HUU HAPA UKWELI KUHUSU MIWANI YA BAKHRESA NA THAMANI YAKE " ILIENDANA NA HADHI YAKE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 243

  • @nyenza
    @nyenza 10 місяців тому +16

    Gonga like kama umejua kua walikua wanatangaz bihashara ya miwan

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 місяців тому +15

    Daa mungu wangu binaadam tunampekuwq mtu kiasi hicho subhana llah

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 10 місяців тому +12

    Haya ndo maisha binaadamu anatakiwa sio kujifagharisha kwa sababu ya pesa mungu ndo anapenda

  • @BertinaCharlie
    @BertinaCharlie 9 місяців тому +2

    Nchi ya hovyo hii jmn yaan miwani imekuwa gumzo kuliko mtu mwenyewe shida yote hii inatokana na ukosefu wa ongezeko la ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi kwa mwananchi mmoja mmoja hii shida kubwa sana kwenye taifa letu

  • @bas2823
    @bas2823 10 місяців тому +4

    I KNOW BAKHRESA N HIS FAMILY ALL👌 BAKHRESA WAS A POOR MAN BEFORE HE HAD SHOES SMALL SHOP FOR REPEARS N MAKE IT! IN DAR AL SALAAM! BEFORE HE USE TO STAY IN A SMALL HOUSE SHARING WITH OTHER RENTER ONLY. SOO WHAT IF!? HE PUT CHEAP SUN GLASS!? HE DOESNT LIKE TO SHOW OFF! HE IS RICH! OK! LIKE YR WASANEE THOSE EACH ONE LIKE TO SHOW OFF THEY R RICH INSTEAD OF THE OTHERS! EVEN BY LIES N PRETANDING ONLY! WILL SHOW OFF! N IN SECRETS THEY R FULL OF DUYUN N NOTHING ELSE! HE WAS POOR FROM HIS EFFORTS N SWEATS GOD BLESS HIM! TO BECOME RICH👍 PROUD OF HIM! THE WAY HE IS👌"

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 10 місяців тому +16

    Ndio maana hapendi mitandao😢 mme anza!

  • @mmeagroup-TV
    @mmeagroup-TV 10 місяців тому +6

    Tafutaaisha Yako miwan ya bakhresaa inakuhusu nn tangaza habari na matukio acha kuchimbachimba maisha bnafsi ya mtu, iwe na hadhi isiwe nayo si yake alikuomba pesa ya kununuliiia

  • @Shera806
    @Shera806 10 місяців тому +18

    Wabongo mmezidi umbea kwan ata angevaa mieani ya elfu ishirini inawahusu nini msipende kupangia watu vitu vya kuvaa yeye hajavaa kujikweza kavaa kwa raha zake bana mnaboa sanaa kwan akivaa kuna shida gani mnatia aibu waandishi wa abari toe taarifa za maaana sio kufatilia vitu vya watu

    • @arafathswaleh
      @arafathswaleh 10 місяців тому +1

      Alafu huyo pia kalelewa mazingira ya kislam hawezi kuwa na Riya kama kafiri anaamini dunia ni mapito tu

    • @Shera806
      @Shera806 10 місяців тому +1

      @@arafathswaleh Ni kweli kabisa ndio maan huyu mzee hapendi kujionesha anajua maisha ya media n unafiki mtupu

    • @Shera806
      @Shera806 10 місяців тому

      Sasa Kama yeye tajiri asivae au kutumia kitu Cha Bei rashidi kwasababu Ni tajiri tunakosea Sanaa huon Ni ulimbukeni wa fikra

  • @conradjunior5940
    @conradjunior5940 10 місяців тому +19

    tumefikia hatua ya kujadili miwani so sad

  • @Ummukuruthum-m1m
    @Ummukuruthum-m1m 10 місяців тому +7

    Mmezid umbea na nyinyi khaaa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 місяців тому +2

    MAELEZO YAKO SIYO SAHIHI. HIYO NI MEWANI YA JUWA, AMBAYO UKIVAA HAIWEZI KUKUHSRIBU MACHO. KUNA MEAWANI NYINGI YA MACHO , LAKINI INAXUIA JUWA , NA HAPOHAPO INAWEZA IKAKUUMIZA MACHO. PIA TOFAUTI KUBWA NI LENSI NDO INAYOJALIWA SANA HAPO. LENS NDO KILA KITU.

