri, na hilo liko wazi, ana jirudi nawala hafanyi inadi.
    Sasa Shekhe Muhammad Bachu kaa ukijua kua, kuna timu imeandaliwa kwa ajili ya kuyakrashi maneno yako na shakhswiya yako, kwa kutoa kejeli na dharau na matusi, kila unapoongea, ili kuiondosha ile ladha ya maongezi yako, na kutaka kuzitoa fikra za watu kwenye hoja unazo zitoa.
    Mi nakwambieni ndugu zangu, masalafi wana majeraha makubwa sana ya Ruduud alizo fanyiwa Shekh Qassim Mafuta na kuzalika maswali sita kwenye zile ruduud na majibu yaka kosekana hadi leo.
    Akaja kujitia kimbelembele yule kijana Solaka, nae ndio mambo akayavuruga zaidi.
    Sasa wanatamani atokee Shekh amjibu Shekh Muhammad Bachu, na majibu hayo yaoneshe kumkanyaga na kumgaragiza Shekh Muhammad Bachu, ili wapumuwe kidogo, maana wana yakini kua mashekhe zao kila ajae anadhalilika, sasa wanamihemko ya ajabu kweli.
    Na niwaambie tu wanao jidanganya, Wallaahi Shekh Muhammad Bachu sio kama wanavyo muelezea wasio mpenda, sifa zote mbaya ni kutaka kumuangusha tu kwenye masikio na macho ya watu.
    Ivi munadhani nikweli kua Shekh Muhammad Bachu hana hadhi ya kujibiwa na Shekh Qassim Mafuta kama wanavyo dai majadida?!!!
    Jawabu nikwamba hawana majibu ya kumjibu, ndio ukakuta porojo hili.
    Kama Shekh Qassim ana Elimu nyingiiiiiik, anajua kuliko yeyote, si awape majibu wanafunzi wake ili waje wamnyooshe Shekh Muhammad Bachu, na wamfunge mdomo kuhusu kuwasema kwa kuwakosoa wao masalafy????
    Masalafi saizi kuna baadhi ya mambo wanapo yaongea hawazingatiwi na hao wanafunzi wao wanaosoma kwao, wanawaitikia tu, lkn wanajua khasaa yakwamba hapa Mashekhe zetu mh!
    Shekh Muhammad ukikosolewa kwa haqqi likubali kosa lako, kama ulivyo fanya kwenye barzanji.
    Allaah akubariki.

    • @SaadiAusi
      @SaadiAusi 4 місяці тому +1

      Toa hoja usitukane bila hoja leta elimu

    • @SaadiAusi
      @SaadiAusi 4 місяці тому

      Mjibu Ali akh, M.bachu

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi 4 місяці тому

      Allahumma amiin

    • @mohamedsaid1804
      @mohamedsaid1804 4 місяці тому +1

      Ww mwenyeo mtupu utamjuaje mtu kuwa yuko vizuri

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il 4 місяці тому

      @@OmarAlly-iz8ot sema baadhi ya wanao comment ni majadidah......

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 4 місяці тому +1

    Sheikh muhamad bachu unatumia hekima sana kwenye rad zako wenzako wanatumia maneno kama mwanamke malaya kuonyesha hekima hawana

  • @ujumbeonline9965
    @ujumbeonline9965 4 місяці тому +6

    Mashaaa Allah umesema kweli

  • @YarajanuarioYara
    @YarajanuarioYara 4 місяці тому +1

    Wallahi nakupenda kaallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @husseinazizi1275
    @husseinazizi1275 4 місяці тому +13

    Kwa ukweli Abuu Ruduu anamakosa mengi sana katika Qur an. Tusiwe washabiki wa kipumbavu kipumbavu chukua Elim na Mas hara ya Yenye ufafanuzi juu ya Elim

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa 4 місяці тому

      😂😂😂shida Hawa mahadadiyah maswaafiqah akina Abuu rudud na wafuasi wao niwashabiki Ila huyu Abuu Dada wallah hajui kusoma qur an. Kabisa aa

