Wimbo huu kila siku nausikuliza umenibariki mno hakika huyu ndiye mfalme wetu tushangilie ukombozi ❤❤❤❤ ukiacha yote nimependa mlivyovaa aisee mmedamshi atar
What a Song, what a Melody what a message, what a location, Fantastic Video, Hakika Light Bearer's mmeupiga mwingii Sana hapa huu wimbo ninausikiliza alafu nausikiliza Tena hauchoshi masikio, Ni tiba ya magonjwa yote ya Moyo, Wimbo unaburudisha Sana huu na ikiwezekana mbunifu wa hii location apewe Maua yake Mapema😅 kaupiga mwingi. Mungu awabariki Sana Familia ya Light Bearer's mmekua Mbaraka mkubwa Sana kwangu, hakika nyimbo zenu Ni Nzuri Sana.
Me nme re play ▶️ km mara nyingi nyingi hata siachi ku play Tena na Tena,. Hahah SEMA chief umeitendea haki sana hyo trumpet,... 😂😂😂😂😂 SEMA Kuna ka mbuzi hapo kako siriaz balaaa 🏃🏃🏃🏃
Hongera. Ujumbe nzuri. WIMBO nzuri. Sauti za malaika. Video set up nzuri. Kwa kuchukuwa muda wenu kufanikisha ujumbe huu. Mungu awazidishie neema. Amina
Am proud of being your friend Hamjawahi kuniangusha Bwana awatumie san katika utume wenu my prayers are with you Always Bado mwaka huu mnadeni moja tu Sauti zote na ziimbe Sifa
I love it so much 🎉🎉❤❤so so so so so much much much much❤❤🎉🎉
Guys this is exploiting, be blessed for this sweet song. HII NI CAKE 🎂.
Wimbo huu kila siku nausikuliza umenibariki mno hakika huyu ndiye mfalme wetu tushangilie ukombozi ❤❤❤❤ ukiacha yote nimependa mlivyovaa aisee mmedamshi atar
Ooh my God!! This song❤😭😭,❤❤.
What a Song, what a Melody what a message, what a location, Fantastic Video, Hakika Light Bearer's mmeupiga mwingii Sana hapa huu wimbo ninausikiliza alafu nausikiliza Tena hauchoshi masikio, Ni tiba ya magonjwa yote ya Moyo, Wimbo unaburudisha Sana huu na ikiwezekana mbunifu wa hii location apewe Maua yake Mapema😅 kaupiga mwingi.
Mungu awabariki Sana Familia ya Light Bearer's mmekua Mbaraka mkubwa Sana kwangu, hakika nyimbo zenu Ni Nzuri Sana.
Amen, be blessed. 👏👏☺️
Andika kitabu kuwahusu .Utukufu ni Kwa Mungu
To God be the glory .What a wonderful song.
Superb🥳🥳🥳🥳and so marvelous👏👏
Massive fan from KENYA
Had mbuzi wametulia wakasikiliza saut za waimbaj nataka kuimba LB pia😂😂
Like the song ❤ you guys are just doing great job
Ooh Lord forgive me for delay to listen this song😭🙏 ..wish if all you tube being filled with your songs❤️
Be blessed ❤
The sax and trumpet together….what a blessing 🎉
Hapa LB mumeweza kabisa..Mungu azidi kuwabariki..wimbo mzuri
Mukomere cane bagenzii
What a Melody,🍎🍎🍎🍎♥️
Swadaktaa kabisaa, good Art work design...!!
Thanks for this piece
Yaani kwa kweli chief ni msiri sana siku zote hizi yuko kimya na trumpet anapuliza vizuri kabisa namuna hii
Its a nice piece keep it up
Hahahah Mungu mwema. 😃😃😃
Mura Chief umetisha uko vizuri
👏👏👏
bonge moja la song aisee... nayaona makambi yatakavyobamba jmn😊😊👏👏
Barikiwa sana usikose. 👏👏☺️
Amen mbarikiwe base noma
Wimbo mzr sn hakika mnasitahir hongelen sana nazid kufarijka ninapo muona dadaangu anney barikiwe sana❤❤❤❤❤❤❤❤
Amina na ubarikiwe.!
Hongereni Sana, wimbo mzuri sana
Amina.
Mbarikiwe zaidi choir
From Congo 🇨🇩 north Kivu field 🇨🇩
AMEN! Be blessed.
Waoooh wimbo mzur sana Mungu awabaliki mnoo ila betethe katisha sana
Amina na ubarikiwe. 👏👏👏
Bwana awabariki sana Wajoli. Hamjawahi kumwangusha kwenye sifa 👏🏾👏🏾. Bwana atukuzwe kwa ajili yenu.
Amina na atukuzwe juu zaidi.
The minor vibe 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿...
Blessings. 😇☺
Waleteni pia kina Jacky, Tabitha na Rebecca Mtinga❤ the piece is so nice mbarikiwe sana LB😊
Woow I like this video so much
Juxt amazing melodies
Wow.... beautiful. Trumpet imenifurahisha sana
Amen! Be blessed.! 👏👏👏
Utulivu wa Sauti, ujumbe pamoja na ubunifu wa hali ya juu uliotumika mmbariwe sanaaa
Amina na ubarikiwe.
Mbarikiwe🔥🔥🔥💯💯
Amen! 👏
The. Dress code is Amaizing and fantastic... Teacher Fred Kirya and the Team Welcome to Zanzibar...
Wimbo wangu wa muda wote ❤❤❤ may God bless u all
Blessings Lightbearers Tz. I peeped a bun baking, congratulations mama mtarajiwa❤❤
Kumbe macho yangu sio mbaya😅 congratulations to her
Ame Amen Amen tukutane 10 years jubilee
Amen be blessed. 👏☺️☺️
Thamana yote ya ukomboziiiiiii Kazi nzuri sana sana Chief Big up
Amen! Be Blessed.
