Ndugu mtangazaji una sauti nzi sana na Lafudhi nzuri sana ya LUGHA YETU ADHIMU YA KISWAHILI, Matamshi sahihi kabisa, keep it up, tuna pungukiwa sana na watangazaji wenye matamshi sahihi ya Kiswahili, pia wanao penda Lugha hii
Lazima tu jiulize kwanini Taifa ilikua linafululiza vifo vya vigogo wa serikali tu kwanini baada ya Kufa magufuli ule mfululizo ukaanza kupungua pole pole na kanyamaza hadi Sasa? Ujanja wa wanadamu ni wa Muda MUNGU NI WA MILELE
Swali na mawzo yako ni mazuri sana. Bahati mbaya sana hatupendi kujiuliza wala kufanya uchunguzi pengine hata kushtuka na kuchukulia kwa uzito. Hapa kuna jambo la kujiuliza mbali na uwepo wa korona na hata chanjo kuja. Ukweli utajulikana tu hata kwa kuchelewa
Una matatizo ubishi wa magufuli ndio umesababisha vifo vyote hivyo awaue nani kwa lipi ogopa kiongozi mbishi asieshaurika kama magufuli anaependa kujisifu mwenyewe
Nilikuwa nikifuatilia sana taarifa hizi kuanzia kifo cha mwamba mahiga lkn kilipofikia cha kijaz baaas niliishiwa nguvu kabisa baada ya kujiuliza hivi naye rais nusra yake iko wapi? lkn sikuyatoa ulimini kwa yeyote
@@leonardchoma3765 uko sawa kabisa kaka Choma,me siamini kama TZ itakuja piga maendeleo aliyokuwa anayataka Mwalimu Nyerere na Magu,viwanda na kuendelea kwa juu haiwezekani,wezi wengi kuliko wanao ibiwa
Viongozi wa Nchi zingine walitumiaakili kujikinga wakwetu waliburuzwa na mkuu wao kwa kuamini shwaushilikina wakapiga nyungu hadi wakapeleka mhimbili wakapuuza kinga za kisayansi matokeo yake ndiyo hayo ndipo wengine wakasituka wakaanza kufuata sayansi ndiyomaana vifo vya viongozi kufa mfululizo vikakoma
Umechanganya picha za Juma Volta Mwapachu na Harithi Bakari Mwapachu.Mara kadhaa umeonesha picha ya Juma Volta Mwapachu badala ya ile ya Harithi Bakari Mwapachu ambae ndie aliyefariki.Hata hivyo ahsante kwa kimbukumbu ya matukio hayo.
Hawo waliokufa ndo watu wake magufuli yan ukisema team magu mdo hao 😂😂😂😂 ujuw kitu utachekwa na wamekufa kwa vifo vya kijinga ndo maana umeekewa uwelewe kuwa magu kaondoka na team yake inshort wameuwawa
Zungu nimekukubali sana ktk utangazaji wako tuingizieni na story za kijasusi na upelelezi lakini utangaze wewe mwenyewe unassuti ya usimuliaji nzuri yaani mpk unaeleweka bana hongera sana
Hii taarifa ukiunganisha na ripoti ya cdf mstaafu inatoa taswira kamili ya nini kilikuwa kimeamliwa kwa serikali ya awamu ya tano kwa maana baada tu ya kufariki kwa jpm na kuundwa serikali ya awamu ya Sita utitiri Wa vifo kwa viongozi wa juu katika nchi ulipungua na kuisha kabisa ni nini maana yake historia haisemi uongo Bali kweli utawekwa hadharani Bila shaka
Aduwi wa watanzania ni watanzania wenyewe. Tundu Lissu anapiga kelele kuhusu tukiio lake, wakati kuna watu wengi wameuwawa na watu kati yetu. Serikali ya Magufuli ilikuwa na nią ya kuleta mabadiliko makubwa Tanzania. Walipigania mali zetu kwa uchungu. Ndani ya serikali kuna watu walishirikiana na mabeberu wa nje.
Hivi vyama vya siasa ni hatari sana watubwanapaswa kuwa makinisana naa viongozi wao wanaposafiri nnje huko wanaenda kusuka mipango gani? Kisha wanarudi baada ya matukio kukamilika hii ni hatari sananini kiliwaondoa nchini na nini kimewarudisha wakati selikali ni ileile hii ni hatari sana
Itakuwa vizuri ukijifundisha Kiswahili kwanza kabla hujaendelea na matangazo mengine. Nenda Zanzibar ujue maneno ya Kiswahili yanavyotumika na kutamkwa.