  • @aminitaycoon
    @aminitaycoon 10 місяців тому +2

    Mko smart sana mnatangaza biashara kwa style ya kipekee sana ma zwazwa hawataelewa nn mnakifanya #moneymakers😅😅😅

  • @chidi_don
    @chidi_don 10 місяців тому +14

    Yani mimi nina jambo la kuongea na wa TANZANIA yani sio kila tajir ana majisifu sana pia mtu tu wakawaida anawaza kula biriani ila tajir anawaza kula muhugo na ndizi na utumbo sawa yani ivo

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 10 місяців тому

      Washamba waTz. Na ulimbukeni mwingi 😂

  • @khamiskamtoi5480
    @khamiskamtoi5480 10 місяців тому +1

    Acheni usenge Mtu ananunua Scania Xt Zaidi ya 70 Ndio Ashindwe Kununua Miwani Moja wapo ya umasikini ni kufatilia life ya mtu

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb 10 місяців тому +1

    Shida ni elimu ya uchumi kwa mtu mmoja mmoja,watz hatuna ,shida sana

  • @Deonfnyoni
    @Deonfnyoni 10 місяців тому +1

    Tajiri wa kweli hana ujanja ujanja namkubali sana baba yang mzee bhaharesa

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy 10 місяців тому +4

    Alafu mutwambie miwaniya mama Samia sh ngapi

  • @NasikikaTV
    @NasikikaTV 10 місяців тому +2

    Nilijua labda ni smart kwaajili ya ulinzi wa maadui

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 10 місяців тому +4

    Akili za nzi, popo siyo mwandishi ni u-tuber!

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 10 місяців тому +4

    Wasenge millard ayo, hiyo sunglass ni dollar 90 tu! Ray ban Justin

  • @fauzibinzoo6563
    @fauzibinzoo6563 10 місяців тому +73

    Yaani Millard unafeli wapi?yaani miwani nayo imekuwa habari?

    • @sajalyamry6059
      @sajalyamry6059 10 місяців тому +15

      Siompaka usikilize ukiona aikuusu unaachana nayo

    • @hassanpashua
      @hassanpashua 10 місяців тому +2

      Sio mbya Yuko ktk biashara

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 10 місяців тому +7

      Umeshindwa kuelewa kuwa hilo ni kama tangazo

    • @Hajer-be2kh
      @Hajer-be2kh 10 місяців тому +9

      Kwanza umeshajua uzito wa anaeongelewa hapo mwenye hiyo miwani?? Au unaongea tu😂😂 mwenzio anadili na majina makubwa ya kumpa faida na sifa sio lazima aongelee mafuriko

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 10 місяців тому +9

      Hii inatisha brother yaani siku hizi hamna taarifa kabisa.

  • @AgredaMoyo
    @AgredaMoyo 10 місяців тому +1

    Duuuh msiba wa Ally umemtoa nyoka pangoni duuuh kaenda msibani

  • @aselacaspal
    @aselacaspal 10 місяців тому +2

    Jamani tufanye kazi umbea huu watyu wanalala njaa ,mnahangaik hela amn mnadiscuss watyu

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 10 місяців тому +2

    Dah Watanganyika Watanganyika mbona mnafeli sana ndugu yaani miwani imekuwa issue dah Watanganyika washamba sana bhana ah

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 10 місяців тому

      ujajua hiyo fursa ya tangazo la biashara laiti wangeizungumzia miwani ya BAHRESA BILA TANGAZO LA BIASHARA HAPO SAWA !!

