Duh asantee Sana dokta kwa SoMo maana hayo matunda Kama zabibu na nanasi ndo matunda niliyokuwa nakula Sana Mungu akubariki kwa kutujuza endelea kutuelimishaa🙏
Nilikula saaana nanasi ni kweli nilijifungua kabla mana ilibidi nijifungue mwezi 2 ila nikajifingua mwezi 1. Ila Mungu mwema nilijifungua salama na Binti angu nae Yuko salama.
Doctor Mimi ninaujauzito wa moezi miwili na wiki Moja juzi talehe 6 mwezi wa kwanza nilienda hospital kuajiri ya kuanza clinic lakini doctor alivo nipiga ultrasound majibu kwamba mimba yangu imeharibika Sasa kinachonishangaza mtoto namsikia muvument za mtoto kucheza bado nazisikia na sijisikii dalili yoyote ya kuumwa tumbo Wala sijisikii maumivu yoyote
Shukran sn Doctor, izo tunda ulisem zote nakula kwa ivi niko mjaa mzito sema papaye ndio sili wala ndio inasababisha nitokwe na damu pia na tumbo kunium sana shukran
Samahanii Dr mim Nina ujauzito Ila napata maumivuu ya kiuno ,na mgongo alafu nakohoa Sanaa nimetumia dawa ya kikohozi ambayo PRINALYN lakinii Hali ya kikohozi bado n kalii. Pia miez kadhaa iliyopitaa nilibeba mimba na ikaharibikaa Naombaa unisaidiee Dr
asante docta kwa somo lako hata mm ni mjamzito wa miezi miwili napenda sana kula papai na ukwaju na tikiti maji hivyo vitu navipenda kwahiyo niache docta
Samahani dr, mimi nilikuwa natumia uzazi wa mpango yaani sindano mwezi wa 4 nikaacha kutumia nikaenda duka la dawa nikamwelezea shida akanipa vidonge ambavyo ni vyeupe mistari 3 na mstari mmoja kama damu ya Mzee nikatumia vidonge vitano je haviwezi kuleta effect kwa mtoto?
@@DrMwanyika doctor mimi ni mjamzito wa miez minne lakini nikipiga mswaki huwa natapika sanaaa na kujickia kichefu chefu na mwili kuishiwa nguvu kitendo cha kuswaki tu haswa nikisugua ulimi na muda mwingne wala c ingizi mswahi ndani juu tu Ila ndo natapika shida ni nini
Ukiwa na ujauzito wawenzi mmoja lazima ijisikie kichefu chefu kutapika mana mimi lilipima nikakuta ni nayo lakini hizo dalili sizioni kama kichefu chefu ni kwa mbari sana na wara sio cha kunikera ivi itakuwa ipo sawa kwa upande wangu
Dkt samhn mimba yangu ya kwanz sikuwa na dalili yoyot ya kutapika hata kichefuchef na kukosa nguvu ila kwa mimb ya pili dalili zote zimenijia na pia nakosa hamu ya kula hata siku mbili ila na kunywa tu siwez kumletea mwanang tatizo lolot🙏
Mm ujauzito wangu wa kwanza nilikuwa napenda xn mananasi ckuwa najua nikajifungua mtt miez nan hakukaa muda mrefu akafarik wamama tujitahd vyakula pind tukiwa na ujauzito 😥
Usijali haina shida haitakiwi kula mara kwa mara unaweza kula kwa kiasi kidogo sana maana hakuna tafiti za kisayansi zinazothibitisha hivyo ni vema kuwa na tahadhari Maana matunda yako ya aina nyingi unaweza tumia aina nyingine
Asante docta naomba kuliza mim sijaingia period toka mwez wa sita mpka uu wa Saba na nimepima nimekutwa na ujauzito je ntakuwa naujauzito wa miez mingap naomba kujua docta
Ninamimba ya miezi sita Mimi naipenda sana zabibu napapai tumbohuwa linaniuma nakuniachia naleo nimekula zabibu zakutosha kabla ya kusoma iivideo saizi naona majimaji ya dam ukeni ndonini Sasa docta sielewi
HABARI Dr Mke wangu anamimba changa na amekula zabibu pia kifua kilikua kinamuuma akatengeneza tangamwizi pamoja na limao akachanganya akanywa hapa ameenda chooni anasema ametokwa na Damu Je kuna madhara yoyote na Je tufanyanye??
