CHAMA MKATABA UMEISHA/SEMAJI AHMED ALLY AZUNGUMZA KILA KITU/"MAAMUZI YATAFANYIKA HIVI KARIBUNI"
Вставка
- Опубліковано 22 чер 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
Asante semaji letu la dunia tunaomba maboresho mazur
Hongera sana semaji letu kwa ufafanuzi kuhusu chama kwa sisi tuliyosoma Quba tumeshaelewa
Nikweli wewe ni perfect sana kwenye sectors ya usemaji.... Nikupongeze kwa hilo. Je kama msemaji wa timu unaahid nini uma wa wanasimba walioko ndani na nje ya nchi!? Je ufalme wa simba utarejea msimu ujao.!??
13:26 🎉
We unaonaje
Simba day na uzinduzi wa jezi no lini
Binafsi huwa nakuelewa sana semaji kazi yoko nzur
Kaka uyo chama ndiyo anafanya makocha waonekane awana mpira wa kisasa wachezaji munao wasajili kama chama atabaki basikili mchezaki mutamuona ajitumi atoke myaka 7 sasa ❤❤😭😭
Simba nguvu moja🎉🎉🎉🎉❤
Nakukubali sana semaji ila naomba tangazeni halaka sio mpaka wakati WA Simba day
Hongera Saan semaji wetu nguvu moja
Simba nguvu moja❤❤❤🎉🎉🎉
Mungu akubariki semaji kweli ww semaji la caf
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉❤❤
Ushauli simba ni kubwa sana kama hataki mwacheni aendeeee tu
Nakupenda na kukubali siku zoteeee semaji letu #Ahmedy Ally
Unajua sana kuwa semaji bora
Sikia hapo mwanasimba atuchekeshi chama thank u
Pole
Semaji tuko pamoja 🎉
Semaji uko vzr simba nguvu moja
viongozi mjitahdi kujisajilii haraka iliwachezaj wote pre season wote weend kwa pamoja
Semeji uko vzr simba nguvu moja
Simba nguvu moja
Nakupongeza semaji mukuu
Evariste from Bujumbura
Kwa mtazamo Wangu, kuhusu Chama, Bado anamsaada Sana Simba Sports Club, Nashauri Tu uongozi Wetu, wamtazame Chama Kwa maslahi ya Team Yetu, Bado anao Msaada kwenye Club Yetu. Apewe mkataba Mwingine.
Simba nguvu mmoja❤❤❤
Asante semaji
Semaji unajua!ukiwa mwanasiasa lazima utoboa zaidi
Kaka nakuomba thank you zote kwa pamoja ili muendelee na mambo mengine muda Ni Mali thank you sio nzuri JAMANI mnatutia presha
PILI swala la Lameck lawi achaneni nae mogogoro co mizuri
Safi sana semajii nakukubali sana
Niko Lukas Semaji big up sana tunaomba na sisi washabiki tuchangie usajili ili tupate wachezaji bora mitaani hatukaliki pz
Nguvu moja 🦁💪
Kiukweli, Hanna haja yakumng'ang'ania chama, tunampenda nimchezaji mzuri, ila akiamua kuondoka aende2, akaanglie changamoto nyingine
Kabisa kabisa
Asante semaji letu
Kaka chama nimwenenetu tulivyo mlea mungu ndio anajuwa atakumbuka fazila yetu kwani bado tunamhitaji chama
Tunataka na thank you ya Mangungu bhana😂
Shida ya Simba wote viongozi sio wampira ndo maana usajiri wunakuwa shida. Wachieni vijana wasijiri . Wazee wamejaza Simba ndo shida kubwa. Na tutateseka sana . Yanga atatubuluza sana .
Pamoja sana
Asante kikubwa tunataka maboresho mazuri
Juma mgunda kwa nini bwana huyu asinderee na timu yake Kama msimu uliopita alitufikisha mbali Sana tufike mahara tusiwe wanafiki tumwaie mzawa huyo awapereke kamamsim uliopita naimani kwausajiri mgunda simbambali Sana kwa uwezo was mwenyezi mungu mungu ibariki Simba ibariki. Tanzania
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🦁❤️💪
semaji la viwango vya caf, miaka mingi kaka dua kwako
Mkuu chama yupo anaenda
Jamanani mi kama mshabiki nawaomba viongozi wangu kwaza tupate mbadala wa ndipo mamuzi yafanyike chama muhimu saana
Simba ijayo hatutaki jina au umaalufu wa mchezaji tunataka mchezaji mwenye kiwango uwanjani sio kwenye makalatasi hilo tuwaachieni juma mwiko wachezaji ambao sisi hua tunawaacha kwa ajili ya umri wao ndo wanachukua tusiwe nao halaka wacheni wachukue vitu vitaonekana uwanjani
Simbaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤
Vip kuhusu feisali
Simba Day lin?