Kama mnamuelewa ni vizuri. Lakini mchina akizungumza kiingereza muhindi atamuelewa. Kwa hivyo mfipa akizungimza Kiswahili mluguru humuelewa, hata kama siyo lugha ya kwao. Wenyewe wa kiingereza ni waingereza, na wenyewe wa Kiswahili ni waswahili, sio waafrika. Waswahili ni kabila, kama vile wachaga na wasukuma. Lugha yetu Iimeazimwa kuwa lugha ya taifa. Kesho serikali inaweza kuamua kuibadilisha lugha ya taifa iwe kingoni.
Walio tangulia kufa kabla ya kifo cha Rais wa awamu ya tano ni watu waliowahi kuongoza wizara nyeti ,hao walikuwa nguzo imara za Tanzania tutaendelea kuwalilia mpaka Mbingu zitusikie😢
Umeongea vuzuri sana. Kipindi hicho si vigogo tu waliofariki dunia. Wananchi wengi hasa wenye umri zaidi ya miaka hamsini walipoteza maishi. Tatizo mojawapo ilikuwa matatizo ya upumuaji. Mimi nyumba yangu inapakana na kanisa la KKKT. Kipindi hicho kulikuwa na ibada za mazishi kila siku. Wakati mwingine zaidi ya moja.
Bravo Mr ZUNGU.MSIMULIZI MWENYE SAUTI NZURI NA HUCHOKI KUMSIKILIZA.
Hiyi makala naifungua tu gafla naanza kusisimka.😢😢😢 sijuwi ni mie mwenyewe?
Ndugu mtangazaji una sauti nzi sana na Lafudhi nzuri sana ya LUGHA YETU ADHIMU YA KISWAHILI, Matamshi sahihi kabisa, keep it up, tuna pungukiwa sana na watangazaji wenye matamshi sahihi ya Kiswahili, pia wanao penda Lugha hii
Huyu jamaa ni noma tena saaaana
Da!
Jamaa hatali sana Kama bbc vile
Kwa lugha la Kiswahili na ipenda sana na najivuniya kuitwa mswahili.
@@dikakimishawasumbwahalisit7596sasa weye mbona unaharibu tena lugha yetu? "Hatali" ndio nini sasa? Dah masikini Tz!!😢
Lazima tu jiulize kwanini Taifa ilikua linafululiza vifo vya vigogo wa serikali tu kwanini baada ya Kufa magufuli ule mfululizo ukaanza kupungua pole pole na kanyamaza hadi Sasa? Ujanja wa wanadamu ni wa Muda MUNGU NI WA MILELE
Corona sasa hivi watu xlwamepata chanjo. !
Swali na mawzo yako ni mazuri sana. Bahati mbaya sana hatupendi kujiuliza wala kufanya uchunguzi pengine hata kushtuka na kuchukulia kwa uzito. Hapa kuna jambo la kujiuliza mbali na uwepo wa korona na hata chanjo kuja. Ukweli utajulikana tu hata kwa kuchelewa
Huna akil sawa sawa unaongea kwa chuki lkn kwa kusikilza habar
Unaakili nyingi ila njia yetu sote,
Corona, magufuli was ignorant
Acha tuteseke tu hawa walioondoka walikua watetezi wa Taifa 😭😭😭😭
Wapi makofi ya Day2. Watu wamaana kabisa!
unasaut nzuri sana kaka kelvin
Asante
Hata yeye atakufa tu,licha ya kuwatanguliza wenzake, , maendeleo hakuna nchi ni ufisadi tu kila kona,
Hata aliyeua na kuteka wenziye kafa
Watanzania wenyewe ndio wamewaua wakombozi wa inchi yao 😭😭
Una matatizo ubishi wa magufuli ndio umesababisha vifo vyote hivyo awaue nani kwa lipi ogopa kiongozi mbishi asieshaurika kama magufuli anaependa kujisifu mwenyewe
Mliambiwa mvae barakoa mkasema mmelindwa na damu ya yesu...
