Uwepo wa Allah hauhitajii sehemu Mawahabi acheni itiqadi potofu || Ustadh Bakar Abeid حفظه الله

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 84

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 9 днів тому

    mashaaAllah

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 9 днів тому

      Sisi twawa simamishia hujja.kwa kuuliza ainallah????

  • @abdulmaliktalib1944
    @abdulmaliktalib1944 10 днів тому +1

    Hebu tuandalie darsa kuhsu aya hizi..
    الرَّحْمَنُ عَلَى العَرْشِ اسْتَوَى ...
    بَل رَّفَعَهُ اللَّهُ إِلَيْهِ ۚ....
    وأنزلنا من السماء ماء...
    TUFAFANULIE KWA UFAHAMU WA MASWAHABA SIO UFAHAMU WA MAWAHABI WALA MASUFI.

  • @JinxBoy-vx9mu
    @JinxBoy-vx9mu 9 днів тому

    طيب حياك الله

  • @mohamedsadik3469
    @mohamedsadik3469 9 днів тому

    Mashallah

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 10 днів тому

    Hii ndio itikadi yetu wais-laama❤
    Alhamdulillahi

  • @darajanida
    @darajanida 10 днів тому

    masha allah

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 10 днів тому

    جزاك الله خيرا

  • @GhalibLindi
    @GhalibLindi 9 днів тому

    Kafiri, angemjua mungu angemuabudu,. Tusijilinganishe na makafir ktk kumjua mungu

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 8 днів тому

      @@GhalibLindi ati kafiri angemjua mola ange mwabudu..wacha ujinga mbona makhurafi wana mjua mola kakini bado ha mwachi kuabudu makaburi na wafu????

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 8 днів тому

      Hamnanga hoja ni kuparamia tu..

  • @HemedAbdullaSuleiman
    @HemedAbdullaSuleiman 9 днів тому

    Allah alikuwepo kabla hajaumba sehemu (Arshi) Na uwepo wa Allah hautegemei sehem...Allah hakubadilika baada ya kuumba sehemu... Allah sio kiumbe

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 8 днів тому

      @@HemedAbdullaSuleiman ufahamu kweli ni rizki bro allah yuko sehemu pasina kuitajia sehemu bali sehemu inamwitajia yeye hivi mtawaelewa lini hizi aqwal za ahlu sunnati wal jamaa vipi mbona twari na zefe mwaziskia zikipigua walakin hizi hoja hamzipati???

    • @HemedAbdullaSuleiman
      @HemedAbdullaSuleiman 8 днів тому

      @IsmailGavara-r5s Sijakifahamu unatetea nini?

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 8 днів тому

      @HemedAbdullaSuleiman huwezi faham labda mwenye D2

  • @MuhammedFoum
    @MuhammedFoum 10 днів тому

    Mashallah ❤❤❤❤

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 6 днів тому

    وقال الدكتور محمد خليل هراس رحمه الله: " هذا الحديث يتألق نصاعة ووضوحاً، وهو صاعقة على رؤوس أهل التعطيل، فهذا رجل أخطأ في حق جاريته بضربها، فأراد أن يكفّر عن خطيئته بعتقها، فاستمهله الرسول صلى الله عليه وسلم حتى يمتحن إيمانها، فكان السؤال الذي اختاره لهذا الامتحان هو: أين الله؟ ولما أجابت بأنه في السماء رضي جوابها ، وشهد لها بالإيمان، ولو أنك قلت لمعطل: أين الله؟ لحكم عليك بالكفران " انتهى من "هامش كتاب التوحيد" لابن خزيمة، ص121.

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 8 днів тому

    Huna adabu kijana!
    kama alivyokuwa hana adabu Haji upepo.

    • @darajanida
      @darajanida 7 днів тому

      towa hoja wacha matusi au matusi kwenu mawahab ni suna

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 9 днів тому

    Shekh haji huyo ni ndugu yako?. Maana mna fanana

  • @abuukhairat7738
    @abuukhairat7738 9 днів тому

    Tujibuni nyie ambao ni wanazuonii

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 6 днів тому

    قال الإمام عبد الغني المقدسي رحمه الله: " ومَن أجهلُ جهلاً، وأسخف عقلاً، وأضل سبيلاً ممن يقول إنه لا يجوز أن يقال: أين الله، بعد تصريح صاحب الشريعة بقوله [أين الله]" انتهى من "الاقتصاد في الاعتقاد"، ص89
    وقال الذهبي رحمه الله في "العلو" ص28: " وهكذا رأينا كل من يُسأل: أين الله ؟ يبادر بفطرته ويقول: في السماء. ففي الخبر مسألتان:
    إحداهما: شرعية قول المسلم أين الله؟
    وثانيهما: قول المسؤول: في السماء، فمن أنكر هاتين المسألتين فإنما ينكر على المصطفى صلى الله عليه وسلم" انتهى.
    والله أعلم