Jafar Mambo
Tuko pamoja kabusa haina tatizo❤❤❤
Nnashauli juu ya wachezajiwetu tulionao kueninao makin because kunawachezajiweng wanaumizwa nje yauwanja wangalieni sana badowachezajiwetu badowakopoa
Tunaiamini Simba. Tunakuamini Semaji. Sisi tupo bega kwa bega na Chama letu.
Chama hata akipndoka bado Simba itakuwa Simba tu asitusumbue
❤
❤❤
💪💪💪💪
Chama mnamfahamu zaidi kuliko sisi mashabiki kama hajitumi na anadharau basi aondoke
Kabisaaaa, tunaelekea kumchoka! Aende tu!
Pia mshaurini Boss kuhusu sergei poku
Ana dharma Sana, anatumika upande wa pili
Ss hatuna shida furaha yetu ni kuona simba inasonga mbele kwa mafanikio makubwa
Semaji la dunia
Musimuache chama tunamuhutaji
Chama Archana naye ametuhujumu Sana simba kupitia makolo
Nimefika
VP chama
Hivi ndivo inavotakiwa kuwaweka wazi mashabiki wa mpira sio kuwa kimya kuwafanya mashabiki njia panda au dilemma inakuwa sio vizur
Semaji la CAF
Naitwa jonas john tokapande zangara kagera ombilangu chama angebaki Mana anamuchango kwenyekira buya runyasi
Mnazingua😂😂😂😂
nguvu moja
Pamoja
Wengine hatujui kuhama hama timu fanyeni kweli kelele zinatuchosha huku mtaani
Mbona simba app haitoi taarifa
Naitwa kamanda mudy tunaomba tuletewe Joshua mutale atatusaidia sana nasimba yetu itakuwa yamoto yenye speed
itakapo shindikana kuondoka mchezani kwa sabbu ya mktab wake . Bas sis mashabik tunaomba akae sehem aliyo kuwepo KIRAMO
Chama tuna mhitaji simba
Kaenda yang
Chama muacheni mpeni talaka yake naya hersi😂😂😂
Kocha mkuu tumtarajie lini?
Mimi napenda sana utulivu ktk slmba
Visit kuhusu chama na goma mikataba bado
Hakuna kubembeleza mchezaji team kubwa kuliko mchezaji hembu msijipendekez pendekeze kwa mchezaji
Kaka mambo vipi? Em tuibieee za Ndaaaaaaanii.... Kuhusu Elie mpanzu, 17:20
Mimi sinashaka na viongozi naamini mpira na matokeo take hivyo nashauli viongozi watengeneze timu iwe na ubora wa juu kwaweredi wao jitahidini kutojari Sana kelele za mashabiki Kwa sababu wanashangilia usajiri matokeo yakiwa mabovu wanaanza kusema wachezaji wamckongo
Sajili lini kutangaza
Wanachoma wanataka kabla mchezaji hamjamsajir wamjue pia gharama ya usajir kiujumla au timu ndio 100% yamo
Msemaji tukukubali
Duh
Vipi kuhusu Ayoub lakred? Maana Kuna za chini ya kapet anaondoka?
Lakini brother ikiwezekana chama muachane naye ili mlete mwingine,maana hakuna mchezaji atakaye ichezea timu bila kushuka kiwango hata chama ame slow
Chama amesha saini yanga.milioni 300.mwaka mmoja.kiwango kikiongezeka ataongezwa mkataba
tuachane na chama kwasas😊😅
Kazi kubwa unafanya msemaji wetu vip swala LA lameck lawi likoje
Majibu mazuri ya msemaji kitaalam na kisomi
Hivyo kabisa.namaanisha hovyoo
Lete habari semaji naona watu wanasindofahamu bwana wafahamishe kwani upande wa pili watutia presha sana
Simba nguvu moja ila chama aende tu make mauxa meng
Semaji letu tuambie vip kuhusu lameck lawi mbona atuelew
Semji tuambie kuhusu chama
Chama vp Anaondoka au yupo
Jobe fanyeni jini juu aondoke
Kagoma ni mnyama wasomi wa Cuba tushaelewa cheko na ufafanuzi tu codes are open
Vp kuhusu usajil wa chama
Acha babakar sarr...acha kanoute.....CHAMA.kramo aachwee.....jobe...fredy....wotee watupisheeeee.....