WITO WANGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Mungu akikuita umtumikie hukuita katika wakati sahihi.Hata kama wewe unajiona bado lakini tafuta kujua Yeye anakuonaje.Hii ni safari ya Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando kuanzia siku Mungu aliyomuita amtumikie hadi sasa,ni nini kilitokea,baada ya hapo ikawaje na Mungu kamfikisha wapi hadi sasa.#PastorSunbella#Wito#Wangu

КОМЕНТАРІ • 120

  • @arianafrank1282
    @arianafrank1282 8 місяців тому

    Ahimidiwe Mungu kwa ajili yako baba mchungaji, nabii na mwalimu mzuri.
    Najifunza meeengi na ninafunguliwa sana kwa huduma yako ingawa ni kupitia youtube.

  • @anitasamson5735
    @anitasamson5735 3 роки тому +12

    I connect kwenye uzao wangu awepo mtumishi wa Mungu atakayebeba kusudi la Mungu.Amen🙏

  • @janetlugua3167
    @janetlugua3167 5 місяців тому

    Mungu akuzidishie mtumishi wa Mungu

  • @roseneemamassawe-gv7oq
    @roseneemamassawe-gv7oq 9 місяців тому

    Pastor sunbela& pastor john❤❤❤

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    Amen amen amen

  • @user-sb4ok6db8c
    @user-sb4ok6db8c 2 місяці тому

    Allelujah

  • @roseneemamassawe-gv7oq
    @roseneemamassawe-gv7oq 9 місяців тому

    Pastor sia😢❤❤

  • @neywilly9817
    @neywilly9817 3 роки тому +5

    Kweli Mungu awabariki wote mliomuunga mkono Mtumishi Sunbella bila ya Tashwishwi na maagizo ya Mungu, Daaahhh.. Mmetoka mbali ninaiheshimu tena hii huduma na watumishi wote, I salute everyone.
    Utukufu,Heshima vina Mungu wetu.

  • @praygodtumsifu5428
    @praygodtumsifu5428 6 днів тому

    Amen blessed

  • @roseneemamassawe-gv7oq
    @roseneemamassawe-gv7oq 9 місяців тому

    Mungu azidi kukupigania

  • @gabriellafaith6128
    @gabriellafaith6128 3 роки тому +8

    Amennnnnnnnnn Daddy, nimebarikiwa sanaaaaa na nimejifunza mengi pia, MUNGU azidi kukutunza na kukuzidisha umekuwa Baraka sanaaaaa Kwenye maisha ya wengi💯🙏

    • @breezy9398
      @breezy9398 3 роки тому +1

      Gaby kama Gaby ❤🙏

  • @roseneemamassawe-gv7oq
    @roseneemamassawe-gv7oq 9 місяців тому

    Pastor john😢😢😢❤

  • @anselm_gitau
    @anselm_gitau 2 роки тому +5

    There's something so special about this man of God.
    You're such an inspiration and may you rise to even greater dimensions of God's grace.

  • @deborahmakwega6420
    @deborahmakwega6420 Рік тому

    Glory to God

  • @veronikaaugustino2258
    @veronikaaugustino2258 3 роки тому +1

    Nina NENO moja tu kwa MUNGU ASANTE MUNGU kwa kunipa Baba wa kiroo Baba Sun Bella na John Riality Na ASANTE kwa ulikowatoa walipo na wanakokwenda MUNGU endelea kuwatunza na her zikaambatane nawo na Shari kuwaepuka Kila Engo ya maisha yao Leo na milele AMINA

  • @lidyajohn5902
    @lidyajohn5902 5 місяців тому

    Nabarikiwa mno ck yangu inakuja

  • @lovethildah7340
    @lovethildah7340 2 роки тому +1

    Yani nnavokupenda Baba eh🤫
    Acha tuu,, I thank God for your life foreal.
    Hope to see you someday

  • @rahayloygakiza72
    @rahayloygakiza72 3 роки тому +5

    Nakumbuka nilipoona mafundisho yako kwa mara ya kwanza, nilitamaani kujua kuhusu wito wako.

