BABA ANYIMWA KUZIKA MWANAE ALIYEFARIKI KWENYE AJALI YA MAJI AFUKUZWA MSIBANI MWANASHERIA AFAFANUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 249

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 5 місяців тому +8

    Baba kama ni damu yako inuwa mikono shukuru Mungu atajibu. Damu haipotei hakimu wa mwisho ni Mungu.

    • @mwabuselectors
      @mwabuselectors 5 місяців тому +2

      Trust me hii kama kwli ni damu yake Itajibu siku. Nimepitia hapa comments wengi wanamcheka kua labda alikua haudumii.. Ofcourse inabid kujua both side stories ila haiondoi ile position ya jamaa kama alikua kweli ni baba wa mtoto. na hii its more spiritual than what people thinks in physical world..

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 5 місяців тому +9

    Hii rambi rambi imefumua mengi mwaka huu 🙌🙌💔

  • @catherinecharles8710
    @catherinecharles8710 5 місяців тому +1

    Wanaume mmejua sana kukwepa majukumu likitokea lakutoe ndo mnaanza kudai haki, hamjui mtoto anakula nn, anavaa nn, anaenda vipi shule then wataka haki wanaume mjitafakar sana ata kama mama pia nichangamoto, tunza mtoto wako kama kweli nidamu yako ata ukitaka haki upewe bigup mother 💪💪💪

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 5 місяців тому +8

    Wababa jina jifunzeni hapo mwanajshi hana kosa,apewe hongera kwa kumlea huyo malaika asie na kosa na tumpe pole kwa kufiwa na mwanae wa kufikia mauwa yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @DM_15
      @DM_15 5 місяців тому +1

      Wababajina hujielewi wewe huyo mama inaonyesha nimalaya tuu that's why akamkabidhi mtoto kwamtu mwingine kutengana katika ndoa haimaanish mwanaume ni mwanaumejina tabiapia husababisha watu kutengana. Watu walifungandoa kabisa bado mama kaenda kungine kuolewa namtoto unamkabidhisha huko unako olewa , unamkosea mtoto unamdhulum mtoto hakiyake. Siku akikua utamfanya mtoto kua namfadhaiko wamawazo

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 місяців тому +2

      @@DM_15kama angekuwa baba mwenye kufanya majukumu yake basi ilikuwa yeye ashughulikie maswala ya msiba kwa hiyo hata huo msalaba angeenda kuutengeneza yeye. Mababa wengi mnajua Kazaa lakini kulea mnakwepa!

    • @DM_15
      @DM_15 4 місяці тому

      @@MsAggie5 nawewe unachekesha ushasikia mtoto alikua anaishi na mama huko aliko olewa, una uhakikagani huyo jamaa alikua huru kumuona mwanae msibatuu baba kaja kafukuzwa je, katika uzima alipata fursa yakumuona mwanaye? Tatizo mentality mnadhani kila mama anaelea mtoto pekeyake mnakimbia kutusi wanaume , wanaume wamejaaliwa kunyamaza hasemagi madhaifu yawezawao walachangamoto zinazo sababisha wao kutengana, wanaume wameumbwahivyo, huyo alie muoa huyo mama inawezekana alishamwambia mwanamke sitaki kukusikia ukiwasiliana na mzazi mwenzio. Hivyo huyo mama akaamua kumbadilisha mtoto jina kbisa. Wana ume ana wezakua anapigwa namkewe ndani lkn aka kaa kimya tuu na akaendelea na life lake msiwe wepesi kuhukumu. Mimj huwa naamini mwana ume mbaka aje alipe mahari aghramikie harusi kash kash zote zakuoa aka fuata halafu uje useme mwanaumejina . Siokweli mwana ume mbaka afanye jambo kubwahivyo ujue amefikiria kwakina ametazama namna yakuendesha maisha na akajiridhisha hakunaga mwana ume anaingia ghrama zakipumbavu hivyo kwani hakua anamengine yakufanya umalaya tuu wahuyo mama unamsumbua nothing another thing jamaa huenda kashuka kiuchumituu akakimbia kwa huyo mwingine

  • @elizabethsangure4677
    @elizabethsangure4677 5 місяців тому +4

    Ulikuwa wapi wakati msalaba unaandikwa? Maana yake hukushiriki toka mwanzo umeenda saa ya kuzika tu, duh

  • @consomaslani7522
    @consomaslani7522 5 місяців тому +2

    Pole baba jina jina anapojitokeza kwenye tukio na kukuta jina halipo wakati hata ada hajui ni shi ngapi mtoto anakula nini yupo kama hayupo pole 😢