Mm nipo nnje ya mada doctor cjatumiaa folic acid. Nilianza clinic nikiwa na miez mitatu ila wakasema mda wa folic acid umeshaa pitaa. Nikapewa dawa ya calcimag je ni sawa? Naomba nisaidiee doctor. Please 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Doooh asante dr kwa somo,sasa hivi ujauzito wangu ni wiki 16,lkn nilipokuwa wiki ya 14 nilipata hiyo shida sana ya kutokwa na damu kwenye fizi na asubuhi nilikuwa napenda sana kutumia ukwaju,sasa ndiyo nimeelewa maana ya hili somo🙏🙏
Duh asantee Sana dokta kwa SoMo maana hayo matunda Kama zabibu na nanasi ndo matunda niliyokuwa nakula Sana Mungu akubariki kwa kutujuza endelea kutuelimishaa🙏
Aminaaaana ndugu yangu
Hakuna shida ndugu yangu
Duuh ahsante Dr but ninavyopenda zabibu Mungu atusaidie kwa kweli
Kula kwa Kiasi kidogo sana
Mmh nilikuwa nakula zabibu usiku huu hd nimeziacha kwa plesha jmn 😢😂
Pole sana 😄😄😄
Vip doctor hv ndz mbivu ni mbaya kwa mjamzto
Hapana
Nilikula saaana nanasi ni kweli nilijifungua kabla mana ilibidi nijifungue mwezi 2 ila nikajifingua mwezi 1. Ila Mungu mwema nilijifungua salama na Binti angu nae Yuko salama.
Amina ndugu yangu
Duuu nmekoma kula ukwaju asante doctor 😢🎉❤
okay
Doctor uko vizur asante napata elimu
Ubarikiwe naomba usome kuhusu somo hili la Matunda hatari kwa Mjamzito nimefanya update kwenye Mamaafya.com
Nakuelewa vizur sana hongera na mungu azid kukulinda
Amina bertha
Doctor Mimi ninaujauzito wa moezi miwili na wiki Moja juzi talehe 6 mwezi wa kwanza nilienda hospital kuajiri ya kuanza clinic lakini doctor alivo nipiga ultrasound majibu kwamba mimba yangu imeharibika Sasa kinachonishangaza mtoto namsikia muvument za mtoto kucheza bado nazisikia na sijisikii dalili yoyote ya kuumwa tumbo Wala sijisikii maumivu yoyote
Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Shukran sn Doctor, izo tunda ulisem zote nakula kwa ivi niko mjaa mzito sema papaye ndio sili wala ndio inasababisha nitokwe na damu pia na tumbo kunium sana shukran
Okay
Dokta pashen tunda napendaga kuchanganya kwenye juice n nzur?
Sijajua
asant daktar kwa kujua mm nimekula juis ya ukwaju na papai na zabibu na pia nina mimba ya miez miwili je hapo mimba inaweza kuharibika
Tafadhari sikiliza video zetu hapa UA-cam
Samahanii Dr mim Nina ujauzito Ila napata maumivuu ya kiuno ,na mgongo alafu nakohoa Sanaa nimetumia dawa ya kikohozi ambayo PRINALYN lakinii Hali ya kikohozi bado n kalii. Pia miez kadhaa iliyopitaa nilibeba mimba na ikaharibikaa Naombaa unisaidiee Dr
Uende hospitali wakufanyie uchunguzi na pia watakuandikia Dawa stahiki
@@DrMwanyika Asantee Dr
@HappynessMduma-zf1mp Okay
Habari dr pole na majukumu na asante kwa Elimu ya afya kwa mjamzito,, Jeh hivi tunda la zambalau lina FAIDA NA ATHARI gani kwa mjamzito?