  • @christinamwakitalima4267
    @christinamwakitalima4267 3 роки тому +5

    Glory to God, thanks for your servant amefanyika baraka kwangu na kwa familia yangu

  • @siamoye4549
    @siamoye4549 3 роки тому +1

    MUNGU akubarik jaman baba Kama sio mahubir yako ningekuwa nimeshajiua muda sana

  • @familyofgodtv1290
    @familyofgodtv1290 2 роки тому +1

    Nimefrahia moyoni mwangu kufaham mwanzo wa with wako Mungu naazidi kufanya mambo ya ajabu kwaajili ya utukufu wake utukufu kwa Mungu

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 3 роки тому +1

    Amen nimejifunza MUNGU akuinue zaidi Baba

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 3 роки тому +1

    NAKUPENDA sana.my Dad pastor Sanbella.. kiukwel bila mafundisho yako nilitaka niache WOKOVU...toka nmekujua sijawai juta.. umenifanya niendelee na Imani yang ktk KRISTO YESU...bless you pastor Sanbella. thanks

  • @reisedyy4910
    @reisedyy4910 3 роки тому +3

    Just sit here and waitin for the good history from the good man who luckly changed my life.

  • @Grace-zw5jj
    @Grace-zw5jj 3 роки тому +4

    Oooh, Glory to God. You have a true anointing Man of God.. Mmetoka mbali sana na PastorJohn. Mungu awape maisha marefu na kuwaongezea hekima kila iitwayo Leo. God bless you🙏

  • @mauricekipchemboi9656
    @mauricekipchemboi9656 Рік тому

    glory to God kwa kukuongoza kwa watu wa kulea wito wa Bwana, pastor sanbella

  • @graceoisso3238
    @graceoisso3238 3 роки тому +1

    Amen, nimebarikiwa sana, hongera sana mtumishi, uliposema ulienda chini ya bahari na kukemea, kisha uliporudi ukajiona pale kitandani, nimewaza sana na nikajifunza vitu anavyofanya shetani ameiga kwa MUNGU.

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 2 роки тому

    Utukufu kwa MUNGU BABA ALIYEHAI
    Nimeipendaaaa
    ROHO WA MUNGU ALIYEHAI
    Aendelee na anaendelea kumimina mafuta mapya juu yako na juu ya kanisa hili
    Tufundishe tuombee,

  • @breezy9398
    @breezy9398 3 роки тому +1

    Dady Bella🙏🙏🙏🙏

  • @kilimba687
    @kilimba687 Рік тому

    Amen, Mungu aendelee pia kutumia Mtumishi wa Mungu

  • @magrethroman8518
    @magrethroman8518 Рік тому

    Nampenda sanaa huyu mtumishi wa Mungu actually huyu ndo mchungaji wa kwanza kumuamini kwenye maisha yangu. Amebarikiwa sana na Mungu namuitaga Nabii Elia.

  • @imeldaluena1266
    @imeldaluena1266 3 роки тому +1

    Mungu azidi kukuinua na kukubariki dad bella.

  • @joshjoseph6916
    @joshjoseph6916 2 роки тому +1

    Mungu aedelee kukutunza hakika Mungu amekuweka kwa makusudi❤❤

  • @LucieKe
    @LucieKe 2 роки тому +2

    Glory to Almighty God,Listening and following from Kenya.