  • @witneyjerry2587
    @witneyjerry2587 5 місяців тому +2

    Namuonea huruma huyu baba,ukute watoto ni wa mwanajeshi😂😂

  • @NimahNchina
    @NimahNchina 5 місяців тому +1

    Ila selikali ingeangalia namna nyingine kwa upande wa wananwake wanaotelekezwa na watoto alisilimia kubwa wababa wanatelekeza watoto bila ya kujua wanaishi vip wanakula vip pongezi kwa mwanajeshi yeye ndo anajua watoto wale nini wasome shule gani wanavaa nini ila kwa sasa sheria itaingingia kumkandamiza huyu aliyevaa kiyatu kisichomhusu lakini kaeni mkijua single mothers wanateseka sana na majukumu ya kulea watoto

  • @sophiagogola7866
    @sophiagogola7866 5 місяців тому +6

    Mkome wanaume kutelekeza watt

  • @pendomushi6351
    @pendomushi6351 5 місяців тому +5

    Hv mtu hakupi huduma yeyote ya mtoto miaka 5_10 hafu anaskia changamoto ndo analeta fuvu lake eti mwanangu hebu acheni hizo mambo bwana msichoshe mtoto ! Me bado sijakuelewa hata kidogo

    • @ernestsereli8559
      @ernestsereli8559 5 місяців тому

      Huduma inahusiana nn na jina la mtt???

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 5 місяців тому

      @@ernestsereli8559 vina uhusiano Sana kama umemtelekeza Toka azaliwe nakupa Hilo jina la Nini labda

  • @Salimushekifu
    @Salimushekifu 5 місяців тому +7

    Kuitwa baba sio jina la ubatizo.

  • @RichadTenga-ze4vp
    @RichadTenga-ze4vp 5 місяців тому +10

    HUYO mwanajeshi amejidhalilisha.mtoto usiyemzaa anapewaje jina lako jamani SI kujiaibisha huko

    • @mwabuselectors
      @mwabuselectors 5 місяців тому +1

      Sure. Unless huyu mama alitembea nae wakati wa ndoa. Kua huyu mwanajesh ndio mtoto wake wa damu. kwamba alimbambikia jamaa, lakin bado haijakaa sawa ingawa lazima mvutano unakua mkubwa,..Lakin kama sio mtoto wake wa damu its very bad Spiritually

    • @mtolela12
      @mtolela12 5 місяців тому

      Atakua hanisi labda

    • @fridagustaphmwenda6658
      @fridagustaphmwenda6658 5 місяців тому +1

      Huenda ni hasira kwakuwa hukuhudumia mtoto ulikataa

    • @fridagustaphmwenda6658
      @fridagustaphmwenda6658 5 місяців тому +1

      Ulikuwa unamuhudumia huyo mtoto

    • @fridagustaphmwenda6658
      @fridagustaphmwenda6658 5 місяців тому +1

      Sasa kama alimkataa

  • @talents7934
    @talents7934 5 місяців тому +3

    Kitaalamu Hii inaitwa kukwepa Majukum😂😂 huenda ulikuwa hupeleki maokoto

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 5 місяців тому +1

    Doctor hata km ukigombana na mwanamke lea watoto lakini km alikunyima kuhuumia hapo kweli umenyimwa haki. Pole

  • @emes602
    @emes602 5 місяців тому +1

    Ule msemo ukipenda boga penda na ua lake. Mjeshi kapenda na mama na mtoto wake.. safi sana amefanya vzr sana.

  • @hanneremily3928
    @hanneremily3928 5 місяців тому +2

    Ulikuwa unatoa Ada ulikuwa unamtunza huyo mtoto au unataka masingle mother wafanyaje Duuuh wanaume tunzeni watoto wenu mtapata haki zenu ilakama hamuwatunzi yatakukuta kitu

  • @bettykasase1267
    @bettykasase1267 5 місяців тому +4

    Makonda anakazi saana,huu mkoa unamambo

  • @KuruthumKikuyu
    @KuruthumKikuyu 5 місяців тому +7

    Huduma utoi unalilia mtoto pambaneni kuhudumia watoto wanawake wanaudumia watoto wenyewe

    • @SaedaAlbreki
      @SaedaAlbreki 5 місяців тому

      Hapo ndugu halilii mtoto analilia pesa ya rambilambia

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому

      ​@@SaedaAlbrekikabisa hakuwa na mapenzi na mwanae, aibu sana kwake

    • @EmmanuelMushi-r3n
      @EmmanuelMushi-r3n 5 місяців тому

      Bado ujatoa hoja

    • @haryanyawu640
      @haryanyawu640 5 місяців тому

      Nani mwenye uhakika kama.hatoi matumizi?

