Rayvany ni msanii mkubwa without doubt, however kwa sasa inabid tukubali hayuko relevant sana kweny soko la sasa la bongo flavor (upepo umepungua). Ukitaja list ya wasanii wanaofanya vizur kwa sasa Ray hayupo tena. 1. Diamond,King,Konde,Marioo,Jay Melody,Jux,Mbosso,Zuchu,Nandy....sijui anamtoa nani hapo?
Chui vivany boy kwa tanzania hatumuelewag san maaan pigo zake zinakaaga kimataifa zaidi ,ndo maaaan ana tunzo nying kutoka nje na colabo nying kutoka nje !!❤❤ tumpe respects 🙌 yak !!
Rayvyanny bado yupo vizuri kimziki❤❤❤❤❤❤. Mimi nampenda❤❤❤ Sema anatakiwa afanye skendo nyingi, atafute machawa, kiki, na promo kwa kutumia madancer wakubwa. Yeye katulia mno, hana promo wala skendo, mfano diamond, Harmonize na wengine
Shida ni kwamba mnaouchambua mzikii hamuujui mzikii ndugu zangu Kwa rayvanny kupitia hali kama hii haimaanishi kashuka hapana ila kinachomtesa vanny ni fanbase yake ya next level coz ametoka sehemu ambayo inamashabiki wengi na kwenda kutengeneza wakwake ambao bado hajapata mashabiki wengi kihivyo na ndy maana WCB ambayo walikuwepo ray na harmo siyo hii ya sasa imepungua makali coz kuna baadhi ya mashabiki wameondoka na hawa jamaaaa sasa usifananishe kushuka na situation ya fans hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa ila kimuziki anafanya vzr na bado atazidi kung'aa kwa muda mrefu sanaaa Haya harmo alipotoka ilikuwa hv hv mpk ray akampita kwa kila kitu lkn aliweza kutengeneza fans wake na mpk leo amesimama
Vanny boy alipobadilisha mfumo wa kuimba ,akakimbilia love song na mamb ya flowers zile ngoma za instrument hpo akahribu hadi leo hii anahangaik hjui ashike wapi na upepo wa kuzungumziwa hana , her hta alipokua na Paula ila kw Fahima amekua kma maziw lala!! bongo bila skendo mziki haundi
WCB ni brand halaf ni Almas kama mkurugenz mwenyew anavyojihita diamond platnumz,,, ukishatoka kwenye hyo Lebo kama sio mtu wa ndumba na kiki kama harmonize hautoboi,,, sasa rayvanny yeye analeta unyakyusa kwenye mziki hauwez toboa😅
Vany kapoteza mvuto kwa watu ata ukikutana nae kawaida sana watu awashtuki ajaribu kuomba ushauri kwa watu pesa zinaisha asijifanye mjuajia hii ni dunia
Rayvanny sijuh saivi anashida gani anadrop kidogo kidogo lakini ata ashtuki lakini yeye anafoce yani anajifoce kwenye ubola wa zamani mbaka views za nyimbo za audio anaziboost views yani atumuelewi
Fayvany Hana upepo na rayvany kweli inabidi akae na Dem wa mtandaoni ili aongelew ndo maisha ya mjini we sunaona konde kamuaca pochi jamani ile familia ya masanja😂
Mnatakiw kujua hiyo ni mipango ya mungu na hakuna mtu wa kuibadir so..kila mmoja ataish kwa alivyopangiw maana unaweza toa ngoma kali na ikasikika na watu weng lkn usifke popote so..ni kumuomba tu mungu wala sio mashabik
Unajua thamani ya v imeshuka kama msanii wa zamani alikuwa anajiita solo theng paka akaenda kuimba taarabu na kupotea kabisa ila alikuwa mkali wa mashaili ivyo v anatakiwa akubali asifosi mambo atazidi kualibikiwa afanye hata biashra ya nguo kariakoo
Tatizo la rayvanny halikuanza nyuma ya kutoka wasafi lilianza Toka yupo wasafi mfano tazama lava lava na dvoice yani ukiwatizama unaona kwamba bila kua ndani y’a wasafi yani wanapotea so rayvanny Toka wasafi alikua hakubaliki kivileee ni Ile tu wasafi wanajua ku brand that why Toka ametoka uhalisia unaonekana
Nataka niwaulize swali?..mnajua kziki unauzwa wapi kaangalien site hizo alaf mjumlisha ndo muongere ...nyie semeni amumumskii kwenye mijadala yenu lakin nyimbo zake zinago like crazy
Watu wengi tulimkubali rayvanny wa KWETU,NATAFUTA KIKI,UNAIBIWA,lakini huyu wa sasa kuna vyenye amebadilika na pia mvuto sai hana,coz hata akifanya vitu vikubwa watu hawamfuatilii,mfano alipojaza show nje na diamond kukosa watu,tuli focus kwenye show ya mond na ray akaachwa ikabidi ajisemee kuwa tunajadili show iliyokosa watu na kumuacha yeye aliyejaza
Ray ajashuka kimziki mtu ameshuka ni kond boy ila ni kwa sababu Wa bongo muna support ujinga na kiki. Harmo Sai bila kiki atoboi sai Big nikazi na kiki za akili. Last not list- Awo watoto pesa kidogo imewachanganya wakajisahu. I am sure awo wote wanajutia kutoka sai. Kama harmo ajampita Ali adi sai wakati Ali kwa Big maji imekabaa koo
Uyu van boy ata top 5 kashatolewa na marioo na jamelody😢😢
Chhhuuuiii is firist one in world❤❤❤❤
Ray ameshuka sana!!! Alitoka WCB mapema kabla hajaiva......tamaa ilimfanya akatoka WCB ameshuka sana
Rayvany ni msanii mkubwa without doubt, however kwa sasa inabid tukubali hayuko relevant sana kweny soko la sasa la bongo flavor (upepo umepungua).
