Africa we have He is the anointed one, Africa's most talented musician, Africa's most wanted musician, Africa's finest respect Dr Jose chameleon u a an compared
Tanzanians tell alikiba we need a collabo of him, chameleon, nameless ( Tanzania, Uganda, Kenya) any original east African anthem song from legends ......❤❤❤❤❤
KAKA CHAMELIONE AUZEEK HATA KIDOGO MWILI WAKO KAMA JAYZ NA WEW NDIYO MSANII AMBAE UKIWATOA WASANII WANGU WA HAPA NYUMBAN UNAFUATA WEWE KAKA JOSECHAMELIONE
Huyu jamaa ndio moto wa east africa, talented musician n educated 🔥🔥
Africa we have He is the anointed one, Africa's most talented musician, Africa's most wanted musician, Africa's finest respect Dr Jose chameleon u a an compared
He is the only African artist who can sing in all African languages Big up our No.1
Olimba
All African language?
Tanzanians tell alikiba we need a collabo of him, chameleon, nameless ( Tanzania, Uganda, Kenya) any original east African anthem song from legends ......❤❤❤❤❤
Right ❤❤❤
Jose chameleon nyimbo zako ni nzuri sana unaweza ombea ata mkopo ukapewa bila shida yoyote, mung akuweke sana bro uzid kutupa burudan zaid na zaid 🙏🙏
East Africa chameleon na king kiba ndio wanatowa message za kweli na zakueleweka na zipo ❤❤❤
Uhakika
Ugandan heavy weight champion respect sounds in you name Dr jose❤
Yaani huyu jamaa namkubali sana kwa ujumbe
Chameleon ni kipenzi cha wengi,big up sana broo
Sio kama wassnii wa tz wenye majivuno
Tatizo jamaa azeeki asee my artist best kipindi natoloka shule uyu chameleon asee zamani from tz
dAah get well soon chameleon hakika nyimbo zako zina ujumbe sana
My feveright musician in uganda Dr jose chamilion❤❤ forever.Bigup processer J.
Live band joh live band 🔥 wueeh with whole my heart ❤️
This man is talented quick recovery and live long Dr jose
Golden songs live forever. You kill them Jose.
😭😭😭😭nalia kwa furaha furaha kubwa sana ❤❤❤❤❤ jose
He is Africa's number one
Live band king and legend in the game big up to the heavyweight champion
King of performing ❤❤❤
Love you so much Jose chameleon i❤❤❤❤❤❤ Mungu akulinde akupe afya njema akukinge na balaaa zote za dunia
nkwagara nnyo nnyo Joseph chameleon forever
Nange mwagala nyo
Weasel's vyb will always never leave you the same 💥💥💥💥💥💥💥
Jose tunakupenda mwenyezi Mungu akuwe bro
Respect J Chameleone❤
KAKA CHAMELIONE
AUZEEK HATA KIDOGO
MWILI WAKO KAMA JAYZ
NA WEW NDIYO MSANII
AMBAE UKIWATOA
WASANII WANGU WA HAPA
NYUMBAN UNAFUATA WEWE
KAKA JOSECHAMELIONE
Jose nimkali sana. Alafu hazeeki
Nashangaa hata mimi
I see you my brother mziki wako unaishi kizazi hiki na kijacho Kuna value,badilisha tubonge na ngoma nyiiing kibao
Bado anaonekana young kimuonekano lakini umri mkubwa - respect legendary
Chameleon kuimba live anaweza bambana na alikiba tu wengine abana
Jose chameleon forever
Chameleon wetaga soups mugyi 🙏🙏,omutokose pepper soup,
Uyo ni hatari sana @Bwana chameleon ,lakini tunamupenda sana
Nakuelewa sana mkuu hasa kwanyimbo yako tubonge
jamaa huyu nimsanii mwenyekipaji sana ni mtanzania kwenye sanaa
My all favorite musician...Chameleon is bigger than all Tanzanians musician....mheshimu legend 😂
ni vizuri kujidanganya na kujitekenya ukacheka mwenyewe,Huyo chamelion hamfikii hata Marioo
@@Thekidp3702 Nenda ukapimwe akili
Kabisaaa🙏
Nkwagala nyoo sevo chameleon
Umemaliza mbiyo ilikuwa bado kabisa🥰🥰💗u
Namkubalisana mungu amponye mkeo kamkimbia mungu mponye
Golden voice.
