Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mhe Rais mungu akulinde na azidi kukupa wepasi wa kazi zako insha Allah
Hao wote team ile ile😂😂😂
Mungu akulinde
Mash Allah! Mama amependeza❤
Hakuna k2 hapa
Mheshimiwa Raisi nakuomba mpeleke mheshimiwa Christian Makonda mwamishie mkoani Lindi chooonde mama mpeleke,majibu ya ombi hili utayapata endapo Makonda ukimpeleka mkoani Lindi
Makonda NI kiongozi Bora Sana kuliko unavyofikiri
Hatudanganyiki
unataka ss tujichanganye weee sidanganyiki
Nakupenda sana mama nakuombea kila kukicha
Mama hajavaa hijab leo kawa mschana kabisa 😂
Sio wafanyabiashara hao, mashushushu hao
Kama unawapenda vijana wape haki ya kugombea mgombea binafsi hizi danganya watoto
Mbn kila cku wat ni hao hao tu
Nakupenda mama
Muoe basi ukakae state house
Nchi hii ngumu sana kwa sasa
Hakuna rais hapa
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Na hao hao ndio mashushu hiz ni mbinu tu
Shushu umjue wewe bwana huo ushushu wa Enzi za nyerere
@@FahadAbubakari saw boss
Samia ninamkubali sana jamani
Kwenye dressing wakupe maua yako