Mashabiki tuchoka kuona Beki wa timu kubwa kama Simba anafanya makosa ya aina kama Che Malone. Kama ni tatizo la mind decisions basi wataalamu wa psychotherapy ndo jukumu lao kumpa Canceling akae sawa.
Hii jana ni mara ya tatu. Kwenye mashindano haya. Alianza Kwenye mechi dhidi ya ahly tripol. Lile goli la mabululu lilitokana na mpira wa kichwa alioupiga yeye kurudisha kwa kipa. Dhidi ya sfaxen kila mtu aliona alichofanya na jana pia.
Yanga
Kihemba punguza ushabiki Simba match 15 za ligi Bado anajitafuta nn
Kiamba watu tunaimani sana nauwewe acha ushabiki, toa majibu kutokana na Simba ilivyo,
Ni kweli aende zake tu
Asipocheza chemalon atacheza nani?
Safi sana mchambuzi makini
Huyu malone kuna kilevi anatumia mchunguzeni sio akili ya kawaida ile hata chizi akosei mara Kwa mara makosa kama yale
She Malon ndo kakwamisha simba kua na point nyingi zaid ya hapo nakataa si bule na kocha amuweke pemben si kutuweka roho ju na kuwavunja wenzake moyo
Naam umesema vema kiemba💪🏽
Aondolewe Simba, tusimuonee. Muhali.
Chamalone aondoke
Makende yake ajikate anatuaribia
U meongea ukweli
Huyu ni moja ya mchambuzi mzuri hana mbambamba
Mashabiki tuchoka kuona Beki wa timu kubwa kama Simba anafanya makosa ya aina kama Che Malone. Kama ni tatizo la mind decisions basi wataalamu wa psychotherapy ndo jukumu lao kumpa Canceling akae sawa.
Simba timu kubwa makosa ya kupoteza Mechi zote linatokana na safu ya walinzi. Mungu ibariki Simba. Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
Muwe mnakumbuka na pass yake sifasion chemalon
Watu hawakumbuki mema ndugu yangu kaokoa vingapi na amepoteza vingapi
SHEFONDO NI DUKA ACHUNGUZWE
Hata mi nahis kuna kitu nyuma inakuaje mechi 2 kosa n lile lile? Hapana kutakua kuna kit nyuma cha kuikwamisha timu kupitia yeye
Kwa kuwa mchezo ni wa nyumbani basi mcheza kwao hutunzwa Yanga kazi kwenu msituaibishe.
Ni kweli anatakiwa achuguzwe
Nakuelewa mchambuzi wangu bora
She Malone hatumtaki
Na nani?
Na mimi
Wamwache tu
@@PhineasOchollahatumtaki aende atatucost ubingwa huyo