Chamiliology ✅
bonge la artist east Africa.
Nyimbo zake huwa zinanibamba tu sana thanks
Napenda sana nyimbo zake uyu jamaa
East African living legendary ❤❤❤
Unyama sana kamilioni
Uyu jamaa wallah Adi nahisi kulia jamani 😭😭😭
Heavyweight legend Dr jchameleone the most wanted
Legend❤❤❤
My favourite the best of all time
TWENTY PERCENT & JOSE CHAMELEONE WANASAUTI ZA PEKE YAO SANA .
Brother jose legend tukube akayimba tukwagala
Legend is ever legend 😊
L'Afrique de l'est la couronne est pour toi sans discussion, te comparer aux enfants là c'est la folie.
recover quickly bro
Mi naona Amasahautu mahandishi
Hongera mr Jose 🎉🎉🎉
Pride of East Africa ❤
mdogo wako wesal kdogo akufunike hla ww ni.legend
Lovely Joseph Big ip from ❤ 🇬🇧
LEGEND! 🙌🏽
Weasel manizo namkubali sanaa
Msaniii Bora saana
That's y i call east Africa,s national treasure chameleon
Respect African legend 🎶
Alikuwa na uwezo mkubwa jukwaan kwasasa umri umeenda ira Bado nyimbo zake zinadumu
Nakumbuka akiwa marekan akipanda mpaka mnafurah
Sjawahi ona sho Kali kama hii aseee jamaa haimbi wanaimba mashabiki tu huu moto mwingine af watu walmmis kchz
Muhuni ni muhuni tu jamaa hataki kuzeeka kabisa he is very strong 😅😅
Chameleon ❤❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
This is WOOOW
EAST African Giant ❤❤❤❤
Binadam hujfa hujaumbk camilion alvykuwa na mwili saiv afya yk kidgo imemsmbua pole sna legend
Hajawah kunenepa fuatilia vizuri
@@makepoundbemillionire9688 wwe unamjua camilion Anglia nyimbo zke za zman hkuwa na mwili huo usw mbsh ndgu yngu
He totally sounds like he is home brada yur from ug totwelabila sebo ur our property a blessing to east Africa big up mayanja family
anasauti ya professeur jay
My number one
haa nilikuepo kwenye shoo hii kiukweliskupenda kumzimia maik
LEGEND 🥂🔥✊🏾
Nakubar sana mkuu
Africa number 1
Kama ni ujumbe yeye ndio msanii mamba moja Africa hilo halipingiki.
😅😅😅❤❤❤he made us sing swahili dr jose chameleon our own
His areal legend😮😮
Powa sana japo haujakaa sawa
Our no 1
Legend as a legend
Am still searching for a perfect word to define Chameleon
Legend
Legend 🔥
Used to think when i was young😢😢😢
kiukweli nilimaind kinoma na mm skupenda
Respect No. 1
our African legend
Dr is Dr 💪
Music ya uganda isaka isha uyu haezi maliza tena nyimbo yake kitaratibu me tunakupenda sana tu
Man cannot easily perform live without backup singers. You can easily see that
Azimiwa wapi sijaona?? Ama hujui hiyo ni design ya kuperform ?? Next time usipost headlines za uongo
Watanzania na live band hawapo kabisa Wamezoe Kuruka Kuruka na watu kutoa Ma shart kwa stage
Kahama represents 😮
Chameleon super
Love you jose
Top fire
Jamaaa noma sana
Genius legend
Rick media una kasumba!