Enyewe this maandamano is next level, I agree with the guy in blue. RESPECT to GEN Z !!!!! So proud of you. A moment of silence for the unnecessary loss of lives, Ruto you didn’t have to.
If they were wise they would not have swallowed the hustler narrative wholesome nor not vote in the last elections. This is sour grapes cos the truth has dawned on them that walichezwa and they also squandered a chance to make a change. I support them in redeeming themselves but I am not fooled that they are wise
Kenyans thanks for the well planning what happened in Kenya can happen in Uganda also if we take the notes from you guys I liked your plans very organized, the unity and togetherness explains all well done our neighbors you have shown us the ways on how to deal with situations
Twashukuru ma gen z Kwa ushuja ,lakini wako emotional hi Kenya bado yataka tu Raila asawazishe inchi hao new leaders ambao mwasema hawana experience mtachoma inchi ndo sasa mkiishi Kwa tents Kwa kambi za wakambizi nchi za watu hata choo Hakuna wala hamkunyi Kwa Amani ndo mtajua Kenya ilikua ni inch zuri
Kenyans stop tribalism, you will go far, kikuyu, kamba, jaluo are all Kenyans. Now you see in Tanzania we listen to each other because in every corner all the tribes are there and cooperation is very great. God help Kenya
Na mbona hamuonangi baba akiwa msaliti.yeye anaendanga handshake na ananyamaza tu.genZ watoe hawa wazee wote mpaka uyo baba.fresh gvt is what Kenya needs
We are one tribe now ,KENYANS. This young generation doesn't care what tribe you are. Stop returning us to the past. You keep talking about the past we are looking towards the future. How r we to bring changes our parents couldn't
Hawa sio Gen Z.. msituharibie Jina... Gen Z Hatuna political leader Na ukabila yoyote... They should deal with their bitterness nauko... We are Gen Zs and we are one Kenya... NO TRIBE!! NO POLITICAL PARTIES NO POLITICAL LEADERS... JUST ONE KENYA!!!
#SimbaArati❤💙 ni kabna wangu Kisii. Asanteni kwa kumtambua👍 #BabuOwino, #Sifuna, #Joho, #MillieOdhiambo... Na hao wengine wooote ni wetu. Tunawatambua na tunawapenda sana! #Gen-Z hoyeeee✊ #Viva ✊ #RutoMustGo 👉
You speak like 10 million Kenyans, my sister you statement is full of courage and consideration, how I hope your call makes the top heading of the day!🔊📻☂️🕘❤️
Wewe Okanga achana na Uhuru what have you done for Uhuru? not even once voted for him alafu ati ilikuwa mupewe tu infact mushukuru sana Uhuru did a favour for just going on public supporting Raila otherwise hata kama sipendi Ruto but Ruto deserved to be in office since he supported Uhuru before and not only once.Shida yako ni ukabila na ndio maana hata uDP kupata ni shida wakalejin wanajua kula nyuma ya wakikuyu na ndio maana hata wakati wa Kenyatta see what Kenyatta did before he died alimpa Moi becoz Moi alikuwa hapo not greedy but patiently waiting the same with Ruto alimpisha Uhuru and he waited shida yenu ni munataka kupewa wakati you don't have patient to give other chances kwanza.stop the tribalism and mutaonja kwanza don't think kuwa mukipata kiti ati nyote mutakuwa rich forget it utarudi kutukana tena your fellow community men and women.nafurahi Gen Z are tribeless coz change is coming watu kama nyinyi wa 1970s ndio munaturudisha nyuma na ukabila nkt
Nuru okanga is right even we didn't mistake electing uhuru 2013 kenyans could have elect raila to take over from where kibaki had left coz they worked together and we saw their work
These are not Gen -Zs talking. I mean, we are here fighting corrupt leadership na mwingine Ako busy taking us back to tribalism. We're past that. The fight is not about raila not winning, it's about getting our home back from the corrupt government. We are not headed to that route, please. Just be silent bro!!! No hate fellow Kenyans (fellow criminals.)
