Wa kukuchukia basi ni kichaa. Maubiri yako yote amazing Sana🔥👌 You're God sent. Na pia ucheshi katika maubiri yako ndio unaleta kuelewa Kwa neno zaidi.#ninapo fungulia UA-cam kukuskiza huwa natamani kueka screen kubwa Sana ulimwenguni tukutazame sote all over the world you preach facts.
Mungu akupe maisha marefu hapa duniani baba Mgogo. Huwa ninakuelewa sana. Barikiwa sana!
MUNGU akuweke zaidi mgogo
@@nesterygeho975 iiiiiiiiiiiiii8iiyuiii
Nakushukulu San wanaume wengi wanatabia hiyo kwahiyo wakilekebishe
Good bless u pastor
HERI MAZIWA ULIONYONYA,NA TUMBO LILILOKUZAA.
Kweli Lina heri tumbo lilikubeba mchungaji,Mimi Nina mume kama unayemsema ni katili mno!!
Acha tu@@annabashasha1409
Barikiwa sana mchungaji kwa mafundisho yako Mungu akuzidishie miaka tele.
Asante baba yaan kuna siku naenda makete kutoka mbeya dereva aliweka mahubiri yako aiseee mpaka mwisho wa gar kila mtu usha msema yaan
Uku drc tunakufwata 5 juu ya 5 Mungu akuongezeye karama
I swear if you came to kenya wallahi siwezi kosa semina yako
Barikiwa sana mchungaji kwa kutuelewa sisi wanawake🙏
Ubarikiwe sana mungu akupe maisha malefu🎉🎉🎉❤❤❤
wanaume wanakera sana mungu akupe maisha mengi mchungaji najua limefika kwa wanaume
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Mafundi tamu yakujenga.mungu akubariki saana muchungaji
Ahsante sana kwa kipindi
Vraiment Mungu Awasame wanaume wenye kuwa na Roho iyo
Unasema ukweli kbs mtumishi wa Mungu
Aise pastor,,,2namwomba Mung akujalie uwepo wako milele ili elimu hii iwasaidie vizaz vijavyo!!!!!!! Amen!!!!
Amina baba 🙏 🙏. Ningekuwa
Na uwezo Ningekualika Burundi. Utusaidie wa maman wengi tunateswa
Balikiwaaa mutumishiii
Kabisa muungaji ubarikiwe
Ubalikiwe baba
Mungu akubariki mchungaji 🙏🏿
Amenni
Ubarikiwe sana maisha marefu kwako
Ubarikiwe sana kwa mafundisho yenye kubadilisha maisha
Kweli nakuunga mkono
Safi sana
Waambie baba hawafikirii kila wakati kuwanyanyasa wanawake
Mungu akubariki sana kwa mafundisho
thanks pastor Daniel mgogo and God bless you 🙏 🙌. fundisho yako ilo nzuri
Mungu akulinde pastor
Good bless you so, much
Thanks pastor kwa mafundisho Yako from kenya 🇰🇪
Wa kukuchukia basi ni kichaa. Maubiri yako yote amazing Sana🔥👌 You're God sent. Na pia ucheshi katika maubiri yako ndio unaleta kuelewa Kwa neno zaidi.#ninapo fungulia UA-cam kukuskiza huwa natamani kueka screen kubwa Sana ulimwenguni tukutazame sote all over the world you preach facts.
Burundi tunabarikiwa namafundisho yako
pastor mafundisho Yako imenijenga sna nimejifundisha maandiko
Amina amina Baba napokea mafundisho mazuli
Mungu akubariki Pastor Mgogo Kwa mafundisho mazuri
Uko vizur wajin
We kenyns we love u man of God....be blessed
Sema baba wapone
Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri
Nakupenda bure paSita mgogo wambie hao
Asante mchungaji sambaza nondo
Ameen unasema kwel mtumishi
Asante kwa mafundisho mazuri yanajenga
Pastor you are the best person congregation yale unaongea ni ukweli tu.
Amen pastor
Ubarikiwe
Be blessed pastor
Barikiw pastor kwa mahubir
Isy 64:6'2
Amen pastor be blessed unatuherimisha sana napenda mafunzo yako from 🇰🇪
Amen pastor God bless u.
Ubarikiwe sana
Amen 🙏 ❤️❤️ very true 🤣🤣🤣
Asante mchungaji
Umenifurahisha sana na maneno yako ya boko haramu
Mchungaji nakupenda ila mafundisho yenu yote anaanzia kati tutapata wapi mafundisho anae Anza mwanzo wake mmi Niko hapa Rwanda
Amina 🙏🙏🙏 mtume
Good paster
Nakupendaga sana mungu akuweke sana kwaajili yetu wamama
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂I love you my all time pst 🙏
Ameni pastor jamani
Heri kufanya kazi mimi nilikua napigwa nikiwa mimba nashukuru Mungu niliondoka
Juliana....
Pole mamaa
Hatupishani zangu zilikuwa zinatoka niwakuzika tu watoto unafanya kazi mwanaume kakaa kwenye kochi una mihemelea na bodo unapigwa tu 😢
Congrats pasta napenda mahubiri yko saana
Nakubari baba
Nina penda mafundisho yako pst mungu akupariki
Amina Baba✍✍🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ barikiwa sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤.
Amen 🙏🙏 🙏 😂😂😂 Amen
Huyu pastor aparkiwe
Barikiwa sana baba
Barikiwa Sana past
Daniel iyo message ni ya nguvu barikiwa.
+254 tupo… zidi mchungaji. Baraka tele
Mchungaji ubarikiwe Sana
Mungu akubariki sana papa
Blessed pastor sana hayo nishayapitia😢
Nakukubali babayangu
ubarikiwe mchungaj kwa maubiri
Nakupenda sana my paster
Mungu akubariki mno mtumishi wa Mungu, yaani wa mama tunakazi .
Barikiwa mtumishi wamungu
NAKUPENDA sana baba
Balikiwa saana mchungaji mgogo nakupata vzuli
Mungu akuongezeye kipao niko uko Congo bunia
Hatari Sana mgogo
You're the best pastor God bless you
Amina mtumishi
Mungu akutie nguvu
Continue receiving blessings pastor... Mungu akuonekanie🙏🙏🙏
Amen mungu azidi kuk barik
Mungu akubariki sana pastor unabariki moyo wangu sana
Mungu awaurumie
Unajua kunielimisha mtumishi barikiwa sana🙏🙏🙏
This 🇯🇲 🇰🇪 has 👋 👌 🔥 😍 💯 that you can take
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe sana
Iyo kweri baba wanaume hawana uruma
Jamani mungu akupe maisha marefu pasta.
Burundi, paster naseema Amen. Asante
Baba nazidi kukubariki hakik
Am so blessed with this wonderful lesson
Penda sana kwa ukweliiii wako