  • @bas2823
    @bas2823 10 місяців тому +1

    I USED TO GO N VISITED DAR EL SALAAM N GO TO VISITE MY COUSIN MY UNCLE DAOUGHTER GOT MARRIED IN DAR AL SALAAM N THEY USED TO STAY IN THE RENTAL GROUND FLOOR HOUSE! SHARED WITH HIM! BAKHRESA! USING SAME ONE KITCHEN N SAME BATHROOM! SMALL HOUSE ONLY! BAKHRESA DOES A SHOES MAKER N REPEAR THEM N THE HUSBAND OF MY COUSIN HAD A SHOP OF WATCH REPEARS ALL WERE POOR PEOPLE! IN THAT TIME! MY COUSINE HUSBAND ALREADY DIED!😢! U FELLOWS STOP SHOWING OFF FOR WHAT U HAVE! ITS NOT GOOD! OK😢! WE DIE N WE LEAVE EVERYTHING HERE N WE GO WITH OUR AMAL ONLY OK!

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 10 місяців тому +3

    Wanazengo kujeni huku haraka tuna kikao kuhusu Miwani

  • @eliusobadia8683
    @eliusobadia8683 10 місяців тому

    Kweli mwaka wa kuforce hadi miwani mnajadili ..!!! Habari hakukuna,...wandishi kuishiwa vya kulipoti hii ndo Bongo...!!

  • @OthanMedia_
    @OthanMedia_ 10 місяців тому +6

    Hilo tangazo ni BaabKubwa 🙌😂

  • @ntambisamwel4436
    @ntambisamwel4436 10 місяців тому +3

    Kweli watanzania hakuna habari ndogo sasa mtu asivae mawani midia kubwa mnafeli wapi

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 10 місяців тому

      ujajua hiyo fursa ya tangazo la biashara laiti wangeizungumzia miwani ya BAHRESA BILA TANGAZO LA BIASHARA HAPO SAWA !!

  • @saidmasoud2200
    @saidmasoud2200 10 місяців тому +2

    Hiyo no lak 2
    Tulinnua pamoja
    Alipungukiwa elf10.
    Nikampatia.

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 10 місяців тому +1

    WaTZ mambo ya kishamba , kukaa kuchunguza vitu badala ya kuchukua mambo ya TIJA NA UTU msibani mnachunguza vitu , SI POA ACHENI USHAMBA WA TZ 😅😅

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 10 місяців тому

    MILIONI MIA Tano .... Ivi mnadhani yule mzee Salim .. Hana adabu na pesa zake😅😅😂😂😂😂 .. weeee anaziheshimu sana pesa zake yule

  • @Kidama-b7d
    @Kidama-b7d 10 місяців тому

    Nyie waongo bn kariakoo mchikichini nimenunua buku jero axaivi apa

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 10 місяців тому +2

    Kifo cha Habari

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 10 місяців тому

    Wanzanzibar ni watu simple tu Weldone Said Salim Bakhresa tajir wa Wa Afrika kumi bora umo

    • @Adeen.1
      @Adeen.1 10 місяців тому

      Wala si swala la uzanzibar ni rizqi tu...watu wenye rizqi kubwa hawana kelele always ka sie masikitini.

  • @dannytohjoh5984
    @dannytohjoh5984 10 місяців тому +3

    Media zisha kuwa za kisenge

  • @chidi_don
    @chidi_don 10 місяців тому +2

    Hakika kawaida tu kwa bei iyo bro nazani unajua kwa siku moja anaingiza shingapi 👋😎

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 10 місяців тому +1

    Mimi natumia miwani ya macho Subhanallah nikitaja bei nilonunua huku kwa bei ya huko nyumbani simtasema ni sifa vitu vidogo tu ndio inakua habari 🤔

  • @Khadija-b4v5p
    @Khadija-b4v5p 10 місяців тому

    Nyie kweli washamba Yani mnazungumzia adi mawani ?kumanisha nini?fanyeni yanayo Wausau nasipo miwani tuu .mujaji na chupi ,kazi,na kofia ushamba uo😊