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 4 місяці тому +2

      Tatizo lenu enyi wanafunzi wa Ustadh Bachu ni kwamba mnatanguliza ushabiki katika Dini badala ya kusikiliza na kufuata haqq.
      Sheikh wenu alikosoa neno sahihi ھذيان na kulirekebisha kwa neno lisilo sahihi ھَذْيَان
      Aliporekebishiwa makosa yake, ilikuwa ni waajib kuchukua na kupokea hiyo haqq kisha akubali makosa yake na amshukuru huyo aliyemsahihishia. Lakini badala akaja na mapya kwamba sio yeye pekee mwenye makosa bali hata Abuu Ruduud anayo makosa😂 bila kufahamu kwamba kosa la Abuu Ruduud ni kosa linaloweza kutokea kwa kila mwanadamu (sabqu lisaan) na HAJAKOSOA NENO LILILO SAHIHI KWA KULIREKEBISHA KWA NENO LISILO SAHIHI

    • @abilahiMajasho
      @abilahiMajasho 4 місяці тому

      Mim namkubali Bachu kwaili aliteleza ila mengi yuko sahihi ila ata nyinyi munaangalia upande wenu tu​@@SugowFarah-up3db

    • @abuuyunusnassor446
      @abuuyunusnassor446 4 місяці тому

      @SugowFarah-up3db ungelisikilza tangu mwanzo wa Mada hii ungejua sababu kwann na yeye aliamua kuonesh makosa yake. Kwa sabab Abuu Ruduud katoa Raddi tatu kwa neno هذَيان mpk hii Leo katoa Raddi nyengine anamkosoa sehemu nyengine katika lugha kwamba hana kazi ya kufanya , kwasababu makosa ya lugha kila mtu anakosea mpka masheikh wa kubwa wanakosea , kwaiyo Sheikh Muhammad ndipo alipoamua kumuonesha kwamba kila mtu anakosea mpka yeye pia mweny diploma ya Lugha

    • @NasriNjoka
      @NasriNjoka 4 місяці тому

      Bachu amechukua makosa ya kipindi Cha nyuma, kwani nukta ya mjadala ni ya miaka iliyopita au hivi karibuni?

  • @BakarAlshiraziy
    @BakarAlshiraziy 4 місяці тому +3

    Al Akhy Bachu Kasu ni kweli makosa yanatokea kwa kila mtu
    Kunasiku hata Sheikh Abul Fadhil Kassim Mafuta alipokuwa ananukuu "Matnu Uthulu Thalatha" na alirududiwa na mrududiji alisema yeye hawezi kumrekebisha baada ya kurejesha audio mara nyingi. kwahiyo la muhimu kujitahidi nikupunguza makosa ya ulimi Baraka llahu fyk

  • @OmarKhatib-kj8jb
    @OmarKhatib-kj8jb 4 місяці тому +2

    Binadamu ameumbwa dhaifu na mwenyekukose,, hakuna binadamu hata mmoja katika dunia yetu asiekosea au ambaye hajawahi kukosea. Kama alikosea mtume s.a.w na Allah akamuelekeza, jee mimi na wewe itakuaje. Tumtake msamaha allah na turudi kwa Allah kwani sote niwakosaji na Allah ndie mkamilifu na mwenye kusameh. ALLAH ATUSAMEH KWA MAKOSA YETU INSHA ALLAH

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 4 місяці тому +1

    Mashaallah allah akuhifadhi

  • @binzubeir
    @binzubeir 4 місяці тому +2

    Hilo neno يهب لمن يشاء hapo panasomwa kwa hukmu ya إدغام ila ukiangalia hapo ndugu kapita kwa idh haar, Allah atuongoze

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 4 місяці тому +3

    Tungekua masufi tungeweka siku ya maulid yako mohamed bachu ❤
    Unatupa rahasana

  • @arafatsaid962
    @arafatsaid962 4 місяці тому +2

    Alhamdulillah kaelewa kama anaelewa..

