#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Ujumbe: Hatua za kuomba
    Andiko: Luka 18:1-7
    Pastor: Innocent Leonard Mashauri
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 77

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri 3 місяці тому +1

    Eeeee Mungu wewe ndounajua kira ninaro ripitia katika maisha yangu niokoe Mungu wangu yesu kristo tengeneza njia katika maisha yangu niokoe nipiganie nitimizie haja ya moyo wangu asante Mungu kwakua unaenda kunitendea kwa jina la yesu kristo amen

  • @user-ks3vd4cv8p
    @user-ks3vd4cv8p 3 місяці тому +1

    Baba wa mbinguni NAOMBA kibali mbele zako na mbele zako wengijne niondolee roho za madeni roho ajali roho faraka za kukataliwa na watoto wangu kukosa kazi ukawabariki kazi ya mikono yao amen

  • @EvelyneNdabunga
    @EvelyneNdabunga 2 місяці тому

    Naomba Yesu christ wa Nazareth unifungue katita kilakifungo cha kishetani n'a wakala wake amina

  • @user-xn3vq1gq3p
    @user-xn3vq1gq3p 3 місяці тому +1

    Asante NAMI napokea ,nguvu za Giza zimeangushwa Kwa Jina la yesu

  • @MeshackKasanda
    @MeshackKasanda 2 місяці тому

    Yesu wangu hakuna Jambo gumu kwako Anza na Mimi bwana nakuamini kutoka ktk kilindi Cha moyo wangu,,

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 3 місяці тому

    ❤Mungu wangu nisadie kukutafuta wwe kwa Roho n kweli ach nikutegeme ww pekeako tu Yesu😢

  • @kokukyoma5157
    @kokukyoma5157 2 місяці тому

    Asante Yesu kwa kunipa neema ya kuutafuta uso wako.

  • @MariamSayi-zj6np
    @MariamSayi-zj6np 3 місяці тому

    Asante yesu wangu sina chakusema neema yako niyaajabu san❤🙏🙏

  • @IsaacAbel-bj7pw
    @IsaacAbel-bj7pw 2 місяці тому +1

    Amen Man of God

  • @user-ij6jj6hl9r
    @user-ij6jj6hl9r 3 місяці тому

    Asantee mtumisha kwa mafundisho mazuri Mungu akubariki🙏🙏

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 місяці тому

    Asante for a season of preparation and breakthrough Jesus ❤🙏🏽🙏🏽

  • @JescaMalangalila
    @JescaMalangalila Місяць тому

    Asante Yesu azanami eeYesu Kwa usiku wa Leo nifunike Kwa damu yako

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 місяці тому

    Thank you Father Lord , there’s no one like you ! ❤

  • @deboramsangi360
    @deboramsangi360 3 місяці тому +1

    Asante Yesu hata Kwa kunijulisha madhabahu hii ya SIRI ZA BIBLIA. Asante YESU

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 3 місяці тому

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah

  • @user-xg3ks2eg7x
    @user-xg3ks2eg7x 3 місяці тому +1

    Mungu baba nisaidie nijue kuomba

  • @MeshackKasanda
    @MeshackKasanda 2 місяці тому

    Yesu nahitaji msaada wako akili yangu imefika mwisho

  • @MeshackKasanda
    @MeshackKasanda 2 місяці тому

    Asante mungu kwa uzima ulionipa,,yesu naomba uingilie Kati biashara yangu kwa nakutengemea wewe bwana wangu ,kwa hakili yangu mimi siwezi 😂😢 yesu nifute machozi bwana,,

  • @user-nd3gi5px5r
    @user-nd3gi5px5r 3 місяці тому

    Mungu wwe pekee ndio unajua ninayopitia akili yangu imefika mwisho mmi mwenyewe siwezi nitete yesu

  • @nidekilasi2484
    @nidekilasi2484 2 місяці тому

    Barikiwa sana mtumishi,umenifungua

  • @ObedyBazirake
    @ObedyBazirake 2 місяці тому

    Bwana yesu kristo asifiwe

  • @ProsperiaNdimbo
    @ProsperiaNdimbo 3 місяці тому +1

    Mungu nisamehe kwakuja mbele zako kwa amri

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 3 місяці тому

    Asnte Yesu anza na mimi Bwana

  • @SailisMsuha
    @SailisMsuha 3 місяці тому

    Amina Mungu ni Mwema ❤❤

  • @cathelinemadembwe5561
    @cathelinemadembwe5561 3 місяці тому

    Asante Mtumishi kwa fundisho

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 місяці тому

    Powerful service ❤❤

  • @roseathanas5476
    @roseathanas5476 3 місяці тому +1

    Ee mungubwewe pekee ndie unajua ninacho kipitia kwa sasa kitka maisha yangu Naomba uachilie muhujiza katika nyakati hizi ngumu Naomba anza nami bwana nakutumainia wewe baba wa mbinguni nina kuhitaji mungu wangu nakuomba nisaidie nitoke katika hii aibu iliyopo mbele yangu

    • @danniemuhidini5025
      @danniemuhidini5025 3 місяці тому

      Anza na Mimi bwana niondolee matatizo yangu na uzao wangu katika janga la kesi ya mwanangu . Ameen

    • @user-nk3qw1cn2l
      @user-nk3qw1cn2l 3 місяці тому

      Amen and Amen 🙏🙏

    • @ELISHABENARDMARIKI
      @ELISHABENARDMARIKI 3 місяці тому

      Amen

    • @NaomiBahat-bz6ri
      @NaomiBahat-bz6ri 3 місяці тому

      Mungu wangu anza nami nakutegea katika kira ninalo pitia

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 3 місяці тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @RashidiCharlesNgyoko
    @RashidiCharlesNgyoko 3 місяці тому