  • @MaximillianNgoiya
    @MaximillianNgoiya 10 місяців тому +3

    Tunasubiria episode ya tano ya David Mulokozi

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su 10 місяців тому

    Vip miwani ya Mo ni bei gani

  • @khalfanmohd7019
    @khalfanmohd7019 10 місяців тому

    Millarday unajishusha mzee hatutegemea😢

  • @milaah255
    @milaah255 10 місяців тому

    tungejuaje sasa hii habar nzur sana

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 10 місяців тому +2

    Ndo mujue kuwa wazanzibar hawapendi sifa lakini wana maokoto

  • @maase2023
    @maase2023 10 місяців тому

    Hao ayp msiwalaumu wanatafuta tonge jamani 😊

  • @abdulshaq-qx8wz
    @abdulshaq-qx8wz 10 місяців тому

    Wabongo washamba sana

  • @HafidhOmar-rs4ty
    @HafidhOmar-rs4ty 10 місяців тому +1

    Safi dct expert

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 місяців тому +1

    UTANZANIA BWANAAA.😮 ETI MEWANI. WENZENU HUKO BUKINA FASO WANAONGELEA KUCHUKUWA NNCHI KUTOKA KWA WAZUNGU, WEWE UNAONGELEA MEWANI. ACHENI UTANZANIA HUO. NDO MAANA WANAUME WENGI WANAOLEWA KWA MAWAZO YA KIPUUZI KAMA HAYO.

  • @mwavitadundo4880
    @mwavitadundo4880 10 місяців тому +7

    Duuh sepowa bongo yani miwan imekuwa abari

    • @beautywithnay5974
      @beautywithnay5974 10 місяців тому

      Kwakweli Ni aibu Sana kwakweli

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 10 місяців тому

      ujajua hiyo fursa ya tangazo la biashara laiti wangeizungumzia miwani ya BAHRESA BILA TANGAZO LA BIASHARA HAPO SAWA !!

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 10 місяців тому +2

    watanzania bwana ndio maana maskin wengi kuliko matajiri maana baada ya kujadili maisha yao wanapoteza time ya kujadili maisha ya watu ndio iwe nn sasa si kila mtu anavaa anachotaka kwani utajiri ndio kuvaa prand hebu tubadilike mambo ya mashindano ya kuvaa na maisha watu wanaishi hawafanyi drama

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 10 місяців тому

      ujajua hiyo fursa ya tangazo la biashara laiti wangeizungumzia miwani ya BAHRESA BILA TANGAZO LA BIASHARA HAPO SAWA !!

  • @mtulivuboy
    @mtulivuboy 10 місяців тому +2

    Hio nimizuri Sana Nina miwili ikopoa sana

  • @supermoodworld
    @supermoodworld 10 місяців тому +4

    254 tangazo lamiwani umeweza

  • @buchbeats5337
    @buchbeats5337 10 місяців тому

    Uwongo c o kijijini kwake bali kwao mkewe Zanzibar hamna kijiji kuna mjini Ng'ambu na shamba

  • @SalumMkumba-wj2wl
    @SalumMkumba-wj2wl 10 місяців тому

    Yaani wabongooo mmmh kilakitu mnakiletea coplein sasa miwani ya nn

  • @PatrickRyoba
    @PatrickRyoba 10 місяців тому

    Waumbea hawana kazi kazi ndio hiyo msinali

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 10 місяців тому

    Mnatafuta sababu ya kwenda kumuhoji bakharesa tu lol 😂😂😂😂😂

  • @ibnseyf5724
    @ibnseyf5724 9 місяців тому

    Tanzania hatuendelei kwa mambo ya kipumbavu sasa hata kama atavaa ya milioni 2 itakusaidia nn, tufanyeni mambo ya kimaendeleo na sio kudeal na umbeya

  • @Noor56-i7s
    @Noor56-i7s 10 місяців тому +3

    Nn kweli hamna kazi kB8sa minamfatiliya mtu paka miwani😢😢😢😢😢😢

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 10 місяців тому

      ujajua hiyo fursa ya tangazo la biashara laiti wangeizungumzia miwani ya BAHRESA BILA TANGAZO LA BIASHARA HAPO SAWA !!

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 10 місяців тому

      ujajua hiyo fursa ya tangazo la biashara laiti wangeizungumzia miwani ya BAHRESA BILA TANGAZO LA BIASHARA HAPO SAWA !!

