Love from teacher Mrisho shabiki mkubwa wa nyimbo za asili kanuni ni ileile mkataa asili yake ni mtumwa Sukuma is my tribe na bhudagala ndo number one artist kweny hii sector Na @migera ndo revolutionarist kweny production
Msanii legendary na Director konki My teacher migera sniper the great kazi nzuri sana na mategemeo yangu nilitabili kazi za bhudagala azishuti migera na imekuwa hivi ili sanaa iendelee lazima director awe mtaaaalamu Salute sana na barikiwa sana kaka mwl migera na kaka Legendary Bhudala kwa jumbe nzuri katika jamii
Hongera sana Kitu kinag'aaa full hd tafadhari endelea kuwasaidia wasanii wetu wa Nyimbo za Asili watoe Video nzuri kama zilivyo nyimbo zao.! Mimi Mashimba Dsm
Iwe mtana na oanzio usiuye nyuma waipingatho usikale mwoga na machinevizho be zhomu no salamu zangu asenani asena bate ni Kala ni haha watamu vinafwaha Zaire hoyeee
Mm wa kwanza Mk kutoka masumbwe town
Aiseee migera unatisha kwakaz zako ni zuri san unasitair ogera
🙏🙏🙏🙏
Kisuma raha sanaaaaaah lkn kam hujui kisuma huwez kupata rah y ngom z kisum sikiliz hi ngoma inaitw mhaguluawilli
J STUDIOZ Manyoni tayar mzigo tumeupata
Huyu mwamba mwacheni aendetu msimzuiee aiseeh kunakitu anakiisema live 💪💪💪💪💪
Hii nyimbo Nimeichunguza
Inamaana Kubwa sana
Bhudagala naomba like bas umetisha sana
We ni mtunzi mzuri sana
Love from teacher Mrisho shabiki mkubwa wa nyimbo za asili kanuni ni ileile mkataa asili yake ni mtumwa Sukuma is my tribe na bhudagala ndo number one artist kweny hii sector
Na @migera ndo revolutionarist kweny production
Kazi nzuri sana director migera
ibra magic afunguka nakusema kwamba bhudagala nimfano wa kuigwa hapa tz ☠️
Ndiyo ndiyo nakubaliiiii BMS
👍👍👍👍kazi zur wewe do nakuamini kwenye hizi nyimbo
Mwamba kutoka itobo nzega niite baba soda Maseason nifika kuchukua kazi ya mkuu wa majeshi Mr b
TAYARI DJ MUSA KASEKESE MPANDA KAFIKA KUCHOTA NYIMBO MPYA I 2023
Kaka umetisha kinoma sana Mungu azidi kukubariki much love
Pamoja sana brother hongeraaa kwa kazi nzuri
Obheja sana Bhahebhu!❤️
Kaz nzur yenye ujumbe mzur, much love from iringa tz. Itilima zagayu ndo kwetu
Obheja gete ng'wana obhahunda
Wakaza leo
THE NTUZU MUSIC KASEKESE ONE MPANDA KAFIKA KUCHUKUA MZIGO HUU
Kiongozi wetu tumulikie mbele kazi kazi iko vizur sana
Boss wangu
Kazi nzuri brother yang endeleea na mfumo huohuo
Bonge la pini washamba hawataelewa❤❤❤❤❤
Hongera Sana shemeji yangu Mungu azidi kukulinda kwa chochote kinacho tokea mbele yako ♥️❣️♥️ magholo abhele umetisha
Kazi nzuri kaka
Hongela sana Kaka angu kwa kazi nzuli mwenyezi mungu azidi kukuongoza Kaka angu kwakweli unaweza ❤🎉 ❤🎉
Bhudagala Sasa umekuja vizuri
Respect Kwako Director MIGERA Uko kwenye Ubora wako
asante kaka nipen sapoti namimi kwenye nyimbo zangu❤❤❤❤❤❤
Hii ndo maana halis ya kipawa mwamba hateteleki 🎉
Tayari kumekucha Sasa Kila kitu kimefunguka kwa sababu king wa game kaanza kuachia vitu , migera director juuu kwa juu hongera sana kaka
Kazi nzuri brother yang nazingine tunaomba
kwel kbc🏑🏑🏑🏑
Daah safi sana.... nasikiliza mpaka machozi yanitoka
Mfalme wa asili
Nakubali sana mziki wako kakaa ivo naomba kolabo tutoe nyimbo ata moja ingawa mi msanii wa bongo fleva 🙏🙏
Naomba kufanya kolabo na wewe kakaa bhudaga🙏🙏
wewe namba moja bhudagala nakupa hongera sana🚓🚕🚗🚙
Sema izi ngoma za kiasili unazijuliaga sana beat zake na mavazi yake na kuchezaa safiiiii, 😀😀😄😄
Ng'wana sekwa milemo misumba nhamhala
Kazi kazi
Hizi ndo nyimbo na video sasa humuimbi msanii mwenzio lakini inakuwa kali big king 👑👑 of traditions music 🎵🎵🎶🎶
Budagala
.
Kazkaz
Hongera sana kaka yangu pambana mungu yuko nawe endelea kutoa elimu kwa watu
Mwamba mwenyewe kasimama peke yake kileleni, Nakukubali sana brother.