  • @AbdullahJeshi
    @AbdullahJeshi 9 днів тому

    Linganiyen watu acheni chuki

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 6 днів тому

    وقال الإمام محمد بن أحمد السرخسي الحنفي المتوفى سنة 483 هـ في كتابه المبسوط، [المجلد الرابع (الجزء 7) تابع كتاب الطلاق] باب العتق في الظهار : " فأما الحديث فقد ذكر في بعض الروايات: أن الرجل قال عليّ عتق رقبة مؤمنة، أو عرف رسول الله صلى الله عليه وسلم بطريق الوحي أن عليه رقبة مؤمنة، فلهذا امتحنها بالإيمان، مع أن في صحة ذلك الحديث كلامًا فقد روي أن النبي صلى الله عليه وسلم قال (أين الله فأشارت إلى السماء) ولا نظن برسول الله صلى الله عليه وسلم أنه يطلب من أحد أن يثبت لله تعالى جهة ولا مكانًا، ولا حجة لهم في الآية، لأن الكفر خبث من حيث الاعتقاد، والمصروف إلى الكفارة ليس هو الاعتقاد إنما المصروف إلى الكفارة المالية، ومن حيث المالية هو عيب يسير على شرف الزوال ". اهـ

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 6 днів тому

    قال شيخ الإسلام أبو عثمان الصابوني رحمه الله: "وإمامنا أبو عبد الله محمد بن إدريس الشافعي رحمه الله احتج في كتابه المبسوط في مسألة إعتاق الرقبة المؤمنة في الكفارة، وأن غير المؤمنة لا يصح التكفير بها، بخبر معاوية بن الحكم، وأنه أراد أن يُعتق الجارية السوداء لكفارة، وسأل رسول الله صلى الله عليه وسلم عن إعتاقه إياها ، فامتحنها رسول الله صلى الله عليه وسلم، فقال لها: من أنا؟ فأشارت إليه وإلى السماء، يعني أنك رسول الله الذي في السماء، فقال صلى الله عليه وسلم: أعتقها فإنها مؤمنة، فحكم رسول الله صلى الله عليه وسلم بإسلامها وإيمانها ، لما أقرت بأن ربها في السماء، وعرفت ربها بصفة العلو والفوقية

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 6 днів тому

    وإنما احتج الشافعي رحمة الله عليه على المخالفين في قولهم بجواز إعتاق الرقبة الكافرة في الكفارة بهذا الخبر؛ لاعتقاده أن الله سبحانه فوق خلقه، وفوق سبع سماواته على عرشه، كما هو معتقد المسلمين من أهل السنة والجماعة، سلفهم وخلفهم؛ إذ كان رحمه الله لا يروي خبراً صحيحاً ثم لا يقول به" انتهى من "عقيدة السلف وأصحاب الحديث"، ص 188.

  • @SuolFat
    @SuolFat 10 днів тому +1

    Mawahabi ni watu wa bidaa

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 9 днів тому

      Bora makhurafi mbadilishane majina.kafiri aitwe khurafi na khurafi aitwe kafiri sababu khurafi hamjui mola wake but kafiri yuajua mola kule yuko.

    • @darajanida
      @darajanida 7 днів тому

      ​@@IsmailGavara-r5smaneno ya kilevi kabisa unaongea

  • @saidmduchu8100
    @saidmduchu8100 9 днів тому

    hizo sifa ulozigawa katika sehem 3 ndio izo sifa anazo kuelimisheni bachu kuwa zimegawika sehem 3 halafu mnambishia.....halafu kuhusu sehem kwamba m.mungu yuko wapi sote tunaamini kuwa m.mungu yupo juu na ndio maana anapo agiza malaika huwa anasema wanatoka juu kuja chini na mtume wetu muhammad alipokea swala kutoka juu akaja nazo chini