Sifahamu ndugu yangu
Habari dr:nilikula zambarau presha imeshuka sina ham nazo tena nna presha ya kushuka tena ile mbaya nifanyeje dokta
Uende hospital watakupa maelekezo namna ya kufanya Ndugu yangu, lakini hiyo presha Iko ngapi Saivi?
Ananas ilitaka haribu mimba yangu docta una sema kweli
Amina ndugu
Doctor vp Hali yko tatizo n nin nachoka sana pia natapika Kila asubuh natapika manjano vichungu naomba msaada
Wewe ni Mjamzito?
@@DrMwanyika ndio ni y myezi9 sasa
Sawa endelea kusubiri inawezekana ni uchungu ndugu yangu
Doctor Matufaaa jeee hayana shida kwamjamzito
Hayana shida ndugu yangu
Asante doctor
Okay
asante docta kwa somo lako hata mm ni mjamzito wa miezi miwili napenda sana kula papai na ukwaju na tikiti maji hivyo vitu navipenda kwahiyo niache docta
Papai lime iva vizuri sawa na upunguze usiwe una kula mara kwa mara
Asante
Okay
Napataje no ya group la wasap
Iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Je Bibi akiwa mimba waeza tomba mpango WA kando ukarudi nka lala pamoja?
Sijui ndugu
Duh😢
Duuhh ninavyolipenda basi mwisho leo papai limekataa kbs
Okay
Dr smhn Nina ujauzito wa miez 3 je Almond inafaa kula maana napenda sana kutafuna
Ndio, hazina shida ndugu yangu
Asante
Samahan doctor kufanya mapenzi wakati wa mimba changa halafu damu ikatoka inamaana gani
Mimba inatishia kuharibika ndugu yangu uende hospitali watakuandikia Dawa na pia msishiriki tendo la ndoa kwa sasa ndugu.
Asant doctor
@Latifa-fp3sq OKay
Doctor samahn mm napenda Sana kula nyanya chungu je Kuna madhara
Hapana
Kam una mimba ukijiskia kuumwa na tumbo la khez inakuaje apo naomba mnsaidie
Je? Nikwanini mimba ikiwa kubwa kwanzia week 28 utra-sound inashindwa kusoma umri wa mtoto kwa usahihi
Fuatilia video zetu hapa UA-cam
😢😢mimi nilikula papai mtoto nimejifungua kabla ya muda wiki 23...kafariki yaani mwezi huu tare 2...2024 inaumiza
Pole sana ndugu yangu
Samahn doctor ukiwa mjamzito unakunywa maji unatapika inakuaje
Uende hospital utaandikiwa Dawa za kuzuia kutapika
Nilienda wakanambia had miez 5 ndo nawez kunywa nikwel
Walikupa Dawa?
Samahani dr, mimi nilikuwa natumia uzazi wa mpango yaani sindano mwezi wa 4 nikaacha kutumia nikaenda duka la dawa nikamwelezea shida akanipa vidonge ambavyo ni vyeupe mistari 3 na mstari mmoja kama damu ya Mzee nikatumia vidonge vitano je haviwezi kuleta effect kwa mtoto?
Message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Hbr dr mimi ni mjanzito karibu naingia mwenzi wa nne lakini asubuhi Natapika.kama vya njano alafu vichungu sababu nn dr lkn sio kila siku.
Maudhi madogo madogo kwa Mjamzito
Doctor mimi hupata maumivu makali kipindi cha siku zangu naomba ushauri wako plz
Hiyo umeanza tokea zamani au hivi karibuni?
@@DrMwanyika ilianza kipindi nikiwa na umri Wa miaka 15 sasa hivi Nina umri Wa miaka 17
@@DrMwanyika nimeenda hospital wamenipa dawa za kupunguza maumivu ,lkn nahisi kuna tatizo 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Pole Sana
Hakuna shida
Dctr naile hali ya kutapka na kuhalisha kwa mama mjamzto shida nin?