    • @betyjoseph6812
      @betyjoseph6812 5 місяців тому

      ​@@SaedaAlbreki umemaliza

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 5 місяців тому +3

    Tukumbuke anayejua baba halisi wa mtoto ni mama. Tusisahau hilo 😂

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 5 місяців тому +3

    Alikuwa analipa ada?

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 5 місяців тому +2

    Ww unakosea Sana suala hili usiseme anatumia uwanajeshi tulisema nae anatumia udaktari wake kulalamika usiwe unataja nafasi ya hujasikiliza upande wa pili ww unalaumu mwanajeshi siyo. Sawa Hiyo ni taaluma kama ulivyoww wakili

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah 5 місяців тому +4

    Ww utalelewaje mtoto na mwanaume mwenzio bwana tupishe jitu zima ovhooooo

    • @ernestsereli8559
      @ernestsereli8559 5 місяців тому

      Una uhakika gan halei mtt?achen ushabik wa kijingaa

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 5 місяців тому +4

    Kwani huyu Daktari alikuwa halipi Ada akajua jina la mtoto linasomekaje?angekuwa anawajibika angetatua hilo tatizo mapemaaa ina we,ekana alikuwa anaona watoto wanasoma kwake kitonga tuu

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 5 місяців тому +2

      Alikuwa halipi angelipa ada angejua jina la mtoto wake

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому

      ​@@HamisiForogokwa ujumla alikuwa hajali Leo kafa anakuwa mtamu , dunia simamia nishuke😢😢😢😢

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 5 місяців тому +1

      SIKILIZENI TENA, MTOTO SHULENI JINA LIKO SAWA SHIDA NI HAPO KWENYE MSALABA TU. MIMI NASHAURI DOCTS ADAI MTOTO MAHAKAMANI KWANI ALIYE KUFA HAPO SIYO WAKE HIVYO ADAI MTOTO WAKE AKIWA HAI.

    • @martinabayyo9982
      @martinabayyo9982 5 місяців тому

      Huyo jamaa alikuwa hawajibikib kitu chochote kuhusu mtoto, angekuwa anawajibika angetatua Hilo tatizo kabla

  • @loycenicolao7488
    @loycenicolao7488 5 місяців тому +3

    Siku zote alikuwa wapi kupaza sauti mitandaoni na kuomba wanawe? Leo amefariki ndio anajitokeza. Aishie kule kule alikokuwa. Amuache mama na mume wake mwingine wazike mtoto maana ndiye alikuwa mlezi WA mtoto muda wote na mlipa Ada😊

    • @daudimchileg307
      @daudimchileg307 5 місяців тому

      Huwez kuzka mtoto hata kama angelelewa hadi uzeeni.

    • @martinabayyo9982
      @martinabayyo9982 5 місяців тому

      Atamzika tu, kelele za chura haimzuii ngombe kunywa Maji, alikwepa jukumu la malezi Leo kafa anataka nn?

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 5 місяців тому +1

    Uliwahi omba msaada usaidiwe kutunza Mtoto mke kakataaa😂

  • @irenebeatus9481
    @irenebeatus9481 5 місяців тому +3

    Ungekua unalipa ada ungejua mtoto jina lake halisi ni lipi inaonekana malezi ulikua hufanyi mwanaume unizalishe unitelekeze uje ubane. Pua mtoto fyoko riozo ntakutoa macho baba sio mbegu baba. Ni malezi khaaa

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 5 місяців тому

      Haswaaaaah watunze watoto wao

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 5 місяців тому

      ​@@HamisiForogo. Wamesema jina la mtoto shuleni halina shida ila kttk msalaba ndo pana sinto fahamu.