😮
@@saidbakar-qo6riKuma la mamako😂
COVID
Huu ulikua ni mpango uliosukwa vizuri sana.. mimi nilikuja kushituka baada ya kuona mkapa kafa nikajua kuna jambo lipo chini chini
😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana
Uyo ndo alikua baba wa magufuli ndo maana alivyoenda tu wamemfata na magufuli kwisha kaz
Yani balaa lilianzia pale yule mzee alikua yuko poa kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Ikulu yani ilikua huzuni kwakweli
Nilikuwa nikifuatilia sana taarifa hizi kuanzia kifo cha mwamba mahiga lkn kilipofikia cha kijaz baaas niliishiwa nguvu kabisa baada ya kujiuliza hivi naye rais nusra yake iko wapi? lkn sikuyatoa ulimini kwa yeyote
Magufuri mwenyewe baada ya kifo cha mkapa alianza kushtuka Ila alikosa support..yule jamaa alikuwa na akili ya ziada
Mwenyezi Mungu warehemu wote hao.
Waliomuua JPM Ndo wameua wote ila wanajijua na mioyo yao inawahukumu
Coronavirus ndio imeua... Acheni ufala.
@@samuelmuthui4699 fala wewe unaijua corona stupped
Acha Mizuka wewe utauponza
uko vizuri mbona wenyeviti ccm mkoa hujawataja waliofaliki nyuma jpm
Umemsahau mfugale
wote wameuwawa na mabeberu,kwa mbinu za juu za kijasusi,afrika haiwezi endelea,hatujitabui,hawa wote wameondolewa kwa kuwa wanajitambua
Kifo ni lazima
Na mabeberu hupitia kwa mwafrika mwenzie na liko wazi waliiwawa💔😭😭😭😭😭
Mhh neno zito
Wapo mabeberu wa ndani ya nchi.Tusisahau hilo pia.
@@leonardchoma3765 uko sawa kabisa kaka Choma,me siamini kama TZ itakuja piga maendeleo aliyokuwa anayataka Mwalimu Nyerere na Magu,viwanda na kuendelea kwa juu haiwezekani,wezi wengi kuliko wanao ibiwa
Kigogo mwingine ni baada ya Raisi Magufuri ni Mzee Mfugale aliyekua Mtendaji mkuu wa Tanroad
Watu hamuelewi. Amesema aliokufa kabla ya kifo cha Magufuli siku chache
Mungu ailaze roho ya marehemu JPM...
hata leo viongozi ambao wataisumbua ccm 2025 wameondolewa ili uchaguzi usiwe mgumu tumefundishwa ujasusi tumeizidi hata urusi
Na covid ikaisha kwani nchi zingine jirani walikufa namna hii? Mungu tenda jambo please.
Viongozi wa Nchi zingine walitumiaakili kujikinga wakwetu waliburuzwa na mkuu wao kwa kuamini shwaushilikina wakapiga nyungu hadi wakapeleka mhimbili wakapuuza kinga za kisayansi matokeo yake ndiyo hayo ndipo wengine wakasituka wakaanza kufuata sayansi ndiyomaana vifo vya viongozi kufa mfululizo vikakoma
Na Covid ikaisha hapo hapo, daah maumivu makubwa sana kwa watanzania ambayo hayatasaulika kirahisi rahisi
Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina LA BWANA lihimidiwe.
Amen
Kazi nzuri Sana kiongozi, keep going up
Mungu ndiye dhamana yetu hapa duniani kwakweli
Walisingizia Covid
Histolia haidanganyi na hata baada ya maisha haya ukweli hautasitilika kamwe
Umechanganya picha za Juma Volta Mwapachu na Harithi Bakari Mwapachu.Mara kadhaa umeonesha picha ya Juma Volta Mwapachu badala ya ile ya Harithi Bakari Mwapachu ambae ndie aliyefariki.Hata hivyo ahsante kwa kimbukumbu ya matukio hayo.
Asante sana❤❤🎉 unakipaji
Nakukubali sana nimeelewa
Corona ilikuwa kisingizio, lkn ilkuwa safishasafisha, njia
Mungu tusimamie
Umemsahau mzee Mkapa
Umenisahau Balozi Augustine Mahiga
Wananchi wote tunajua mchezo ulofanyika
Ilikuwa corona tu,.usizushe
COVID
AGUSTINO MAHIGA ilikuwa mwaka gani!;
Mzee Mfugale hivi sio rasmi sana nae maana msiba wake pia uliitikisa Tanzania
I still pray for our leaders 😢😢😢
Shukran sana bro
Acha watese na watoto wao Kwa kujipachikia madaraka mungu yupo Kwani wataenda wapo?