Inategemeana na sababu kwa siyo Mara zote shida ni Ujauzito inawezekana akawa na Magonjwa mengine tu
Je! Mtoto Mchanga kukosa choo marakwamara ni hatari? Sababu Gani zinazofanya kichanga kukosa choo? Tufanyaje ili apate choo Kichanga?
Naomba nitumie message WhatsApp number iko kwenye profile picha yangu hapo juu
Samahani docta napenda kula limau jee halina madhara nko na uja uzito wa miezi miwili
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Doctor samahani nipo njee ya mada je mjamzoto akitumia binzari na tangawiz je vinashida labda tangawiz kwenye chai au binzar kwenye chakul
Sidhani kama zinashida
Nini kinasababisha mdomo kua mchungu sanaa kwa mama mjamzito??
Maudhi madogo madogo kwa Mjamzito
Doctor mm huwa nikila chakula napenda kiwe na pilipili nyi gi sana nnawezq nikamwathiri mtoto
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Samahan dacktar nlkua nauliza maji yanayotoka kwa toni mojo baada ya kikojoa na ni meupe yawezakua mabaya
Sifahamu uende hospitali wakufanyie Uchunguzi
Doct mbona baadhi ya madakitari wasema zabibu zaongeza damu hark na wanashauri kutumika kwa wingi
Sawa
@@DrMwanyika ushauri wako doctor
Sikiliza video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako 👆
Samahan Dr juice ya mirinda ni mbaya kwa mjamzito
Inategemeana ndugu
Sasa mbona mnasema tupate some vitamins kama mult vitamin ikiwemo na hizo vitamin za baaadhi ya hayo matunda
Matunda yako ya aina nyingi Sana siyo lazima utumie matunda hayo yaliyotajwa
je grandmalt inamadhara ukinywa mjamzito
Sikiliza video ya Matumizi ya Grandmalt kwa Mjamzito ya Dr.Mwanyika
samahan doctor nina mimba ya wiki 8 je naweza kutumia rozela kama juisi
Kwa Nini?
@DrMwanyika kwajili ya kuongeza damu, japo sijapima nikajua nina dam kiasi gan.
Samahani doctor je ukila matunda Haya cheza ni vibaya??
Unaweza kula
Habari doctor mimi na tatizo ninavyokojoa naumia sana tatizo itakua nini
Uende hospitali kafanyiwe vipimo hospitali
Habar mm ni mjamzito lakin siwez kula chakula chochote ispokua nanas nisaidie doctor
Fuatilia video zetu hapa UA-cam
Doctor samaani,miwa inakataziwa piya kwa mja mzito myezi 4 kupanda juu?
Sifahamu
Doctor nina mimb y miez9 na wk je nikila nanas uchungu unakuj af unapotea
😆😆😆😆 haya bhana nanasi Hailet Uchungu wa kawaida
@@DrMwanyika sasa inaleta uchungu upi dr. Yaan naumwa wki sasa homa inakuja inaacha
Kwani Homa Maana yake ni nini?
@@DrMwanyika naumwa uchungu afu unaacha dr
Pole sana Mimba imefikisha wiki ngapi Leo?
Habari Dr, hivi ni nini kinasababisha kifafa cha uzazi?
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako hapa
Dct me nilikua sijui nilikul nanasi mimba ilikua ya week 3 nilikul mar mbili sijui itanileta mazala badae
Sawa ndugu yangu
Doctar mm ninamimba ya mwezi 1 na wiki mbili ila napenda sana kulala chali je kunamathara yeyote
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Doctor hiv mama mjamzto akiwa anapenda xan kula miwa,je kunaadhari yoyote??
Haina madhara Ndugu yangu
@@DrMwanyika daah, shukran doctor mung akubark
Okay
Docta mi nimeyatumia sana papai mimba ilvyokuwa na miez mtatu sasa hiv nimeacha sina hamu nayo itaniletea madhara?
