RC Chalamila Muogope Mungu. Kama wanauana wananchi walinzi mnafanya kazi gani-Mbarikiwa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 70

  • @victorrobert7797
    @victorrobert7797 Місяць тому +1

    Asante mtumishi ubarikiwe ,umemjibu vizuri sana

  • @edsonMasesa
    @edsonMasesa Місяць тому

    Hongera mtumishi wa Mungu, wewe ni mzalendo kabisa, na unachosema ni kweli kabisa🎉🎉🎉

  • @Shemandia
    @Shemandia Місяць тому

    Hao nanafisizao siku yamuisho mungu atawalipa kinachowafaa na mungu ataanza nao hapahapa duniani alicho sema mungu auwae KWA upanga nayeye.upanga utawakata duniani hapahapa amen amen amen

  • @MasungaNekwa
    @MasungaNekwa Місяць тому

    Ahsante sana baba hawa wakuu wa mikoa,wilaya hawachaguliwi kwa uwezo walionao wanachaguliwa kwa ubabe wao kwa wapinzani na kwa wananchi wanaopinga maovu ndio maana utekaji,uuaji ni kama kazi hasa walimuua mpinzani mfanowa Ally Mohammedi kibao chalamila amesema nini anasubiri mtoto wake atekwe ndio utaona polisi wa mbwa na farasi wanatanda mabararani mchungaji hatuna walinzi tuna maharamia.

  • @vivianxiong9543
    @vivianxiong9543 Місяць тому

    baba umeongea sana kwa uchungu😂 na kwa ukweli ila ipo siku mungu atatuonekania Mungu akupe maisha marefu uweze kutusemea ukweli Wanatumbua kodi za wananchi kujaza matumbo yao Ipo siku haina jina kumbuka gharika la wana wa izraeli.

  • @JoshuaSiara
    @JoshuaSiara Місяць тому

    You are really really man of Almighty God, wew ni sauti ya wengi sana. Wasipo badilika anguko lipo mbele yao.

  • @nicholaswaemmanuel7221
    @nicholaswaemmanuel7221 Місяць тому

    Amina sana Baba. HUYU JAMAA hajawahi kuwa na hofu ya MUNGU HATA KIDOGO. YEYE DAIMA na hofu ya Bia (POMBE Tu)

  • @vivianxiong9543
    @vivianxiong9543 Місяць тому

    magufuli biggup sana baba hapo umeongea ukweli Walioumia walikuwa walaji Sasa tumerudu kulekule viongozi wamebweteka ndiyo maana wamejiachia kupita kiasi.Mungu yuko pamoja nasi atajibu tulie nae tu....????

  • @vivianxiong9543
    @vivianxiong9543 Місяць тому

    ubarikiwe sana

  • @ErizicDaud
    @ErizicDaud Місяць тому

    Najisikia uchungu sana twende wapi jman mbn enzi za JPM alisema sikumoja tu wezi vibaka walipotea saivi uwizi mwingi sana hatulali kabisa unakambuzi unaamka unakuta wamekabeba jamanii 😢😢😢😢sami raisi wangu sema neno laukali juu ya watu waulinzi wape amri kali tufarijike, ubalikiwe ulie mbalikiwa tunakupenda sana❤❤❤❤

  • @IsayaKamomonga
    @IsayaKamomonga Місяць тому

    Mbarikiwa sisi pia wananchi tunaeweza kila kitu. Tunashukuru umejitoa muhanga endelea kupambana mtumishi wa Mungu.

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute Місяць тому +1

    Muogope mungu wewe chalamila ishu hapo ni polisi wanateka watu na kuwaua serikali inahusika moja kwa Moja

  • @NathanSanga-z5g
    @NathanSanga-z5g Місяць тому

    Hawa wapo kwaajili ya tumbo tu Chalamila wa Magu ni tofauti kabisa na Chalamila wa ssh

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Місяць тому

    Mungu tusamehe sote tumekutenda dhambi

  • @JosephLadisilaus
    @JosephLadisilaus Місяць тому +1

    Saut ya mungu inazungumza.

    • @Zaburi-
      @Zaburi- Місяць тому

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @KelvinMlagwa
    @KelvinMlagwa Місяць тому

    Ni sisimizi tu. Tumekuelewa sana. Yaani hata Wokovu walimuona sisimizi. Maana alisema labda sisimizi ndio aliwahi kuuwa.

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil Місяць тому

    Chalamila hawezi kumwogopa mungu usherani umemtawala sana

  • @Sunrise_JR
    @Sunrise_JR Місяць тому

    Mtumishi wa Mungu hivi ni kweli Mungu huwa anawasamehe hawa watu wanaotenda mabaya??? Maana inaumiza sana??

