Baraba ya Luthuli yafungwa kwa muda wa siku kumi
Вставка
- Опубліковано 21 тра 2019
- Barabara ya Luthuli katikati mwa jiji la Nairobi itafungwa kwa muda wa siku kumi huku serikali ya kaunti ya Nairobi ikipanga mikakati ya kuhakikisha kuwa barabara hiyo na magari yanayoelekea upande mmoja pekee. Lakini je, mabadiliko hayo yataathiri uchukuzi na biashara jijini?
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya
I love this guy's tactics of reporting. ..very eloquent
The Boy Has Improved A Lot in Reporting..He Started Way Worse...Go On Son, Youll Soon Be Eloquent..Experience Picks With Time..
Hodari sana. Great Journalism!!
Like the reporter
Why can't the road have no cars. A High Street fir shoppers only.
Am happy Mbugua is really doing good improvement in reporting. Kudos Reporter. Keep changing
I dont know why people are complaining,the reporter is trying.kiswahili sanifu sio mchezo 😉
Kwendeni huko nyinyi, kuathirika ni kuwa affected, kuna kuathirika kwa wema au ubaya.. Mbugua kazi njema wengine hapa kazi ni kulalamika na hawawezi ata kusimama mbele ya kamera pekee
Swali halikueleweka kabisa.. Lakini limejibiwa kwa ubora walioudhania..
Wamejibu jinsi walivyofaidika wale so jinsi walivyoadhiriwa.
I love the eloquence of the journalist though
Can you translate what you just said. I have no clue
The reporter must go
He is an English reporter
Hahahaaaa...why must the reporter go now.😂😂😂
Why
10 days zote
Umeathirika au umefaidika 😅😅😅😅😅
Hahaha
Kupuuuza lugha ya kiswahili...ndo matokeo yakee inasadikika ukiwa hujui kizungu basi hujasoma na wewe ni mjinga..hayaa mwone mwanahabari mkubwa anashindwa kujieleza mbele ya runinga tajikaaa..Inatamausha,inasikitisha,Inahuzunisha,
Abdul dabs hehehe n kweli so sad
He's actually trying coz he is not a Swahili reporter
Hehehe this is not Dar! So long as we understand we are happy!
@@HANDOLOH hakuna haja ya kutusi mwenzako.kiswahili cha Nairobi ni kibaya mno.mimi ni mkenya.
Moshi mengi
Duka letu
Lonyagapuo:i kipf up
Bala.....ungemalizia tuu😂😂😂
Nadhani uanahabari Unahitaji uwezo WA kuwasilidha Ujumbe katika lugha ya kiingereza na kiswahili
Baraba n nini?
Kuadhirika vipi...how are you affected by the road closure. He just used correct Swahili who is complaining???
Wewe reporter lugha shinda but hair ina wa affect.
Hiyo ni kufaidika.
Kiswahili ni ngumu hehehe.
@@catherinenganga9324 Yeah!
Kenyans will always complain even for the good
Yeah,Criticism in everything🙄🙄
Sasa umeadhirika ama umefaidika
Kuna kuadhitika kwa wema am kwaubaya. Kuadhirika nikuwa affected.
Umeadhirika
Reporting inakushida kidogo.
That reporter aky vane!, on a big world tv anatangaza nkama hakufanya prep kabla reporting..mniite mm😂 i can do it better
He is eloquent in English. He's really improving his Swahili judging from the first time I heard him report. I like Kimani Mbugua, let him do his work.
So you want to take his position, guy Pole May god help you
@@mohamedAmin-rr6tl shiekhe si ivo😂😂😂, god* ni God