WENJE ATANGAZA KUGOMBEA NAFASI YA LISSU AMTAJA LEMA, MSIGWA ASEMA 'MAPAMBANO YAMEMSHINDA'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 84

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 2 місяці тому +6

    Bado Lisu anakibari kuliko wewe,Wewe ni mwana siasa mzuri tulia tu,

  • @nestor384
    @nestor384 2 місяці тому +4

    Kuna umuhimu wa Mbowe ku-step down amwachie Lissu Pia inaweza kuwa njia ya Wenje kutafta kuelekea kwa aliyemtaja kuwa ni rafiki yake Msigwa

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 2 місяці тому

    Tamaa mbaya.... Pambana na Uwenyekiti wa Kanda ya Ziwa....

  • @victoreleonardmdee9158
    @victoreleonardmdee9158 2 місяці тому +1

    Mungu amtangulie

  • @deohank5995
    @deohank5995 2 місяці тому +1

    Mh. Msigwa amekiri kwa kinywa chake kuwa vigogo wakubwa wapo njiani kumfuata hasa rafikize, so sad.😢

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 2 місяці тому +4

    Achaneni na uchaguzi wa ndani utawagawa Kwa sasa fucus uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu

    • @lindajohansen9220
      @lindajohansen9220 2 місяці тому

      Lazima kuwe na uchaguzi wa ndani, wewe ni chama gani. Hakina viongozi wa ndani ya chama? Tulia kwanza uone vijana wanavyo simama na chama!

    • @lindajohansen9220
      @lindajohansen9220 2 місяці тому

      Vizuri sana Wenje, nyasae otelni e dwaroni mdogo wangu. Tunakupenda sana mpendwa wetu

  • @Edsonisebastiani
    @Edsonisebastiani 2 місяці тому +4

    Kaa utulie kwanza

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 2 місяці тому +1

    Wenje aliniingza kwenye chadem 2010 nyamagana alipiga show San na ana akil nyng San maendleo n meng Salish nyamagana Mungu akutanglie kaka wenje

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 2 місяці тому

    Mnajidanganya

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 2 місяці тому

    karibu Ccm

  • @AntonyDova
    @AntonyDova 2 місяці тому +1

    Pesa hizi mh!

  • @judicateurassa7817
    @judicateurassa7817 2 місяці тому +1

    Naona kabisa huyu anataka ya msigwa tayari kashalambishwa

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry 2 місяці тому +1

    Agombee, lakini ajue tumeshajua analenga nini. Ila ajue ataungana na msigwa mara baada ya kushindwa vibaya uchaguzi huo. Angekuwa heche ningekubali, na kwa taarifa yake kama itatokea nafasi hiyo kugombewa na mtu mwingine zaidi ya Lissu basi John heche ni bora kuliko wenje.

    • @lindajohansen9220
      @lindajohansen9220 2 місяці тому

      Nyie ndio wazandiki kwenye chama hiki, usikute na wewe ni pandikizi la ccm. Kama hiyo nafasi ya Lisu inabaki wazi, unataka ukagombee wewe? Au huelewi kama Lisu anaenda kugombea Urais?

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 місяці тому +1

    Nenda tu ccm ,maana mmejigeuza kuwa "Bidhaa kama nyanya"

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 місяці тому +3

    Safari ya kuelekea ccm imeanza hio

  • @denisjoel2833
    @denisjoel2833 2 місяці тому +3

    Hiki chama kina mamluki ya kutosha na yako kazini, mnapiga makofi kwa sababu hamjui mlitendaro.Watoto wa nani kama mama wako kazinii kuisambaratisha chadema na kuiponya ccm

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 2 місяці тому +1

      Kwani kugombea nafasi ya uongozi ni usaliti?😂😂

  • @moseskayeji8431
    @moseskayeji8431 2 місяці тому +1

    Nihaki yake

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 2 місяці тому +1

    😂😂Wenje bhana?!! Unataka kuwa Makamu Mwenyekiti au unataka kuwa msaidizi wa Mbowe?!? 😂 Unajuaje kama Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti?!

  • @JakayaSamson-y9d
    @JakayaSamson-y9d 2 місяці тому

    Acha unafiki wenje tunajua umepangwa ebu sikilizia chadema inavyo wafia jalibu kigombea hiyo nafasi

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 місяці тому

    Naona harufu ya Msigwa kwa Wenje... Nafikiria tu🙊
    Na namuona wenje kapooza pooza kama alivyokuwa Msigwa ...