  • @neemamwambaja1856
    @neemamwambaja1856 2 роки тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu.napenda unavyofundisha.hongera kwa kutunza maono

  • @suzanaemanuel3621
    @suzanaemanuel3621 3 роки тому +2

    Waiting

  • @lucianamelicho7375
    @lucianamelicho7375 3 роки тому +2

    Holy spirit alinihakikishia Kansan kwako n Mahal sahihi.na kwa hii vdeo imezd kunibark

  • @rehemakilibwa714
    @rehemakilibwa714 3 роки тому +1

    Mungu awatunze kwa ajili ya utukufu wake amen

  • @mutalemwapastoly4158
    @mutalemwapastoly4158 3 роки тому +1

    Nabalikiwa katika mahubiri yake Mungu alibariki

  • @adelaidanyange5896
    @adelaidanyange5896 3 роки тому +2

    UBARIKIWE SANA PASTOR

  • @winneslyaro5369
    @winneslyaro5369 3 роки тому +2

    Mungu ni mkuu sana.... Nimejifunza mengi na hii historia ya wito wa Mtumishi Sunbela.. Namshukuru sana Mungu kwa ajili ya hili kanisa... Kuna mengi sana najifunza kila siku kwenye mafundisho ya Mtumishi Sunbela na hakika nipo kwenye nyumba ya ibada salama sana.... Hata hapa tu kusikiliza hii kwangu imekua baraka kubwa sana..... Utukufu hadi utukufu.. Mimi nipo pamoja na hii huduma na hakika ni Reality of Christ na nazidi kumuona Mungu sana sana kupitia hili kanisa na mafunzo .. Neema ya Mungu inatosha.. Asante kwa baraka hizi Mtumishi Sunbela.

    • @mamirokongx195
      @mamirokongx195 2 роки тому

      Kiukweli Mimi sio wa kabisa hilo, lakini kiukweli kabisa nimemfuatilia UA-cam na video zake, siku moja asubuhi nikiwa namsikiliza nikajiwa na usingizi mzito sana na kuona Pete za vifungo kwenye mkono wangu, ni mengi nimeshuhudia kwa kumsikiliza UA-cam. Natamani kukutana nae nishuhudie ya kwangu

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 Рік тому

    Amen hallelujah

  • @busokasocrates2275
    @busokasocrates2275 2 роки тому

    Muchungaji Nakupenda Sana natena nimeshukulu kwa kuku Pata wewe kama mwalimu wangu

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 Рік тому

    Thank You LORD For connect me Kwa Hyu Mtumishi...

  • @Alex_Anania
    @Alex_Anania 3 роки тому +1

    Amina Pastor

  • @nijulishenijue1168
    @nijulishenijue1168 3 роки тому +1

    Amina

  • @tumpedaudi6681
    @tumpedaudi6681 2 роки тому

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa BWANA, nakupenda sanaaaaa, natamani siku moja nikuone

  • @kulwasaguda7972
    @kulwasaguda7972 2 роки тому

    Hakika MUNGU NI MUNGU MKUU MNOO JINALAKE NIJINA LIPITAYO MAJINA YOTE NA UFALME WAKE HAKIKA NIZAID YAFALME Nimejifunza kitukikubwa sna kupitia kwako mtumish wa MUNGU EeeMUNGU nijaze moyo wauvumilivu kwakila hatua nayoipitia🙏🙏

  • @maryr4033
    @maryr4033 2 роки тому

    Asante Sana kwa kushare Baba. Nimebarikiwa. More grace and anointing over your life. Nawapenda na Mama Siya.

  • @emmanuelvintan8115
    @emmanuelvintan8115 3 роки тому +1

    amina baba nabarikiwa sana

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 3 роки тому

    Barikiwa kwa huduma njema baba, wewe ni baba yangu kiroho kabisa, Mungu akubariki Sana umenifundisha mengi Sana, baba asante sana

  • @ciciandjojo7701
    @ciciandjojo7701 2 роки тому

    Historia nzuri Sana mtumisi. Binaries nimefurahi Mungu aendelee kuwa nawe.na huduma izidi na kuongezeka zaidi na zaidi nakuombea zaidi k🙌

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 Рік тому

    Blessed be the name of the lord God almighty for this grace.

