Huu wimbo huwa naukubali Sana, nilishakuona live katoro na kasamwa geita uko vizuri, Ila mkiweza korasi zenu za miziki mnaharibu asili, piga live ndio nzuri, au uwe unachanganya
Hii Ngoma Kali balaa, Ngelele nitakukaribisha Pale mwambola Misungwi Uwanjani mwezi wa kumi na mbili, Hii nyimbo lazima uipige na kuiimba kwa kiwango hiki hiki. Lyimbo lyanguzu kukilanija Ntale.
Unaimbaga vizuri sana kaka yangu yaani sijui nani alikufundisha huu uimbaji. Kesho Raisi Magufuli anaapishwa haki ya nani ningekuwa nafahamiana na wewe ningelijaribu kukupambania na pengine ungekuwepo kwenye uapisho wa Rais wetu.
Ngelela nikobage nkoi . Ninawazo ambalo linaweza kukunufaisha zaidi kama utalielewa kama ambavyo mimi naliona. wewe ni mwimbaji ambaye ninakupenda Sana pengine kuliko wasukuma wote wanaoimba nyimbo za asili mwingine ni mwanakamwa nae namfananisha na wewe . Kuna hela zimejificha hamjazifichua siku mkipata mtu mwenye mawazo makubwa mtatajilika kabsa nakuambia ninyi ni matajiri wakubwa sana .0769672878
safi sana wasukuma tunainjoi sana huyu kaka kilanapomusikkrinza sauti yake tu mwili unachenza wenyewe natamani nione kikundi kinzima wananikosha sana na ninapenda sana kamakunauwenzekano nifanye nao kanzi wapo vinzuri sama👌
Kat ya nyimbo zotenza ngelela huu ndo naupenda Sana sana❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
Hii ngoma itaishi milele napenda mpaka basi❤️❤️❤️
Hii nyimbo sichoki
Kuisikiliza❤❤❤big up ngelela
Huu wimbo huwa naukubali Sana, nilishakuona live katoro na kasamwa geita uko vizuri, Ila mkiweza korasi zenu za miziki mnaharibu asili, piga live ndio nzuri, au uwe unachanganya
Uhakika kabisa mwenzangu na mm wewe mambo ya korasi ndo yanaharibu mziki
Ngelela uko Safi Sana nakumbuka pia Mel wenu jilunguja mwanalusi enzi hizo daah. Pongezi sana
Naweza kupata nyimbo za aina hii nyingne hata kama ni msanii mwingne.
Safiiii ngelela pambana unaweza sanaa
Nyimbo nzuri sana hongera sana ngerela
Tamaduni zetu mungu akubariki Sana ngelela
Hii Ngoma Kali balaa, Ngelele nitakukaribisha Pale mwambola Misungwi Uwanjani mwezi wa kumi na mbili, Hii nyimbo lazima uipige na kuiimba kwa kiwango hiki hiki. Lyimbo lyanguzu kukilanija Ntale.
Aisee hii nyimbo kwa sasa kuichukua mtandao imekuwa shida sijui kwa nini
Shida ni nini ndugu, unapojaribu kui download?
2:41 @@emmanassor2800
kila nikisikia hizo ngoma na hvo vinanda nywele zinasisimka, naupenda sana huu wimbo kweli
Cjutii kumaliza m,b zangu kw ngelela💃💃💃💃
Hii ngoma iko unyama sana
Unaimbaga vizuri sana kaka yangu yaani sijui nani alikufundisha huu uimbaji. Kesho Raisi Magufuli anaapishwa haki ya nani ningekuwa nafahamiana na wewe ningelijaribu kukupambania na pengine ungekuwepo kwenye uapisho wa Rais wetu.
Piga
Mimi naitwa Sarum machibya maoni yangu wajitaidi nmayajadi nizulisa inapedeza tanzania
Ninamama yangu Alikua Anapenda nyimbo zako pia ww nishangazi yako Anaitwa mwanabhurugu au bhutondo marwa
N
Nipo mbeya ila kama Niko kwetu duh
Napenda sana hii ngoma inanimaliziaga mb na haidauroiki
Tuendelee na utaratibu huu wa kuweka nyimbo hizi
Yaani huu wimbo naupenda sana uliimba kwakweli unatukumbushaga kippindi cha mangoma
Hata Mimi umenikumbusha mbar sana maana usukuman nimetoka mda sana
Ukimmiss jirunguja ,,unamuanga riahuyu
huuu wimbo uliimba ngelela
Safi sna msukuma unajua unajua tena❤❤❤❤❤❤
Nimeshagaa 1M views
Kama wewe ni msukuma kama mm gonga like hapa
Nice
@@faidawilliam8914
0i
Sukuma yetu
Sukuma yetu.asili yetu
Nakubali sana
ukweli Ngelele mungu kamjalia sauti tena hizi nyimbo za taratibu kwake zibafaa sana kuliko hata kukatika
nyimbo safi kweri
Umeonaee
Huu wimbo nikiboko ya nyimbo zako zote bonge LA wimbo aiseeee, hukuweka vikolombwezo vya kolasi nakupongeza saaana, imba hivi hivi.