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 4 місяці тому +4

    Allah akulipe shekh wetu

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر 4 місяці тому +3

    Wallah kwa kupitia radd zako shekh muhammad napata utulivu moyoni

  • @hajikanu
    @hajikanu 4 місяці тому +5

    Allah akuzidishie muhamadi bachu ufahamu na hikma abuuu faudhani wee mmhh

  • @auroxenterprises8003
    @auroxenterprises8003 4 місяці тому +23

    kaaasim kakimbia mbiooo radi skumbili haipo kimnyaaaa hahahaha imebakia unatafuta umaaarufu😅😅😅 majadida sasaivi tunawapa bachuuu tuuuu awanyooosheeeee

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 4 місяці тому +3

      Wanasumbua sana, ila kila ugonjwa una dawa yake watajua hawajui

    • @IssahKanyaro
      @IssahKanyaro 4 місяці тому

      Ivi uyu bacho aramuwez qasem mafut 😅😅😅😅😅

    • @JapharyMawanza-q3q
      @JapharyMawanza-q3q 4 місяці тому

      Kaaasim gani unamkusudia?

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 4 місяці тому +1

      @@JapharyMawanza-q3q kassim oil

    • @Cherehanitanzania
      @Cherehanitanzania 4 місяці тому +2

      @@IssahKanyarokwa elimu yake qasim mafuta nikubwa kwa bachu lakin qasim yupo kama hajui sabab anamakosa mengi na akibainishiwa hataki

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 4 місяці тому +8

    yaani me kinachonishangaza ni kuwa kwanini hawa watu hawampendi Muhammad bachu,siku zote atakapofanya makosa huwa hukubali lakini wao sasa ndio kizaazaa,huwa wanakaa kimya kujifanya kama vile hawajapatana na ubainifu and this happens everytime these guys are corrected......

    • @ALIKHAMIS-pl4yl
      @ALIKHAMIS-pl4yl 4 місяці тому

      Tatizo wanapenda utukufu, sasa ukikubali kosa huyu unakuwa chini ya aliekukosoa na wao hawakotayari kwenye hilo

  • @HamiduAwadhi-lg5kc
    @HamiduAwadhi-lg5kc 4 місяці тому +1

    Shekh wangu allaa akulipe na akuzidishie umli wenye manfaa ilituzidi kunufaika

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 4 місяці тому +1

    Jazakallah akhy! Bila shaka atakua ameshika adabu yake mtoto mdogo😅😅😅
    Na huku kwenye maswala ya ligha ni nje ya mada sheikh wasikupeleke huko huo ni mpango wao wa kututoa kwenye mstari ili tusahau aibu aliyoipata sheikh Kassim Mafuta(Allah amuongoze)😂

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 4 місяці тому +1

    Sheikh majadida wanajipa udhuru wao kwa wao tu

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 4 місяці тому +5

    Dakika ya 26 ya video hii ... 😂 ... Nimependa Ibnush-Shaykh Bachu alivyopita, zaidi ni vile alivyomalizia ... Allah awahifadhi wote wawili (Shk. Abuu Ruduud & Shk. Bachu)

  • @NuryaMusa
    @NuryaMusa 4 місяці тому +1

    NDIYO. Ujue shekh wetu. Muhammad bachu Hawa watu hawana. Adabu. Ety. Dilele na mfuasi wake mwenye. Channel ya salafi. Wsmekuita. Mwijaku. Subhanah llah

  • @kitosio
    @kitosio 4 місяці тому

    Assalamu Alaykum.
    Waislamu acheni kushughulikia mizozo waislamu wanauwawa Palestine bila makosa. Waombewe dua ALLAH awanusuru. Hali sio shwari.

  • @Cherehanitanzania
    @Cherehanitanzania 4 місяці тому

    Jeshi moja Tu Muhammad nassor bachu Allah amuhifadhi na ampe umri mrefu wenye kher wanapambana na mtu mmoja 😂 majadida😮mh

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 4 місяці тому +6

    Hekma kubwa Muhammad

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 4 місяці тому +4

    Mashallah

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 4 місяці тому

    nakupenda sheikh kwa ajili ya Allah

  • @Zigzag-o6k
    @Zigzag-o6k 4 місяці тому +13

    Abu rudud ana diklofena na sio diploma😢

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 місяці тому +2

    Majadiida wanataman UFE İli wapate KUPUMUA
    maana cıo kwa aElimu hii kwako
    kila wakijitahid wapii
    Alla SW akujalie shekh wetu ibn Bachu

  • @ibrahimjumaa538
    @ibrahimjumaa538 4 місяці тому +6

    Oshaneni tuu😂!!
    Lakini Natamani hii mikosoano ya Lugha ifike tamati.