  • @FelixMartin-zt9kq
    @FelixMartin-zt9kq 10 місяців тому +2

    Nashida na huyo dactar naomben namba zake

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 місяців тому +10

    Hata akivaa ya shilingi 30 ni yake na haimaanishi kuwa yeye maskini

  • @ramadhankhatwib8561
    @ramadhankhatwib8561 10 місяців тому +2

    Huu ni utahira yani unashuhulisha watu na miwani ya mtu alienunua kwa hela yake

    • @omarmsuya2459
      @omarmsuya2459 10 місяців тому

      Ujinga bado unaendelea watu waliokua hawana cha kufanya ndio hao wenye mawazo feki

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 10 місяців тому

    Hizi habari za kujadili miwani ni ushamba mawazo mlalo

  • @peterlukose1027
    @peterlukose1027 10 місяців тому

    Millard unazingua sana ww

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 місяців тому

    Umeongeya vizuri dokta

  • @habibusalum1849
    @habibusalum1849 10 місяців тому

    Mimi nilifikiri dactari ataongelea magonjwa ya macho na tiba yake kumbe ipo biashara tuu

  • @Satier47
    @Satier47 10 місяців тому

    😮miwani😂😂😂😂😂😂😂 🙌🙌🙌🙌🙌🤭😂🤭

  • @KoyiAsunga
    @KoyiAsunga 10 місяців тому

    Kweli kabisa miwani nayo habari dah

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 10 місяців тому

      ujajua hiyo fursa ya tangazo la biashara laiti wangeizungumzia miwani ya BAHRESA BILA TANGAZO LA BIASHARA HAPO SAWA !!

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 10 місяців тому +4

    Shobo za waandishi

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 10 місяців тому

    Watanzania sisi bado sana miwani imekua habar

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 10 місяців тому

      ujajua hiyo fursa ya tangazo la biashara laiti wangeizungumzia miwani ya BAHRESA BILA TANGAZO LA BIASHARA HAPO SAWA !!

  • @ShafiiJuma-t2x
    @ShafiiJuma-t2x 10 місяців тому

    Bongo bana na ndio mana matajiri hawapend kujionesha kwenye mitandao mana kile kifungo kitapigwa samani haya iyo miwani alipo inunuwa ww ulikuwepo

  • @maase2023
    @maase2023 10 місяців тому +1

    Huu ni ulimbukeni kwa kweli duh!

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 10 місяців тому

      ujajua hiyo fursa ya tangazo la biashara laiti wangeizungumzia miwani ya BAHRESA BILA TANGAZO LA BIASHARA HAPO SAWA !!

    • @maase2023
      @maase2023 10 місяців тому

      @@ayububakari9942 😆😆😆😆😆 hapo umenishinda 😁😁😁😁🙃

  • @abdulshaq-qx8wz
    @abdulshaq-qx8wz 10 місяців тому

    We ZANZIBAR wanahela wanaish kawaida tu

  • @robertmrindoko4038
    @robertmrindoko4038 10 місяців тому

    Jamaaa anaongea lakin mm ndo napumua kwa shida asee 😂😂😂

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 10 місяців тому +2

    Habari zimeishaaaa mmeacha kutipoti vitu vya msingi mnaripot upuuzi mtupu. Wakati kuna habari tukiwaita huwa mnakataa mnajifanyaga masuper star mnachagua habari. Sasa hiyo habari inasaidia niniii kwenye jamiiiiii???

  • @vitusjumah
    @vitusjumah 10 місяців тому +1

    Issue za muhimu mnazikwepa kweli mmeona watazamaji wenu hatuna akili

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 10 місяців тому +1

    Sasa mnaeleza habari za miwani ya Mzee Bahresa au mnajitangazua biashara yetu huyo mimi sipendagi haya mambo yenu

  • @MariamJuma-e7w
    @MariamJuma-e7w 10 місяців тому

    mpk miwani mbachunguza khaaa😂😂😂

  • @EdghaMoses-js8lj
    @EdghaMoses-js8lj 10 місяців тому

    Habar zimeisha millad

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 10 місяців тому

      ujajua hiyo fursa ya tangazo la biashara laiti wangeizungumzia miwani ya BAHRESA BILA TANGAZO LA BIASHARA HAPO SAWA !!

