Mungu ni mwema, mkubwa, mjuzi, muweza, na muamuzi wa kila jambo, yeye hashindwi na japo... Yaa Allah mpe shifaa mtoto huyu, na subra pamoja wa wazazi wake
Mungu ni mwaminifu,hatakifa, Mimi niliambiwa nitakufa miaka 11 imepita Sasa,na Niko hai, Mungu wangu ni mkuu,na njia zake hazichunguziki,hayo ni majibu ya madaktar tuu,sio majibu ya Mungu
Mungu ni mwema, mkubwa, mjuzi, muweza, na muamuzi wa kila jambo, yeye hashindwi na japo...
Yaa Allah mpe shifaa mtoto huyu, na subra pamoja wa wazazi wake
Mungu ni mwaminifu,hatakifa, Mimi niliambiwa nitakufa miaka 11 imepita Sasa,na Niko hai, Mungu wangu ni mkuu,na njia zake hazichunguziki,hayo ni majibu ya madaktar tuu,sio majibu ya Mungu
Aamin Rabi laalamin
Hakika mdogo wangu niliambiwa hsptl nirudi na 2 nyumbani angoje cku yk. Miaka 20 nyuma. Daktari alosema hayo ameshatangulia kitambo! Ni ALLAH MWENYEWE
Sana
@@TunauzaSimu-fn2ffmadaktali ndivyo walivyo wengiwakatili baada yakumpamoyo mtu wanamkatisha tamaa hawajui Mungu ndiyokilakitu dawa ni sababutu
Mungu amuwafu huyo mtoto ishaalah mtihani yarabi asikate tamaa atapona ishaalah mimi namuombeya mungu atamuwafu ishaalah
Atakufa bali ataishi ili ayasimulie matendo makuu ya Mungu 🙏🙏mama usikate tamaa Mungu wa mbinguni akutie nguvu🙏🙏
😭😭😭 may God heal her 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mungu wetu wa Mbinguni okoa maisha ya huyu mtoto
Mungu akuponeshe mdogowangu
Daah sad😢
DADA YANGU NAKUSHAURI NAOMBA MPELEKE KQA NABII SUGUYE, MTOTO ATAPONA TAFADHALI USIPUUZE
anaumwa nini? kama mim sjasikia
Kansa