Kinawekwa kwenye zizi la mbuzi kinachamganyika na mbolea afu unafagia ile mholea unaweka kwenye mgomba shambani ule mgomba unaitwa mgomba wa mtoto ndizi ikikomaa hairusuwi kuuzwa tunapika tunakula😂 by eliza
Kwa kweli tukiangalia Mawazo mengi ya watu inaonekana kwamba KITOVU ni kitu cha kiimani sana, Mimi kwa Upande wangu wa Imani--Baada ya kitovu kuanguka Unafanyia Maombi na kukikabidhi kwa Mungu kwa njia ya Maombi, Then baada ya Hapo unakuwa huru kwa kufanya Chochote, (Utupe au Uifadhi) naamini Hakutakuwa na Madhara tena😊.
mim mwananang ana miak3 ila ninach mpk leo nimekifung na kitambaa nimewek kweny beg la nguo ninaogop kukitupa wala kukifukia moyo wang hautak kabsaa bs huw nawaz nawez fukia kikafukuliw na wachawi
Kitovu kifukiwe ktk mazingira yetu tunayotoka yaani nyumbani Kwa wazazi Kwa baba au mama kwani mtoto anafuata na anakua karibu zaidi na Ile seemu kilipofukiwa kitovu chake
Naomba nisaidie doctor mtoto wangu ana miez miwil na wiki moja sasa lakin kitovu chake bado hakijakauka kinakuwa kam kidonda kibichi je shida inaweza kuwa nini??
Mimi pia najifunza. Lkn pia Kuna Imani nyingine natamani sana kujua kuhusu kitovu. Wanasema wakati kinadondoka, kikidondokea kwenye uume wa mtt, mwisho wa siku anakuwa Hana uwezo wa kusimamisha uume. Hili nalo limekaaje?
Nilijifungua maziwa hayatoki daktar akanipa ushauri nimpe maji Yale ambayo umechemsha kwa usafi yakipoa unanywesha kijiko kimoja alhamdulillah maji ya kunywa kwa mtoto muhimu
Sisi kwwtu unatafuta kitambaa cheusi unakifunga unamfungia mwanao kiunoni kinasaidiwa hata kwenye magonjwa y dege dege na watu wabaya hawamfat mwanao" mm nasali lkn kitovu cha mwanangu lzima nimfugie kiunon wanangu wote had ile kamba ikikatika na chenyewe kimeisha
Mimi ni mkristo, naamini kitovu kinamaana kubwa sana ktk maisha ya muhusika. Kwahiyo sisi huwa tunamnunulia mtoto shamba tunakisaga kitovu tunachanganya na mbegu kisha tunazipanda mbegu shambani au unaweza kumnunulia kiwanja ukamjengea nyumba na kupanda mti wa matunda ukakishanganya pia na udongo wa ujenzi pamoja na mti wa matunda Kwetu kitovu ni uhai na chakula pia hutukumbusha tendo jema la msaada tulioupata tulipokua tumboni nk
Dokta samahani ni wakati Gani mtoto mchanga anatakiwa kunyolewa nywelee asantee kwa kufundishaa kuhusu kitovu tumepataa uelewa je kuhusu nywelee nazo ?? Ipojee
Niliambiwa na mama nitupe popote niache imani potofu kwamaani ss Walokole,, naizo imani kwamba ushiki tena mimbo so kweli me sahiv kijacho,,,,,,,,,,,,,,,,,,naomba kujua maumivu ya tumbo chini ya kitovo inasababishwa na nini kwa mama kijacho
Docter naomba nisaidie mwanangu anawiki moja na siku mbili kitovu kimedondoka baada ya siku ya tatu lakini nimekaa siku tano kinatoa vidamu kidogo apa kwenye kitovu tatizo nini
Dokt me naujauzito wa miez 7 mtoto anacheza sawa lakin tumbo langu lipo kawaida to halionyesh kama na mimba...ispokuwa kuna mda kama usku ndo linakuwa... lakin mda mwingi linarudi kawaida...je nitakuwa na tatizo lolote?
