BALAA! LEMA AFUNGUKA MAZITO | HAUTAAMINI AWATAJA WANAOSHIRIKIANA NA SERIKALI KUKANDAMIZA WANANCHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 150

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 18 годин тому +10

    Tatizo la waTanzania hawafanyi vitendo wamezoea kusema ila Chadema wanasema ukweli kuhusu haya yanayotendeka,
    Angalia jana Mwijaku naye anagalagala dume zima
    Mungu tusaidie watu wanahangaika kwa kukosa maharifa
    Kenya imebadilisha katiba 2010 na wanataka tena kubadilisha
    Tanzania twahitaji KATIBA mpya

  • @IsayaKamomonga
    @IsayaKamomonga День тому +12

    Mwamba Godbless Jonathan Lema!!!!

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 22 години тому +7

    Very well spoken. Nimewaza hayo uliyoyaongea. Nilijiuliza ina maana ndege nzima hawakuweza kurusha habari kwamba lema amekamatwa? SHAME ON US. Nakupata kutoka USA. Wananchi ni wajinga sana. Na watanzania ni waoga sana mbali ya ujinga. Ni kweli kabisa. Tuombe mungu iko siku wataamka ktk usingizi mzito. Na nyinyi Allah atakulipeni kheri.

  • @wallacemngoma794
    @wallacemngoma794 22 години тому +10

    Hakika Lema anasema kweli, wananchi wengi ni wanafiki, pamoja na waumini wa dini zote, mashehke na wachungaji wajitokeze kuwaelimisha waumini wao kujiokoa na hali ya nchi inavyokwenda, wasiogope kwani wakishindwa kufanya hivyo ni dhambi, wawashawishi waumini wao kuibadirisha serikali kupitia uchaguzi ujao, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 19 годин тому

      Wambie wezako wa kanisani la ujerumani ndo wanaleta hio Dini inaitwa chadema

    • @HAWAMBARUKU-t5d
      @HAWAMBARUKU-t5d 17 годин тому +1

      Huyu ni mwehu! Hv chadema ni dini? Kwani kuna ulazima gani wa kucomment kama una matatizo ya akili?

    • @matiredms917
      @matiredms917 6 годин тому

      ​@@amosiabdulallh7965Amos ama hujui kinachoendelea nchini au umelaaniwa na una mapepo.

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 18 годин тому +5

    Rema respect sanaaa 🔥 😢😢😢 umeongea 🫶👋👋👏👏👏umeongea madini tatizo elim kenya wametuzidi sanaaa police wanavimba sababu wanaongoza vira polisi wabongo waende kenya wakafanye vmaovu waone

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 22 години тому +5

    Hii speech inabalki milele maneno makubwa makubwa sana sana lema mungu akuinue

  • @abubakarimussa1955
    @abubakarimussa1955 День тому +5

    Tushikamane kwani mshikamano ndiyo Kila kitu

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 22 години тому +5

    Dah lema umeongea sana mambo muhim

  • @wiza2309
    @wiza2309 22 години тому +5

    Yaani tunatia aibu kweli kweli

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 18 годин тому +4

    Tatizo la waTanzania hawafanyi vitendo wamezoea kusema ila Chadema wanasema ukweli kuhusu haya yanayotendeka,
    Angalia jana Mwijaku naye anagalagala dume zima
    Mungu tusaidie watu wanahangaika kwa kukosa maharifa
    Kenya imebadilisha katiba 2010 na wanataka tena kubadilisha
    Tanzania twahitaji KATIBA mpya

  • @ZephrineMarwa
    @ZephrineMarwa 21 годину тому +4

    Najua hata tunaocomment hapa ni waoga sanaaa yaan😢

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 20 годин тому +3

    Lema usikate tamaa, ipo siku VYURA watazibuliwa masikio! Viongozi wetu, makatili kupitiliza
    Namshangaa huyo mama yenu. Uso wake haifanani na matendo yake. Hivi akisha staafu, ataificha sura yake wapi!! SHAME!!

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 23 години тому +3

    Mh lema wewe ni genius .. daaah Unazungumza pont muhimu sana NIMEKUSIKILIZA SANA KWA UNDANI HADI NIMETOKWA NA MACHOZI !! VIONGOZI WA DINI WANANYAMAZIA KIMYA HILI JANGA IPO CKU HII LAANA ITAWATAFUNA TU.