Hapana
doctor samahn me nmekula apple kma sku tatu ivii sas naona mlango wa kizaz kma umelegea kdg inamana mimba itatoka kabla au nna 18 na sku 2
Hapana
@@DrMwanyika ok shukran
Dr. Nikila nanas nikiwa na miez tisa ni saw
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Hello samahan Dr. Natokwa na matone ya damu pia ya natoa harufu. Sababu itakua nin
Mimba Ina umri gani?
Cjuh kama ninayo itakua one week
Wewe ni Mjamzito wa wiki moja?
Doctor@@DrMwanyika
Ok
Je mjamzito kuwa na hamu ya kula tunda linaloitwa Pera Lina hadhari Gani kwake make huyu anayapenda na kuyatumia naomba ushauri wa hilo
Halina madhara yoyote ila kula kwa kiasi kidogo tu
@@DrMwanyika Asante kwa ushauri wako doctor
@rwakukukabale2654 Amina ndugu yangu
Asante
Okay
Mimi sipend kula kabisa nikiwaza kula tuh nahisi kichefuchefu hii ni kawaida au ni mda mfupi tuh
Fuatilia video zetu
Ahsantee sn Dr Ubarikiwe
Amina
Doctor mama mjamzito ni vibaya kula kiporo cha ubwabwa?
Sikiliza video ya kula kiporo kwa Mjamzito ya Dr.Mwanyika
@@DrMwanyika doctor mimi ni mjamzito wa miez minne lakini nikipiga mswaki huwa natapika sanaaa na kujickia kichefu chefu na mwili kuishiwa nguvu kitendo cha kuswaki tu haswa nikisugua ulimi na muda mwingne wala c ingizi mswahi ndani juu tu Ila ndo natapika shida ni nini
@RechoMalcom-y2u Pole sana message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Me nakula ukwaju lakn sio sanaa
Okay sawa haina shida
Dokta me mbona nilikua nakula xana xaxa itakuaje😢😢
Pole sana ndugu yangu
Doct samahan je miw maan nataman kula miwa sana na juisi yake
Unaweza kula tu Ndugu hakikisha imekuwa safi
@@DrMwanyikaAsant doct
Okay
Nimekula nanasi mara 3 nina ujauzito wa miez mi4 mungu anisaidie tu jaman. Sikufaham
Usijali haina shida cha msingi saivi upunguze kuitumia
@@DrMwanyika Nashukuru Dr
Dr me nina ujauzito wa mwezi lakini sina hamu ya kula chochote najiskia vibaya kila wakati nifanyeje
Hiyo ni Hali ya kawaida kwa umri huo wa Mimba uende uanze clinic tafadhari
Kwaio dkt kama papai limeiva vzr lina shida pia?
Tafadhari sikiliza videos zetu hapa UA-cam
Xamahan mim nipo nnje ya mada nilikua nauliza milinda nyeusi haina madhala kwa mam mjamzito maan mm napend kunywa na ujauzito wa miezi8
Kama hauna shida ya ugonjwa wa Kisukari haina shida
Axnt doctor
@rahmaabuu2829 Okay
Dr habari nina mimba ya week 18 lakini sipati dalili zozote za mtoto kucheza mimba ya 4
Muda bado endelea kusubiri ndugu
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Mimi Nina mimba ya miezi mitatu naenda wa nne nimekula nanasi sana nilikuwa sijui Asante kunijuza sasa ntaacha .