    • @RenatusMatungwa
      @RenatusMatungwa 5 місяців тому

      Tatizo mnakimbilia kutoa maoni badala ya kusikiliza maelezo umeambiwa shuleni jina halisi linatumika ila alipofariki likabadilishwa

    • @winifridarugayana7312
      @winifridarugayana7312 5 місяців тому

      Kuna watoto wengi wanaolipiwa ada na watu wengine, hicho siyo kigezo Cha mtoto kubandikwa Jina la baba wakambo,

    • @martinabayyo9982
      @martinabayyo9982 5 місяців тому

      ​@@RenatusMatungwawanaume hamfai , kazi kuzalisha tu kulea hamjui then siku likitokea lolote mnajitokeza

  • @mwanaidiathuman382
    @mwanaidiathuman382 5 місяців тому +1

    Hatari sana

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 5 місяців тому +7

    Hapo baba analazimisha hela za rambirambi wakati watoto wako wanahudumiwa na baba mwingine😂😂mnampa shida mama samia hajui pesa za rambirambi ampe nani!

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 5 місяців тому

      Kama kweli vile

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 5 місяців тому

      ​@@joycemkeka3769MWANAMME KAMILI HALEI WASIYO WAKE, HUZAA WAKE NA KUWALEA.

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 5 місяців тому

      Hana maana hiyo yeye kaenda kuzika mtoto wake aisee , wamemkosea Dr

    • @lucymtui8680
      @lucymtui8680 5 місяців тому

      😂

  • @BerthaEnock-gm8gq
    @BerthaEnock-gm8gq 5 місяців тому

    Inauma sana jamn

  • @christonakei3232
    @christonakei3232 5 місяців тому +6

    Yaan mtoto hamtunzi alafu unataka mtoto subutu yako

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 5 місяців тому

      Hata kama angekua hamtunzi hawezi badilishwa jina jina la baba ni baba hata kama hatoi mia hilo ni kosaaaaa

    • @winifridarugayana7312
      @winifridarugayana7312 5 місяців тому +1

      Kutunza ni kitu kingine na kuzaa ni kitu kingine kumnyima mwanae si sawa

  • @ESTHERKamala-qp7gi
    @ESTHERKamala-qp7gi 5 місяців тому +1

    Je ulikuwa unahudumia mtoto au ni baba jina tu pole sana

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 місяців тому

      Hata kama hakuwa anamuhudumia mtoto kashafariki malumbano ya nini? Na walifunga ndoa, shida ikowapi? Anyway amwachie Mungu tu

  • @sophiaibrahim446
    @sophiaibrahim446 5 місяців тому

    Wababa acheni kutelekeza watoto wewe baba ndo mwenye makosa, kama mwenzako alipenda boga akapenda na uwa lake muache mwenzako akusaidie kulea pole sana

  • @RoseMaanga
    @RoseMaanga 5 місяців тому +3

    Wanajuaga baba ni jina la ukoo

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 5 місяців тому +1

    Kwan hata usipomzika tatizo ni nini au rambirambi

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 5 місяців тому +1

    Mimi kwa akili zangu fupi kama simpendi uy mwanaume alienitelekeza ningemwambia mtoto sio wakwake bc yaishe

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 місяців тому

      Walikuwa wanandoa kama wasingefunga ndoa labda. Lakini sio afya kumbadilisha mtoto jina

  • @marianalyimo
    @marianalyimo 5 місяців тому +7

    wanaume wengi wa kitanzania ni mababa majina.

    • @veronicahlusekelo5205
      @veronicahlusekelo5205 5 місяців тому

      Ndio baba jina haudumii watoto kwa kila kitu

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 5 місяців тому

      Kabisa Yani mibaba ya kitanzania mingine haijielewi

    • @ادريسالبلوشي-ل9ي
      @ادريسالبلوشي-ل9ي 5 місяців тому

      😢Wa baba wa hivyo wapo wengi sana bongo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому

      Hawa wajinga wapo wengi wanapenda kitonga mwanajshi hana kosa

    • @Allymzaki
      @Allymzaki 5 місяців тому

      Kumbe usipoudumia inakuwa mtoto si wako? Hii elimu wingi hatuijui.

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 5 місяців тому +1

    😂😂😂hii nchi kuna mengi pesa hizi pole baba.