  • @claudmahimbali
    @claudmahimbali 21 годину тому +3

    Lema Umenitoa machozi wanaotutesa Wanafahamu Udhaifu wetu.Si unaona Mnyika Anafuatwa aeleze Alipataje taarifa za Kibao. Ndiyo maana watu Wanaogopa.

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 День тому +6

    Yaani tuna jamii ya watu wabinafsi sana

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 21 годину тому

      Ubinafsi unafki na uoga Plus upumbavu

  • @HezronAlexander
    @HezronAlexander 21 годину тому +3

    Huyu jamaa ana philophy sana.Halafu hasomi popote,na anaongea kwa vituo mno.Hakika ana kipaji sana.Kuna wasomi hawawezi kabisa kuongea busara hizi.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 21 годину тому +3

    MR LEMA NAKUMBUKA ILE STORY ULITAKA KUWASAIDI WATOTO AMBAO BABA YAO ALIKAMATWA MOSHI NA AKAUAWA LKNI WAKAOGOPA 😢😢😢😢😢😢

  • @johnndimbo5082
    @johnndimbo5082 22 години тому +3

    Lema ni mwamba, na hata viongozi wanatakiwa wamsikilize huyu jamaa wachukue hayo madini.

  • @BorchertWilliam
    @BorchertWilliam День тому +3

    Lema umenena kwa usahihi kabisa usikte tamaa mungu ataya tendea haki hayo unayo yasema .

  • @wiza2309
    @wiza2309 22 години тому +11

    Mimi nadhani mtuache kama mwakanmmoja hivi bila kufanya chochote ili akili zetu zirudi

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 18 годин тому +1

      Nakubaliana nawe 100%

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 8 годин тому

      Akili zikirudi utakuta Tanzania haipo imeuzwa au kugawa bure ninyi kubaki kuomba ushuru !

  • @EdwinMeta-nh1vv
    @EdwinMeta-nh1vv 18 годин тому +2

    Ni kweli yaani mtu akila ubwabwa na maharage anajiona kamaliza, wabongo kila mtu kivyake, ndo maana watu wanajigaragaza mavumbini mbele ya rais, hakuna jipya, wanaimba CCM Ina wenyewe wakiwa wamevaa ndala zilizokatika wanaona ni sawa, yaani hakuna kufikiria nje ya box, Kuna viongozi Leo wako madarakani TU kwa sababu jamii ipo ipo tu! Pengine haya chanzo chale ni chama kushika hatamu pale ndo jamii ilizindikwa.

  • @emanuelurio-ok8yl
    @emanuelurio-ok8yl 18 годин тому +2

    Mweshimiwa Lema nimekuelewa na unaeleweka sana. Hata sekta mbalimbali zenye pesa zimeshikiliwa na watukutoka nje ya Tz sinario hiyohiyo.

  • @emmanuelmwakyoma5746
    @emmanuelmwakyoma5746 17 годин тому +2

    Nchi inaongozwa na interejesia ya akina msiba wa chalinze, musiba, makonda, mwaipopo na wengine wanofanana na hao, watu waongo, mashahidi wa uonge hawa watu walikuepo zamani, wanaitwa watu wasio faa

  • @LeoKinango
    @LeoKinango День тому +2

    Wote wanaopanda ndege hawajui baadhi yao hawajui maisha magumu, ingekua stendi kwenye basi isingekua kimya ndugu

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 День тому +2

    Kumbe tunanunua ndege kwa ajili ya kusaidi kuteka WaTanzania.!

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 22 години тому +2

    Da kweli sn yaan sisi watamzania wapumbavu sn dah

  • @evelina9621
    @evelina9621 22 години тому +1

    Mambo.ya.msingi.simu
    Msizitumia.njia.ya.wazungu.kuwamalima.wote.sio.chadema.act.ccm.vyama.vyote.kwenye.kapo.la.wazungu.ukoloni.mamboleo

  • @OtienoKawage
    @OtienoKawage 17 годин тому +1

    Chakula,,, kizuri chenye madini mengi mno mno !
    Thinking capaste ...
    God bless you even you God bless Lema

  • @AyubuMwambola-j3k
    @AyubuMwambola-j3k 18 годин тому +3

    Mweshimiwa shida siyo jamii ,jamii imekombolewa sana ndo maana tunapiga kura na kuipinga selikali ya CCM,shida ni askali wa nchi hii ,vitisho na kutupiga,na kutupoteza,nyie viongozi mpo salama sisi tunapotezwa na watu wasiyojulikana,Sasa ukisema jamii inaogopa hapana watu wanapotea sana lema wengine yamkini hata kwenye vyombo vya habari hawajatangazwa

    • @williamgeorge-hd2tn
      @williamgeorge-hd2tn 12 годин тому

      Tatizo kuu ni jamiii.