@user-hn4ew1vv2s Amina ndugu yangu
Sasa dct me yangu WK 40 nasiku zake napo sitakiw kula jmn
Sikiliza video
Ukiwa na ujauzito wawenzi mmoja lazima ijisikie kichefu chefu kutapika mana mimi lilipima nikakuta ni nayo lakini hizo dalili sizioni kama kichefu chefu ni kwa mbari sana na wara sio cha kunikera ivi itakuwa ipo sawa kwa upande wangu
Subiri muda bado zitakukera badae saivi enjoy tu
Dkt samhn mimba yangu ya kwanz sikuwa na dalili yoyot ya kutapika hata kichefuchef na kukosa nguvu ila kwa mimb ya pili dalili zote zimenijia na pia nakosa hamu ya kula hata siku mbili ila na kunywa tu siwez kumletea mwanang tatizo lolot🙏
Sikiliza video zangu ndugu
@@DrMwanyika je n nn maana ya placenta anterior and not low lying plz naomba unielezee
Kondo liko nyuma na haliko karibia na Mlango wa Uzazi au sehemu ya chini kwa ufupi liko sehemu yake inayotakiwa kuwepo
asant dokt je uji wa ukwajju hatakiw kunyw mjamzito
Ndio usitumie sawa eeh
Kama papai litakua limewiva vzr je linafaaa?
Fuatilia video zetu ndugu yangu
Asante Dr VP kuhusu mama mjamzito kuchelewa kujifungua?
Iko video fuatilia hapa UA-cam
doctor samahani mi sijawahi ona ute unaovutika siku za hatari je siwezi kupata Mimba?
Siyo lazima kuona ndio upate Mimba
@@DrMwanyika asante
Okay
Mama mjamzito analuhusiwa kung'oa jino pale linapozid maumivu
Si salama
Dokta mjamzito wamwez MMOJA kutoa damu kzk nguo Mara moja au kuona marenda yadamu shida Nini je mda hii anakua mwil unamlegea sana
Bonyeza link hii sikiliza video
ua-cam.com/video/OdIIEeuymMo/v-deo.html
Dr mbona nahisi Nina mimba na dalili zote Ila kiuno kinakuwa kinaniuma cna nahatiye napata periodinasababishwa na Nini kiuno kuniuma cna
Umefanya kipimo Cha Mkojo Cha UPT?
Mm ujauzito wangu wa kwanza nilikuwa napenda xn mananasi ckuwa najua nikajifungua mtt miez nan hakukaa muda mrefu akafarik wamama tujitahd vyakula pind tukiwa na ujauzito 😥
Pole Sana Ndugu yangu ila jaribu kuangalia na shida nyingine inawezekana Kuna sababu nyingine pia
Mmmh nikajielezeje maana cjaelewa hapo Nikapime kipimo kipi dr 😥
Nitumie message WhatsApp number iko kwenye profile yangu hapo juu kwa maelekezo mengine
Doctor je tope tope wengine wanaita stafeli je nayo ni sawa?
Halina shida
Muke wagu muja muzita leo tumbo limemukaza dawayake nini
Mimba Ina wiki ngapi?
Me ninaujauzto wa wiki 21 tang nmebeba sjawah kula Nanasi lakn saiv napata Sana hamu nalo najizuia nashindwa cjui nifanyje doctor
Sina jibu kuhusu hivyo
Mimi ni mjamzito wa mapacha na miez 8 lakin tumbo la washa je nihatari Kukuna tumbo
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Hata mimi pia kuna muda tumbo linaniwasha
@muna1744 Okay
Dr Zabibu kwa wiki 36 linaweza leta shida
Sikiliza video ndugu
je naweza kula nanasi wakati nimefikia waka wa kujifungua
Ndio
Docta mimi napenda kula peasi lina madhara
Hapana
Doctor mm nmekula zabibu mara moja je ninaweza kumuathiri mtt maana nmeanza kuogopa
Usijali haina shida haitakiwi kula mara kwa mara unaweza kula kwa kiasi kidogo sana maana hakuna tafiti za kisayansi zinazothibitisha hivyo ni vema kuwa na tahadhari Maana matunda yako ya aina nyingi unaweza tumia aina nyingine
Maashaallah mafunzo yako yananifunza mambomengi nisiyoyajua nayajua ss
Amina ndugu yangu
Samahan docta jana nimekula ukwaju nashangaa nimeamka kujisahidia haja ndogo umebadilika langi kiuno nacho kinauma naomba kujua kama nimepata mazadhara