  • @julianamlekwa
    @julianamlekwa 5 місяців тому +1

    Anachekesha sana alivyo terekeza alikuwa ni kisiki wamwache mma wwa watu yyendio ana machungu yote hata hai wabba wakira hizipesa wakati wanawarea urikuwa wapi? 😂😂 Unachekesha Kwa hiyo na yye anataka mgao nniiii

  • @DainesNgweta
    @DainesNgweta 5 місяців тому

    Wanashelia mda mwingine huwa mnakuwa syo waelewa wanaume mda mwingine wanazidi usumbufu hajui mtoto alikuwa wapi na alikuwa anatuzwa na nani ndyo maana mama aliamua kuandika ubini mwingine

  • @marryngaiza2061
    @marryngaiza2061 5 місяців тому

    Pole sana kaka

  • @sofiakhan9706
    @sofiakhan9706 4 місяці тому

    Huyu baba anaonekana anataka hizo pesa ambazo mhe mama samia alitoa hizo za rambirambi ndiyo anataka na wala hana shida na kuzika na wala kulea mtoto na wala hawajui kwa hali na Mali ha ha ha pesa ina mambo tu

  • @julianamlekwa
    @julianamlekwa 5 місяців тому +2

    Siku zote alikuwa wapi uyo bba wwa watto alikuwa anatowa uduma za wa tto yye katerekeza familia Kwa uyo bba Leo kaona pesa ndio anakumbuka familia acheni hizo

    • @FaustinMarko-t6y
      @FaustinMarko-t6y 5 місяців тому

      Shida sio pesa wewe bwege shida kwa nini abadilishe jina?

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому +1

      ​@@FaustinMarko-t6ympaka mtoto abadilishwe jina bila kujua ni kwa alikuwa hawajibiki na chochote kwa watoto , leo ndio anaona wajibu wake

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 5 місяців тому +1

      Ndio alimtelekeza km angekua anamfatilia angejua hilo mapema

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 5 місяців тому

    Kuwa na nyumba 2 sio sababu ya mme kumtunza mkewe wengi hawatunzi wake zao cash money hata soda Hadi uombe wachukue tu

  • @shabanimaijo9148
    @shabanimaijo9148 5 місяців тому

    Huyu baba angekuwa anawahudumia wanae yote yasingetokea haya,huyu mwanamke sio chiz bana,mwanajeshi kapenda msusa na boga kwa pamoja,huyu alokuja leo alikuwa wapi muda woote?

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 5 місяців тому +3

    Tusikilize upande wa mama maana hizi hrla za rambirambi zimeleta kizaa zaa

    • @talents7934
      @talents7934 5 місяців тому

      Dogo tulia kila wote wanamshahara hawaishi kwa ramabi rambi kwani wewe umeshatoa bei gani kwao kama rambi rambi? Hujafiwa ukayajua vizuri

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 5 місяців тому

      ​@@talents7934Atujakataa ila waache mtoto apumzike slipoa hali baba mtoto alikua wapi alikua yuaudumia watoto alipoachana na mama watoto Ada atoi yani uduma atoi yote sliachia mama na mwanajeshi ndio yuatoa huduma sasa uyu yuataka nini swali niilo uyu mtoto axingekufa lini mgejitokeza mumeteleza watoto kaeni mkso wa kutulia uko

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 5 місяців тому

    Labda MWANAJESHI ameenda ustawi wa jamii kuruhusuwa kulea watoto si damu yake.

  • @phiriminalyimo3119
    @phiriminalyimo3119 5 місяців тому

    Yaani nina hasira na wababa wanaotelekeza watoto hadi nahisi kupasuka!
    Mimi ninaye binti aliyekuwa msaidizi wangu wa nyumbani. Akatokea mwanaume mmoja msukuma akamrubuni anataka kumuoa awe mke wake. Mara akamjaza mimba. Msichana akamtaka amchukue wakaanze maisha. Kijana akatoroka akmwacha na mimba. Ikafikia binti Mungu akamjalia akajifungua kwa operation. Gharama zote ni mimi. Kijana hatoi uushikiano hata kidogo. Hivi kweli huyu mtoto aandikiwe jina la huyu baba shetani aliyemkimbia? Mtoto sasa hivi ana miaka mitatu!
    Hapa sheria inasemaje!
    Nawaombeni msaada wenu wa mawazo watu wa Mungu!😮

    • @martinabayyo9982
      @martinabayyo9982 5 місяців тому

      Siku huyo mtoto akibahatika utashangaa atajitokeza , haki ya Mungu mm sitamwambia mtoto kuwa huyu ni babako😊

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      ​@@martinabayyo9982hawa wanaume nani aliewaloga, mtoto andikwe Jan la baba anayemhudimia

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 5 місяців тому

    Msimalize maneno mwambie ndio anajua baba wa mtoto huenda alikuwa nae wkt yupo na mmewe Sasa kamzalia akiwa ndani ya ndoa

  • @josephlugongo6357
    @josephlugongo6357 5 місяців тому

    Sasa kama daktari alizaa na huyo mwanamke basi akadai mtoto wake kwasababu aliyefariki sio mtoto wake kutokana na jina lililoandikwa katika msalaba.