    • @justusrwiza9653
      @justusrwiza9653 3 години тому

      Kwani unadhani Askari atakuwa na uchungu zaidi ya familia ambapo wahanga wanatokea?? Pia kumbuka askari anatii amri na hawez kugoma . Sasa hapo wala usipepese macho jamii yetu ndo Ina shida

  • @evelina9621
    @evelina9621 22 години тому +1

    Waelezeni.wananchi.kama.wahataki.waache.kulalamika.maneno.yako.lema.mazuri.sana.tumieni.kuwaeleza.watakao.sikia.wapo

  • @lucylyuki4852
    @lucylyuki4852 15 годин тому +1

    Mungu Roho Mtakatifu fungua Akili za watanganyika tujitambue baba nimekusoma.

  • @CharlesMwakajinga-r5d
    @CharlesMwakajinga-r5d 17 годин тому +1

    Usijali tutawafungulia mashitaka shirika la ndege huwezi ukashushwa kama slly kibao

  • @NnalaNsangalufuMwangati
    @NnalaNsangalufuMwangati 21 годину тому +1

    Hii kitu inaumiza sana nchi yenye amani ila umoja hatuna wala upendo hatuna tumeshakuwa wabinafsi ndiomana tumefikia huku tuliko fika 😢hatujajua kesho yetu itakuwaje ingawa tayari tumeyaona haya

  • @Simulizitulivuu
    @Simulizitulivuu 18 годин тому +1

    Kamanda Lema umeongea mambo nyetii Sanaa. Haya mambo yafike Kwa mtaa na sio huku mitandaonitu..
    Iundwe njia mpyaaa ya kufanya siasa mitaani. Mungu utausaidie sanaaa

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn 17 годин тому +2

    Duuu!!! Umefika mbali lema kuna siku mungu atatenda maajabu.nikutakie maisha mema na marefu kaka

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 8 годин тому

      Mungu amekwishafanya sehemu yake kubwa katupa uhai na kuzaliwa Tanzania sasa ni mimi na wewe na yule kufanya jambo hata mojahata, Mana ya Musa ilikuwa lazima kuamka asbuhi na mapema kuokota Unafahamu??

  • @LeonardMkumbwa
    @LeonardMkumbwa 17 годин тому +1

    Watawala wanajua udhaifu wetu watz.bado tumelala usingiz wa pono.

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 20 годин тому +1

    Kwa kweli Sasa tumepata Elimu nzuri Sana asante kwa uelevu uliyotupa

  • @LeonardMkumbwa
    @LeonardMkumbwa 17 годин тому +1

    Watz tu watu waoga,wanafiki na wavivu sana wa kufikiri.tutaendelea kuteswa sana.

  • @SeifOmary-x1z
    @SeifOmary-x1z День тому +1

    Chadema pia mliwahi kususia maandamano ya sauti ya watanzania

  • @HaryPoter-zw7vr
    @HaryPoter-zw7vr 16 годин тому +1

    Lema Kwa Nini unaturahamu SANA watanzania!!???? Unasema Sisi WAOGA! How come??? Wewe ulikamatwa kwenye ndege Na ukuweza kuandamana, Haya TUNDU LISU also alikamatwa nyumbani kwake na hakuweza kuudhuria maandamano,n.k.sasa ulitaka tuanze kupigana na mapolisi waliojiandaaa???? Mbona Wewe ukupigana Nao walipokukamata Bila kosa Airport????? Lema we love you but please na Sisi tuna maomivu mengi SANA

