Chino Kidd Ft Stamina Shorwebwenzi - Change Vibe (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 3 січ 2025
- Chino Kidd Featuring Stamina Perfomancing - {Change Vibe} Official Music Video . Producer by Sky, Mixing and mastering by Mr T Touch (C) 2023 exclusively licensed Under (Waaman Gang). The Music Video was shot at Dar es salaam ,Tanzania Directed by Joma
Arrangements Music & Music Story Video
By : Michael Charles Chali
Connect Technician Digital Tanzania on Social Media:
/ digital_tanzania
Stream/Download Click here:ffm.to/Changevibe
Connect with Chino Kidd on Social Media :
/ chino_kidd7
/ chinokidd
www.facebook.c...
/ chinogreat
Listen to Chino Kidd on Digital Platform :
BoomPlay: www.boomplay.c...
Audio Mack : audiomack.com/...
MKITO: mkito.com/arti...
iTunes: / chino-kidd
Spotify: spotify.link/w...
Deezer: www.deezer.com...
Subscribes | View | Share on Channel Account : / @chinokidd
+For More Information Booking Chino :
Contact : +255712562397
Email : chinokidd06@gmail.com📩
#changevibe #Chinokidd #stamina
©2023 Chino Kidd All rights reserved.
Music in this video
Learn more
Song
Change vibe
Artist
Chino Kidd
Licensed to UA-cam
I'm here (Chart with me)
Hili ni ngoma ya taifa mzee big up bro.....
#CHANGEVIBE
Tuko hapa kaka tunasubiri
Ukitaka fanikiwa zaidi usibague wasaniii wengine ishi na kila mtu alafu jifanye mjinga alafu show za elfu 5O achana nazo
Heshima sana
@chinokidd atakuwa international sensation siku moja inshallah ❤
Tukiwasheeeee Tazama mara kwa mara hii video
Good job.
Broo nomaxana
Hii ngoma italeta mapinduzi kwa career yako Kidd 💪
Whats app
Siyo amapiano tu hata muziki mwingine Chino Wanaman anaweza
Naomba likes za Chino 100k
#Changevibe 🔥🔥🔥🔥
Chino BangerMan... much love❤
❤
Burundi
Nilikua siamini na najiambia kwamba upepo wa Amapiano ukiisha na wewe tunakupoteza, lakini umenishangaza maana hii kwangu imekuwa NZURI zaidi na HIT kwenye masikio yangu kuliko Amapiano zako zoote ❤❤❤🔥🔥🔥
Live nilikuwa natafuta comment kama ii
Kam mm aisee
Ume2shangaza mashabik wa muziki aisee hiki ni kipaji halisi
Hakika ametisha sana
Kweli kabisa
Huu wimbo chino ulitakiwa uwimbe verse mbili ❤❤
Wale wanamkubali stamina nipeni likes tukisongaa
Chino chino good aid
Hakikisha kwamba unatoa nyingne kama hii kaka
Oyah we mih ndo wa kwanza hapa Kwa hio niwaombeni like hata tano basi ❤❤❤😢😢😢😢...
Huna kazi ya kufanya 😅
How are you Dina Laguna number to Elizabeth
Chino wanama chino wanama chino wanama!!! Nipeni likes❤❤
Dah hii nyimbo Kali Sana breeze is the best
Yeahhh!! Dat’z creativity we need now Game Changer👏🏻👏🏻👏🏻
This guy is on another level 🔥
Every time nakuja kuchungulia trending #03
Kaka chino kaaua✌️ watu waanze kurespect Jaman ❤❤ amapiano people can also sing hip hop❤
STAMINA KAPOAAA SANA...HUMU NDANI JAMANI AU NI SIKIO LANGU...😮😮😮.....
Noma
Oyaaa KAZI kubwa sanaaa mzee wangu #chino ni mmoja tu TZ🔥🔥🔥🔥
Wa stamina mpeni like zake
Nakubali sana
Chino and stamina are now the most wanted because of killing the beat in this track
Most wanted 🤣🤣🤣
Moooooooto
This is the heat....ukija Kenya perform hii kwa ajili yangu Being Ben
Jamaa yupo normal sana jana nimekutana nae Kitambaa yupo cool sana ...ALLAH amsimamie zaidi
True Story Chino This Is Another Banger From Shorwebwenzi I Appreciate Your Talent Brother's 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
True meaning of a complete artist
Ngoma kali kinoma nomaaaaaaaaa tumekuzoea kimapianoo
Very nice , I found this while listening to the song “Dupe - Balling” 😅😅
Wasemee sasaa kwamba huez kuimba ngoma kama hizi
Haipingiki kila kazi haipingiki🤙🤙Mikonoo juu wana Chino to change vibes
Chino we sio mtu mzuri kwakweli maana mmmmh were KIBOKOOOOOÒ
Chino the next African King
Nice
Sikupingi home boy
May God Keys Open Doors for you brother....those kids and the gang will thank you later!