Babu owino?? Shooter, pretender and much of all he's one hell of a mayhem supporter... You can't be serious... He has been in that parliament cooking his political lies everyday, we should focus on clearing thee house, from that zakayo down to that babu Owino you keep praising
@@keitgibs9682, maajabu makubwa eti afadhali Babu kuliko Ruto, Kumbe Gen.Z mlikua na agenda ya kumsukuma Babu mamlakani kupitia mlango wa nyuma, hiyo pia nayo ni demokrasia na halo? China vijana wetu msilaaniqe!
Uhuru is the best president have ever seen...baba is a corrupt leader coz kelele yake nia yake ni tumbo not maslahi ya wakenya.....where is he right now hayuko kwa maandamano? Ashapata pesa za wakenya.. ..we are here as gen z fighting for our rights not tribal politics.....we need peace and compensation for the family who have lost their kids.....we need a fair budget in consideration of every pocket.....we need mps salary to reduce to where it was in kibaki's leadership.....we need every mp to adhere to his promise otherwise we gonna show them kivumbi.....we know their properties and homes....we are tired as kenyas
Enyewe this maandamano is next level, I agree with the guy in blue. RESPECT to GEN Z !!!!! So proud of you. A moment of silence for the unnecessary loss of lives, Ruto you didn’t have to.
Nuru Okanga ni GeN Z 😅😅😅
GEN Zs the best ever.... may God continue giving us energy en keeping us strong💪💪
Fa🔥🔥🔥🔥🔥aaaaaa.buh RUTO MUST GO WITH HIS ENTIRE REGIME. ALL OF THEM COZ IF HIS WICKEDNESS,PERIOD. GOD IS NOT MOCKED
Wacheni vita ya Gen ibaki yao,hawana political party, tribalism, religion .
They are bright young buddies,very wise
They know what they want and nothing will side track them
If they were wise they would not have swallowed the hustler narrative wholesome nor not vote in the last elections. This is sour grapes cos the truth has dawned on them that walichezwa and they also squandered a chance to make a change. I support them in redeeming themselves but I am not fooled that they are wise
If they're wise they shouldn't loot
Si si wajinga Wacha muambiwe ukweli ,hi shid nyi ndio mumeleta ,we ka kwenyu
Kauze mkundu huko
Kenyans thanks for the well planning what happened in Kenya can happen in Uganda also if we take the notes from you guys I liked your plans very organized, the unity and togetherness explains all well done our neighbors you have shown us the ways on how to deal with situations
This is for the lost generation...gen z we are united as one no tribalism just a young generation who want a change👌
Politics achaneni nayo let's fight corruption,,,,Gen Z Ruto must go!
Eeweeeeeh_🤔
Gen Z has a different agenda not empty threats
Twashukuru ma gen z Kwa ushuja ,lakini wako emotional hi Kenya bado yataka tu Raila asawazishe inchi hao new leaders ambao mwasema hawana experience mtachoma inchi ndo sasa mkiishi Kwa tents Kwa kambi za wakambizi nchi za watu hata choo Hakuna wala hamkunyi Kwa Amani ndo mtajua Kenya ilikua ni inch zuri
True..hawa n mdomo tu...hata hawajui wanatetea nini...just Raila,,,,hawajui wqnataka nini
Huyu jamaa anaongea tu
Now it's our time as the Gen Z to lead
Achaneni na yaliyopita... Gangeni ya sasa na ya kesho. Sisi wazazi tuko nyuma yenu watoto wetu. #Gen-Z... #people'sPower ☝️💪
Uko Na MTU 🤔🤔
Kenyans stop tribalism, you will go far, kikuyu, kamba, jaluo are all Kenyans. Now you see in Tanzania we listen to each other because in every corner all the tribes are there and cooperation is very great. God help Kenya
These are not GenZ. These are the historical MOUTHERS we know. Nothing they can do😂
You can say what you want but they the one who started making noise to this government....
most irrelevant post
it's not only about gen z, bt the whole nation
But they are very tribal
Hii ni ushenzi we want unity it doesn't matter the tribes..we want to be one
Ata yy Sio Gen z😂😂
Na mbona hamuonangi baba akiwa msaliti.yeye anaendanga handshake na ananyamaza tu.genZ watoe hawa wazee wote mpaka uyo baba.fresh gvt is what Kenya needs
Mueke what are you talking about with your idiotic mind and pathetic tribal mentality, give us the office where BABA is holding.