  • @Abuuhuisma
    @Abuuhuisma 4 місяці тому +1

    Bismillah kumbe nimegundua kitu kuhusu makosa wanayo msemea Mohamed bachu kumbe kosa lake yale aliyo yasoma anayatoa kwa watu ila yalivyo kaa kwenye vitabu hakua na makosa ila alivyo yatoa ndo anaonekana anamakosa sasa Mohamed bachu hana makosa wanayo msemea na wakitaka kukosoa basi wakosoe vitabu bachu yeye anayasoma tu na kweli yapo waache kumzuria mengine ishaallah

  • @AbubakarKhamis-do7xw
    @AbubakarKhamis-do7xw 4 місяці тому +9

    محمد بن ناصر بن باجو حفظه الله تعالی

    • @sudially1665
      @sudially1665 4 місяці тому

      Ni ابن باشو sio ابن باجو

    • @AbubakarKhamis-do7xw
      @AbubakarKhamis-do7xw 4 місяці тому

      @@sudially1665 hee باشو hapo si sahihi kaka, ni باجو ndio sahihi

    • @AbubakarKhamis-do7xw
      @AbubakarKhamis-do7xw 4 місяці тому

      @@sudially1665 kwann iwe باشو

    • @sudially1665
      @sudially1665 4 місяці тому

      ​@@AbubakarKhamis-do7xwangalia ilivyoandikwa mwanzo wa video juu ya maneno muhammad bachu TV ameandika باش kaka sio باجو 😂

    • @AbubakarKhamis-do7xw
      @AbubakarKhamis-do7xw 4 місяці тому

      sawa
      بارك الله فيك

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 4 місяці тому +7

    Umefanya lamana sana Allah akulipe

    • @KhalidAbdalla-lb4ph
      @KhalidAbdalla-lb4ph 4 місяці тому

      La maana lipi kila ucku ukicha huyu Muhammada Bachu anazidi kubainika ujinga wake

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq 4 місяці тому

    Allwah amuongezee IQ kubwa sheikh wetu ili tuendelee kujifunza.

  • @shariffali4786
    @shariffali4786 4 місяці тому +8

    Allah akuifadhi sheikh wangu

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 4 місяці тому

    ALLAH AKUHIFADHI BACHU

  • @HamadMwalimu
    @HamadMwalimu 4 місяці тому +4

    Sheikh mfunze adabu uyo

  • @AbdallahHaruna-p4n
    @AbdallahHaruna-p4n 4 місяці тому +5

    ALLAH AWAJALIE YALIYO MEMA...ILA MASHEKHE KAULI KUFIKISHA UJUMBE ZIWE NZURI

  • @IssabakarBakar
    @IssabakarBakar 4 місяці тому +1

    Mashaallah . Daawah ni mxuri sn

  • @AbuuKiweru
    @AbuuKiweru 4 місяці тому +4

    Mashallah darasa ianze

  • @AbubakarNassor-i1u
    @AbubakarNassor-i1u 4 місяці тому

    Allah akuongoze ewe muhammad bachu na wanaokuunga mkono na kukusapoti,Allah akuongoze katika haqqi ewe kijana.