  • @abubakarimussa1955
    @abubakarimussa1955 День тому +1

    Kaka ni kweli tunakoelekea ni kubaya zaidi

  • @jumasaghida5492
    @jumasaghida5492 23 години тому +1

    Mungu aendelee kukulinda lema una akili sanaaa

  • @HaryPoter-zw7vr
    @HaryPoter-zw7vr 16 годин тому +4

    Lema Kwa Nini unaturahamu SANA watanzania!!???? Unasema Sisi WAOGA! How come??? Wewe ulikamatwa kwenye ndege Na ukuweza kuandamana, Haya TUNDU LISU also alikamatwa nyumbani kwake na hakuweza kuudhuria maandamano,n.k.sasa ulitaka tuanze kupigana na mapolisi waliojiandaaa???? Mbona Wewe ukupigana Nao walipokukamata Bila kosa Airport????? Lema we love you but please na Sisi tuna maomivu mengi SANA

    • @nyabahailani3169
      @nyabahailani3169 6 годин тому

      Pumbavu mkubwa wewe mjinga mkubwa wewe nduli wewe

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 18 годин тому +1

    TZ kunamaiti tu kumbukeni yakinyata

  • @ShabaniShebuge
    @ShabaniShebuge 23 години тому +1

    Fikeni huko mukaweke wapinzan

  • @TinaDuwe-p4z
    @TinaDuwe-p4z День тому +1

    Tanzani tumerogwa

  • @evaemil856
    @evaemil856 22 години тому +1

    Serikali ya sasa Tanzania, watu wasiojulikana, Usalama wa Taifa na Polisi wake wako sawa na P. Diddy life.

    • @TatuKhatib-f1u
      @TatuKhatib-f1u 9 годин тому

      Waongo nyie watanganyika mnaĺenu tuu kwa samia mnamchafua kwa waislam wenziwe ili wamchukie lakini tunasema sisi waislam tunasema alipo tupo

  • @baranyikwamohammed628
    @baranyikwamohammed628 2 години тому

    Asilimiya kubwa mmeongeya same point, lakini Kwanini hamjitokezi ? Wa bongo mmejaliwa silaha na nguvu za mdomo tu, fanyeni ACTION !

  • @thobiasmarandu214
    @thobiasmarandu214 12 годин тому

    Matanzania Ni Majitu ya Ajabu Sana... Ingekuwa Ni Mpango wa Kumuua...HAKUNA ALIYESEMA LOLOTE!

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 4 години тому

    Umenena vema; hata hivyo, Chadema kama chama cha kisiasa kinatakiwa KUJIHOJI. Kujipeleleza. Kijichunguza. Je, Chama hicho kiko safii? Kiko safi kiwango cha kuaminiwa na Jamii? Viongozi wake wako safii? Je, ni waadilifu kiwango cha kuaminiwa na Jamii hata kwa gharama ya kifo?
    Kwa hiyo, changamoto iko kwenu Chadema.

  • @gustavkimaro4065
    @gustavkimaro4065 6 годин тому

    Kama unateswa na Wananchi basi waache ili usiumizwe unavyosema. Ukivaa koti ukiona joto livue. Msilazimishe otherwise you are benefited politically. Mie mwananchi sikutesi mh. Lema. Ila sipendi siasa.

  • @BernardBahatiMallya
    @BernardBahatiMallya Годину тому

    Ukweli utabaki kuwa kweli siku zote. Ninafanya random sampling popote napokutana na jamii vijiweni, wengi wao wamekata tamaa kwa sababu ya kuiogopa serikali.

  • @lgf7297
    @lgf7297 7 годин тому

    One comment: has it occured to you that watu wa kawaida wanajua kuwa hizi ni mbwembwe za CHADEMA? Yaani wanajua Raia wa kawaida hahusiki, hawa wanaopata misukosuko ni utashi wao, wamechagua? Hivi ingekuwaje kama Club ya Yanga ingepata ajili, au Kwaya ya Paska imepotea? Jawa wanaopata shida ni za kujitakia, wameamua hovyo. Mbowe akikakamatwa ni sawa, kajitakia mwenyewe anajua afanyalo. Serkali wala CCM hailaumiwi. Jamii inaamini Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Handeni ni sawa, CHADEMA waliwamo, lakini jambo linakuzwa na wachsche kwa faida zao kisiasa. Kama CHADEMA wanadhani wanasaidia wananchi, lakini kura zinaenda CCM, wajue tu kuwa ujumbe wao bado ni wa kilaghai machoni kwa wapiga kura. Bado hawawaridhishi watu.

