Mara 10 Vina akijadili Mungu, dini na Imani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @muhsiniamiri9310
    @muhsiniamiri9310 4 місяці тому

    sema kujifunza ndo chanzo cha kujua giza na nuru hema isikupe kibri kama huujui mwanzo wak kabla hata hujazaliw na ukuyajua mengi isikufnye ukakufuru

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 Рік тому +1

    Mungu ametengenezwa kwasababu ya kutafuta kuelewa maswali ambayo muda huo yalikuwa yanakosa majibu ila baadae science imekuja inatafuta kujibu maswali yetu. Kizuri cha sayansi kama hakuna ushahidi unatuliya. Dini ni kuamini Bila ushahidi wala kufikiriya ndiyo imana unazani kwanini wakoloni wametufunzanga madini kulikoni uchumi

    • @presstv7700
      @presstv7700 Рік тому

      Watu wakielezewa kuhusu mchakato wa mageuzi huishia kusema uongo coz hakuna ushahidi kamili wakati kuna asilimia nyingi wajat huo huo hakuna hata asilimia 1 kama mungu yupo na anaamini

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 Рік тому

    Nilikuwa namkubali kwa harakati zake lakini kwa hili nadhani tusubiri akue,utoto unamsumbua,hiyo ndiomaana ya kula ukashiba,unajua Kuna wakati ukisifiwa sana unaona kweli una akili kuliko wengine kwa matendo yako,wabongo wengi wanasoma vitabu,baada ya hapo huwa watumwa wa hayo maarifa, hawawezi kuwa wao,siku akikua atajua Kuna wanaoijua hii dunia, wamenyamaza na ndio wanaendesha hii dunia,iwe afrika iwe ulaya Kama akibahatika Kuna siku atajua dunia ni habari nyingine kabisa.sio kila kinachokuja kwenye kichwa chako unaweza kuongea maana hata hujui kuhusu wewe na adui yako wa karibu ni wewe mwenyewe 🙏

    • @dizastavinafanaccount
      @dizastavinafanaccount  Рік тому

      Na wewe umesoma dini mpaka umekuwa mtumwa wa dini yako. Na wewe ukikua utaacha utoto. DIni na yenyewe ni utoto ukikua utaelewa kuwa unaibiwa PUnda we

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 Рік тому

    Mungu hakuwangi kwasababu mungu ni hoja ambayo imeanzishwa na mtu BILA ushahidi. Na ikumbuke kuwa muanzisha hoja yoyote ambayo atunaushaidi nayo yeye ndiye anapaswa kutupa ushaidi la sivyo hoja yake ni buree na asisubiriye Mimi ambaye namuuliza ushahidi wahoja yake ndiye nimpe ushahidi laa. Kwa Mfano mtu akisema maisha baada ya kufaa yapo nikimuuliza towa ushahidi anakataa alafu asema na wewe towa maisha ya baada ya kifo kama hayakuwagi so apo anakoseya yeye ndiye atowe hoja ndiyo critical thinking inavyo tumika. Ukosema malaika wapo duniani sasa towa proof BILA proof tuache .

    • @presstv7700
      @presstv7700 Рік тому

      Ki ufupi dunia inaburuzwa na watu ambao walitetea maslahi yao na ndivo ilivyopangwa coz naamini kwenye makundi matatu ya binaadam ila mawili makuu ni mtafutaji na mfataji hivyo waliozaliwa ku kutunga sheria watatunga na waliozaliwa kufata watafata ila mungu hayupo au hatujui nini kipo

  • @peterkadama2544
    @peterkadama2544 Рік тому

    Long live bro... Work good

  • @talebanistudio4513
    @talebanistudio4513 Рік тому

    Dizasta vina ni kiumbe noma sana tanzania 🇹🇿 jivunia kuwa na dizasta lakini tuna penda atupe video ya tribulation