  • @arkmaeda1444
    @arkmaeda1444 2 роки тому

    Shalom.nimekuwa nikibarikiwa sana na mafundisho yako na kunivusha sana pia nakumbuka semina ya meals 2017 au 2018 nilihudhuria kea wiki moja na kea uhakika siku ya mwisho Mungu alinionyesha kazi ninayopaswa kuifanya wakati hui I was so desperate,jobless ,rejected and also hard drinker.Right now am saving God meaningful na nimeanza project ya kufuga kitimoto Bagamoyo.ndio nimeanza ila naamini itakuwa kubwa keani ni koi yangu kumtumikia Mungu kwa kila atakacho kiweka mikinoni mwangu na mimi niwe na furaha na amani ya uchumi.Najua nitakutana na wewe siku moja maana moyo wangu umejawa na hiyo shauku.kazi yako ni njema na Mungu akubariki.

  • @leah1187
    @leah1187 3 роки тому

    Asante mungu kwa kukupa nafasi hiyo nabarikiwa sana na huduma yako hasa kwa kupitia wito wako nàzidi kubarikiwa mungu azid kutenda kwako na kwetu pia

  • @naomizacharia2365
    @naomizacharia2365 2 роки тому +1

    God bless you our lovely pastor I'm truely blessed with your teachings may the Lord keep you safe Baba your lovely wife and kids

  • @janethkhamis3533
    @janethkhamis3533 3 роки тому +2

    Nimebarikiwa Sana ,Mungu akupe maisha marefu saaaaana baba tunakuhitaji katika huruma hii siku zote

    • @shijarichard7094
      @shijarichard7094 3 роки тому

      Thanks u Jesus

    • @evelinamalima8326
      @evelinamalima8326 3 роки тому

      Naangalia na kusikiliza mpaka machozi yananitoka, Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Sunbella.

    • @paulomtweve5952
      @paulomtweve5952 2 роки тому

      Sanbelar mungu.anakuona.siku zamwisho utajibu.koment zote zuri.ila hii.izingatie.sana.mungu.sio aly

    • @jamesgasper6611
      @jamesgasper6611 2 роки тому

      @@paulomtweve5952 unahisi ajaitwa au

  • @imanirubeni9887
    @imanirubeni9887 3 роки тому

    Asante Mungu kwa wema wako yani adi mwili wangu umesisimka sana

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 2 роки тому

    Woow.Anafanana na babake

  • @emanuelkikuo9519
    @emanuelkikuo9519 2 роки тому

    Hongera sana na mungu akutumie zaidi ya hapo naomba kua mwanafunzi wako ktk ualimu wako.

  • @imanirubeni9887
    @imanirubeni9887 3 роки тому

    Aminaaa💓

  • @mutalemwapastoly4158
    @mutalemwapastoly4158 3 роки тому +1

    Ubaliwe

  • @deedee3614
    @deedee3614 3 роки тому

    Mungu aendelee kukutunza mtumishi. Amen.

  • @eliadahmhina4125
    @eliadahmhina4125 2 роки тому

    Nakupenda sana pastor .

  • @lukascharles4861
    @lukascharles4861 3 роки тому

    Umekuwa mwalim mzuri sana nakwakupitia kwako mungu atanifikisa anapotaka

  • @yustinmbilinyi671
    @yustinmbilinyi671 3 роки тому

    uzidi kubarikiwa mtumishi wa Mungu

  • @agathamwangaba8291
    @agathamwangaba8291 2 роки тому

    Nakumbuka sana ulivyokuwa unakuja loyola High school...a true man of God

  • @graciousmedia8235
    @graciousmedia8235 2 роки тому

    Mungu akubariki sana pastor

  • @happinessephraimu3271
    @happinessephraimu3271 3 роки тому

    nimeisikiliza hii story nimejikuta waooo!! Na machozi yamenitoka

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 2 роки тому

    Yani one day nliona clip yake nikavutiwa naye ata kabla nimjue wito wake. God bless you man of God

  • @annstersianganga6772
    @annstersianganga6772 2 роки тому

    Glory be to God Almighty, Mungu azisi kukuongoza. Akufiche kwenye mabawa yake na jani yoko

  • @naanely2247
    @naanely2247 3 роки тому +1

    Am here waiting 🙇‍♀️

    • @makanijosephine6443
      @makanijosephine6443 2 роки тому

      MCH YOU ARE A CHOSEN MAN OF GOD , NINABARIKIWA SANA POPOTE PALE NILIPO JINA LA BWANA LIBARIKIWE

  • @mariakilasile8792
    @mariakilasile8792 2 роки тому

    I thank God for letting me to know about you.