  • @musabahaliou-lo9xe
    @musabahaliou-lo9xe 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @SalimAli-lj5sr
    @SalimAli-lj5sr 4 місяці тому +6

    Sheikh Muhammad. Tafadhali Somesha waislamu wanaotaka kusoma haya mas-ala yaweke mbali kufundishwa Dini yauislam

    • @hasnakid
      @hasnakid 4 місяці тому

      Kweli kabisa
      Watuelimishe kwenye vit vya muhim zaid na so kutona makosa kama hiv, kwan hakuna mwanaadam aliyekamilika.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 4 місяці тому

      Unaonaje hawajamaa wakifanikiwa kupandikiza uongo kwa watu wa kawaida kuwa Muhammed bachu ni hizb asisikizwe au dr islamu asisikizwe ,uoni kwamba kundi kubwa litakosa faida kusoma kwa hawa jamaa na wasipojitetea itaonekana ni kweli kama walivyofaulu kwa Nurdin Kishki ila kwa abu mu'awiya kwa kuwa alijitetea hawakumuweza

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 4 місяці тому +2

    Wallah, katika makosa ambayo watu sipendi wakosoane ni masuala ya lugha, ila kwa vile kayataka mpatie tuu. Hata mm nilikerana na watu kwa makosa ya kijinga kama hayo. Allah atuongoze. Ameen

  • @KuuzaSaid
    @KuuzaSaid 4 місяці тому +4

    Allah akuhifadhi hata kama hawa kupendi

  • @IssaBungare
    @IssaBungare 4 місяці тому +2

    Twanbuanba Allah atuhefadhi abuu rududi alitaka kukufundisha kua wakosoa ukweli na kutanganya watu abou ruudud mtt wa bachu amekubali kua amekosea

    • @ALIKHAMIS-pl4yl
      @ALIKHAMIS-pl4yl 4 місяці тому

      Wee hujielewi
      Kama Abuu madudu anajuwa lugha angalifanya utumbo huo ??
      La ajabu zaidi anaibafilisha quran.
      Allah amsamehe.
      Ila mwambie huyo Abuu madudu arudi kwa shekh Mohammed Bachu kastafiidi.
      Hakuna aibu kwenye kujifunza akijifunza leo itamsaidia kesho.

  • @AbuuRuqaiyyah
    @AbuuRuqaiyyah 4 місяці тому +2

    Kusema sijui pia ni elmu.muhammad bachu Acha na hii midahalo

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 4 місяці тому

      Hajui nani sasa?

    • @AbuuRuqaiyyah
      @AbuuRuqaiyyah 4 місяці тому

      @@kasimubangu1875 bachu.kakosoa bango la sheikh jamada yeye kwa uchache wa elmu kadai kakosea wakati kakosea yeye bachu

    • @saidali9255
      @saidali9255 4 місяці тому

      Hajui Nini?..

    • @AbuuRuqaiyyah
      @AbuuRuqaiyyah 4 місяці тому +1

      @@saidali9255 Hajui lugha.kashindwa kujua masdar inatumika kama failu

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 4 місяці тому +3

    Huyu jamaa anajua ALLAH amuhifadhi

  • @husseinazizi1275
    @husseinazizi1275 4 місяці тому +1

    قال سهل بن عبد الله رحمه الله.
    إن الله خلق الدنيا وجعل فيها جهالا ،وافضل العلم ماعمل به ، والعلم كله إلا ماعمل به ، والعمل به هباء إلا ماصح

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 4 місяці тому +1

    Watoto wetu wametukuta ndani wamesimama kwenye haki leo wote wanatuona hatufai pamoja na kujitahidi kuwalea kisunna wallahi

  • @ibrahim_427
    @ibrahim_427 4 місяці тому

    Nadhani Makabila kuyataja sio sahihi usahihi ni Kumlekebisha Muhusika ila tusiingize Ukabila Inshallah

  • @fataw-sheikh-saleh-fawzan.
    @fataw-sheikh-saleh-fawzan. 4 місяці тому

    Muhammad bacho wewe ni mjanja sana

  • @IssaNankalaga
    @IssaNankalaga 4 місяці тому +4

    Mimi ckuwa nashaka kuwa njia anayopita ataachwa kukoselewa mfano wa makosa aliyokuwa anasema kwabacho