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 2 місяці тому +1

    Hapo hamna jipya, Chadema CHALI😂

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 2 місяці тому +1

    Mwengine huyo anamfata msigwa mda si mrefu lissu na mbowe hawashikiki hawakamatiki time will tell

    • @deohank5995
      @deohank5995 2 місяці тому

      Yawezekana kama naye ni miongoni mwa minong'ono ya wanufaika wa Duplicating paper

  • @franksabas6339
    @franksabas6339 2 місяці тому

    Kwani Lissu alisema anajiuzulu, ni vizuri kuheshimu walio juu yako, kama Lissu anajiuzulu hapo sawa ila kama yupo acha na hizi maigizo

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 місяці тому

    Hapa ndo mwanzo wa ccm.kwenda hii imeisha sababu hiyo hipo wazi
    Watu qanataka ubumge aise leo miaka mingapi njaa tupu.bora wakawa wabunge ccm.karibun mno

    • @lindajohansen9220
      @lindajohansen9220 2 місяці тому

      Sisi watanzania akili hatuna kabisa. Kwani wenje kugombea makamu mwenyekiti shida iko wapi? Ama kweli ushamba mzigo

  • @SarahShao-jw1up
    @SarahShao-jw1up 2 місяці тому

    Hata ukigombea hutashinda.Unapoteza muda wako hutoshinda hata.Lisu tunamtaka sana kwenye hiyo nafasi.Wewe hatutakuchagua pamoja na sifa ulizo nazo. Na ukigombea uwe na nia safi na sio ukute unatembea kuelekea kijani, majano, wewe na kundi lako.

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 місяці тому

    Lissu agombee uwenyekiti sasa

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 2 місяці тому +1

    Huyu anatafuta njia ya kutoka chadema aende CCM 😂😂😂

  • @Flaviosafari
    @Flaviosafari 2 місяці тому

    Msigwa part two😂

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 2 місяці тому +1

    Nafikiri hiyo ni haki yako kabisa

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 2 місяці тому

    Chadema Bado Kuna mvutano Kuna makundi mawili 2,Lisu na Mbowe

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 місяці тому

    Kugombea uongozi haujawahi kuwa dhambi kamwe, wanachama wataamua

  • @sadickjosia4352
    @sadickjosia4352 2 місяці тому

    Kwa NN unasema unataka ukawe msaidizi wa mbowe mmepanga hivyo kumuondoa lisu au acha ushanz ww tumeshajua Nia yenu ovu iyooo

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 2 місяці тому

    Chadema ina watu wengi Sana ni college.inaonekana wenje inataka kuondoka tunakupenda Sana ondoka vijana ni wengi

  • @wiliamkatala6688
    @wiliamkatala6688 2 місяці тому

    Kaka Mwamba TUNDU LISSU humuwez ww tulia kwanza,atakuabisha mno huwez pambana nae

  • @JacobMavika
    @JacobMavika 2 місяці тому

    Wenje ni kiongozi mzuri lkn hana uwezo wa kushindana na Lissu

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 2 місяці тому

    Kampeni ya Mbowe ukumuangusha Lisu apotee kabisa ndio imeanza

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 2 місяці тому

    Eti lisu anasubili kuapishwa kuwa rais siku hizi hata mchana munaota ndoto. Etiii muweke kwanza mambo yenu vizuri hasa mwenyekit mwingine nukifauri hapo utaona mambo yanajipa tu mungu baliki tz

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 місяці тому

    Yupo sahihi!

  • @konshazikonsha6180
    @konshazikonsha6180 2 місяці тому +1

    Mbona watu mapovu mengi? Mwacheni agombee, sindo demokrasia tunayopigia kelele ndani ya chama chetu.Hata nafasi ya mwenye kiti watu wagombee tuu.

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 2 місяці тому

      Wanataka demokrasia ya nje ila ya ndani hapana

  • @JakayaSamson-y9d
    @JakayaSamson-y9d 2 місяці тому

    Chadema mmefika meisho kama caf

  • @johanesthobias8742
    @johanesthobias8742 2 місяці тому

    Tunajua kilichonyuma ya wenje naona chama hiiki kimeanza kuingiliwa na mikono ya mtoto wa mama.

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 місяці тому

    Ndo demokrasia yenyewe, ila asije akashindwa na kukimbia😊

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 2 місяці тому

    Wenje ni ccm

  • @cassimjr
    @cassimjr 2 місяці тому

    Amebwaga manyaga kweli kweli

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 2 місяці тому +1

    Kugombea ni wajibu wakila mwanachama achukue agombee

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 2 місяці тому

    Concentrate na uchaguzi wa serikali ya mitaa,kuanza kutangaza kwa ajili ya uchaguzi wa ndani unapotosha wananchi,acheni ujinga wenje.

  • @AloneChuga
    @AloneChuga 2 місяці тому +2

    Bundi ametua huko

    • @PeterMandata
      @PeterMandata 2 місяці тому

      Nihaki ya mtu yeyote kugombea ilimladi kukizi vigezo ya katiba ya chama wasi bundi kamaunvyosema

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 місяці тому

    Wenje anaanza kupapasa na kugusa link za watu ebullient bonyeza mbowe faundation ## uone nini kitatokea kwenye screen

  • @MuleleMulenga
    @MuleleMulenga 2 місяці тому

    Akishindwa anaondoka kama msigwa ndiyo waliochukuwa hela ya Abdul na mama yake aondoke tu atuachie chadema yetu ondoka huwezi kushindana na lisu kailinde CCM siyo chadema

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 2 місяці тому

      Kabisa, aondoke atuachie CHADEMA yetu. Tumekaribia kuchukuwa DOLA wasituharibie.