This song is really nice, and happy to see waimbaji wa zamani wanaimba hi nyimbo. Welcome back friends! Nawapenda sana.
Blessings.
Just waooooo!!!😋😋😋
Me nme re play ▶️ km mara nyingi nyingi hata siachi ku play Tena na Tena,. Hahah SEMA chief umeitendea haki sana hyo trumpet,... 😂😂😂😂😂 SEMA Kuna ka mbuzi hapo kako siriaz balaaa 🏃🏃🏃🏃
😄😃😅Ubarikiwe na Bwana.
As usual you didn't disappoint it's a great piece 👌
We praise our good Lord for this perfect work. May God bless you light bearers
AMEN! 👏👏👏
Wapendwa mnatubariki sana wimbo mzuri na sauti nzuri mungu awafikishe mbali zaidi
AMINA.
I'm blessed from Kenya. Gospel on another level
Asante Sana chief waziri na mwl. Fred kirya
Thank you sooo much you all blesses my heart beyond measure.God bless you all very very much.🙌👍
Amen! Be blessed.
Am blessed may God bless you 😊
Be blessed,nice song
hiyo chorus iko lit👌👌
Blessings 👏👏👏
Kazi nzuri sana Mungu awabariki kwa kazi yenu nzuri ya Utume
Amen! Be blessed. 👏👏👏
Mmetisha kwenye upigaji wa kinanda
Hongera. Ujumbe nzuri. WIMBO nzuri. Sauti za malaika. Video set up nzuri. Kwa kuchukuwa muda wenu kufanikisha ujumbe huu. Mungu awazidishie neema. Amina
Amina na Mungu azidi kutufanikisha kwa utukufu wake. 👏👏☺️
be blessed, nice song that directs us to christ birth and mission
Kwa kweli wimbo umetulia be blessed LB!
Amen, Mungu atukuzwe. 👏☺️☺️
iLike it.
Asanteni sana kwa wimbo mzuri. You never dissapoint.
Greetings from Copenhagen - Denmark.
Amen! Be blessed. 👏👏👏
The minor here is a goosebumps you guys are exploiting everything for best.. love it
Wooooow🤗
Oooh wimbo weny utamu kabisa mubalikiwe na Mungu
Amen👏☺️☺️
You guys always you bless me 👐👐 1:01
Amen.
Wimbo mzuri sana
Alafu wadada mmejua kujiringisha
😆😆😆
Barikiwa.
Ameeeen! Such a blessing song with a deep message. May God continue blessing your voices and the work of your hands🙏🙏
AMEN! Be blessed.
@@thelightbearerstz you too
Ooh this is #so_Cake
To God be the Glory. 👏☺
We loves all light bearers
Aminaaa🙏🙏❤️
Amen!
Nice song with a good message. God bless you
AMEN! 👏👏☺️
Classic song hamjawahi kufeli
Be blessed.
Wimbo umenijenga kabisa
Jamani Bwana awabariki Sana Sana kwa wimbo wenu mzuri
Amen!
Asee nimependa san elisha let God bless u
Be Blessed!
On Loop ❤
Ubunifu wa video, sauti nzuri, maudhui ya wimbo, location ya wimbo yaani tunajivunia kuwa friends of LB. Mbarikiwe timu nzima ya ushindi wa wimbo huu
Amina na Mungu atukuzwe juu kwa hili. 👏👏☺️
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri sana
Amen! Be blessed. 👏👏👏
Hapa mumeimba tena
Amen!
Safiii Sana Wimbo mzuri huu
New version 😮 be blessed
Wimbo mzuri sana aseeee aminaaa
AMINA! Na ubarikiwe.
so beautiful
Good song,
Elisha is back
Waoooh, Amazing Grace... Very nice Song in deed..!! Be blessed LB
Amen! Be blessed. 👏👏👏
God bless you
Mungu Awabariki kwa wimbo mzuri
Amen!
Kwakwel mmebuni vzr Sana aya mazingira na nguo mpaka nimewasahau jamn msonge mbele
Ubarikiwe na Bwana. 👏☺️☺️
Your songs bless me!may lord fortifies you so that you shall keep up and spread his messages !!
AMEN! Be blessed.
Indirimbo nziza cyane,kandi mwambaye neza
Amen! Be blessed. 👏👏👏
N'ikinyarwanda muracyizi c burya!?😎😂
The melody 🙌🏿🙌🏿..!
Blessings 👏👏☺️
Goodmusic ❤
Blessings. ☺
I love the reindition..this is amazing
Amen! Be blessed.
Nice song ever with skillful director lkn hamjawah niangusha
Amen and be blessed.!
Wawooh wimbo mtamu haswa!!!mbarikiwe sana maua yenu 💐
Amen! Be blessed. 👏👏👏
Elisha Elisha Elisha
Wimbo mzuri, mbarikiwe sana
Amen! Be blessed. 👏👏👏
Wooow 💓 congratulations nice song
Be blessed. ☺️
Director pia pongezi kwa sauti ya zeze/tarumbeta
Ujumbe mzr Sana... Mbarikiwe Sana..
AMEN!
Mbarikiwe sana wakwetu 😘🙏
AMEN!
Am proud of being your friend
Hamjawahi kuniangusha
Bwana awatumie san katika utume wenu my prayers are with you Always
Bado mwaka huu mnadeni moja tu Sauti zote na ziimbe Sifa
Amina na utukufu uwe kwa Mungu juu atupaye kibali cha kutumika katika huduma hii.
Mnajua sanaa
To God be the glory. 👏👏☺️