Hili neno la Mungu lilikuwa langu kabisa 🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭Mungu naomba atufumbuwe macho ya rohoni na kutupigania ktk kujua jinsi ya kujua vita za kupigana nazo Mtumishi Mungu akubariki zaidi na zaidi🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Pastor sunbella God almighty father bless you more thanks for your teaching always when am listening your teaching am stepping ahead spiritual Moses simpamba from Zambia
Haha ehee gyellah Kuna masomo mengine mtu ukiyazikia unaona yanakugusa kabisa si kama mchungaji alisema watu wanaomwa watoke mbele vitovu vinaovuta akasema na Kuna kuna kitu alibeba akapata maumivu upande wa Kushoto ukiangalia mimi ilinitokea hivyo Kuna mfuko nilibebeba naona ulinishtuwa musuli ya bega La kushoto
Mungu ukweli akuinue unaweza kuliwakilisha neno la Mungu ukaeleweka bila makeke na unaliachia kwa upendo Mungu awainue wanao kusikiliza najua kwako ni fulaha
Mafundisho yenye nguvu ya Mungu sana
Asante pastor Sunbela
Amen
I was born again since 1996 but never head deeply subjects like this coz I was brocked with devil many angles but now naona ninafunguliwa thanks
God reverse
Nabarikiwa sana mtumishi Kwa mafundisho Yako .., ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏🙏
Aminaa mtumishi barikiwa nimekubali mafudisho ya ko
Ubarikiwe mno mtumishi Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu.
Ubarikiwe sana mtumishi, nabarikiwa sana na mahubiri yako, Asante kwa mafundisho.🙏🙏🙏 Na Mungu akubariki.
Hili neno la Mungu lilikuwa langu kabisa 🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭Mungu naomba atufumbuwe macho ya rohoni na kutupigania ktk kujua jinsi ya kujua vita za kupigana nazo
Mtumishi Mungu akubariki zaidi na zaidi🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Barikiwa mtumishi kwa Huduma njemaaa , kila day najitahidi niweke bando nisikie unavyofundisha ,
Amen Leo naweka agano na mungu kwa mambo mawili tu hili nivuke
Praise God 🙏 umenibaliki sana na mafundisho yako mbalikiwa sana na unikumbuke kwa maombi am Pauline murugi
Pastor sunbella God almighty father bless you more thanks for your teaching always when am listening your teaching am stepping ahead spiritual Moses simpamba from Zambia
Naomba mungu amfungue.gra ce tatizo lake la kifafa na fahamu zake pia kwa mamlaka ya jina la Yesu
kutoka dodoma mjini hapa najiunganisha najiunganisha ktk ulimwengu wa roho katika jina la yesu kristo mwana wa MUNGU alie hai
Amina mtumish
Amen be blessed man of God...napenda mahubiri yako.
Amina baba
Amina mtumishi mm nimekuwa na changamoto Kila ninapofikia kufika Mahal flani asante kwa mafundisho yako mazur naomba maombi kwangu sana jamani
Amen mtumishi mimi nashida nakupataj
Thank you jesus
Ni jambo zuri na kubwa sana unalo lifundisha Mtumishi. wengi tumekwama hapa. hakika Mungu anakutumia kwa viwango vya juu. Mungu anendelee kukutunza
His knowledge of the bible amazes me.Anavyoeleza is so amazing.
1.Afya. 2. Huduma Kuna watu wapo ng'ambo ya mto na walinzi kwenye msitu
mungu akulinde
Good morning in Jesus name. I am blessed by your teachings. Our Almighty God bless you always in Jesus name man of God. Amen
God bless you a man of God for this reality of Jesus the son God
Napenda Sana mafundisho yako yananigusa sana
Amen be blessed man of God.
Ubarikiwe mafundisho yako yanabariki moyo wangu
amen pastor Mungu azidi kukuinua zaidi
Amina mtumishi
Nimebarikiwa Sana na mafundisho haya mtumishi Mungu aendelee kukuinua kiwango kingine
Asante sana pastor ninahitaji kukuona
Unaweza kuwasiliana nasi kwa ujumbe mfupi (message) kupitia number ya Huduma ambayo ni 0657 173 322 utapewa maelekezo yote.Karibu sana.
