THE CLASSIC MCHIZI MOX:MIKASI ULIKUA WANGU/MAJANI HAKUNIKUBALI/MJ ALIKUBAL/WATU KIBAO/TULIZAMIA SAUZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2024
  • Moja ya Rappers wa muda mrefu Mchizi Mox anasifika zaidi kwa sauti ya kipekee nchini alifika kwenye meza ya The Classic mwaka 2021 na kupiga stories kadhaa kuhusu yeye,Wateule na kadhalika,Je wajua kua wimbo wa mikasi ulikua wake na alimpatia rafiki yake Ngwea?tazama sehemu hii fupi ya mahojiano yetu.

КОМЕНТАРІ • 60

  • @GodlistenAlen
    @GodlistenAlen Місяць тому +5

    Sema mchz ni mchz kweli. Ujambazi mwingi. Eti Tonny Akili Mbaya.

  • @user-gf9pb5jz9j
    @user-gf9pb5jz9j 6 місяців тому +13

    Yaani mimi hawa ndio huwa nawasikilizaga sio hao wa sasa hivi

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 5 місяців тому +4

    Mpka leo kuna jamaa yangu anaitwa mchiz mox

  • @user-kb3mi2ws8h
    @user-kb3mi2ws8h 6 місяців тому +8

    Wasanii wazamani walikua vizuri sana kwenye kila kitu, tunzi, interviews yani wanajua wanachozungumza

    • @bernardfrank5654
      @bernardfrank5654 2 місяці тому

      Wangekua hawa vijana wa saivi ungekuta ameshaongelea anatumia gari ghani, sijui saloon bei ghani.. yani interview nzima hamna kitu..

  • @pauljosephtarimo2279
    @pauljosephtarimo2279 Місяць тому +1

    Hapo 2005 fiesta Arusha
    Uzinduzi wa Album ya Ferooz ulitisha sana pale tripple A

  • @spartachize122
    @spartachize122 11 днів тому

    Mziki kitambo bana hawa wa sasa ni balaa tu😊😊

  • @owenchimela4527
    @owenchimela4527 4 місяці тому +2

    Mchizi mox ana vingi vya kusimulia sisi madogo wa zamani tunafaidi vingi sana

  • @sadiqadam7971
    @sadiqadam7971 6 місяців тому +6

    Graveyard, Makumbusho. That's what am talking about bro

  • @kyannickk2be
    @kyannickk2be 4 місяці тому +2

    hizi nzuri sana tunapata kufahamu mengine hatukufaamu tukiwa shule enzi hizo sasa watu wazima, ina inspire hii..

  • @mrambathomas9529
    @mrambathomas9529 23 дні тому

    Dah! Mwamba ise sio poa yaani burudani mwanzo mwisho.

  • @TheMastertz
    @TheMastertz 20 днів тому

    Mchizi ana sauti inaitwa Gruff, ama Rough and Grimy😂...kama sikosei Busta ndo alirap haya maneno!! Jamaa mtu poa SANA.

  • @FaridiIbrahim-ix6hb
    @FaridiIbrahim-ix6hb Місяць тому

    Nawakubali sana hamna baya

  • @joshuamuro9494
    @joshuamuro9494 6 місяців тому +4

    Bro tulete ROHO 7 kamuombe Jeshi akiwa likizo ufanye naye interview
    Lkn
    HARD MAD mtafute huyu jamaa muhimu sana mlete hapo mjengoni

  • @qimlaw6723
    @qimlaw6723 6 місяців тому +3

    Salute kwako sauti ya zege .

  • @danieldavid4733
    @danieldavid4733 Місяць тому

    Wenye roho safi

  • @maufijose2294
    @maufijose2294 4 місяці тому +1

    Vipaji Halisi Vya Muziki 🙏

  • @VisualsByEnokaOti
    @VisualsByEnokaOti 6 місяців тому +1

    Napenda classics za kuvifacts zinavyonipa feeling za zama zile

  • @KingMuta
    @KingMuta 6 місяців тому +1

    Mchizi Mox × Darassa × Ben Poul na Mdada mmoja.