Ukitaja list ya wasanii wanaofanya vizur kwa sasa Ray hayupo tena.
1. Diamond,King,Konde,Marioo,Jay Melody,Jux,Mbosso,Zuchu,Nandy....sijui anamtoa nani hapo?
Kila mtu anajia zake kama harmonize na simba wanaskedo chui ni remix hatak fitina na mtu that's chuii 👌🔥🔥❤️
Chui vivany boy kwa tanzania hatumuelewag san maaan pigo zake zinakaaga kimataifa zaidi ,ndo maaaan ana tunzo nying kutoka nje na colabo nying kutoka nje !!❤❤ tumpe respects 🙌 yak !!
Wala sio sababu
Rayvyanny bado yupo vizuri kimziki❤❤❤❤❤❤.
Mimi nampenda❤❤❤
Sema anatakiwa afanye skendo nyingi, atafute machawa, kiki, na promo kwa kutumia madancer wakubwa.
Yeye katulia mno, hana promo wala skendo, mfano diamond, Harmonize na wengine
Rayvanny heshima haiombi fanya kazi heshima itakuja yenyewe kwa wakati wake
leo wa kwanza kukomenti..likes zangu😆
Shida ni kwamba mnaouchambua mzikii hamuujui mzikii ndugu zangu
Kwa rayvanny kupitia hali kama hii haimaanishi kashuka hapana ila kinachomtesa vanny ni fanbase yake ya next level coz ametoka sehemu ambayo inamashabiki wengi na kwenda kutengeneza wakwake ambao bado hajapata mashabiki wengi kihivyo na ndy maana WCB ambayo walikuwepo ray na harmo siyo hii ya sasa imepungua makali coz kuna baadhi ya mashabiki wameondoka na hawa jamaaaa sasa usifananishe kushuka na situation ya fans hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa ila kimuziki anafanya vzr na bado atazidi kung'aa kwa muda mrefu sanaaa
Haya harmo alipotoka ilikuwa hv hv mpk ray akampita kwa kila kitu lkn aliweza kutengeneza fans wake na mpk leo amesimama
Vany boy mkali sana wanajifanya awaoni ngoma zake
Bdo anatakiwa kuwa karibu xn na diamond,aliwah kutoka, ilikuwa bdo
Vanny boy alipobadilisha mfumo wa kuimba ,akakimbilia love song na mamb ya flowers zile ngoma za instrument hpo akahribu hadi leo hii anahangaik hjui ashike wapi na upepo wa kuzungumziwa hana , her hta alipokua na Paula ila kw Fahima amekua kma maziw lala!! bongo bila skendo mziki haundi
WCB ni brand halaf ni Almas kama mkurugenz mwenyew anavyojihita diamond platnumz,,, ukishatoka kwenye hyo Lebo kama sio mtu wa ndumba na kiki kama harmonize hautoboi,,, sasa rayvanny yeye analeta unyakyusa kwenye mziki hauwez toboa😅
Nyimbo anazotoa ni mbaya, Uandishi umekuwa lite sana. Anachukulia poa snaa mzik. And he thinks yuko pahali pa juu wakati hayuko huko.