  • @ameirfaki9277
    @ameirfaki9277 10 днів тому

    Tukizingatia safari ya miiraji....tutapata mazingatio makubwa san

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 10 днів тому

      Wallah

    • @hajiupepo3146
      @hajiupepo3146  10 днів тому +1

      Hakuna mahali pamefundishwa kuwa Mtume alienda Israa kumuona au kukutana na Mungu (Allah). Lengo la safari ya Israa ni kuonyeshwa alama za ukubwa wa Allah kama Allah alivyoeleza katika Quran. Kisha Allah amechagua kumpa swala tano Mtume wetu Muhammad na kuzungumza nae mbinguni kama alivyochagua kumpa tawrat na kuzungumza nae Mussa kwenye Mlima Sinai. Au mnataka kutuambia kwenye Turi Sainaa ndipo alipo Allah kwa kuwa Mussa alikuwa akienda kuzungumza na Allah? Kuna ulimwengu wa juu (mbinguni) wenye Malaika na viumbe vyengine kama vile arshi na kuna Ulimwengu wa chini tuliopo sisi, kwa vile Mtume Muhammad ni mbora wa viumbe wote na ni mbora kwa viumbe wote walioko Ulimwengu wa juu na wa chini basi Allah akampanidisha juu Mtume wetu kwenda kumkabidhi Swala ambayo Ndio nguzo ya Uisalam na kumuonyesha mambo mbali mbali katika njia ya kuonyesha utukufu na ubora wa Mtume Muhammad na si kwenda muona Allah. Jambo la pili sifa za Allah sio maqhluuk (kiumbe) na hazijazuka lakini arshi na mbingu ni viumbe, kwa hiyo Allah yupo vile alivyokuwa kabla ya kuumba hivyo viumbe mbingu na Arshi na hahitajii Allah kiumbe chochote katika uwepo wake.

    • @isihakamgeta5433
      @isihakamgeta5433 10 днів тому

      Wakati wa sijda ukisujudu wasema nini mwenzetu 😅​@@hajiupepo3146

    • @khatibshaame1737
      @khatibshaame1737 9 днів тому

      Ss shekh huko miiraj aliend kufnya nini kwanini aende mbinguni?​@@hajiupepo3146

    • @khatibshaame1737
      @khatibshaame1737 9 днів тому

      ​@@hajiupepo31465 n vp kuhusu aya zinazoeleza Allah yupo juu au ni aya za mawahabi pia c za maneno ya Allah?

  • @ediamir-m8l
    @ediamir-m8l 10 днів тому

    huyu nae itakuwa ni ibn upepo, kofia kama pishi ya mti

    • @darajanida
      @darajanida 9 днів тому

      jibu hoja kama unaweza

    • @ediamir-m8l
      @ediamir-m8l 9 днів тому

      ​@@darajanidahoja gani nyie masufi

    • @darajanida
      @darajanida 9 днів тому

      ​@@ediamir-m8lsisindio ni masufi wewe huujuwi usufi achananao jibu hoja je allah yupo juu ya mbingu kama mnavodai maehabi

  • @IsmailGavara-r5s
    @IsmailGavara-r5s 9 днів тому

    Hawa hawana mola wala hawajui mola wao yuko wapi😂😂kafiri yuamjua mola kule aliko walakin makhurafi hawajui.hivi kati ya khurafi na kafiri nani bora???al jawab ni kafiri😂😂

    • @HemedAbdullaSuleiman
      @HemedAbdullaSuleiman 9 днів тому

      Sasa si bora cc hatumjui alipo km ww Mola wako ana Matako, ana mikono, ana miguu na hua anatumia dhamiri ya Kiume bila shaka atakua ana nn😂😂😂
      Yan mnakufuru nyie... Yan mnafanya Allah km ni kiumbe

    • @darajanida
      @darajanida 8 днів тому

      akhii yani makafir wskamjue mungu.kuliko masufi ahlisunah ambao mdai no mskhuraf dah kama huna chakusema bora unyamaze

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 8 днів тому

      ​@@darajanidaKAKA
      Sio kwamba hatujui Allah yuko wapi, tunajua YUPO NA HATEGEMEI SEHEMU
      ALLAH NDIYE ALIYE UMBA SEHEMU
      NA KABLA HAJAUMBA SEHEMU YEYE TAYARI ALIKUWEPO.
      Sio kwamba hatujui yuko wapi bali TUNAJUA YUPO BILA KUTEGEMEA SEHEMU

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 8 днів тому

      @darajanida bro qurani imebainisha mola yuko juu.khura apinga kafiri yua kubali ushaidi wa qurani hivi kati ya kafiri na khurafi kwa hili..nani bora???hilo la kwanza la pili alie kuhadaa makhurafi ni ahlu sunna ni nani mtu hajui mola wake muabudu makaburi hivi ndio ahlu sunna???bro kasome utambue sunni ni nani wacha kufata shee lako pale msikitini

    • @darajanida
      @darajanida 7 днів тому

      ​@@IsmailGavara-r5ssawa allah upo juu kicheo au kisehemu m

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 6 днів тому

    وإنما احتج الشافعي رحمة الله عليه على المخالفين في قولهم بجواز إعتاق الرقبة الكافرة في الكفارة بهذا الخبر؛ لاعتقاده أن الله سبحانه فوق خلقه، وفوق سبع سماواته على عرشه، كما هو معتقد المسلمين من أهل السنة والجماعة، سلفهم وخلفهم؛ إذ كان رحمه الله لا يروي خبراً صحيحاً ثم لا يقول به" انتهى من "عقيدة السلف وأصحاب الحديث"، ص 188.