  • @petercharles8572
    @petercharles8572 Рік тому

    Kiufupi dizasta hamini katika MUNGU na anamini sana katika "Asili" mara nyingi imeonekena hivyo kwenye njimbo zake akiwa anazungumzia moja kati ya vitu hivi viwili...
    But kama ilivyo katika lugha mbalimbali MUNGU,GOD,ALLAH etc still hata "Asili" ni jina la MUNGU kisayansi, tafsiri ya MUNGU kisayansi - Ni nguvu ya asili inayoendesha ulimwengu.
    Sawa ni vizuri kusoma mtazamo wa Christopher Hitchens ila haizuii kufanya utafiti binafsi haizuii pia kusoma mtazamo wa Baruch Spinoza... Hakuna fact kuthibitisha MUNGU hayupo but zilizopo ni hoja tu ambazo zinaweza kuzungumzika na tunaweza kuhoji pia juu ya hoja izo.
    Kama hauamini katika MUNGU unamini katika Asili still bado unaamini katika MUNGU.
    Yote kwa yote I realize life is perspective and my perspective may differ from yours.

    • @dizastavinafanaccount
      @dizastavinafanaccount  Рік тому +2

      To Dizasta(artist) Mungu is just an idea, kama zilivyo ideas nyingine. He never joined any discussion about it.
      Hajawahi kusema hamna Mungu wala hajawahi kusema yupo Because both would need proof.
      Unaposema hakuna proof Mungu hayupo it doesn’t mean yupo. Hakuna proof kuwa Santa clause hayupo, hakuna proof kuwa hakuna yai la dhahabu chini ya bahari. Hakuna proof kuwa hakuna watu katikati ya jua. Kukosa ushahidi kuwa hakuna haimaanishi vipo
      Absense of evidence is not evidence.

    • @stiangabrirl
      @stiangabrirl Рік тому +2

      Bado ishu ya kuwa Mungu yupo au hayupo inabaki kuwa fumbo, uchunguzi zaidi unahitajika.... ✍️

    • @presstv7700
      @presstv7700 Рік тому +1

      @@dizastavinafanaccount nakuelewa sana upo wazi ila binaadam wanafata wanachotaka na si kilicho sawa leo ukianzisha maswala hayo watu yanawauma bila ya wao kujua sababu ni nini na ukiwauliza sana wanasema unawazonga mimi nakubali kwamba mungu ni wazo tu ingawa uislam ulionyeshwa kujawa na uzito wa kupasua ila mungu bado atabaki kua ni wazo tu coz hayupo na wala hatokuepo na wengi hujisokota hapo kwamba kuna nguvu imeanzisha ulimwengu kwanini sasa unaituhumu ulitakiwa useme sijui coz hujui kweli na sio kusingizia mara moja nilimwambia shekhe mmoja huku kwet zenji kwamba dini zimekataza kudhani ila bado munaendelea kudhani kwamba mungu yupo dah dunia ina vifuu tundu vitupu mana mpaka hao wenye akili pia ukifatilia miongozo au mezani sahihi wanazozifata kupimia majambo pia zinaua maisha na kila kitu tunabaki kuona mahisia kama imani huruma upendo furaha ni makorokoro ila uo usawa ukiufata na kuacha korokoro hayo basi tunaondoa asili ya maisha kiufupi dunia ina mengi mazonge wengine wanaamini maisha baada ya kufa ah kwani kabla ya kuzaliwa ulikua wapi ata ufe uende sehemu duh

    • @presstv7700
      @presstv7700 Рік тому +1

      @@dizastavinafanaccount bos sikujui ila nimeona jibu lako likiwa na kilo mia za uelewa wa majambo najua si muhimu kwako ila naomba mawasiliano na ww kwa njia yoyote ile najua ni ngumu coz hakuna faida kwako juu ya hilo ila naomba mawasiliano na ww na ikiwa ni kulipia pia hakutakua na shida ahsant bro

    • @maishaforreal7798
      @maishaforreal7798 Рік тому +1

      Kama unasema maandiko vizuri ya vitabu vya dini utaona hitilafu nyingi UONGO MWINGI ukilonganisha na ushahidi wenye sayansi imetufanya tujuwe mida hiii ushahidi upo

  • @muhsiniamiri9310
    @muhsiniamiri9310 4 місяці тому

    sema kujifunza ndo chanzo cha kujua giza na nuru hema isipokupe kibri kama huujui mwanzo wak kabla hata hujazaliw kuyajua mengi isikufnye ukakufuru