Hapa nimekuelewa sana gude siku hizi mapenzi yamepungua kuna tendo la ndoa tu sijui tutafanikiwaje sasa by nyanda minziku msanii wa nyimbo za asili kanda ya ziwa
Kaz nzur sana japo muziki wetu Bado upo nyuma Kwa madirector wetu mfano Pale wanashauriana na pale mwanamke anarud Kwa Mara ya pili nguo ni zilezile tu Hilo ni tatizo la director sio msanii natamani kuona muziki upendeze
Uko vzr ndug
Safi sana guide guide Mimi nipo nzega kata ya muhugi Kijiji Cha muhugi jilani na Kijiji Cha ubinga maana kata moja
Ambao tunaipenda hiii nyimbo naomba tulike apa
Sichoki kusikiliza hiii nyimbo ☀️☀️☀️☀️☀️
Sawa
Mh
Nyimbohii zurisana
Yan hata hamsemi jaman kuwa kumekucha huku 😢😢sijapenda ila so mbaya nimewah mapema sana💪💪💪💪
Niite kwiligwa boos sana mwamba segese Moja ndo nyumban hapo
Kitambo sanaaaaaaa mzigoooo ushachotwa Niite DeejaY B From Ngudu Kwimba
Kwetu moja
Nakupenda Sana huu wimbo❤❤❤
Tujuane hapa Tulio like mwaka 2024 kwa hi nyimbo ya gude gude man alitisha
Kazi nzr sanaa,video iko kisasa,
Safi sana man good song
Hongera Sana Kaka angu kipenzi
Hapa gude umepga penyewe hongera Sana maana wanawake wa siku hizi wamekuwa matapel
Ngoma Kali san kaka nakukubali san
Gude gude tajiri wa maruho kazi Bora wewe fundi unajua #mashinyali_master# buchosa.
Niwe nimechrlewa au sijachelewa wewe Kama shabiki wa gude gonga like twende sawa apo
❤❤❤❤❤
3:59 @@IreneEliasi-v4z
Mwamba kutoka itobo nzega niite baba Soda Maseason wakwanza kuchota mzigo huu ni 🔥
Baba soda tulikuja harusin itobo ukatunyima nathodaa😂
@@TatuRamadhani-r6h Hahaha 🤣🤣🤣mliluaga bize sana wakuu hamkua na mda wa hata stor aise karibuni kwa wakati mwingine
@@TatuRamadhani-r6h huyu ninae chat nae ndo nani kweli
Gude naomba nisambaze hii kazi kaka by producer b moxy
Alama kwanza kaka usiisambaze tafazali
Morogoro tuliisubili sana hii ngoma hatimae imetufika big up bro ukifika salamiti fika kwa DJ juma Manamba
Sana kaka
Mmb
❤❤❤❤@@pauloenockjr8603
👏👏
👏👏
Nyimbo nzuri na melody safi hongera gudegude mumebaki wawili tu wewe na kisima tunawapenda sana
Kwan bahati bugalama unajifanya haumujui by wamoyothe numberone kutoka Dar es salaam
Naomba nyimb ya gudegude
Uko vizur bro napenda nyimbo zako kishezi yaan
Gd kama gd hujawah kufeli brother 🎶🙏
Uli sawa ong'wa baba.
Napenda nyimbo zako san kusikiliza❤❤❤🎉
Nasikiliza nikiwa Zambia .One love Song
Safe sana dude mm nimshabiki wake kabica nipo mwakitolyo
Dj frank ilya mchele chato nimesha pakua mzigo mapema sana piga kazi kaka
Endelea kaka kutufunzia wanawake make wengine hatuwez kuongea✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Kwa hii ngoma sizan Kama kuna msanii wa kumfikia Gude Gude nakupenda sana mwamba hakika wew ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahahaha Usini seche
Wimbo huu umenigusa sana kuna mwanamke alinifanyia haya akaniacha na wotto5 sahiz shida anahtiji kurudi nishaoa tayari nilifanya kama igizo la gude
gude imba mwanangu unajua sana nikwambie2.