Music vibe
Stamina did wonders for this track, Chino is definitely a super chorus hitter but stamina did this justic🔥🔥🔥
Goma kali san
Nime wayi wakwanza Leo nipeni liké kama unamu penda Chino na stamina
He totally killed it .. Forever Young 🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷
One love from brother MABRA from Mombasa Kenya uko juu brother @chinokidd
Chino never disappoint
Achia kaka goma letu
Nakubali mz wangu
Leo nimekubali kazi ya Chino gonga like ❤ tuwende 🎉
Kaka nomaaaaaaaaaaaaaaaa AAA chino kid umetisha
You’re the Next Big thing in Africa Chino. ❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥
Aloo kwenye mpira sa hii anaongelewa Jude Bellingham ila huu mziki wa bongo aloo aahh chinoooo Wana man 🔥🔥🔥🔥🔥
Straight outer Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪, nakubali wanangu ✊✊✊✊✊✊
Oooh my god hit of the year #changevibe❤❤
Daaaadeki wanangu mmeua mbayaaaaaa
Chinno
That's so Perfect
You killed brother!🎉
Big up ♥️ from Congo 🇨🇩wa congo tujuwane hapa gonga like
Nomaaa snaa. Aaah chinoo
All the way from Zenji #Marashi ya Karafuu❤❤🌹🌹🙌🙌
Next big thing kwenye hii generation
Sichoki kuangalia this video wallah it hits different unajuaaaaa bhna
Really you change the vibe man Hakuna shake shake Apo umeingia bongo Sasa umerud nyumbani Umetoka kwa Mandela 💯🔥
Yah karudi home
Jamaa ameuwa sn tn sn, nilikuwa namuchukuliya pw, kumbe huyu Jamaa anaweza hivi?
❤❤from Kenya ,,tanzania will never disappoint us East Africa 😅
mungu azid kukupa afya njema mzee umeua sana
HIT OF THE YEAR 😇🔥
This is great I like the flow I like the chorus I say umejua Kwa hii
My Brother Taking Over the Game much love Chino Wana Man !!Kenya ndani man ! Asante !!
God protect you u deserve for everything
I really love Chino Authenticity.....twakukaribisha 🇰🇪🔥🔥🔥
Au sio
Najilaumu kuchelewa kusikiliza hii nyimbo aisee nmezidi kukubali zaid ❤
I LOVE the chorus more change vibe ❤❤❤❤
Change vibe x 1000 big up bro we appreciate
We msenge unajua saana.
Chino is winning infront of our eyess ñ we are prouddddddd🙌🏾🤩
hellow chino by zacknizer naomba sappot yako nipo dar kutoka mbeya plz my brother
ikiwemo hata no ya cm
Something unexpected .... CHINO Killed on this one
KaZi yakwenda,iko poa sana
Moro town in da house💯🙌
Dodondosha baana🤞🏾🙌
brother honestly ngoma zako nyingi nilikuwa nazipenda kwa video mnavyo dance but kwa hii ngoma yako brother mmmhh hii moto sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hi ngoma noma broh
Chino haupingwi already unatrend #1 Kenya 🇰🇪 Burundi 🇧🇮#2 Tanzania 🇹🇿 #1 You kill it man
Hahahah kenya ipi
@@davidnyerere2016ya ruto 😂😂
@@Dadapau255 kwa tz kuna ruto pia
@@davidnyerere2016 I mean his trending kenya ya ruto
Kama unaweza kuludia huu wimbo mala tatu kamamimi like hapa ❤😂😂
Vc
Chinn
sikio moja tu likatosha kuniaminisha huu wimbo ni mkali 🔥
Uma curtida 👊volto novamente assistindo a música 🇲🇿
Hit song
Oyaaaaah oyaaaaaah 🥳🥳🔥🔥🔥🙌🙌🙌❤️❤️
Broo I'm from Zimbabwe but damn you good Chino Man 🔥🔥🔥
The guy himself is full vibe
Aaaaaaaah HAWAKUWEZI. This took me by suprise fr.
Chino you gotta drop more of this
Dope Vibe....Staminaaaaa
Chino tunakupenda sana tunataka ukuye uku Burundi🙏
Aleeh chinno😂🔥🔥🔥🙌⚡💜
The true definition of #BADNATION🙌
This song is lit man❤🎉🎉🎉
Chinno hiyo Ngoma ni Kali sana.big up broo
Can't stop listening 🎧 to this hit u guy's just nailed it 🙌🙌🔥🔥
I didn't expect this, you're damn good 🔥🔥🔥🔥🔥
Hili dude limeenda shule... Ngoma kali
Everything OnPoint Chino Keep Pushing Ma G✊✌️🇹🇿🇹🇿🔥🔥
You kill it bro
Your the top
Hii nyimbo nimeipenda sababu ina amekuwa creative kuanzia mashairi hadi video. Big up chino
Pure hit
Chino you kill it brother 🔥🔥🔥
Big up sana chino wanaman uweza bro umeuwa.
ALL THE WAY FROM KENYA
Chino is on another level 🔥
Umekuja atimae😂🔥🔥👊🏽
Aaanh hii ndyo maana ya another level 🎉
Who watch in 2090 chino was talented 🔥