  • @happiefrancis8824
    @happiefrancis8824 3 роки тому

    daah touched mmetoka mbali Mungu awabaruki sana watumishi wake tunawapebda tunawaombea

  • @samanthamueni6322
    @samanthamueni6322 2 роки тому

    A very humble servant of God may the almighty continue to enlarge your ministry in Jesus name

  • @jaqueeen1
    @jaqueeen1 3 роки тому

    Umefanyika baraka sana kwenye maisha yangu, Mungu anamakusudi yake jmn 👐👐👐

  • @imanirubeni9887
    @imanirubeni9887 3 роки тому

    Mungu nimkuu sana 💓

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 Рік тому

    Wooow Glory to GOD 🙏🏾

  • @suzanaemanuel3621
    @suzanaemanuel3621 3 роки тому +1

    Nmebarikiwa🙌🙏

  • @evelinamalima8326
    @evelinamalima8326 3 роки тому

    Nimebarikiwa Sana,
    Mungu akubariki Sana Mtumishi wa Mungu dady Sunbella Kyando.

  • @gradypeter7123
    @gradypeter7123 2 роки тому

    Mimi nahitaji kukuona pastor niko ifakara naomba maelekezo.

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 2 роки тому

    Hallelujah. Prays the Lord. Kumtumikia Mungu faida sana. Mungu aendelee kuwatumia . I love you guys.

  • @moseskwabhi4992
    @moseskwabhi4992 2 роки тому

    Awesome . Love your ministry.

  • @afrikabisatv
    @afrikabisatv 3 роки тому +2

    Glory be to God! Hallelujah... Greetings from Bagamoyo, we are waiting patiently

  • @shonmnali671
    @shonmnali671 3 роки тому +1

    Ameen!.

  • @ladyjackline429
    @ladyjackline429 3 роки тому

    I was waiting for this

  • @mhamdahmd7758
    @mhamdahmd7758 3 роки тому

    Mungu akubariki nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏🙏

  • @ladyjackline429
    @ladyjackline429 3 роки тому

    It's so heart touching..Mungu azidi kukutunza

  • @rahayloygakiza72
    @rahayloygakiza72 3 роки тому

    Asante sana kwa hili.

  • @estherpetza5236
    @estherpetza5236 3 роки тому

    Powerful👏👏👏… we Love you baba

  • @gospelteachingministry195
    @gospelteachingministry195 3 роки тому

    Yes My Mentor am learning 😭😭😭

  • @genevievpaul1946
    @genevievpaul1946 3 роки тому

    Glory to the Almighty God🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🔥🔥🔥🔥🔥! We thank God for you man of God!🙏🏽

  • @anetboaz8783
    @anetboaz8783 3 роки тому

    Amen

  • @victorymwasa5356
    @victorymwasa5356 3 роки тому

    Very powerful

  • @innocentmtui6366
    @innocentmtui6366 2 роки тому

    Akika we ni mkweli niliwahi kukuona kwa Makandiwa.

  • @ezekielluhas3351
    @ezekielluhas3351 3 роки тому

    Glory to God 🙏

  • @millyaketch4968
    @millyaketch4968 2 роки тому

    Amen 🙏

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 2 роки тому

    Natamani one day nikutane nawe

  • @mfalmegideon3987
    @mfalmegideon3987 3 роки тому

    I have learned a lot 🙏🏾
    Glory to God

  • @hansonlz
    @hansonlz 3 роки тому

    🙌