    Thanks Lord 🙏

  • @peterkarera6297
    @peterkarera6297 3 місяці тому

    Asante sana mtumishi kwa Ujumbe mzuri, mno hakika Nami namshukuru Mungu kwa Muujiza aliotenda kwangu, wakati natafuta mtoto na mke wangu, tulimlilia Mungu hakika akafanya.Mwacheni Mungu aitwe Mungu.Hicho unachosema mtumishi ni kweli kabisa.Ubarikiwe

  • @user-xg3ks2eg7x
    @user-xg3ks2eg7x 3 місяці тому

    Roho mtatifu nipe elimu maarifa Hekima na unyenyekevu

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 2 місяці тому

    Anza nami ee BWANA

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 3 місяці тому

    Anza na mimi YESU peke yangu siwezi akili yangu imefika mwisho

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 місяці тому

    Asante YESU ❤

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl 3 місяці тому

    Ee Mungu ,naamini hakuna jambo lililo gumu kwako,nikumbuke na mimi naomba kibali kwenye kazi yangu,kwenye mahusiano ongozoa hatua zangu Bwana peekee yangu siwezi 😭😭😭,wakumbuke wazaz wangu,mkumbuke mpenzi wangu,dada yangu,wadogo zangu tazama shida tulizonazo Mungu tazama hal zetu Mungu.

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 місяці тому

    I am indeed free !! ❤

  • @CatherineAfredi
    @CatherineAfredi 2 місяці тому

    Anza namimi bwana🙌🙌

  • @user-ub1fq5kt5l
    @user-ub1fq5kt5l 3 місяці тому

    Amen Amen,Amen🙏🙏🙏

  • @ElizabethSalama-pg1bq
    @ElizabethSalama-pg1bq 3 місяці тому

    Amen

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 3 місяці тому

    Asante MUNGU

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 Місяць тому

    Asante

  • @user-nk3qw1cn2l
    @user-nk3qw1cn2l 3 місяці тому

    Amen 🙏

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 3 місяці тому

    Asante mungu na mwanao yesu Kristu Kwa kufanya niwe hapa NDANI ya madhabau yako

  • @empressmarah9058
    @empressmarah9058 3 місяці тому

    Anza nami bwana,...
    I'm beyond to say start with me dear Lord,..With all that I have, to where I am dear Lord start with me.,for only you knows the cry of my heart, the hunger of my spirit, the emptiness of my soul and the ache in my heart..I'm at your feet Lord.

    • @shebaombura8106
      @shebaombura8106 3 місяці тому

      Mungu unalijua hitaji la moyo wangu tenda kwangu nami nikuone na kukushuhudia ukuu wako.

  • @user-vv6en8nh1c
    @user-vv6en8nh1c 2 місяці тому

    Amina

  • @YusufuJoseph
    @YusufuJoseph 3 місяці тому

    Amina 🙏

  • @user-li2ze2ws4l
    @user-li2ze2ws4l 3 місяці тому

    Asante Mungu Na mwanao yesu nipo hapa Na familia yangu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 3 місяці тому

    AMINA

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 місяці тому

    Asante mtumishi kwa kunikuza kiroho

  • @sallie2505
    @sallie2505 3 місяці тому

    Naomba neema na fadhili zako ziende nami baba

  • @MartinaAlfons-uo1ic
    @MartinaAlfons-uo1ic 3 місяці тому

    Anza nami bwana

  • @ezekielmwau7320
    @ezekielmwau7320 3 місяці тому

    ASANTE YESU KW KUNIKUTANISHA NA SIRI ZA BIBLIA COZ NIKO BUSY NA KUSIKIZA NENO KIPINDI CHA NYUMA NILIKUWA BUSY KUSIKIZA VICHEKESHO from Nairobi 🇰🇪nawakilisha Arusha 🇹🇿

  • @FelLenana
    @FelLenana 3 місяці тому

    Nifundishe.kuombA.mchungaji

  • @sophianelson7986
    @sophianelson7986 3 місяці тому

    Sophia ❤

  • @cutepuritygaudensi1426
    @cutepuritygaudensi1426 3 місяці тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 місяці тому

    Nawe pia shalom mtumishi usiku mwema

  • @mariammgaya4638
    @mariammgaya4638 3 місяці тому

    Mungu unisaidie usinipite

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 3 місяці тому

    Nisamehe yesu!anza nami upya

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 3 місяці тому

    Amen amen amen

  • @user-xn3vq1gq3p
    @user-xn3vq1gq3p 3 місяці тому

    Neno lako linanena mwema kweli

  • @ChikondiMadaliso
    @ChikondiMadaliso 3 місяці тому

    Nikweri

  • @NaumiBaya
    @NaumiBaya 3 місяці тому

    E mungu nifunze kuomba vizuri

  • @user-ww4so9ks9c
    @user-ww4so9ks9c 3 місяці тому

    😭🙏

  • @SailisMsuha
    @SailisMsuha 3 місяці тому

    Amina Mungu ni Mwema ❤

  • @LydiaWangari-lc2tl
    @LydiaWangari-lc2tl 3 місяці тому

    Amen

  • @MillicentMbindi-jp2rn
    @MillicentMbindi-jp2rn 3 місяці тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @JoabBatohana
    @JoabBatohana 3 місяці тому

    Amina

  • @JosepherHerman
    @JosepherHerman 3 місяці тому

    Najiungamanisha ktk jina la Yesu

  • @FregrenceShefatia
    @FregrenceShefatia 3 місяці тому

    Amen🙏

  • @Nyapili
    @Nyapili 3 місяці тому

    Ameeen

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 місяці тому

    Amina

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 місяці тому

    Amina