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 5 місяців тому +1

    Pengine ulimterekeza

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 5 місяців тому

    Tungejua lini ndani ya ndoa nyingi zina heka heka hivi jaman au ni ile pesa imeamsha Ma X 😂🤣🙌

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 5 місяців тому

    Ungekuwa unawasomesha ungejua jina la mtoto. Inamaana haukuwa unahudumia familia yako

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 5 місяців тому

    Ndiyo kuna sheria but common sense must prevail

  • @ZakayoDionisi
    @ZakayoDionisi 5 місяців тому +2

    Sasa kama mtoto hayupo si nikuacha tu

  • @lydiamsheri4095
    @lydiamsheri4095 5 місяців тому

    Jamani mtoto kafa bado wamuhitaji? Duuuuuu dunia hiii ngumu

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 5 місяців тому +1

    Sasa km ata wasipowaudumia tusiwpe wababa wanaowaudumia tutawapa ata kwa lazima kikubwa waudumieni watt zenu

  • @fauziawaziriwazirimsumari2245
    @fauziawaziriwazirimsumari2245 5 місяців тому +3

    Msitelekeze familia zenu

    • @neemagamba3268
      @neemagamba3268 5 місяців тому

      Kasema alikua anahudumia mpka school fees alikua analipa na nyumba alimuachia huyo mwanamke akae na wanawe

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 5 місяців тому

      ​@@neemagamba3268urongo angekua yuaudumia asingebadilisha mtoto jina wanaume wengi wakiacha mama anaacha na watoto awa awashughuliki wamejitokeza kwa sababu ya msiba tu

  • @franciskira925
    @franciskira925 5 місяців тому

    Ajuae baba wa mtoto ni mama!

  • @AishaSwalehe-c7d
    @AishaSwalehe-c7d 5 місяців тому

    Mimi napitaaa tuuu mahana niabuu

  • @EphraimKadiko
    @EphraimKadiko 5 місяців тому

    Una uhakika unaemtaja kuwa mwanajeshi, au unaongea kufurahisha tu

  • @eliudezekiel8615
    @eliudezekiel8615 5 місяців тому

    Ila Wanawake mnazambi kubwa sana ukute ulibeba mimba ya mjeda ukiwa kwenye ndoa badae ukafanya fujo ili uolewee na mjeda kisa maokoto harafu baba una msomesha mtoto au nawewe ndio unataka kulelewa na mjeshi kama ni wanao chukuwa huyo aliepona

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 5 місяців тому

    Mmh jmn huu msibawaArusha mbona una majangaaa heee huku Brayan anagombewa huku jina la mtoto heee

  • @martinabayyo9982
    @martinabayyo9982 5 місяців тому

    Mama samia akusaidie nn, we utakuwa umemtelekeza huyo mama hawezi kufanya hivyo bila ww kumfanyia uhuni huyo mama

  • @VelonikaMakota
    @VelonikaMakota 5 місяців тому +1

    Kutengana

  • @GloriaChrisostoms
    @GloriaChrisostoms 5 місяців тому

    Huyo mjeda kajichafua mama yetu samia umefanya vyema kumpeleka makonda Arusha atawanyooosha

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 5 місяців тому

    Unaoaje mke ambaye ana ndoa na haijavunjika unakaa naye 😂😂

  • @shabanimaijo9148
    @shabanimaijo9148 5 місяців тому

    Usipotoa matunzo ya watoto watatafutiwa baba mwingine hata wawe saba

  • @JemimahJulius-v2g
    @JemimahJulius-v2g 5 місяців тому

    🙆🙆kumekuchaaa

  • @JohnMapalala
    @JohnMapalala 5 місяців тому

    Unahangaika na jibu unalijua😅😅😅😂😂

  • @GloriaChrisostoms
    @GloriaChrisostoms 5 місяців тому

    Hata akienda ustawi wa jamiii unachopewa ni hati ya kuasili tu nasio kubadilishwa jina

  • @GloriaChrisostoms
    @GloriaChrisostoms 5 місяців тому

    Na watamualibu saikolojia huyo mkubwa shule aitwe Odelo leo mdogo wake aitwe kivuyo ningemuona shujaaa angempa jina lake

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 5 місяців тому

    Haya mamb jamaa angekausha tu mjeda anaupendo xna na yy akaushe dada wa watu aendelee na mjeda istoshe mtt keshakufa dada wa watu akaona bora ampe mjeda wtt ili mjeda asijiskie vibaya duh! We doctor acha roh mbaya