  • @NassorHassan-no1cr
    @NassorHassan-no1cr 4 місяці тому +5

    Kagaragazwaaaaa

    • @sakinasakku8340
      @sakinasakku8340 4 місяці тому

      Sanaaa hahaaaahahaaaaaaaaaa mbavuzangu hahahaaahahaaa

  • @FAKIKOMBO-n6w
    @FAKIKOMBO-n6w 4 місяці тому

    Ww hem usijizungushe na kutuletea audio za Zaman sana sem 2 Allah kakuzalilisha kwenye neno hazayan mambo yaishe

    • @binfarhan879
      @binfarhan879 4 місяці тому +1

      Shekhe Muhammad hajasema kua izo anazoleta ni audios za Leo au Jana analolionesha ni makosa ya Abuu Ruduud hata kama audios ni za karne 200 iliopita ila je sio makosa?
      Acha chuki na husda kwa Shekhe Muhammed Bachu?

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 місяці тому +4

    Simba wa makhurafi na majadida wape vitu hawo wamepinda katika man haji arafu wao ndo wanapakazia watu wamepinda.

  • @HassanMohammed-x4s
    @HassanMohammed-x4s 4 місяці тому +2

    Asalaam alykum sheikh bachu nakusih neno sio kimakonde usirudie maana utahamisha mada kuingia kwenye ubaguzi wa ubara na uzanzibar,nakusih ndugu yngu

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 4 місяці тому +1

      Kwani kimakonde sio lugh ,usfike huko ,Kwa iyo kusema kiarabu sio kimakonde ,kaashiria ubaguzi ?
      Usimkaribishe Shetani kake

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 4 місяці тому

      Bora asilirudie kwl.

    • @IbrahimuYahya
      @IbrahimuYahya 4 місяці тому

      Kutaja umakonde kweli kateleza nimefurahi ulivyomkumbusha بارك الله فيك

  • @AbuFawzaanAlly
    @AbuFawzaanAlly 4 місяці тому +1

    AlhamdulILLAAH... Hatimae Muhammad Bachu umekiri kuwa ulikosea baada ya kutajiwa vitabu lakini hapo kwa tabu mno!
    Usitutoe kwenye Mada
    Raddi hizi ni kwasababu Ulikuwa unakataa hujakosea kuhusu هذيان Bango la Raddi la Sheikh Hassan Jamada

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 4 місяці тому

      ACHENI UJINGA

    • @AbuFawzaanAlly
      @AbuFawzaanAlly 4 місяці тому

      ​@@maalimhamad1297TAJA HUO UJINGA

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 4 місяці тому

      ​@@maalimhamad1297walikosea kwenye neno hadha yaan...na hili litabainishwa kwenye darsa inayofuata

  • @SalumKeya
    @SalumKeya 4 місяці тому +1

    Kushughulika na aibu za watu haya ndio matokeo yake Allah atuongoze kuifata HAQQ

  • @YarmanAljahhdiry
    @YarmanAljahhdiry 4 місяці тому +1

    Yarabi yani apa mnakubali kuwa mwanadamu anayo mapungufu asa nyinyi kumbe mnayakini kuwa makosa yapo katika ulimi na uwandishi na lugha kuweni na insafu suyuti je mmefunga na nini

  • @sadiki6576
    @sadiki6576 4 місяці тому +1

    Kuna tofauti kubwa kati ya kukosea na kufundisha uwongo , Alhamdulilllah umekubali kosa lako Sheikh Muhammad , sasa nani kadhalilishwa na Allah katika neno Hadhayan hapo ukweli unajulikana tayari , Shukrani.

    • @mkude
      @mkude 4 місяці тому

      Na shekh wako kakosolea kwenye quraan,ambayo ndo muhimu sanaaa kuliko hata Hilo neno

    • @sadiki6576
      @sadiki6576 4 місяці тому

      @@mkude hata yeye sheikh Muhammad amekosea sana kwenye Quran kwenye video zake , hakuna mwenye kinga hapo katika kukosea hilo , lakini tatizo ni hii kauli yake " naingia kwenye hili jambo tuone nani Allah atamdhalilisha kwenye hili neno hadhiyan " mwisho wa siku kakubali kukosea Alhamdulilllah , kwahiyo aliyedhalilika ww binafsi utakua umemjua

    • @mkude
      @mkude 4 місяці тому

      @@sadiki6576 ama kweli nyinyi ni wagonjwa mnamatatizo makubwa sanaaa ila aibu mtaipata na mnaendelea kuipata,sasa wewe kukosea Kwa Hilo neno umeona sio sawa ila mtu kakosea kwenye Neno la quraan ni sawa,kazi kweli kweli nyinyi watu.

