Hongera Timbulo, mimi mpaka machozi yamenitoka kwa ulivo nitia imani Na furaha kwa Vedio hii, maana umefanya jambo kubwa sana Na kitu cha maana kuwa incourage watu kutoa hata kidogo kusaidia alio chini yake! Na kweli, wengine watapata moyo na kuku unga mkono kwa kitendo chako. Kutoa sio lazima uwe una Mali, kutoa ni imani ya Mtu! Hata kidogo kumsaidia Asio na kitu!
But the Bible says" Let what's on your right hand not be known by your left hand" so why umsaidie mtu afu ujigambe baadae....???? even when Jesus was healing sick people" He could tell those healed people to never mention that miracle to other people so I find this UNPLEASANT...!!!!!
safi sana Timbulo hakika wewe ni MTU wa kuigwa sana wengine wanapofanikiwa husahau kwao
Waah! Umetenda mema umeshinda wale wasanii wa kujipa sifa bana Mola akuzidishie maisha na nguvu ya kutafuta hela ♥️♥️🇰🇪
Nice one bro good blessd
Uko njema brother
Mungu akupe mara dufu timbulo.nazidi kuwa na moyo uwo uyo na utabarikiwa
ALLAH AKUWEKE NA AKUZIDISHIE
Hongera Timbulo, mimi mpaka machozi yamenitoka kwa ulivo nitia imani Na furaha kwa Vedio hii, maana umefanya jambo kubwa sana Na kitu cha maana kuwa incourage watu kutoa hata kidogo kusaidia alio chini yake!
Na kweli, wengine watapata moyo na kuku unga mkono kwa kitendo chako. Kutoa sio lazima uwe una Mali, kutoa ni imani ya Mtu!
Hata kidogo kumsaidia Asio na kitu!
hongera mtu kwao
mashaallah toka pande za oman nimeipenda sana
mungu akubariki timburo
mashaallah alla akuongoze katika kz zako
Nice brother
timbulo sichoki kutizama maongezi yako uko pw nimekupenda bure yn
timburo 👏👏👏
nice one bro
nice job i lyk the way unavojituma God bless ur baraka mingi kama mvua zikunyeshe in the name of luv
NC brother
Goodjob
Nataman namimi ijeitokee kwangu mbaba
nimependa sana
safi sana Ubarikiwe sana
God bless u and protect you in you life and to give you more wisdom.
Mashaallah Mola akuzidishie pale ulipopunguza. Na akupe moyo huo huo wa imani.
mashaa Allah timbulo mungu akutangulie
kuongea kingereza nako niutumwa daa umenichekesha sana😃😃😃😃😃😃
Timbulo big up
wasanii wengi wana linga wakiwa mjin penda sana ww
Saaafi Saana!!
iko poa
nakuombea kwa maulana
nice
Saooda Shineni nimee penda kwel brother kaz hiyo
ume komaa
Ufanye uje na CHITA tunakukumbuka sana tulikuwa tunakuja kula ubuyu kwa hassani
Usije badilika zidisha kufanya hivo mungu anasema ukitoa 1 anakuongezea mara 10 na hiyo ni bank yako ya kesho utaikuta
ongera kwamchang wako
Rashid Ally nice
cool bro
👏👏👏👏👏
Betty Kanana mashaaa allaah
But the Bible says" Let what's on your right hand not be known by your left hand" so why umsaidie mtu afu ujigambe baadae....???? even when Jesus was healing sick people" He could tell those healed people to never mention that miracle to other people so I find this UNPLEASANT...!!!!!
kuongea kingereza nako niutumwa daa umenichekesha sana😃😃😃😃😃😃
kuongea kingereza nako niutumwa daa umenichekesha sana😃😃😃😃😃😃