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 5 місяців тому

    Haya ya Sasa kwenye Ndoa jamaniii 🤔

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah 5 місяців тому +4

    Yan jaman hii misiba inahekaheka😂😂😂😂😂yan kule mama anadai ni mke apewe rambirambi huku tena khaaa🙌🙌🙌mnatuchoshea rais

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 5 місяців тому

    Uana sheria ujeshi rudini kwenye imani za kidini mume na mke naamini anaye jua mtoto ni wa mwanaume yupi ni MUNGU ndiyo maana mnahangaika kwenda kwenye DNA

  • @ernestsereli8559
    @ernestsereli8559 5 місяців тому

    Hawa wanawake ni shidaaaa

  • @HappyAsenga-t4b
    @HappyAsenga-t4b 5 місяців тому

    Jamn huyu baba namjua mke alimfukuza mume akachukua nyumba gar bado akaend anakofanyia kaz mume wake akazuia mshahar kwa ajjl ya matunzo ya watoto afu end of the day anamkatalia mume asizike mtoto sio sahih coz mwanaum. Alikua analea

  • @magenisweke3270
    @magenisweke3270 5 місяців тому

    Ukome,tumizi hutoi unategemea nn

  • @BibieMakame
    @BibieMakame 5 місяців тому +1

    Ndio ajifunze kuhudumia familia

    • @alfoncejohn2104
      @alfoncejohn2104 5 місяців тому

      Huduma haihalajishi kubadili jina la mtoto

    • @martinabayyo9982
      @martinabayyo9982 5 місяців тому

      Umenena mamy hawajui kuhudumia familia lkn mtoto akikua tu na anamafanikio utasikia mtoto wangu

    • @martinabayyo9982
      @martinabayyo9982 5 місяців тому

      ​@@alfoncejohn2104Nabadilisha hata kama ni mm, mwanaume jina mm wa nn? Yupo right huyo mama so chizi Hadi jeneza linaandaliwa alikuwa wapi yy kama ni baba anayejua jukumu la familia

  • @CatherineLekule-l7z
    @CatherineLekule-l7z 5 місяців тому

    Dr nina wasiwasi inawezekana pia alikuwa mkeo ila watoto wasiwe wako

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 5 місяців тому

    Pamoja nayote hayo mwenyekujua baba ya mtot ni mama

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 5 місяців тому

    Samahani naomba number ya huyo mwanasheria

  • @RoseKaiza-g2j
    @RoseKaiza-g2j 5 місяців тому

    Shida hapo ni malezi ukute mume wandoa alikua hana matunzo ya mtoto huyo mwanamke alibadilisha jina kwa hasira tu lkn hakutakiwa kubadilisha jina labda kama baba alimkana mwanae huyo

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 5 місяців тому

    Nyonyi nendeni uko mbegu umepanda uduma utoi kwendeni uko ikiwa mbegu ukipanda uangalii sasa watarajia mavuno acheni ujinga watabadilishwa watoto wengi mwanajeshi hongera na mama wawatoto.pole sana Rais samia achana na huu ujinga marehem amenyimwa haki yake wakat mtoto amekufs mbona ukumpa haki yake akiwa mzima ngombe nyinyi

    • @kilimbelememe2632
      @kilimbelememe2632 5 місяців тому

      Alikuwa analipa ada yeye

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      ​@@kilimbelememe2632ukisikiliza kwa majini jamaa anajitetea, kama alikuwa anahudumia mwanae huu mziba angeudimamia yeye mwanzo mwisho na taarifa angepewa yeye na shule kwa vile anajulikana kuwa ni mzazi alikuwa anafuatiliwa maendeleo ya mwanae kwa Kila kitu, kwanini andae mazishi mjeda yeye aende kama mwombolezaji ndipo agundue jina limebadilishwa kwenye msalaba? Kwa mtizamo wangu jamaa hasira zao na mke alipeleka kwa watoto na kuwatelekeza je , haingilia akilini baba mwenye ufahamu unamwachia mwanaume mwenzieo ahangaike na maziko ya mwanao, na kama jina lisingebadilishwa na kuruhusiwa kuzika angepotezea , bwege huyu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 місяців тому

    Msiba huo kiboko una vituko vya kila aina Arusha kiboko kuna vituko vini vya ajabu

