UZINDUZI WA MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WA MWAKA 2024-2034

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 тра 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia wa Mwaka 2024 - 2034 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam leo tarehe 8 Mei, 2024.
    #SSH

КОМЕНТАРІ • 5

  • @EdenAChoir
    @EdenAChoir 2 місяці тому

    Tunajua kwa sasa kwamba utunzaji wa mazingira ni utajiri mkubwa na ungeweza kusaidia kuondoa umaskini wa watu wetu kama usingeingiliwa na walafi wa maliasili zetu ambao kila wakati wanajifikiria wao tu bila kujali watu wengine

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 2 місяці тому

    Hamko serious kabisa hilo Jambo halihitaji makongamano ni vitendo tu , hizo gharama za kukusanyika hapo mngezitumia kwenye kueneza mabomba ya gesi na upandaji miti

  • @EdenAChoir
    @EdenAChoir 2 місяці тому

    ukweli vingozi wetu wanafaidika sana na swala hili la utunzaji wa mazingira duniani,tunataka watanzania wafaidike la swala la uwepo wetu wa misitu, tusizibwe nyuso zetu kwa kudanganywa na swala hili dogo sana nishati safi ya kupikia, ni swala dogo sana kulinganisha na faida kubwa sana inaopatikana kutokana na utunzaji wa misitu yetu.

  • @EdenAChoir
    @EdenAChoir 2 місяці тому

    tunataka watanzania tuelimishwe vya kutosha kuhusu swala la faida kubwa inayopatikana kutokana na wa kuhusika katika kutunza mazingira.tunataka viongozi waelewe kuwa tunaelewa kwamba kunamataifa mengine jamii zao zinapata faida na sio watu wachache waliopo kwenye nafasi za juu.

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 2 місяці тому

    Rais ametoa hela hizo!!