Hongera sana bro ,umefanya kitu kikubwa sana ,God bless you on everything your doing . hivi hizi roho zinazo dislike vitu vya kufundisha kama hivi zimejawa na kutu ....TIMBULO IS AMONG OF MY FAVORITE ARTIST IN TANZANIA/AFRICA/WORDWIDE
binafsi nimefurahi sana wew kama kioo cha jamii kufanya kitu cha furaha na cha baraka big up bro endelea kuwa na moyo huo huo na mungu atakizidishia pale ulipotoa kwaajili ya wengine
Nothing but Perfect job @Timbulo Mungu Akupee nguvu sana Kwa Kazi Yako Bro
ongela saana brother timbulo bt nyumbani ninyumbani jamn mungu akupe maisha maleefu saana ruiwa iyooooo imoooooo
umeanyesha moyo wa kujali na kuwakumbuka jamii iliyokulea mpaka ukawa timbulo bila wao usingefika hapo big up sana jah bless u for all things
hongera sana kwakukumbuka nyumbani na pia hongera kwakazi zako sijawahi kuchukia nyimboyako hata moja yani uko good sana #timbulo
hongera timbulo mungu akutie nguvu kila ulifanyalo inshaallah.
mungu akuongoze na akulinde akuzidishie palipotoka hicho kirudi mara mbili
big Up Baba umetisha sanaaa
Mungu akulinde bro
hongera Timbulo kwa kukumbuka nyumba
grt we olweiz told to rememba were we com from........gud sana kaka
timbulo hongera sana kaka uendelee na moyo huo huo dah upendo safi
My favorite artist come back dogo
Hongera sana bro ,umefanya kitu kikubwa sana ,God bless you on everything your doing . hivi hizi roho zinazo dislike vitu vya kufundisha kama hivi zimejawa na kutu ....TIMBULO IS AMONG OF MY FAVORITE ARTIST IN TANZANIA/AFRICA/WORDWIDE
mungu akuzidishie moyo huo huo
hongera kukumbuka ulikotoka
Nakukubali, big up!!
Timbulo nakuelewa sana
We ni generous bhna big up
Mungu aendelee kuwa nawe ktk shughuli zako Timbulo uendelee na moyo huo huo ww kweli ni kioo cha jamii big up my brother
safi sanaa bro
hongera Sana mdogo Wangu mungu akubarik
Kazi nzuli timbulo
nice job bro
binafsi nimefurahi sana wew kama kioo cha jamii kufanya kitu cha furaha na cha baraka big up bro endelea kuwa na moyo huo huo na mungu atakizidishia pale ulipotoa kwaajili ya wengine
GD sana timbuloo
Umefanya kitu kuzuri sn bloo mungu akutanguriye kwakila jambo ln shallah
Roho yako si nzuri ht kidogo mtoaji hawezi kwenda na camera
Mungu hakubari kabisa anywhere kwa Jambo hulilo Fanya
Good good good Timbulo
Umefanya kitu chamana sana
Haaaaaa Jamn Kumbe naww wambea kyara akutule
hongera timbulo mungu akulinde
Safi
timzzzz
UNIKUMBUSHE ...KEEP IT UP
Hongera kk kitu kizur xana
Kip it up
honger cn timbul
hongela
nakuombea kwa mungu akujarie upate mafanikio nauendelee kuwa nahuo moyo usibadilike nakupenda sana 0693040003 0683874350 penda wewe ushi kiistar
hongera timbulo mungu akutie nguvu kila ulifanyalo inshaallah.
Hongera sana,wachache wanakumbuka fadhira kwa wazee