Muiteni elmando wa bongo 5 ata recap moja 😂😅
Vany kapoteza mvuto kwa watu ata ukikutana nae kawaida sana watu awashtuki ajaribu kuomba ushauri kwa watu pesa zinaisha asijifanye mjuajia hii ni dunia
Enyewe umeongea point,Kwa sababu hata akifanya vitu vikubwa,hakuna mtu anashtuka Wala kumfatilia
Mimi wapili Leo Musinibague kama Brother Rayvanny
Rayvanny ndo namba one Tz
Rayvanny sijuh saivi anashida gani anadrop kidogo kidogo lakini ata ashtuki lakini yeye anafoce yani anajifoce kwenye ubola wa zamani mbaka views za nyimbo za audio anaziboost views yani atumuelewi
Kweli jamaa anabusit viws
Jana video yake ilikuwa na 55k baada ya dakika 3 ikaruka hadi 122k nilishangaa😢
Harmonize nyie anaimba jamani, huo ndio ukweli.
Fayvany Hana upepo na rayvany kweli inabidi akae na Dem wa mtandaoni ili aongelew ndo maisha ya mjini we sunaona konde kamuaca pochi jamani ile familia ya masanja😂
Mnatakiw kujua hiyo ni mipango ya mungu na hakuna mtu wa kuibadir so..kila mmoja ataish kwa alivyopangiw maana unaweza toa ngoma kali na ikasikika na watu weng lkn usifke popote so..ni kumuomba tu mungu wala sio mashabik
Middle simba waliliona hili wakaonekana wabaya 😅😅😅😅😅
Unajua thamani ya v imeshuka kama msanii wa zamani alikuwa anajiita solo theng paka akaenda kuimba taarabu na kupotea kabisa ila alikuwa mkali wa mashaili ivyo v anatakiwa akubali asifosi mambo atazidi kualibikiwa afanye hata biashra ya nguo kariakoo
😅😅
😂😂😂
Aliharakisha kuanza lebo na kusign msanii. Sahizi anajiredeem yeye mwenyewe hata msanii wake hatumsikii any more
Kiwango kimeshuka sana yaani hata na marioo huwezi mlinganisha anazngua sanaaa
Chui for life
Kweli vanny boy kama anashuka hivi
😢😢😢Yaani
Kwetu ss wabongo lkn mnjee wanamulewaaa
Anaimba Nini siku hizi😂
Mimk kiukweli rayvanny saa ivi simfuatilii sana kama kipindi cha nyuma yaan namuona wakawaida
Ana B.E.T lakini jamani, apewe heshima yake tu.
Unawaendea wabongo live afu unawajibu mipasho, wanakukataa mazima
Tatizo la rayvanny halikuanza nyuma ya kutoka wasafi lilianza Toka yupo wasafi mfano tazama lava lava na dvoice yani ukiwatizama unaona kwamba bila kua ndani y’a wasafi yani wanapotea so rayvanny Toka wasafi alikua hakubaliki kivileee ni Ile tu wasafi wanajua ku brand that why Toka ametoka uhalisia unaonekana
aisee lava lava ana hali tete sana, imagine hubebeki ukiwa usafini, utabebeka wapi?
Na watu hawajagundua Hilo,mwana alianza kushuka bado akiwa wcb,Sasa akawa anabebwa na lebo,kibaya akajitoa
Nataka niwaulize swali?..mnajua kziki unauzwa wapi kaangalien site hizo alaf mjumlisha ndo muongere ...nyie semeni amumumskii kwenye mijadala yenu lakin nyimbo zake zinago like crazy
Kingine #wcb ukitoka bila bifu unaisha kifara kama mavoco
Watu wengi tulimkubali rayvanny wa KWETU,NATAFUTA KIKI,UNAIBIWA,lakini huyu wa sasa kuna vyenye amebadilika na pia mvuto sai hana,coz hata akifanya vitu vikubwa watu hawamfuatilii,mfano alipojaza show nje na diamond kukosa watu,tuli focus kwenye show ya mond na ray akaachwa ikabidi ajisemee kuwa tunajadili show iliyokosa watu na kumuacha yeye aliyejaza
ray ameshuka kimuziki something is wrong somewhere yeye tu ndio anajua kinacho endelea so lets not judge ila kimuziki sahii ameshuka hiyo ni fact
Kweli
Shida ilianzia kwenye tetema. Ilipofanikiwa tetema ndio tatizo lilianza.
Chui
Rayvanny amefanya kosa kubwa sana.. Kusapoti Harmonize Mzee Popo kuroga kazi za Diamond Platnumz kwenye youtube... Harmonize ni Laana 💯❌🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nmechekaa
Ray ajashuka kimziki mtu ameshuka ni kond boy ila ni kwa sababu Wa bongo muna support ujinga na kiki. Harmo Sai bila kiki atoboi sai Big nikazi na kiki za akili.
Last not list- Awo watoto pesa kidogo imewachanganya wakajisahu. I am sure awo wote wanajutia kutoka sai.
Kama harmo ajampita Ali adi sai wakati Ali kwa Big maji imekabaa koo
Akaoge dawa😂