  • @Angelsaruni
    @Angelsaruni 5 місяців тому

    Nipisheni napita da

  • @eliaikammary7525
    @eliaikammary7525 5 місяців тому

    Hivo vihela vya mama jmn vimewafanya mkatae baba mtoto 😅😅😅😊

    • @sylviamwaluvanda1072
      @sylviamwaluvanda1072 5 місяців тому

      Hili jina lipo tangu siku ya kwanza msiba umetokea...hata hizo pesa hazikua zimesemwa...
      Ilibidi alalamike mapema sana

  • @Jane-h1f6s
    @Jane-h1f6s 5 місяців тому

    Na kama alikuwa hamjali mtoto na halipi ada mwanajeshi akawa analipa ada shida gani? Jina tuu

  • @negwakomwasanyula6951
    @negwakomwasanyula6951 5 місяців тому

    Kama ulikuwa hulipi ada,wala kununua chakula chao unakujaje kuzika?

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 5 місяців тому

    Anaonyesha mpole asiependa vurumai

  • @EmmanuelAlberto-f3g
    @EmmanuelAlberto-f3g 5 місяців тому

    Mwanamke.huyo.nishetani.ndo.kasababisha.mtoto.kufa.mtoto.angekuwa.kwababa.harari.yasingetokea.hayo.kazi.yauzinzi.nihiyo.mungu.arikataa.aricho.kiunganisha.mungu.mwanadam.asikitenganishe.jeuri.yaujeshi.mwanamke.arifata.sifa.tu.yakuitwa.mke.wamjeda.kaferi.bora.angechukuriwa.yeye

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 5 місяців тому

      kifo ni cha kila mtu ufanye nini wala nini kufa nlazima uyo baba aseme tu ukweli apa akuna umalaya aliacha mama na watoto skakataa kuyoa huduma mungu kampa wa kuudumia watoto jiulize uyu mgoto asongekufa je lini angejiyokeza kuchukua
      mwanamume ndio akuudumua watoto alikua yuasubir nini muda wote aliacha watoto na mama yao mungu alimpa wakuudumia watoto mpaka mtoto smekufa ndio yuajitokeza mpuzi sana waume ndio chanxo cha yote hsya

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 5 місяців тому

    Huyu aliyeingilia awajibike kwa hali zote zilizojitokeza . Na

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 5 місяців тому +1

    Wewe unayejiita Dr... umemhudumia vipi huyo mtoto.. wewe ni sperm donor tu

  • @MonikFabian
    @MonikFabian 5 місяців тому

    Inawrzeka alikuwa ahudumii wanawake wengi Huwa huwawananyanyswa Kwa vigezo hivyo

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 5 місяців тому

    Usaidiwe nini kaka mnaparamiaga makurumbembe kaka yasionielewa na pengine uliambiwa hakufai haya hayooooo sasa muwage mnasikia

  • @GraceanaKivuyo
    @GraceanaKivuyo 5 місяців тому +3

    Huuudumii unategemea nn😂😂😂

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 5 місяців тому

      umejuaje kama haudumii ?

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 5 місяців тому

      tunaangalia dna, hata kama baba jambaz dna ikionyesha ni wake hakuna mbadala

    • @happybajuta9769
      @happybajuta9769 5 місяців тому +1

      Duuuh kama hutoi matumiziii y mwanao baba anayelea lazima mtoto atakuwa wakwakeeee kwasababu Kila kitu anahudumia mwanajeshiii achukuee mauwaa yakeee Yuko sahihiii

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому +1

      ​​@@johnkaliwanje434angekuwa anahudumia angekuwa jina limebadilishwa upuuzi wa baadhi ya mababa jina

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      ​@@happybajuta9769inatia kinyaa mpaka maziko ya mwanae hakujishugulusha, angetakiwa afanye maziko ya mwanae aibu kweli

  • @EdsonObadia-d9z
    @EdsonObadia-d9z 5 місяців тому

    Damu ya mtu haing'sng'aniwi jmn kuweni makini

  • @furahasmart1516
    @furahasmart1516 5 місяців тому

    Bora niandike jina langu.kuliko kumuandika kenge yule

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 5 місяців тому

    Sasa kama walifunga ndoa yeye hajaoa mke mwingine kama alikuwaanatunza shida Iko wapi

  • @SurprisedAtom-vp5qe
    @SurprisedAtom-vp5qe 5 місяців тому

    We mwanasheria na ndevu zako kama bangi iv unajua vizur hawa viumbe ingekua ni mimi walahi wewe ningekuzibua mahaman nyau ww