Hi comedy inanikumbusha mwaka 1980,s shule ya msingi tanga, walimu walikuwa wanamchagua mwanafunzi wa kike wanampa maziwa ya unga kuuza kijiko moja shillingi 😂kashata ,mda wa kuenda nyumbani tunakopa hizo kashata na maziwa, mwalimu wa sayansi kilimo ndiyo alikuwa kiboko akimaliza kipindi anaenda chini ya mti wa mwembe anauza uji wa Mchele ,dah long time ago ,thanks joti and team good job.
Hivi mnamjua Joti auwamsikia tu. Jamaa hatari sana. Kila kona mwamba yuko vizur. Akiamua kuwa Babu balaa. Kwenye Kiboga ndo usiseme. Akisema awe muhuni kijiweni hatari. Akisema akae kwenye Andunje apo ndo usiseme. Yani Joti ni package ilokamilika. Respect and more love from +254 ❤❤❤❤❤❤
Kaka jot kwema kaka samahani kaka naomba bas nafas kwenu kaka Ang maana nami napenda sana sanaa kaka na comedian pia brother Ang naomba bas nafas kwako
afu joti akibeba tuzo mfululizo watu wanasema anabebwa.......
So creative huyu jamaaaa😂🎉🎉🎉
Jama anatumia hakili hakulupuki hatoi kila mala lakini anato kali
Hi comedy inanikumbusha mwaka 1980,s shule ya msingi tanga, walimu walikuwa wanamchagua mwanafunzi wa kike wanampa maziwa ya unga kuuza kijiko moja shillingi 😂kashata ,mda wa kuenda nyumbani tunakopa hizo kashata na maziwa, mwalimu wa sayansi kilimo ndiyo alikuwa kiboko akimaliza kipindi anaenda chini ya mti wa mwembe anauza uji wa Mchele ,dah long time ago ,thanks joti and team good job.
Hivi mnamjua Joti auwamsikia tu. Jamaa hatari sana. Kila kona mwamba yuko vizur. Akiamua kuwa Babu balaa. Kwenye Kiboga ndo usiseme. Akisema awe muhuni kijiweni hatari. Akisema akae kwenye Andunje apo ndo usiseme. Yani Joti ni package ilokamilika. Respect and more love from +254 ❤❤❤❤❤❤
😮
Madamu Ana mwanya mzuri🎉
Ndio maana mwalim Nanga amemuelewa
Picha linaanza andunje anasoma la 5 F😂😂
😅😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😅😅😅😂😂
Haki hichi kikundiii kinatotowa stress mungu awape afanya njema wte muzid kutufurahishaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwambieni Ndaro awe serious na comedy na creativity iongezeke siyo kurudia stories
Napenda huyu dada anavyoigiza,anajua mpka anajua tena.😂❤
Hasa akiigiza Kama "Mwalimu au mzazi "
@@EricaBizuru-jp9by Anajua sana wallahi.
Kabisa yn ata na mm nampenda sana
@@mohammedkidody5618 Yuko vizuri sana.
Nampenda mnooo kiukweli anajua saana huyu mdada.... Vile anavyofanya macho na mdomo afu kama anasita flan hivi nainjoiiiii
Wa moko kama kawaida. Kama unamkubali Joti big up sana 👊🏿👊🏿
ILA SUZZY YOU REAL UNAJUA HALAFU SO BEATOFUL. SAFI SANA.
BEATOFUL ✖
BEAUTIFUL ✔
Jot more love mtu hajawai rudia content yke more love from 254
😂😂Jamaniii tulikumis sana ANDUNJE JAMANIII 😂😂ILA KILA SEHEMU YUPO VIZURI 😂HAYA VITUMBUA JAMANIII 😂
Atr
Never disappoint jotiii 😂😂😂😂🎉
daaah jot mjinga sanaaa 😂😂😂
Joti team yako inajua kuigiza jamani, yaani Wana uhalisia hadi raha, Safi sana👍👏❤️
Joti is extraordinary 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kaka jot kwema kaka samahani kaka naomba bas nafas kwenu kaka Ang maana nami napenda sana sanaa kaka na comedian pia brother Ang naomba bas nafas kwako
Huu ujinga niliufanyaaaa darasa la sita na marafiki zangu ilikuwa wali nyamaa nyieeee mwlm akanichapa nikaenda kusema kwa baba akaenda shule😂😂😂
ila suzy 😂😂😂😂nyie kwl suzy wew muigzaaaaaji 😊
Kishai big up umeuwa hii noma san nakukubali from Oman 🇴🇲
Tupo wengi kutoka Oman
anduje nakuona mbali kama mo dewji 😅😅😅😅😅😅
Hongera jot Sanaa .nimekumbuka mbali sana
Nakubali sana master joti😂😂😂🎉🎉😢😢😮😮😮😮😮😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊
A.k.a bwana kitombile😂😂
Masha all ❤❤❤❤
Eti andunje unakitu na kuona vunja bei😂😂😂
Ila Anduje anapenda marafiki zake Mlewa na Zuu
Wangapi tumeuzishwa visheti na walimu Primary school?..,Siku usipoenda shule anachanganyikiwa😂😂😂
😂😂😂😂 kweli kabisa
😂😂😂😂joti😂🎉😂amna mtu 😂🎉❤
😂😂😂 daa joti, hii imeenda mimi na wanangu Enzi hzoo za primary tulikula misuba na mandazi ya madam hivi hvi 😂😂😂😂
Jot mwamba sana🎉
zuuu kawa bongeeeee😅😅
Nimeipenda iyo
Wiki ijayo tuleteeni kiboga kitambo tumemic❤❤❤
joti.keep fire binuon bro
Sema zuuh anamchomaga sana Andunje😂😂😂
@joti best comedian in africa ❤
Mwanafunzi kma uyu auwaeeeee eee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂suzi suzi nanga kanuia😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wamekopa vitumbua vyote 🤣🤣🤣🤣🤣
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas 😊😅😮😢🎉😂❤
Hua napenda sana Collaboration ya Zuu na Joti 😂😂😂 hua na enjoy sana hasa pale wanapokua wanaimba pamoja
Vitumbua vya binti fungeni😂😂😂😂
Nanga na wakusmata🤣🤣🤣
Kuleni kwanza niwape story 😂😂😂😂 ila andunje
Mi mo?? Mi vunja??😂😂😂😂 For me
Uone tumbo langu kama 6 pack mashavu yangu huyaone niko na dimpols😂😂😂
Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Joti on fire daily
Basi mimi wakicheza andunje na Zuu❤❤❤
😂😂😂😂 daaah unyama xaaaaan👍👍👍
Joti nakupenda snna
Wapili like zangu jaman
Ila andunje unajua kutufurahisha😂😂😂
Hongera joti
Walio mmiss ANDUNJE gonga like apa
Zann
Utapewa mkia wewe mtoto wa kiume😂😂😂😂waomba like
Makopa Kwa madam jamn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂
Andunje🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yan jot ety kuleni kwanza niwape story 😂😂😂😂
joti fundi sana
Yann kutoka tz wkt hp tyuu na Enjoy 😂😂😂umetisha sana yn humu tyuu
Combination ya nanga na huyo dada ni hatariii
Nanga namkubali sana jamaa ana potential ya kuigiza kama kiongozi, polisi
Mwalimu nanga yuko na chupa ya chai mda ote🤣
Kwnn kumuita andunje had zuu aende hakuna mwngne 🤣🤣🤣
Teacher kautaka😂😂😂
Ila jotiii duuuh nouma sanaaaaaaa
Nakukubare zuu
Haahh Andujee
Sema joti so talented brother ❤❤
This is a good content joti I love your work...... from Zambia 🇿🇲
Leo mmetisha
Nili Fanya sana huu ujinga aise na Kickapoo nime kula sana
😂😂😂 nipeni like jmn
Yani na Asira zangu mieeee ila nimecheka sanaaaaa
Ya leo Kali 😂😂😂😂😂😂
Eti anafuga mapaka kifuani😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣anduje mjinga sana
Mlewa mambo ,, wakushoneshee shati jengine jipya hao kubwa vizuri
Poaa uko poaa
@@mlewa_official Mie mzima alhamdhulillah
@@FelistersMejumaa-xi2ge 😀 nimefurai kusikia ivyoo
Mungu wangu amewakomesha walimu wale na chai yao na vitumbua vimeliwa Jot kiboko❤❤❤🪴🪴🏂🏂🌺🌺
Good work mr joti
Suz nkukub😂😂🔥🔥🔥
Joti wa la 5F kamliza Madam,na Nanga 😅😅
Joti mpuuzi sana😂😂😂😂
We andunje hauendagi Sekondari? Maana mda mrefu upo primary 😅😅😅
712 Sincere Inlet
Suzi nimekuita mara 3😂
😂😂❤🎉😢😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂... Andunje...
DAAH ILA JOTI WEWE MWAMBA HATARI UMENIFANYA NICHEKE SAA 8 USIKU HUU😅😅😂😂
Hahahaha 😂😂😂 joti ni 🔥🔥
Mmenikumbush kipind Niko Shure mwalim mkuu alikuua Ana mpenda mwalim wa nitham
Ao wanatakana aooo😂😂😂😂
baba mlewa shewele
Oooi
Tupe vituuu😂😂😂🎉🎉
Yaan hiyo shule unahama bila kutaka😂😂😂😂 maana watakacho kufanya
Huu si ndo ule ujuuuu😂😂😂like kwa wingi🎉🎉🎉🎉
Zuu Free boti 🤣 asipande...
😂😂😂😂ila joti unanimaliza sana
Mko vizur yaan ijumaa joti hatuachi salama😂😂😂😂
Haya bana ticher kautaka
12:31 wamekopa vitumbua vyote😂😂😂