Kabisa ,, very good ....
@@Truthfulmen_womenkama sio raila mungefinywa makende
@@johnoduor9370 yeye ndiye hutupee hewa ya kupumua au ???? ...😂
Raila always go for handshake to bring peace and they always agree to greet him when they are wrong.
Correct kabisa he has power to give Raila President
😂😂😂this is soo sweet 😂
Finance Bill 2024 sasa itumike Kwa mps waliopiga YES.
Ukabila ni story za wazeeee💔💔💣
Nuru tutakusalimia endele na wazimu😂
Umeshapigwa Risasi Utanyongaje Mtu😂😂
We are one tribe now ,KENYANS. This young generation doesn't care what tribe you are. Stop returning us to the past.
You keep talking about the past we are looking towards the future.
How r we to bring changes our parents couldn't
Wisely❤❤
😂😂...you wait 2027 it'll be tribalism...
Mukisharambwa we r now one tribe Takataka Viherehere
@@dhadkanmain7842 naomba sio mimi unatusi ???? Watch your tone
Here we are not talking about baba or uhuru we are talking about Gen Z
Exactly....
Rise KENYA RISE, We in Black America SUPPORT YOU...
😂😂😂😂😂kenya awa jamaaa noma sana
Vichana wa kenya nawapenda bure❤❤❤❤❤
Hazira tupu. GenZ are more sensible and tribeless
💪💪💪💪🤓🤓🤓👍👍👍✌️✌️👏🙌🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️❤️❤️
Hakuna gen z hapa. Hawa ni watu wa forojo. Gen Z did their job, president folded. Hawa ni watu wangependa kuona Kenya ikichomeka
President is not folded as bill is still passing as law in 14 days… his attempt to fold gen z might have just succeeded
Ongea vizuri hawa walitetea mswada wa ukandamizaji uondoshwe but sasa ni watulie tuu tusonge mbele
Agenda Yao hata siyo Muswada, Muswada umetumika tu wao hawajaridhika Ruto kuwa President wanataka atoke madarakani.
@@mathiaslyamunda2526kwanini wanataka ruto aondoke madarakani?
Hawa sio Gen Z.. msituharibie Jina...
Gen Z Hatuna political leader Na ukabila yoyote...
They should deal with their bitterness nauko... We are Gen Zs and we are one Kenya... NO TRIBE!! NO POLITICAL PARTIES NO POLITICAL LEADERS... JUST ONE KENYA!!!
Oh My God.. Kenya my country
Ukweli iliaza na uhuru ,sahii ni ruto
Come to Tanzania😢
#SimbaArati❤💙 ni kabna wangu Kisii. Asanteni kwa kumtambua👍 #BabuOwino, #Sifuna, #Joho, #MillieOdhiambo... Na hao wengine wooote ni wetu. Tunawatambua na tunawapenda sana! #Gen-Z hoyeeee✊ #Viva ✊ #RutoMustGo 👉
This is turning political it's no longer about finance bill
This you r right honestly i thought the same, Uhuru should have acted
We were waiting 4Genz plz 😅😅😅😅
congratulation bro
I wish if this could be in TZ😅😅
😂 kumbe tumetingisha dunia #genz power🔥
Fanta kazi toa kelele
Reckless statements from one guy shouldn't reflect on the greater fight for social injustice n bigger fight for governance this guy pure madness
His speeches usually give me chest pain. Sounds like an illiterate with access to a microphone.
lakini hii young generation kweli nimewakubali,,,lakini jitahidi kuepuka ukabila,,,na achana na wanasiasa waongo,, angalia maono yenu as youths
Hawa si Gen z.