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp Місяць тому

    viongozi ifike mahali wajue kwamba they are leading the people who are very educated, having a very good IQ.when they tell us the truth we can understand and when they tell us not the truth we do understand as well.but God in Heaven Will pay them back.the time will tell

  • @BarakaMaglaniLaizer
    @BarakaMaglaniLaizer Місяць тому +2

    Chalamila hanaga akili anachokipigania ni tumbo lakini saa yaja na imekaribia ili haya mambo yatawageukia wabaya wenyewe na kila mtu atakibeba kikombe chake cha hukumu.Jifunzeni kwa waliopita

  • @communitytv590
    @communitytv590 Місяць тому

    "Mungu hatanyamaza, ni suala la muda tu,nafikiri ni wakati sahihi wa kuomba toba kwa ajili ya nchi".

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 Місяць тому

    Amina baba ahsante

  • @musajulias3392
    @musajulias3392 Місяць тому

    Inasikitisha kauliza watu hawa 😭😭😭🙏🙏

  • @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
    @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr Місяць тому

    Hawa viongozi wanataka kutuchonganisha watanzania namungu nihatari sana naomba MUNGU asamee chii naviongozi wasio faa BWANA YESU ashugulike nao

  • @joshuangonya-jt5dj
    @joshuangonya-jt5dj Місяць тому

    Chalamila anasingizia vitu ambavyo, hata mtoto mdogo anaweza akajua kuwa anapigwa changa la macho, kiufupi wote katuona nyani tu kwa kile anacho kiongea.

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp Місяць тому +1

    daaaa!!!hatari kwa afya.

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 Місяць тому +1

    hawa jamaaaaaaaaaaa nimanyapala wawa zungu ambao wanajiangalia wawo tu

  • @anoldishengoma4229
    @anoldishengoma4229 Місяць тому

    Magufuli alikuwa kiongozi hakuwa na mfano kwakweli, hawa watu aliwatengeneza wakaendana nae, sijui siku hizi Kuna shida gani

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Місяць тому

    Chalamila komedy mpumbavu wala sijuwi vigezo gani vinatumiwa kuchagua wakuu wa mikoa na wilaya maana wengi ni vibaka ty

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l Місяць тому

    Sasa hapo kakosea nini ,kosa liko wapi mbona unakosea mengine ya kufanya mtumishi hebu uwe unatumia busara hata vita vya mtu na mtu selikali iingirie ? Hebu tumia hakili 🧏🧏

  • @lamecklugodi6472
    @lamecklugodi6472 Місяць тому

    Wewe . Mbarikiwa unatakakusema Chalamila ana makosa?

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow Місяць тому

    MUNGU yupo amlipe samia nawauwaji wenzake.

  • @ngassajuliusmussachallya
    @ngassajuliusmussachallya Місяць тому +3

    Hata rasi kauli kama hizi zinamfanya aonekane yuko nyuma ya mauaji haya. Inawezekanaje watu wanefiwa halafu inaonekana kama ni jambo la kawaida. Biblia inasema Lieni pamoja na wanaolia. Sasa mmekalia kutoa lugha za kejeli na dhararu. SHAME ON YOU CHALAMILA. Mungu akukemee kwa uovu wako huo wakudhani madaraka ni kitu cha kudumu.

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 Місяць тому +1

    Ila umewanyosha hata kama maskio wamewekamo pamba

  • @SamwelSadock
    @SamwelSadock Місяць тому

    Nchi hii imekosa mwelekeo viongozi wakikosa kuwa na maadili ya uongozi na kuagalia matumbo yao ni kwamva mhimili hauna afya

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Tena siku hizi viongozi ndiyo wanachochoa hayo mambo kwa jina la kulinda usalama na ulinzi wa wanainchi. Kwanza hawahaja na wanainchi wao wanashida wa vyeo na matumbi kushiba tu. Chalamira yeye chawa kubwa kwa kutaka kufuhisha mama yake. Akitoka hapo anaenda kuchawa kwa maaskofu wakubwa. Akisimama huko anaongea hayo hayo.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 Місяць тому

    Mimi sijawai ona kazi ya uyu jama

  • @WilliamPaul-v4q
    @WilliamPaul-v4q Місяць тому

    Kweli baba

  • @mtushindirena2981
    @mtushindirena2981 Місяць тому

    Kazi ya Askari kwa sasa ni kuchat na kulala na mwisho wa mwezi kuchukua mshahara maana hakika awafai kuwa polisi.mimi nipo nchini kanada hata siku moja huwezi kusikia matukio ya kishenzi na ya kishetani.

  • @CharlesMwakajinga-r5d
    @CharlesMwakajinga-r5d Місяць тому

    Naka nini kiongongozi wa ccm wanakingia kifua police swa la kupotea kwa watu

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 Місяць тому

    Hii kwa hiyo umehalalisha kwa kupitia matukio hayo sasa mbona manasema hawajulikani

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n Місяць тому

    Ila usomi kwa Tanzania ni kutokwa na UTU/HURUMA, yaani mkuu wa mkoa anaongea mambo dhaifu zaidi mchoma mkaa hivi!, duu!.