Namkumbuka shilunguja
Ngelela Richard
Jamaa yuko vizuri sana umetambulisha tamaduni zetu ingawaje wasukuma wengi tunataka kizisahau mungu pia atakusaidi kwa kazi yako milemo misoga
Apartment do unanmalzaga ngelela
Namba jako bhabha
mmefanya jambo la busara sana kutuwekea hizi nyimbo sa sisi tulio mbali na nyumbani zinatupa faraja sana nawapongeza sana sana
Safi sana kwa kazi nzuri
Tanx 2
Ulinizukija kule sana Wa ng'wise
Tuleteen ngelela huku songea vjjn
Nyimbo tamu sana
Ngelela nikobage nkoi . Ninawazo ambalo linaweza kukunufaisha zaidi kama utalielewa kama ambavyo mimi naliona. wewe ni mwimbaji ambaye ninakupenda Sana pengine kuliko wasukuma wote wanaoimba nyimbo za asili mwingine ni mwanakamwa nae namfananisha na wewe . Kuna hela zimejificha hamjazifichua siku mkipata mtu mwenye mawazo makubwa mtatajilika kabsa nakuambia ninyi ni matajiri wakubwa sana .0769672878
wimbo mzuri sana aiseeh,wasukuma tupo vizuri sana
Unaonaje hapo
Wasukuma safi
Nhubhebhe ulu unibhulila nakukudegeleka
Hongera sana kwa nyimbo nzuurii
uwe unaimba ivi ivi nyimbo zako zote,, big up sana,, colas huwa inaharibu sana
Nu Bukanu....
Safi sana ng'hemba ong'wanalusi duzidiaga gugina guke abagalu
Dah hii ndo asili
Saut yko tu hoi mm
Nanpeda nyimbo hii
Still watching 1oct 2020 hakulonja welelo bhasukuma bhichane
1:00 ❤🎉🎉😢
Wasukuma wote tumuunge mkono popote tuliko
Ngoma Kali saana
Naikubal sana hii ngoma
Sawa nkoi
Daah nyimbo nzuri Sana
Huu wimbo ndio nauona leo 2/5/2021 mzur
2023
i love this tribe they have good unit love xukuma culture
lucas majige एह शं ये न औषधि भी
Actually
Hongera sana ngaru
huu mwimbo mzuri kwasababu anaimba mwanzo mwisho safi sana
Nabhonaga ni kabhebha jene komejaga nkoyi tulikunuma yako bhabha wabiza Lee senema lyabhose tulaga milemo majungu gatabheja nimo
Safi Sana mungu akupe nn!!!!
Mambo vp samahni mm naitwa lumumba wa Dar naomba namba zangelela tafadhar
Ngelela anaimba asili kabisa yuko vizuur
Gerara.
Mkataa kwao mtumwa, so big up wasukuma wote
Nawakubali
Ssfi sana tunsfsrijika sana tukiwa mbali na nyumban
kandigija gete mzee ngelela nyimbo zako tamu
Jamani yutyubu si mchezo kwani i animaliza mambo mazuri si mchezo
Sili nazipenda sana kwani zinadumisha mila zetu
Home boy💪💪🏻💪🏻💪🏻
Safi sana huu wimbo nakupenda sana
upole wangu 0pl0
Merci bon sante
Ngelela wa uhakika
Nazipenda Sana nyimbo hizi
shekadii inta masar madax kusiyay ani ma ogiyaa umoodi waayay
safi wasukuma wrote ppt tulip
Balaaa sauti yenye simanzi kali aise bigapu sana ngelela
Iko vizur
kazana nyanda ngelela
hongera ngelela uko vizuri sauti imetulia
uko juu kaka .popote tulipo wasukuma tunakusikia
Khadija Kassim Nimekupata
❤❤❤❤❤❤❤❤
ongera wimbo mzuri sauti nzuri
Safi ngasha
Siyo sili umejitahidi sana japo tupo mbali ila hongera sana
Ngelela na mpenda sana nyimbo zake
Kama umesikia mwaka elf 7000 gonga like hapa
hahahaha
Kasema elfu mbili kumi na saba bhana
Ngwanakangwa
lazma wasukuma 2onyexha uwepo we2 kuwa ha2jaaSiliwa na utandawazi
Saidi.manamba.mustafa
emma Tupi's kitu cha budagala, mmapolu
Meck Sangano lukanyakula
Meck Sangano lukanyakula
marko kagozi jjk
Wew natisha obeja ngosha
from amsterdam to Ndala viva team asali
wabeja ngelela
Very good
This is sukuma site....lekagi inya Swahili Swahili imwe...
Xafi xana waxukuma
Safi
Uko vzr dogo
wobheja nyanda ngelela
Commenting.publicly.as.saidi.manamba.mustafa
huyu jamaa kiboko namkubali sana
Shylagwa de Balima VP 2shee
nyanda
madrisha
washe
nyanda
madirisha
washe
Safi sana
Emma hapa umefanya la maana tulikuwa tumemiss nyimbo za asili
B-Rackar Boy nomaa sana uyu jamaaa
safi sana wasukuma tunainjoi sana huyu kaka kilanapomusikkrinza sauti yake tu mwili unachenza wenyewe natamani nione kikundi kinzima wananikosha sana na ninapenda sana kamakunauwenzekano nifanye nao kanzi wapo vinzuri sama👌
Official Racker asiri
Bundala Kilasa k
Official Racker
Tamaduni za kwetu safi sana
asante sana ,,shilnguja