Safi sana Bado tz maana viongoz Wana tetea mitumbo Yao tuu
Tz waanzisha maandamano wanapeleka familia zao Kwanza ulaya na wao siku ya maandamano hawakai mbele 😂
TZ tuko na Amani sie
Huna akili wewe mwambie baba yko aandamane, tz hatuandamani hatuna huo upuuuzi wa Wakenya
Kwani lazima tuige wakenya? Acha ujinga, usiingilie ugomvi wa jirani please!...
Hatuna chakujifunza kwa akenya
Hii ni Yao....GenZ remains focus and tribless
From tz. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Nimeeakubali %% nifanyeje ili niweze kujiunga kenya ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kuja tu
Wewe fala sana, unatamani fujo ambazo madhara yake ni mabaya ( majuto ni mjukuu )
@@DudddyWhyCant kwaiyo tuendelee kubuluzwa acha ufala wew
We love our "Bunge La Wananchi" but never take them too serious.... comedy and X rated language.
But they are not Gen Z please 😂😂😂✌️
True😂
Nuru you're too Truth
Tuweni makini Kenya ni nchi yetu na amani ni tabia yetu tusiivuruge nchi yetu amani amani amani.
❤❤❤❤❤ Fatma Ali...true tupende Kenya yetu na tuilinde
You speak like 10 million Kenyans, my sister you statement is full of courage and consideration, how I hope your call makes the top heading of the day!🔊📻☂️🕘❤️
Kenyan Youths 👏👏👏
I need to join the group
Viva la libération du Kenya 🇰🇪
Okanga io kwichwa yako ni mafi pekee iko uko juu shule ulipata E lakini matusi unajua👏👏
Wewe Okanga achana na Uhuru what have you done for Uhuru? not even once voted for him alafu ati ilikuwa mupewe tu infact mushukuru sana Uhuru did a favour for just going on public supporting Raila otherwise hata kama sipendi Ruto but Ruto deserved to be in office since he supported Uhuru before and not only once.Shida yako ni ukabila na ndio maana hata uDP kupata ni shida wakalejin wanajua kula nyuma ya wakikuyu na ndio maana hata wakati wa Kenyatta see what Kenyatta did before he died alimpa Moi becoz Moi alikuwa hapo not greedy but patiently waiting the same with Ruto alimpisha Uhuru and he waited shida yenu ni munataka kupewa wakati you don't have patient to give other chances kwanza.stop the tribalism and mutaonja kwanza don't think kuwa mukipata kiti ati nyote mutakuwa rich forget it utarudi kutukana tena your fellow community men and women.nafurahi Gen Z are tribeless coz change is coming watu kama nyinyi wa 1970s ndio munaturudisha nyuma na ukabila nkt
Nawakubali sana wakenya wanaumoja sana sisi wa tz tumepoteana tunachojua niuchawa usagaji naushoga na madisko hatuna maendeleo ya njii ila wakenya 🔥🔥🔥
Duh nimecheka sana jirani 😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Sio utani wasenge wengi wapo tz
Wasenge wengi wapo tz
Wakenya bila kuitaja Tanzania mnakua mnawashwa mikundu?