  • @JumaNassor-cj3zy
    @JumaNassor-cj3zy 10 місяців тому +4

    Nimemuona siku moja anapanda boat yke tukikaa tunasubir mda kma dakika kumi kumbe ilikuwa anasubiriwa

  • @olivazaituni2440
    @olivazaituni2440 10 місяців тому

    😂😂😂 Habari gan hii kuhusu fashion misibani .Bongoo bhuana😂😂😂

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 10 місяців тому

    MILLARD Ayo Embu FANYA INTERVIEW na BAKHRESA

  • @safarsafari68
    @safarsafari68 9 місяців тому

    Hamna habari

  • @maase2023
    @maase2023 10 місяців тому

    Hayo ni mawani ya kawaida tu jamani tusipambe mtu sana mpk tukakufuru ! Huyu ni binadamu kama mimi na ww anakula chapati 2 kama mimi na ww sasa hata mawani pia mkayape hadhi?? Jamani tujiangalie na kutathmini tabia hizi

  • @judithelias7025
    @judithelias7025 10 місяців тому

    Mmefika huku hamtomuon ten mpk miaka 15😂😂😂😂

  • @rukundorwiza5223
    @rukundorwiza5223 10 місяців тому

    Mnatumiya bahresa kufanya matangazo ya biyashara ! Nyiyee wajanja sana ! Alafu huyo siyo bahresa

  • @hellyfridy
    @hellyfridy 10 місяців тому +1

    Kama habari hazipo mkae kimya tu yaani ishu ya miwani tu nayo inakua ni habari

  • @omarkioko3602
    @omarkioko3602 10 місяців тому

    Sasa miwani ya dollar 200 ndio inakuwa deal !?? Wabongo wacheni chochaaa 😂😂😂😂😂

  • @lombardocrich6177
    @lombardocrich6177 10 місяців тому +1

    Mild 😢😢😢😢😅Leo mmefeli kabisa ndo nn sasa.kwani hamjuwi kwamba matajiri hawavai vitu via garama.kwann Sasa Leo miwani jamani mbona saivi mnakuwa Kama waswahili wa manzese😂😂😂😂

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 10 місяців тому

      Miradi AYO anajitambua sana hapa anatangaza biashara ya huyo wa Parm Village.... Muwe na uwelewa ndugu zangu

  • @fmusa-v2l
    @fmusa-v2l 10 місяців тому +1

    Mbona miye ninayo gharama kama hiyo sija ona kitu cha ajabu nimenunua hapo

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 10 місяців тому +1

    Dola 213 nizaid ya 500000 zakitanzania ni laki 806000

    • @thespaniardinme
      @thespaniardinme 10 місяців тому

      Kwani dola 1 ya kimarekani ni shilingi ngapi za Kitanzania kwa sasa?

  • @Gospel2Youth
    @Gospel2Youth 10 місяців тому

    Wabongo kesho wanalalamika hakuna sukari wakat leo wanafatilia miwan ya bilionea😅

  • @MpajiAli
    @MpajiAli 10 місяців тому +1

    Nd mn bakhresa hapend kuonekana kwsbb anawajua wa Tz mtaanza kumjadili na kupata content

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 10 місяців тому

    Msiba 😭😭😭😭😭. Miwani🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tatusalehe8775
    @tatusalehe8775 10 місяців тому

    Duh habari zimeisha

  • @saidyabdalla7410
    @saidyabdalla7410 10 місяців тому +2

    Miwani 2 mtaji wa masikin eee mungu tusaidie Sisi masikini 😂

  • @OliverGodwinzakaria
    @OliverGodwinzakaria 10 місяців тому +1

    Hongeren sana milard ayo habar😅

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 10 місяців тому

    Miwani yangu mpiga kifagio ni milioni 3 na ninayoa kama pia kama 4

  • @selemansalim8462
    @selemansalim8462 10 місяців тому

    Ukimaliza kinacho fata ni kibara kashekh alicho kivaa

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 10 місяців тому +2

    Kwani hata akivaa zile za buku 2 kuna ttzo gani

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 10 місяців тому

    Free advertisement/endorsement for Rayban!