    • @haji9754
      @haji9754 4 місяці тому

      @@sadiki6576tumia akili kaka.. alienza huu mgogoro ni huyo anae kosowa watu mambo ya kilugha ambayo hayana maana..usiwe shabiki huu si mchezo wa kandanda…mashekhe wasimame kutoa mawaidha ya kusaidia umma si mawaidha ya kukaa tu na kukosoa watu sijui huyu kakosea neno hili huyu kakosea neno lile..mambo hayo hayatusaidii na lolote ila ni ushamba tu.

    • @Sidrasidra636
      @Sidrasidra636 4 місяці тому

      ​@sadiki6576 afadhali yy anakubali kosa ila nyinyi mna endelea kukinga vifua eti Mohammed ndo ame fhalilika😢

  • @yussuflali6110
    @yussuflali6110 4 місяці тому +2

    Bacho humuwezi Abu Fauzani utaibika Sana

    • @JumaAbeid-y5p
      @JumaAbeid-y5p 4 місяці тому

      Tunatambua Hilo ndio maana tunaomba ajibu kuhusu imam suyyutwi

  • @أمشرحبيل
    @أمشرحبيل 4 місяці тому +1

    shekh muhammad mm naona Allah katak kutuonesha kitu mana hawa walisema hawakujibu kisa huna elimu lkn ktk hili naona muhammad yule yule asoelim wanammjibu .tunaona wazi yakuwa kuhusu suyuti sokam wamekaa kimnya tu.kumbe hawajuw mbon kwenye lugha wanajibu

  • @KambiRamadhan-pm1sy
    @KambiRamadhan-pm1sy 4 місяці тому

    Umefanya kazi kubwa sheikh makosa ya wazi kabisa ila sikui imesikiliza audio zake ngapi mpaka ukapa yote hayo

  • @SugowFarah-up3db
    @SugowFarah-up3db 4 місяці тому +1

    Sijaona kosa lolote hapo kwa Abuu Ruduud. Wenye masikio tumesikia akitamka fat-ha ُيَھَب na hata kama angekosea kwa kuweka sakna basi bado sheikh Ruduud hangefikia kosa kama lako kwasababu angeingia kwenye mlango wa ijtihaad na sabqu lisaan ila wewe kosa lako kubwa ni kule kukosoa neno sahihi ھذيان kwa kulirekebisha kwa neno lisilo sahihi
    Na hapo kwa kuelezea kuhusu watoto hajatamka neno "Allaah Amesema " bali ametamka maneno haya "Na Allaah anampa لمن يشاء kumaanisha hayo ni maelezo ya sheikh Ruduud wala sio aya ya Qur'aan.

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 4 місяці тому +1

    💯

  • @SleyumAbdallah
    @SleyumAbdallah 4 місяці тому

    Shk mhmd naomba kukuuliza umesomea wapi na wapi ili tufaidike na make zako

  • @abdalunhassan6762
    @abdalunhassan6762 4 місяці тому +2

    "hiki ni kiarabu sio kimakonde" 😆

  • @KhamisHamad-b7s
    @KhamisHamad-b7s 4 місяці тому +1

    Assalaam Alaikum
    Kwanza nawambia waskilizaji na twalibu l ilmi
    Wacheni taassubi kwa mashekhe zenu
    Na chamsingi ni kutafuta elimu
    Na hawa mashekhe
    Nawausia kwa ajili ya allah
    Juu suala la kumcha Allah
    Ebu kuweni na inswafu katika kufahamishana mambo
    Juweni mtaulizwa juu ya hicho mnachokifanya
    Hata ujione umesoma vipi basi elimu yako ni chaache.