Hapana usiwe na wasiwasi Ndugu yangu ila acha kutumia ukwaju
Asante docta naomba kuliza mim sijaingia period toka mwez wa sita mpka uu wa Saba na nimepima nimekutwa na ujauzito je ntakuwa naujauzito wa miez mingap naomba kujua docta
Sifahamu kafanyiwe Ultrasound
Dr. kutema tema mate ni dalili ya mimba
Mke wangu anatema sana mate takribani ni wiki sas ni dalil ya nin
@DicksonMtawo Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Nafatilia lakin sielew dkt
@DicksonMtawo Message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu
Mungu wangubmm nakula nanas na zabibu wiki 35
Okay
Asante sana doctor mungu akubariki
Aminaaaana
Ninamimba ya miezi sita Mimi naipenda sana zabibu napapai tumbohuwa linaniuma nakuniachia naleo nimekula zabibu zakutosha kabla ya kusoma iivideo saizi naona majimaji ya dam ukeni ndonini Sasa docta sielewi
Aisee pole sana uende hospital mimba yako inatishia kuharibika watakiandikia dawa na watakupa maelekezo
Samahan dokta mm ninamimba ya mwezi lakn napata njaa kila baada ya lisaa tu ninashida au nikawaida
Hakuna shida uwe unakula Mara kwa Mara sawa eeh Mimba ikifikisha miezi minne utatakiwa upewe Dawa za minyoo
ahsante doctor
❤️
Doctor mke wangu amekuwa na shida ya mimba ya kuharibika na sijui nini shida na hivi sasa ni mjamzito ni saidie ushauri wako
@AlickMwakitalima-oy4no Pole sana message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Dr minamimba ya miezi mitata ilanaishiwa sana nguvu kukaa mda mrefu nashindwa nachoka
Uende hospitali wakufanyie Uchunguzi zaidi ndugu yangu pole sana
Jaman navyopenda nanasi Dr mbona roho imeniuma na hapa nimeshanunua
Ndio uache au uwe unatumia kidogo sana
Duuh mm Huwa nakula ckujuaa tena sio kidogo @@DrMwanyika
Asee somo zuri..asante dokta
Miezi sita nakula sana udogo
Unaupungufu wa madini chuma
HABARI Dr
Mke wangu anamimba changa na amekula zabibu pia kifua kilikua kinamuuma akatengeneza tangamwizi pamoja na limao akachanganya akanywa hapa ameenda chooni anasema ametokwa na Damu Je kuna madhara yoyote na Je tufanyanye??
Mpeleke hospital akafanyiwe vipimo na watamwandikia Dawa
Nlijifungua mtoto mweny utumbo njee inasababishwa n nini
Hiyo ni shida ya ulemavu wa kuzaliwa!
Mm nipo nnje ya mada doctor cjatumiaa folic acid. Nilianza clinic nikiwa na miez mitatu ila wakasema mda wa folic acid umeshaa pitaa. Nikapewa dawa ya calcimag je ni sawa? Naomba nisaidiee doctor. Please 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Pole sana message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Doctor Mimi uweka ukwaju kama napika samaki wa kuchemsha pia ni Vibaya
Sidhani kama kuna shida ndugu yangu
Doooh asante dr kwa somo,sasa hivi ujauzito wangu ni wiki 16,lkn nilipokuwa wiki ya 14 nilipata hiyo shida sana ya kutokwa na damu kwenye fizi na asubuhi nilikuwa napenda sana kutumia ukwaju,sasa ndiyo nimeelewa maana ya hili somo🙏🙏
Aaah vizuri sana
Asante docta izo dalili naziona nakula nanasi sana mungu anilinde
Okay
Niko na mimba ya mwezi moja. Nilifanya mapenzi damu ikaanza kutoka. Tatizo ni lini
Je kama ukila papai kipande kidg pia kinaleta mazara
Mungu wangu mm nkula nans km chiz nna miez4 😓
Uwe unakula kwa kiasi kidogo tu
Jaman dr me nanas nalipend san unanishaurije.......mimb y miez 4 kwend 5.....n halin athar kw mtoto
Tafadhari naomba usikilize video