  • @thobiasmarandu214
    @thobiasmarandu214 11 годин тому

    Bro. Lema Unaposema Warumishi Wa Dini , Unawajumuisha Matapeli wanaouza Matunguri Kama,.Maji, Sabuni, Mafuta, Vitambaa na Takataka zingine Kama Tu Mahirizi wakidai vina Upako?

  • @justusrwiza9653
    @justusrwiza9653 3 години тому

    Nimechukua dakika kadhaa kutafakari , nikajua kweli miaka ya mbeleni nchi hii inaweza ikatoweka au kumezwa kama kisiwa katikati ya maji. Kiukweli vijana na mm nikiwemo tunashughulika na vitu vya kipuuzi sana na kuvipa airtime sana kuliko mambo ya msingi. Imagine uhai wa mtu tunauchukuliaje? Hivi Simba , Yanga au matamasha yana umuhimu kuliko uhai? Ivi mnajua hamna zawadi kubwa hapa duniani zaidi ya uhai ambao Mungu pekee ndo anautoa na ndo pekee anaweza kuuchukua siyo kiumbe kingine chochote? Naomba tutubu kwa ajili ya Taifa . Nimeangalia mbele kwamba kwa namna hii hata nchi ikivamiwa watu hawana uzalendo na nchii watayeya😮 very saf

  • @abubakarimussa1955
    @abubakarimussa1955 День тому +1

    Tufikuri mema na tuhurumiane

  • @ChachaJames-ik1ji
    @ChachaJames-ik1ji Годину тому

    Mungu tumewakosea Sana Viongozi Wetu. Wanaojitolea. Kuwatetea Wanyonge Na Wasiothaminika Kama. Watnzania

  • @KibibiMwalimu-pg8fg
    @KibibiMwalimu-pg8fg 6 годин тому

    Hakika G Lema usemayo wanaotuumiza ni wananchi wenyewe na ndio ma imfomer wamwekwa kufuatilia wapinzani kila tulipo na tukifanyacho na kutuchoma kwa maaskari ili tukamatwe,ila Mungu atalipa ipo siku wewe pambana.Lakini hili si la mmoja ipo siku.

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 11 годин тому

    Dhambi kuu itakayopeleka WaTanzania Jehanamu ni Uwoga Ufunuo 22 inaeleza kuwa Waoga watakuwa wa Kwanza kutupwa Jehanamu Lema waTanzania ni waoga haiwezekani Ndege nzima utekwe abiria wasitoe Taarifa kwa Umma hii ni Aibu unaweza Tanzania kuuliwa hata kwenye Ndege watu wanyamaze kimya Hatari Hatari.

  • @HaryPoter-zw7vr
    @HaryPoter-zw7vr 16 годин тому

    Alafu Kaka Lema Hao wanaosema tusiandamane,au Hao wapinzani 13 usituchanganye wote.

  • @stevenmatheo7134
    @stevenmatheo7134 2 години тому

    NAKUKUBALI SANA MHESHIMIWA LEMA UNAHISIA SANA ,NA NMEKUWA NAKUFUATILIA SANA MIMI NATAMANI KUWA HATA NYUMA YAKO LAKINI HUU MWAKA UWE WA MWISHO KUPATIA MAGUMU.TUMIA NAFASI HII KUWASHAWISHI VIONGOZI WA VYAMA PINZANI ILI KUUNGANA NA KUIONDOA SERIKALI HII MADARAKANI TUMECHOKA😭😭.

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 18 годин тому

    Viongozi wa Dini Tanzania ni Zao/Matunda ya Jamii na familia zetu ambazo hazijali chochote kuhusu, maadili, haki na uhuru wa kila mtu; ndio maana wako kimya. Unajiuliza hivi kweli Tuna Viongozi wa Dini ambao ni manabii au ni wachangisha Dhaka na wakusanya Sadaka tu katika nyumba za sala.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 6 годин тому

    Ni kweli kabisa wa tz ni ngombe kila mtu akunje ngumi piga kichwa chako sema mimi ni ngombe pigapiga sema kwa nguvu sema wa tz ngombe pigapiga kichwa mimi ni jipiga😮

  • @jumatheo5937
    @jumatheo5937 15 годин тому

    Mawazo yako yanafanana na swali nyie mnagombani haki za watu wasiojielewa...labda baada ya vizazi vi3 vijavyo...wanaweza kuamka...sio kizazi hiki Cha zidumu fikra za watawala