Wakenya wana maendeleo gani
Okanga you are taking to far😂😂😂
hakuna they are corrupt hakuna msamaha
We are one Kenya work is done. We move forward not backwards. This is just politics we need a government
Time yenu ilipita. Gen X and Gen Y. Leave Gen Z to do their thing 😂😂
Hii dunia jifanye mjinga uishi lakini your rights usinyimwe...😂😂😂
This are not Gen z. Gen z are educated and talk sensible matters. This are ODM hooligans
True well said Uhuru betrayed us
😂😂why am I laughing 😊
Naeza Amini yesu anarudi kesho lakini si ati Okanga ni Gen Z.Hapana😂
Who told you it is only gen z affected by the bill? Millennials are in it too... Boniface mwangi sio Gen z pia fungua macho na akili
Acheni ujinga hii ni issue ya Kenya nzima acheni ubinafsi wa kifala....unafikiria uyu alishikwa mara ngapi akipigania wakenya
😂😂😂😂😂😂😂 Gen z ni kipaumbere tu ila hii ni yawakenya woote
Okanga hana kitu anasema
Kelele za nini..... si aongee
ua-cam.com/users/shortsUYmYKWxqsEQ?si=5e9VmEPFFC3bio1r
Kumekucha😮
Ruto must go
Raila would be worst than ruto maybe...,
Gods work is never questioned 😂
Wachana na uhuru, uhuru was the best
Wacha kutukana Former President tafadhali.
Nuru okanga is right even we didn't mistake electing uhuru 2013 kenyans could have elect raila to take over from where kibaki had left coz they worked together and we saw their work
These are not Gen -Zs talking. I mean, we are here fighting corrupt leadership na mwingine Ako busy taking us back to tribalism. We're past that. The fight is not about raila not winning, it's about getting our home back from the corrupt government. We are not headed to that route, please. Just be silent bro!!! No hate fellow Kenyans (fellow criminals.)
Hope tribalism ita end in kenya sasa....all the best Gen Z
Kenyatta, ndio aliwachezea,
Kabisa
Exactly
Mnatukana wazazi,Mungu awakemee mwenyewe
Tanguy lini hawa wakawa gen z
May the Lord have mercy upon the young generation in kenya
Ruto must Go
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Okanga na Omosh 1 hour hati sina Roho 🤣🤣🤣🤣🤣🇪🇺🇩🇪🙏🙏🙏🙏🙏🙏
😂😂😂😂😂jamani wakenya wamevurugwa hatari
Poleni sana wakenya
Sasa njooni youtube kwangu muondoe stress..nachekesha buuure
Tutakuja Acha tumalizane na hili janga 😂😂
@@chunaamina878 🤣
Okanga for President
I think this man Alitoka to jana ndani 😅😅😅
Uhuru wanted peace. Uhuru and Gachagua watu wa mt want to see you united
very funny ukishapigwa lisasi utaweza hata kushika kamba
Matusi nayo ya nini,,matako za mama tena😢😢😢
True spoken
😂😂😂❤ you king ntauoai zakayo must resign
Kama vile kibaki alifanya angeapishwa usiku wa manane😂😂😂
2007..two wamwaga damu....ruto raila .....we will never forget
Kenyan they are very serious on political issues
Any person mentioning tribe is another generation.. leave things to Gen z
babu owino is excellent being a president mbele ya mungu
😂😂😂😂wacha nikucheke
You forget too fast 💨
Juzi tu mtu alishoot dj huko club B........we haven't forgotten......😢😢
Babu owino?? Shooter, pretender and much of all he's one hell of a mayhem supporter... You can't be serious... He has been in that parliament cooking his political lies everyday, we should focus on clearing thee house, from that zakayo down to that babu Owino you keep praising
@@keitgibs9682, maajabu makubwa eti afadhali Babu kuliko Ruto, Kumbe Gen.Z mlikua na agenda ya kumsukuma Babu mamlakani kupitia mlango wa nyuma, hiyo pia nayo ni demokrasia na halo? China vijana wetu msilaaniqe!
If Ruto resigns then the KDF should take over to await transition and elections.
Kuma Tako Tena 😂😂
Hapo sawa
nooo..no longer with politicians who have been inside thre government pockets....
Wazee mhamee hii ni victory ya Gen Z sio political party
Kaka pongez kwako unajuwa kutetea nembo ya taifa
Trust Kikuyu at your own peril
Kwa kweli umoja ndio muhimu hakukua na ukabila lakini tujue hiyo bill nikweli haitapitishwa au wanatufunga macho