Kwel
Hata hivyo uchunguzi unapaswa kufanywa Hata kama si leo
Picha unayoonyesha ni Juma Mwapachu na si Bakari Mwapachu.
Hii hali inaweza kujiludia 2025 au 2027
Baada ya chuma Vifo viliacha
Hawo waliokufa ndo watu wake magufuli yan ukisema team magu mdo hao 😂😂😂😂 ujuw kitu utachekwa na wamekufa kwa vifo vya kijinga ndo maana umeekewa uwelewe kuwa magu kaondoka na team yake inshort wameuwawa
Unasimulia vizuri sana
Hii ilikuwa safisha njia
Safisha njia ili watu wafanye yao, daahh, inaumiza sana sana sana
Mzee wa ,,dfhuuddchij arihucka na kifo cha rais halali wa tz ila yeye hatakufa ataish milele amina
Tunyamaze tu ila kuna kitu 😭😭😭
Zungu nimekukubali sana ktk utangazaji wako tuingizieni na story za kijasusi na upelelezi lakini utangaze wewe mwenyewe unassuti ya usimuliaji nzuri yaani mpk unaeleweka bana hongera sana
He jamani kumbe watu wengi waneafariki dunia te vigogo
Mileleee uwape ee bwana na lahaa ya milele uwangazìe wapumzike kwa amani amina
Hii taarifa ukiunganisha na ripoti ya cdf mstaafu inatoa taswira kamili ya nini kilikuwa kimeamliwa kwa serikali ya awamu ya tano kwa maana baada tu ya kufariki kwa jpm na kuundwa serikali ya awamu ya Sita utitiri Wa vifo kwa viongozi wa juu katika nchi ulipungua na kuisha kabisa ni nini maana yake historia haisemi uongo Bali kweli utawekwa hadharani Bila shaka
Wamemuua yule jamaa na team yake ndo maana mzee mkapa alivyokufa tu awakutaka kusubl maana mkapa alikua baba mlezi wa magu
Everything has its time the time will come
Very calculated plan.
Kama huna D mbili huwezi elewa
Msimulizi anawachanganya Bakari na Juma Mwapachu
Hatariiiii sana Jamani
Umemsahau Mahiga
Yah kwel amemsahau
Aduwi wa watanzania ni watanzania wenyewe. Tundu Lissu anapiga kelele kuhusu tukiio lake, wakati kuna watu wengi wameuwawa na watu kati yetu. Serikali ya Magufuli ilikuwa na nią ya kuleta mabadiliko makubwa Tanzania. Walipigania mali zetu kwa uchungu. Ndani ya serikali kuna watu walishirikiana na mabeberu wa nje.
Ata wananchi wasio na hatia walifariki mno wengne waliokotwa baharini tumuachie mungu ndio anajua zaid
Bravo mr
Unasaut mashallah 👌
Hakuna lolote ,,,,kama ni covid ina maana inachagua watendaji bora wa magufuli t????
Yeah yan magufuli safu yake yote ndo ilikufaa
Hivi Watu wote waliozikwa na Serikali katika makaburi ya kwa Kondo pale ununio walikuwa ni viongozi wa Serikali😮😮😮
Watu wengi wa chini waliokufa na covid delta hawakusikika
Kka kelvin raphael tulete uchambuzi wa Julius Cesar wa roma nakubali mno
umemsahau Agustine Mahiga aliyekuwa waziri wa katiba na sheria
Ila waling'ang'ania sana madaraka kama wao watu zaid .wote mda ulikua tayari wa kufa mabepari.waoneni huruma watoto wanaokufa hata hawajui maisha nini
Mkapa hujamtaja
Shinda ni shinda kweri
Wamekufa wengi tofauti na viongozi hao acha kupotosha na kiswahili chako cha uswahili
Hivi vyama vya siasa ni hatari sana watubwanapaswa kuwa makinisana naa viongozi wao wanaposafiri nnje huko wanaenda kusuka mipango gani? Kisha wanarudi baada ya matukio kukamilika hii ni hatari sananini kiliwaondoa nchini na nini kimewarudisha wakati selikali ni ileile hii ni hatari sana
Huyo sio Bakari. Huyo ni Juma Mwapachu.
Itakuwa vizuri ukijifundisha Kiswahili kwanza kabla hujaendelea na matangazo mengine. Nenda Zanzibar ujue maneno ya Kiswahili yanavyotumika na kutamkwa.