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 14 годин тому

    Kweli kabisa tatizo tunafanyiwa vitendo vya kikatili bila hata watu kujuwa kwaiyi wale walio pona wanakuwa waoga kwa kuofia maosha yake kama kweli mnauchungu na maisha ya wananchi wanaopotea nawaomba msishiriki uchaguzi na mkawalalamikie hao mataifa ya nje walio tuletea democrasia ili wawe na maamuzi ya kuifanya nchi iweze kufuata shiria na kudumisha haki za binadamu,lakini mkiwa mnashiriki chaguzi zinazoingiliwa na polisi tena kwa kejeli za waziwazi alafu mnasema heti mnashiriki kweli hapo mnatuvunja nguvu kabisa mnatumaliza sisi watu wa chini kwa kuwaunga mkono akika mrudi kwenye mashina ili mkijenge chama upya msuse uchaguzi mpaka tupate katiba mpya hapo ndio mshiriki uchaguzi

  • @ProsperKinabo-j8g
    @ProsperKinabo-j8g 22 години тому +7

    Kama kuna siku Mtumishi Lema ameongea ukweli ni leo. Jamii/Wananchi ndio chanzo cha udhaifu wa nchi. Nilijiuliza maswali hayo hayo, hakukuwa na mtu yeyote alichukua video chap wakati Mr. Kibao alivyowekwa pingu? It's very sad! Yaani Kenya wametuacha mbali sanaa!! Waliua KANU kama karatasi kwa ushirikiano wa wananchi wote. Where are you and me?? Tuweke maswala ya nchi mbele.

    • @KassimHanga-xr7rb
      @KassimHanga-xr7rb 19 годин тому +1

      Mungu atakulipia na kizazi Chao nacho kitakuja kuonja machungu unayopitia malipo hapa hapa duniani tumuogope Mungu

  • @lucylyuki4852
    @lucylyuki4852 15 годин тому

    Ee Mungu uliiumba Tanzania na Dunia nzima ,Angalia Tanzania ipo wapi nasi Watanganyika au wa Watanzania
    Woooote tuuvae Upendo kwa Dhaati kabisaaaaaaaa.....

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp 2 години тому

    Chadema pamoja sana,watanyanganywa hata hizo ndizi zao sasa wanawanyanganya wakulima mazao km dengu, na mbaazi lkn hawabishi tena wanunua kwa bei ndogo

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 12 годин тому

    Yaaani binafsi nashauri chadema viongozi wang tuache kwanza watu waonje joto la jiwe siku watadhika adabu

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 23 години тому +3

    Mkuu ajira hatuna ! Ongea haraka c unajua bando la wezesha!

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 13 годин тому

    Mnafanya Ujinga wenu na huku ni mwoga. Serikali Ina taarifa zenu usiku na mchana. Kwanini unakubali kuishi kwa mashaka.

  • @mmewaswida
    @mmewaswida 15 годин тому

    Mh. Lema. Tulikuwa na taarifa mapema sana kuwa umetekwa na polisi kwenye uwanja wa ndege Dar.

  • @MsevenShemakange
    @MsevenShemakange 15 годин тому

    Kaka rema umeongea kwl ata mm nawaza sn swl lakibao watuhumiwa wakwanza ni dereva na konda kwani dhamana ya kibao ilikuwa mikononi mwao na Hawa manyumbu abiria wahojiwe haiwezekani Hawa abiria wote 60 akili yao Moja kama nyumbu polen sn kk

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 14 годин тому

    Yaani lema upo vizuri ila watu wote wa tz sisi kusema ukweli hatunaga akili sawasawa yaani mawazo yao na fikra zao wanazani chadema wanataka madaraku kumbe chadema wanaitaji uhuru wa wananchi ulio na haki na usawa tofauti na huu tulio nao kusema ukweli bado tumegandamizwa kabisa hatujielewi kabisa

  • @ChachaJames-ik1ji
    @ChachaJames-ik1ji Годину тому

    Asante Lema Umesema Ukweli Na Ujumbe Umetufikia wananchi Nimekuelewa Sana

  • @alexKasanda-if5xl
    @alexKasanda-if5xl 16 годин тому

    Nakwambia hv ccm Ina mtaji mkubwa sana wa wa2 wasiojuwa kusoma wala kuandika so hawawezielewa chochote hata wakitoka damu masikin wao ni ccm 2 hasa maeneo ya vijijin