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 2 місяці тому

    Yupo sawa wenje, tena anafaa kuwa mwenyekiti wa c,d,m kabisa sio makamu mwenyekiti, sio zambi , anafaa

  • @benardkinde8496
    @benardkinde8496 2 місяці тому

    Hata mimi nilikuwa namwamini lakini kwa kauli hizi anazoongea tutampoteza mda si mlefu alianza kutaka kugombea nyamagana ubunge alienda loliya shingo upande hata mwaka huu au mwaka jana moja ya mkutano alisema atasema atangombea ubunge wapi kauri zote hizi ndani kunausaliti wewe ni wenje ungekuwa mtu mwema busara ingekuongoza kusema tuu lisu jamani anatosha siwezi kungombea mbele yake

  • @victoriambonde8061
    @victoriambonde8061 2 місяці тому

    shida inakuja akishindwa atakubali maana wanakuwaga na maneno menng hawa watu kama msigwa najua atashindwa kwa kula je atakubali

  • @ihangacons-7471
    @ihangacons-7471 2 місяці тому

    Wenje dont confuse CDM members

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 2 місяці тому

    Mbowe mwangalie sana uyu ni yuda kama yule mchungaji

  • @AbdulOthman-gy7nu
    @AbdulOthman-gy7nu 2 місяці тому

    Huwafai kuwa rais hatukutaki

  • @MnarikaMathias
    @MnarikaMathias 2 місяці тому

    Wenje huyu huyu alimpeleka Abdul mtoto wa mama kwa lisu ili wakiuze chama na lisu akawafukuza na alipofukuzwa alipewa mamilion ndy yalimpa ushindi wa umwenyekiti wa Kanda ya ziwa akamhujumu pambalu kama amishinda chama kimekufa hizo Hera zitamtafina WENJE

    • @samuelmakara1475
      @samuelmakara1475 2 місяці тому

      Kama ni hivyo basi nafikiri kweli yupo njiani?

  • @JakayaSamson-y9d
    @JakayaSamson-y9d 2 місяці тому

    Umehongwa na mbowe wewe ni mnafiki ninyi wavhaga huwa mkoje ni watu wabaya sana

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 місяці тому

    Tayari huyu keshanunulika,huyu kweli wa kuvivaa viatu vya lissu huyu?hapana hatoshi

    • @johanesthobias8742
      @johanesthobias8742 2 місяці тому

      Sio kununulika tu bari tunasikia tetesi kuwa ametengewa bilioni 7kumsambaratisha MH Tundu Lisu.

  • @ostenmwakasita6960
    @ostenmwakasita6960 2 місяці тому

    Kwanini usigombe umwenyekiti mkuu

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 2 місяці тому

    Paka katua juu ya paa la nyumba

  • @AmimIigeni
    @AmimIigeni 2 місяці тому +1

    Huyo achunguzwe naona anaaza chokochoko kama vp afutwe uanachama kabisa aende ccm ww Bado mdogo kisiasa tulia

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 2 місяці тому

      Kwanini Sasa kwani mtu kutamani nafasi ya juu ni kosa

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 2 місяці тому

      Haahaa kugombea uongozi Kuna dhambi Gani kaka?

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 2 місяці тому

      @@dennisungonella205 nashangaa 😂Hawa jamaa wanamuona kama ni tishio wakati ni kawaida hata akitaka kuchukua cheo Cha mbowe ni sawa TU ndio demokrasia hiyo

  • @victoriambonde8061
    @victoriambonde8061 2 місяці тому +2

    Mgesubili uchaguzi upite kwani ungekaa kimya usingegombea mpaka uute waandishi shida sana ila nafasi Ile wewe utoshi na wewe ukitaka kumfuata msigwa nenda munaanzaga ivo ukishindwa tuu utasema chadema Kuna lushwa mala mbowe afai tunakujueni wewe safali ya kwenda ccm iyo

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 2 місяці тому

      Kweli kabisa, nauona mkakati wa kijinga wa kukivuruga chama, kwanini kuanza kutangaza masuala ya kugombea chaguzi zijazo wakati chama hakijatangaza? kama kila mtu ataanza kutangaza nia kugombea taifa haoni anakuwa sehemu ya kuleta taflani ndani ya chama?
      Halafu, anapoomba nafasi za juu zaidi, je ametimiza kiasi gani wajibu wake kama kiongozi wa kanda ya Victoria?
      Of course anayo haki, ila this is not the right moment

    • @innocentchristopher7571
      @innocentchristopher7571 2 місяці тому

      ​@@illomowerner7690 aendlee kuwa m kiti wenje awe msaidiz wake lisu awe mgombea urais na nyamagan yetu tuirudshe Kuna mbunge pale nyamagan amn kitu kabisaa

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 місяці тому

    Eti Laisi wetu kumbe ccm ina rais

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 2 місяці тому

    Duu, ??mamluki

  • @ismailramadhani1649
    @ismailramadhani1649 2 місяці тому

    Hawa ndiyo wenye uroho wa madaraka, umepata uwenyekiti wa Kanda bado unataka tena nafasi ya Makamu mwenyekiti Taifa? Chama hakina watu wengine mpaka ww ugombanie Makamu mwenyekiti Taifa?