kwenye game ulichelewa ilibd wewe ndo uwe mwanzilishi wa Ngoma asil aysee
Safe sana dude mm nimshabiki wakoʻ
Naipenda sana hii nyimbo
Umetisha sana
Gude saf sanaaa nkoiiii
Kalibu kwetu Morogoro dumila kwetu
Naitwa jadili mzinza wakwanza kufika marekan gude wewe n jembe chapa Kaz karb uje marekan
Jamaa namkubali saan kwa vinaa aise God bless you my braza
Saf sana mwanamonde kaz nzuri
nyimb ametixha xana
Hapa nimekuelewa sana gude siku hizi mapenzi yamepungua kuna tendo la ndoa tu sijui tutafanikiwaje sasa by nyanda minziku msanii wa nyimbo za asili kanda ya ziwa
Me nilitaka mkiandaa shoo ninge penda ninge alikwa pia asante
nyimbo nzuri xana yaani nipo zanzibar
Kazi nzuri brother 🙏
gude gude mimi nipo dar kaliyako ila naipata hiyo sana
Namkubali sana gude kwa nyimbo zake
hongera Director video nzuri Quality ipo vzr
vizuri sana kijana mtoto wa sengerema unatuheshimisha sana
Wale WA sengerema mko wap siwaon😅
@@HappyArcticBirds-iy3dg 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tupo
Mungu aendelee kukulinda msanii wetu mpendwa
Nakubali kaka
Huyu jamaa anajua sana huwez mfananisha na wasanii wadogo wadogo
Ujumbe mzuri amani kwako
Kaz nzur sana japo muziki wetu Bado upo nyuma Kwa madirector wetu mfano
Pale wanashauriana na pale mwanamke anarud Kwa Mara ya pili nguo ni zilezile tu Hilo ni tatizo la director sio msanii natamani kuona muziki upendeze
Karibu kitunda kaka mngondin
Mimi ni shabiki namba moja wa huyu msanii katika tarafa ya puge, kata ya mwakashanhala jiji cha mwakashangala senta
Tunakupenda Sana karibu buziku tena ❤❤❤❤❤
Wewe ni noma
Fanya uje utoe na shoo kwet bushigwamhala wilaya ya busega simiyu tunakuelewa sana❤
mr Gude hiingoma ulituliya
Hatareee sarut kwako gude ujumbe mzto
Dar es salaam hapa nalenabebe shingoojoosheeee
Kazi nzuri sanaaaaa
Kazi nzuri
Safi sana Kandoro piga kazi
Asante sana gude kwa ujumbe mzuri Sana nakukubali Sana obheja Sana gude tulipamoja Sana
Daaah🤔,, guude mpe hai dada neema,, apoo ameweza bhanaa💯💥
Kazi nzuri sana kaka
Makini sanaaa Gude gude vina safi
Dah jamaa angu umetixha xana kwahii ngoma l love you
Piga bas collabo na jinasa madebe itapaaaaa kinyamaaaaaaa
Kaka Ang nakupenda
Umetisha gude
bhasukuma kweli mnatufulahisha sana
Wimbo umebamba sana kaka 9:28 🎉❤
Makin sana
PGA Kaz mwanaume
Wewe ni 🔥 🔥🔥🔥🔥 kweli kweli gd gd
Abalikiwe sana director kwa kaz nzuli aliyoifanya kutoka kwagudegude
Naqubal bro ✊🏾
Safi Sana kwa waandaaji,kazi nzuri
Saluti kwako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Makin san gude gude wanaosema umeisha labda wameisha wao by John kakola pia maboss wako Ligembe msalala
Mungu akubaliki sana gude kwanyimbo za ujumbe kama hz
Mh
Elimisha dogo langu ,
Mi nilinunua vanguard lakin mh bas ,usiku mwema wakubwa
❤❤❤❤ngoma Kali sana
Karibu mwamashimba igunga
Kaka uko vizuri kwa vina
Ni kitambo xana nmependa
Big up broo
from USA Marekani nawapata vyema sana 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakubali kalibudaa
Ngoma kari sana gude enderea kutengeneza magoma kama haya❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwarloho safi
Pamoja sana nipo Zanzibar nakupta vyema 🙏🙏🙏
Mludishe mwanapaul
Nakubali gude 4rom segese
Hongera Sana Kaka gude
Mme wangu was moyoni ❤
Hii ngoma ninoma sana inatisha
Big up bro🥰
Daaa yan yamenikut hat kka nikupenn ila mung akulindet kaz njema
😂😂❤❤ brother pamoj sis tuko dodoma