Migera sio poa mtu na nusuuu aisee anapangilia mapigooo
Kali sana binadamu wenzetu ndo màadui wetu
Wako vizuri sana nimewapenda
Kimewakaaaaaaaaa! Nilikuwa naangalia kionjo Kila siku hatimaye umeingia kamanda wetu, kazi Moja makini
kweli kbx
Budagala wewe nimbegugani huzeeki
Ahsante mjomba nashukuru sana Kwa wimbo wako mzuri ila nitakutafta inbox Uncle
kazi nzuri sana brother.......
Msanii legendary na Director konki My teacher migera sniper the great kazi nzuri sana na mategemeo yangu nilitabili kazi za bhudagala azishuti migera na imekuwa hivi ili sanaa iendelee lazima director awe mtaaaalamu Salute sana na barikiwa sana kaka mwl migera na kaka Legendary Bhudala kwa jumbe nzuri katika jamii
🙏
Lyakokaya baba nitembee kote siwezi sahau lugha ya nyumban okohuma mnapiti akalya ng'olo yane aleyo
uhakika ,,mesha from sengerema mwanza Tz
Nakumbuka nyumbani sasa bhudagala kweli ni bora ukutane na simba porini kuliko binadamu walioharibika
Ibra macomputa lyabukande kashafika kupakua kazi
Utaendelea kuwa kiongozi wao kwenye nyimbo za asili
Duuh kazi nzuri mwalimu wetu wangoma a.k.a teacher budagala malonja❤100%100🎉😂hii yote nifurahatu msanii wetu mkubwa by w Konk TM dj MWAMASHIMBA ndani
Una mbingu Yako kaka 🙏
Nakukubali sana mwamba
Hahahaha kiboko hiiiii, nimeielewa sana
To those listening this song in 2098 bhudagala was a pure talent from God,,love from Kenya🇰🇪 🏑🏑🏑
We fala kwer Tom sifa alichemka hapa kakola kwa huyu mwamba
@@AdventinaLeonard ttzo huelew language Kuma ww
Kudos to you BHUDAGARA and director at large.....kazi nsumba sana
hapo good my fatha🚓🚕🚗🚙🚚
Kazi nzuli sana
Big up my brother, good job, God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mashallah mwimbo zur❤❤❤❤
Ndimukeshi nyandone
Big king💪🏼🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Safi
Oy bhudagala iyosiopowa tuombanyingi
Kweli wewe nimkubwa wao
Wabholagaga ngosha onyankomogo ya serengeti mugumu
Toka KAKOLA mwamba bhudagala
Hongera Kaka kwa kazi nzuri
Nimekuwa wakwanza comment zangu zinanihusu
wewe ni hatari
Noma Sana mwaka huuuu umeamuaaa naona videos nzuriiii wimbo umetulia vizur shukran
Kuna kitu au mi ni mimi tu ndo nakiona mbona kama bhudagala hazeeki hivi toka kile kipindi cha bhabha shokaga mpaka leo naona yuko vile vile.
Ata wewe upate pesa uone kama utazeeka mapema
Bhudagala unatisha miaka mingii naomba collabo bac mzee wng😊
Kaka kwa hii video jitahidi kuipeleka kwenye studio 🎙️ kama wasafi wakaipush ni mgoma.kali sana ambayo naamini itafika juu zaidi
Hujawahi kufeli endelea kutuwakilisha wasukuma
Big up.
Naombe Mashabiki zangu nipe Comments yako
Hongera sana Kitu kinag'aaa full hd tafadhari endelea kuwasaidia wasanii wetu wa Nyimbo za Asili watoe Video nzuri kama zilivyo nyimbo zao.!
Mimi Mashimba Dsm
Lyakokaya
Wew bhudagala wetu ❤
Iwe mtana na oanzio usiuye nyuma waipingatho usikale mwoga na machinevizho be zhomu no salamu zangu asenani asena bate ni Kala ni haha watamu vinafwaha Zaire hoyeee
hatari❤
Mimi Huwa sielewi anaimba nini ila nampenda jamaa anafanya vizri sana Kuna siku alifanya show yake pale laini itilima ilikuwa nzuri sana
God bless you, my brother from another mother.
Yani wewe mkari wao hakika tunakuamini kazi Yako ikovyema kalibu majimoto katavi
Perfect
eleginyaa ng'omaa bhudala olefundii😂😂
Bonge ya video yenye utulivu wa Hali ya juu biggap sana migera
🙏🙏
Good
like hapa kama unaikubali asili yetu
Sawa
Mwenye namba za simu za huyu mwamba anisaidie nakubal sana nyimbo zake nasklza nikiwa dar na stakagi npitwe nyimbo yake kabsa
🤳🤳🤳❤️❤️❤️💬💬
Hii imetok lin jaman mbon n hatar hvyo
❤
Bhudagala
Audio
Audio
Kazi Tamu Sana Kaka Hongera
ua-cam.com/video/kTenJJQfHZs/v-deo.html
TAYARI DJ MUSA KASEKESE MPANDA KAFIKA KUCHOTA NYIMBO MPYA I 2023