  • @GoodluckLameck-nh9tq
    @GoodluckLameck-nh9tq 6 місяців тому +1

    Wasanii wa zamani nilipenda kazi zao

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 6 місяців тому +2

    Oiii✊🏽

  • @jumakabota1231
    @jumakabota1231 6 місяців тому +1

    Daaah fupi sana hii

  • @muddylikwena128
    @muddylikwena128 14 днів тому

    Yani bonge la idea kuwaleta malegendary sehemu kama hizi

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 6 місяців тому +1

    Legend🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 6 місяців тому +1

    Mwanangu MCHIZ MOX

  • @MOJAPROMO
    @MOJAPROMO 6 місяців тому +1

    🔥🔥🔥

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 6 місяців тому +1

    Long life 🌄

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 6 місяців тому +1

    Ni kipindiii bomba ila muda wake hautoshiii

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 16 днів тому

    Mi niache nifanye vitu vyangu😂😂😂

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 6 місяців тому +1

    Huyu sauti mpaka sura kama darasa mbona

  • @mzadomwongozo3671
    @mzadomwongozo3671 6 місяців тому +1

    Mtoto analaana😂😂
    RIP Ngwair

  • @stangebo177
    @stangebo177 6 місяців тому +1

    OLD SCHOOL BOY

  • @ramadhaniali1102
    @ramadhaniali1102 3 місяці тому

    Bro jabir unajua sanaa kaka

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 5 місяців тому

    Huyu jamaaa wa shat ya njano kaongea kihisia watoto wa makumbusho walikua wanakula bata

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 6 місяців тому +2

    Muulize Nay Ile style yake mbona kama ya Ibra upupu wa fagio la chuma

    • @hassanmaliki2260
      @hassanmaliki2260 3 місяці тому +1

      Upupu ile style yake ni kwere mzeya nay anafit lakn bado kwa yule mtoto

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 3 місяці тому

    Haina part2?

  • @mackjr5291
    @mackjr5291 6 місяців тому +2

    Mlete Jose mtambo

  • @meshackdauda4315
    @meshackdauda4315 2 місяці тому

    WALIKUA siyo WANAFIKI ,na KAZ walifanya kubwa san

  • @BwaxyWaMichano
    @BwaxyWaMichano 6 місяців тому +3

    After hii tuletee Bahati wa mikasi brother

    • @francistadayo1569
      @francistadayo1569 6 місяців тому +2

      Hayupo bongo huyo Raa! P...yuko USA 🇺🇸

    • @tumpemsyani-io7pv
      @tumpemsyani-io7pv 6 місяців тому

      ​@@francistadayo1569daa aisee kweli nakumbuka

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 6 місяців тому +1

    Inaonekana kuna kipande mmekikata majani alikuwa kapewa zake hapo

  • @user-ef7ef4bv8t
    @user-ef7ef4bv8t 6 місяців тому +2

    Kuva interview za kibaba zote zinaingia robo robo nn mbaya

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  6 місяців тому +5

      Brother pole hizi interview tulifanya miaka 2 iliopita bahati mbaya Channel ilifutwa so hivi ndo vipande tumebaki navyo tu kaka

    • @kulishaandry5730
      @kulishaandry5730 6 місяців тому

      Pole sn , ila mnatisha mbaya ​@@KuviFacts

  • @KINGDOWN-rx8sy
    @KINGDOWN-rx8sy 5 місяців тому

    p

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 6 місяців тому

    Big kwann unavaa unavaa mask wakati wote?

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  6 місяців тому +4

      Kipindi hiko nlitoka kuumwa Covid mkuu

    • @bongomastory791
      @bongomastory791 6 місяців тому

      Nilijua ni Mimi tuu sipendi anavyovaa Mask kama dharau Kwa wenzie vile

    • @bongomastory791
      @bongomastory791 6 місяців тому

      Nilijua ni Mimi tuu sipendi anavyovaa Mask kama dharau Kwa wenzie vile

  • @prosperndelwa4560
    @prosperndelwa4560 5 місяців тому

    𝐨𝐥𝐝 𝐢𝐬 𝐠𝐨𝐥𝐝