  • @yusuphmdemu4942
    @yusuphmdemu4942 Місяць тому

    MUNGU AKUBARi

  • @philimonndinadyo2120
    @philimonndinadyo2120 Місяць тому

    Sasa mbarikiwa unataka kusema kwamba kwakuwa mauaji yalifanyika wakati wa kikwete Magufuri asisemwe hata angeuawa mtu mmoja huyo Raisi anasitahili kuwajibika

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Місяць тому

      Shida ni kwamba mnasema sana kuwa utekaji na mauaji vilifanyika sana wakati wa Magufuli tu.

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow Місяць тому

    MUNGU TUNAKUOMBA UTUSAIDIE KUMTOA SAMIA MADARAKANI

  • @ErizicDaud
    @ErizicDaud Місяць тому

    😢😢😢

  • @AberiPetro
    @AberiPetro Місяць тому

    Tatizo hata elim yenyewe tunayo ipata mashuleni usipokuwa mjanja akili itabaki shuleni unaludi na elim ndiomana alie na nafasi selekalini hatazami kungine inje na selekalini ndiomana hatakuwapata wanao jiudhulu nimalachache sana

  • @titoDanda-m4p
    @titoDanda-m4p Місяць тому

    Yeye ndiye aliyetuma watu labda

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Місяць тому

    Kweli huyu chalamila Sativa anawatuhimu akina nani?

  • @victorrobert7797
    @victorrobert7797 Місяць тому +1

    Waambie hawa nyoka wa kijani

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza Місяць тому

    Mpk likutokee mdo utajua nn maan ya mihemko

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Місяць тому

    Mmh!

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil Місяць тому

    Yani Samia angekuwa rais wa tz ange muwajibisha chalamila,masauni,wambura Sasa hao anawalinda rais ndio maana wanakuwa na viburi

    • @reginas1832
      @reginas1832 Місяць тому

      Raisi mwenyewe ndiye mtoa maelezo

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Місяць тому

    Kaamka na heng'iova

  • @josephmaduka-xv8yp
    @josephmaduka-xv8yp Місяць тому

    Yaan utazania yataishi milele, yanapigania tumbo badala ya haki

  • @MbokaRechadi
    @MbokaRechadi Місяць тому

    Viongozi wa nchi hiiii wanaona kupata uongozi wao Wana akili kuliko CC kumbe cc tuna wachora tu Mzee kibao damu hii nitatizo sativa pia ni doa kwenu

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 Місяць тому

    viongoz wengi wameanza kusahau miiko ya uongoz

  • @jesaminzo
    @jesaminzo Місяць тому

    Sasa hayo yote anayotuambia bwana chalamila, ni yupi anayetakiwa kuchukua hatua ? Au anataka tushangilie kwa kuwa kuna wengine pia wameuawa? Hata sijamwelewa huyu jamaa kabisa. Huyo ndiye m'kiti wa ulinzi na usalama wa mkoa, haha! Nacheka kama mazuri. Mtumishi Mbarikiwa hebu mwambie huyo😳🙄

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo Місяць тому

    Mtetezi wa maovu subirini moto wenu

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie Місяць тому

    Mbilikimo huyo hajawahi kuwa na hakir siku zote ni mtumwa wa tumbo

  • @JUSTINPiniel
    @JUSTINPiniel Місяць тому

    viongozi wa serikali wamemsahau kabisa Mungu, ukikuta mtu anajigaragaza kwenye vumbi wakati hajawahi kujigaragaza kwa ajili ya Mungu ni hatari.

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m Місяць тому

    Enzi ya utawala wa nyerere kiongozi ukihusishwa na tuhuma out mf tuhuma za makonda asingekuwa kiongozi Hadi Sasa pia kiongozi ulikuwa ukitoa kauli isiyoeleweka kama ya chalamila angekuwa out maana kauli hizi zinamgombanisha rais na wananchi wake*"'

  • @ngassajuliusmussachallya
    @ngassajuliusmussachallya Місяць тому

    Mungu anisamehe huyu Ni Mjinga na Mpumbavu. Mungu ampige kwa kadiri ya kauli yake ktk Jinala Yesu

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 Місяць тому

    Ulanzi mtupu

  • @Frank-b2d6u
    @Frank-b2d6u Місяць тому

    Yani wewe myaru hacho kicheo kinakufanya unaropoka utumbo kaka anngu niliona zimo kwa kichwa kumbe hovyo tuambie yakina kibao sativa na soka ambao wapipita kwenu usiseme sababu ya tumbo lako naona ccm yenu inayosimamia selikali hainajipya tena mkubari mkatae yani katika mambo magu unajibu kijinga