Kuna shida gani? Sisi tunamuelewa.
Mbona anatamka vizuri tu,??Kwani kiswahili chenu huko kwenu kikoje??
Kama mnamuelewa ni vizuri. Lakini mchina akizungumza kiingereza muhindi atamuelewa. Kwa hivyo mfipa akizungimza Kiswahili mluguru humuelewa, hata kama siyo lugha ya kwao. Wenyewe wa kiingereza ni waingereza, na wenyewe wa Kiswahili ni waswahili, sio waafrika. Waswahili ni kabila, kama vile wachaga na wasukuma. Lugha yetu Iimeazimwa kuwa lugha ya taifa. Kesho serikali inaweza kuamua kuibadilisha lugha ya taifa iwe kingoni.
Walio tangulia kufa kabla ya kifo cha Rais wa awamu ya tano ni watu waliowahi kuongoza wizara nyeti ,hao walikuwa nguzo imara za Tanzania tutaendelea kuwalilia mpaka Mbingu zitusikie😢
Jamani huyo sio Bakari Mwapachu. Juma yupo hai
Hatujielewi hata tukiambiwa nini sisi ni bongo lala!!!
Dr Seif Hatibu alikuwa Katibu Mkuu w UVCCM Taifa siyo Mwenyekiti kama unavyoelezea
Mbona ulimsahau Dr Augustine Mahiga?
Mmmmmmm mwisho wa binadamu ni kifo na hata hao na sisi tutakufa
daaa dunian taaab sana
Hapa taifa lilizulumiwa vibaya kuwai kutokea
Hata mama yangu pia japo hakuwa maarufu serikali ila alikuwa maarufu upande wa Dini.
Walipishana siku moja na Magufuli
Hakika wapumnzike kwa amani😢
Zungu huko vizuri kutuabalisha'lakini umesahau mtu mmoja yule En.wa ujenzi yule wa Magufuli Mfugare ambaye amejenga hizo barabara za Kisasa
Hicho kipindi sitokisahau maishani mwangu!!nilimsoma kigogo -2014 sana hadi usiku wa maneno!
Umemsahau eng mfugale
February to remember
Siwezi Kusema Kityu
Halafu Ututajie Walio Potea Mpaka Sasa na Walio Jeruhiwa
Wakati Huo wa Awam ya 5
Hivi Jaji Agustine Ramadhani, na Agustino Mahiga hawakufa kipindi hiki?
Umeongea vuzuri sana. Kipindi hicho si vigogo tu waliofariki dunia. Wananchi wengi hasa wenye umri zaidi ya miaka hamsini walipoteza maishi. Tatizo mojawapo ilikuwa matatizo ya upumuaji. Mimi nyumba yangu inapakana na kanisa la KKKT. Kipindi hicho kulikuwa na ibada za mazishi kila siku. Wakati mwingine zaidi ya moja.
NI kweli maana sasa hivi watu wenye umli zaidi ya miaka 50 hawapo na vifo vimepungua sana
Walitumia fursa ya covid kwa ufasaha usio kua na tija kwa nchi yetu zaidi ya kutengeneza nafasi wanazo taka wao
FEBRUARY mzee sio FEBRUALI....
Bado Profesa Ngowi na wasimi wengine wengi walikufa
Kifo cha bakari mwapachu na sio juma mwapachu kwahio ungetoa picha za juma mwapachu..
Kuna wengi hujawataja kama Elias kwandikwa alikua waziri wa jeshi la ulinzi, mfugale, mkapa, mahiga
Mbona hamkutaja mwenyekiti wa Board ya bandari mwana harakakati mzarendo mahiri
Umemsahau augustino mahiga
may 2020 yeye alianza
Kuna nini hapo kimejificha
Pambanua majina na picha za Harith Bakari Mwapachu na mdogo wake Juma Mwapachu, ili wasichanganywe!
Yaaaan mtu aliyemuangamiza Magufuli,ni mtu mwenye dhambi kuliko hta shetani
Sio kwamba umesahau na mzee Agostino mahiga
Wote walikufa na Corona
Jamani mbona king majuto hujamtaja na magufuli alienda kumzika😂😊 unaroho mbaya wewe m'baguzi
Nzungu napenda unavyo tujuza kwelihongera kwakua nasauti nzuriiyamatangazo
Mbona picha ya JV Mwapachu?