  • @ShabaniShebuge
    @ShabaniShebuge 23 години тому

    Mtumishi naomba mukachunguze kijiji chakwamsanga wiilaya yahandeni hakinachama pinzani

  • @christophermboya7676
    @christophermboya7676 6 годин тому

    Nashauri tufanye maandamano Nchi nzima tuone kama hao police watatosha

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 9 годин тому

    Mimi sijui Sheridan, lakinii nisaidienuu kwanni hawwo wakuu walioukukkamata na unawajua. Hawashiitskiiki?

  • @tumsifuweraufoo5380
    @tumsifuweraufoo5380 9 годин тому

    Lema ni mchochezi,kahandamane na majirani zako na baba yako kule mronga nyumbani kwako,

  • @KatoOmel
    @KatoOmel 16 годин тому

    My bro nimefanya utafiti nikabaini Kuna injiri ya kuhibiri dini,na injiri ya siasa, injiri hizi ni ngumu kweli kweli maana igusa Maisha

  • @johnmollam3872
    @johnmollam3872 17 годин тому

    Kaka usisahau mfano unaotoa ni vile Yesu alivokuwa anateswa wakati wengi wanajuani mkombozi na hana hatia afu wamewaangalia watesi ko komaa tu mpaka utoboe baba wengine hatusubitu

  • @c-4839
    @c-4839 14 годин тому

    Captain Traore ametaja 3 things - enemies/challenges of the modern African youth
    1)Incompetence
    2)Treachery
    3)Cowardice

  • @DanielMatayo-t2y
    @DanielMatayo-t2y Годину тому

    Mwamba pore umesema ukweri achana nasiasa zaki ongo fanya mambo yako

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 7 годин тому

    Hapo Lema umeongea ukweli umeoña mbali sana japo mimi ni mwana ccm ila nimekuelewa kama binadamu.

  • @EliasOwilly
    @EliasOwilly 20 годин тому

    Ni kweli ndo maana akina Halima walichoka wakaamua kurudi kwa watesi wetu hebu waacheni ili tupate akili,

  • @SeifOmary-x1z
    @SeifOmary-x1z День тому

    Amekua akisisitiza sana makubaliano, sasa Leo kuwabadirisha watu siyo rahis

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 17 годин тому

    Abushaddad,rudia kusoma na kutafakari comment yako.

  • @StevenTambi
    @StevenTambi 18 годин тому

    Sichangii chochote nisije kutekwa na polisi Ccm

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp 2 години тому

    Hapana leman uko sawa kabisa wananchi sielewi wamelishwa nini?

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 21 годину тому

    NUMBERS 35: 31-33 and no atonement can be made for the land for the blood that is shade in it,......

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 21 годину тому

    HESABU 35:31 Mtu ameniletea shells tayari you are now in case we need to get together with the repairment and maintenance of the new testament of goods import and export of the new ones and they are all very much for all the LORD

  • @festomombo5859
    @festomombo5859 13 годин тому

    Mtoto wa Mbowe kumwita baba yake babaaa na kumhag,imeingia moyoni mwangu

  • @MusaMapunda
    @MusaMapunda 17 годин тому

    MUNGU,akulinde mh lema,upon sahihi sana

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 17 годин тому

    Maskini,inauma sana kwa nini lakini.Pia,mungu atajibu masikitiko haya.

  • @JuliasSasi
    @JuliasSasi 17 годин тому

    Saizi Haice inabeba abilia zaidi ya siti mpaka wengine wanasimama

  • @Haippa-Africa
    @Haippa-Africa 6 годин тому

    Lema umetushika pabaya leo

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 6 годин тому

    Urudi bungeni tu jamani tunakuombea

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 17 годин тому +2

    Mpaka kijijni ..ukitaka upata barua toka kwa mwenyekiti au mtendaji wa kijiji ambayo ni haki yako lazima umpe kitu "Mkono mtupu haulambwi. Wanakula kulingana na urefu wa kamba zao".

  • @festomombo5859
    @festomombo5859 13 годин тому

    Nini kilichokuokoa.Pole sana.