Amen.nimebarikiwa saana pastor ,I need deliverance ,napataje mawasiliano mchungaji
Duh mungu akutumuie mara dufu maana kwel mungu yupo ndani yako
MTU wa Mungu unasiri nyingi sana za Mungu zenye msaada sana ,Lugha mchanganyiko (lugha mseto) itawanyima watu wengi kupata lile kusudi LA Mungu .
Amen and Amen xx
Amen kwakweli mutumishi unanifungu pakubwa sana.. ubarikiwe
Mchungaji nakukubali sana kwan unamafundisho mazur sana yamenitoa mahali
Barikiwa sana
Amen
Barikiwa 🙏 hakika tunakombolewa
Amen very true man of living God.
Namimi niombee mtumishi Napata mchumba nikifika kwenye hatua ya ndoa inakua ngumu! Naomba damu ya Yesu initoe ng’ambo ya mto
Nmebarikiwa mchungaji🙏🙏🙏🙏
Ameen
oooh.jamani Mungu atusaidie sana
Mungu akutunze Baba
Ameen Ameen
MTU wa Mungu pleas namba yako utusaidie hii injili imeniingia mno
Tuna Mitihani Sanaa hakikaa
Nimekupenda bure mtumishi... Najiunganisha na neema hii ya hekima kubwa ya kimafundisho
Naomba uniombe nipate ujauzito niwe nawatoto wengi
Unaongea na Mimi Mungu akubariki Mchungaji
Amen 🙏🙏🙏
Naomba namba, nimebarikiwa sana
Bwana yesu akubariki Sana mtumishi
Ameeen
tuned
Samaani naomba number ya mchungaji naitaji maombi
Pastor somo hili ni langu kabisa please naomba maombi yako mtumishi wa Mungu naomba namba unisaidie pastor
Haha ehee gyellah Kuna masomo mengine mtu ukiyazikia unaona yanakugusa kabisa si kama mchungaji alisema watu wanaomwa watoke mbele vitovu vinaovuta akasema na Kuna kuna kitu alibeba akapata maumivu upande wa Kushoto ukiangalia mimi ilinitokea hivyo Kuna mfuko nilibebeba naona ulinishtuwa musuli ya bega La kushoto
Nikashangaa japo sipo kanisani hapo somo limeniusu nikachukuwa na namba Sema maumivu yakipowaga siku Ile ile
Yesu nisaidie
Uchimi
ameen
Huyu yeye hatumii maji,chumvi, mafuta,nk?
Oh Jesus nazitaka izo principle za kiroho in Jesus name
AMEEE ASABTE YESUU KWA AJILI YA MTUMISHI WAKO
Nakuelewa Mtumishi
mtu akiwa kenya na nataka kuhusiswa na haya maombi nitafanya nini
amin
Mtu wa Mungu ubarikiwe sana aisee mahubiri ya nguvu sana
ameni baba yangu 😘😘😘
Mtumishi nahitaji mawasiliano zaidi
Uishi miaka mingi
Ooooh hallelujah
nimebarikiwa muish milele
Amina
Mtumishi naomba namba yako natamani kufika kwrnye hii huduma
Jamani nakupataje mtumishi
Hakika mtumishi wanitoa gizani sasa nuru yaja.
unaweza kuwa mfano kwangu kwa kuwa nami nimtumish
Nimebarikiwa sana Mtumishi!
Mungu ukweli akuinue unaweza kuliwakilisha neno la Mungu ukaeleweka bila makeke na unaliachia kwa upendo Mungu awainue wanao kusikiliza najua kwako ni fulaha
Aimen
Mungu akuinue zaidi
Scholastica Mboje ameni
Barikiwa mtumishi na sisi wa mikoani tunafanyaje?
Natamani namba ya nabii sana
0657173322
@@realityofchristchurch Ameeeeen
Amen
Ameen
Amen 🙏🏾
Amen
Amen
Amen