Wakazi wa Pumwani na Estleigh walalamikia unyakuzi wa ardhi ya umma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лют 2022
  • Wakazi wa Pumwani na Estleigh walalamikia unyakuzi wa ardhi ya umma
    Ardhi za umma kwenye mitaa hiyo zinadaiw akunyakuliwa na mabwanyenye
    Nyumba za madaktari wa Hospitali ya Pumwani zilibomolewa
    Nyumba za wafanyikazi wa kampuni ya maji Nairobi pia zilibomolewa
    Majumba ya kibinafsi yanaendelea kujengwa kwenye ardhi hiyo
    Kamati ya ugatuzi yazuru mitaa ya Pumwani na Eastleigh

КОМЕНТАРІ • 17

  • @suleimanmaxamed395
    @suleimanmaxamed395 2 роки тому +9

    That's why Uhuru sacked Sonko because he was protecting poor people who were being eaten up by Uhuru government owners

  • @bichaurasebit8360
    @bichaurasebit8360 2 роки тому +1

    How i wish sonko was there to intervene.....watu wanadhulumiwa sana haki zao sana sana watu duni...
    I stand with Sonko 💪💪💪

  • @salmahussein3583
    @salmahussein3583 2 роки тому +5

    Sonko alikuwa corrupt bt alikuwa ana protect mali ya Uma, ona Sasa 🙄 🙄 🙄, afadhali sonko Mara Mia

  • @annkimani9434
    @annkimani9434 2 роки тому +2

    Hiyo n kazi ya uhuru

  • @lilianchristensen5198
    @lilianchristensen5198 2 роки тому +1

    😭😭sonko sonko oui oui sonko 😭😭

  • @mosesomwera7881
    @mosesomwera7881 2 роки тому +1

    where are we heading to as a Nation??

  • @mosesomwera7881
    @mosesomwera7881 2 роки тому +1

    this is Evil....

  • @bANana-yf1qm
    @bANana-yf1qm 2 роки тому

    Tano Tena... Vumilieni,, if you voted this government in, shut up.

  • @gracegrace6798
    @gracegrace6798 2 роки тому

    Zz

  • @fatumaadan5368
    @fatumaadan5368 2 роки тому

    Wacha sisi tunyamazi wale wako na pesa wanatutesa

  • @peninahruth2870
    @peninahruth2870 2 роки тому

    Tunachagua serikali ikishaa shika viti inasahau ule mwanannchi aliye wachagua...kazi nikujipiga vipua matusi nawalio wachagua kumbomolewa manyumba wethout compensiation....wajenge zao kubwa juu walio jenga sio wenye nnchi tena wenye nchi huwa niwale tunajichagulia...if presdent know nothing abt this asimame asene hio mijengo inajengwa isimamishwe nawenye kumbomolewa warudishiwe or he make things clear what is happening

  • @salimwheatgrass6711
    @salimwheatgrass6711 2 роки тому

    Nchi ya baphomet.

    • @asparagusonly
      @asparagusonly 2 роки тому

      Ati?🤣🤣 Mimi naona ni nchi ya mafala... Na wewe ndio unaongoza kwa hio ufala😂😂😂. Ati baphomet🤣... umeona documentary moja ya illuminati sa wee ni expert 🤣😂

    • @asparagusonly
      @asparagusonly 2 роки тому

      Kwanini umetoa jibu yako?😂 Ni kwasababu unajua ni ufala sindio?🤣🤣🤣

  • @annkimani9434
    @annkimani9434 2 роки тому +2

    Rutooo tosha