@@DrMwanyika yan tumbo siyo kubwa...halionyeshi kabisa kama na mimba ya miez 7 na ule msta wa tumbon sina hauonekan kabisa lakin..naskia mtoto akicheza....je nn shida ya tumbo kutokuwa kubwa kama wajawazito wengine ila mm nimarayangu yakwanza kubeba mimba.
Kitofu ukizika sivibaya ukihifathi kwa tiba inafaa zaidi hapa duniani kilakitu nitiba nywele nitiba mavuzi nitiba kikwapa tiba kucha tiba uchafu wa wakitofu tiba nk Sasa basi kitofu hutumika kwakupendwa kama mtoto anvyopendwa hakuna anaye chukia mtoto mchanga huyo anakuwa mchawi kitofu nitiba ya majipu nk kwahiyo ukitupa sawa Tena mbali uki hifathi nivizuri zaidi wenu mtaalam wa tiba asilia tukiungana na tiba za kisasa ufumbuzi zaidi kwa kuwanusuru wangonjwa wetu
Dr mm niko nje ya mada ya kitovu, nina swali, kuna mahusiano gan ya ukiwa unanyonysha harafu maziwa yakawa yanauma yanavuta vuta kama visindano inakuwa ni nini?
Hii naona imesimama kimila zaid kila sehemu wana mila zao wengne wanafanya hadi sherehe za kimila kama kupika pombe za kimila na kukizika kile kitovu,ila mm naona ni busara kukizika kipande kilichodondoka maana ni sehemu ya mwili
Kuna nyumba nilipanga wakati Fulani Kuna mpangaji mpare alijifunguwa mtoto wa kike ila kilicho nishangaza kile kitovu kilileta ugomvi mkumbwa mnooo,upande wa mwanaume wanataka kitovu wanasema kinatakiwa kuzikwa kwao,wao ni waruguru wa mgeta na mpare anasema kitovu kinazikwa Kwa mwanamke mpaka ndugu wa mwanamke upareni wakaja kukichukuwa kwanguvu na kurudi same
Hahaha jamn nmecheka kipare ndo tulivyo wapare ila kama wakwe zako sio washirikina 💯 unaweza kuwapa wakwe ila kama wakwe zako hawaelewek bora nikimeze dadeq.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi hutupa chooni au nakichanga na taka zingine nakichoma nakukiteza, lekini lengo haswa la kufanya hivyo ni kwa ajili ya unzi ili kisije tumika na watu wabaya kwa lengo la kumdhuru mtoto
Mimi mtoto wakwanza nikipeleka kwa mama mkwe akasema tupa uvnguni mwakitanda mtoto wa pili nilikitupa chooni mtoto wa tatu nilikitupa chooni mtoto wa nne wifi yangu alikuwepo akasema ukitupe uvunguni hila wale wawili nivyo tupa chooni wakovizuri kifikira nijayanti niwatu wakujituma wkiujumla wakovizuri kuliko nilivyo tupa uvunguni mwa kitanda
Kuna watu wasema kitonvu kikiangua kwa chini ya uchi wa mott kaka ni wakiume atakua shoga au kama ni wa kike atakua anajikojolea kitanda je Dr imekaaje hii ni kweli au
Niimani potovu kwakweli kikitoka unatupa tu choon hakuna lakutokea ukijengea Iman kuwa itakuwa hiv hakika inakuwa lakin ukichukulia Kam uchafu mwingine hakuna kitakachotokea chochote maan kunakitu kingine watu husema kitovu kikidondokea sehem za sir Kwa mtoto huleta shida mmh bado mm hapo pia sitaki kuamin Kam kunaukweli ndani yake
Dr mi kwenye jamii ninayoishi wote wanafukia afu juu anapanda mgomba na akiwa wakiume kinafukiwa kimeangalia juu mtoto anakua na nguvu za kutosha sio poa tuheshim mila zetu jmn
Mimi naamini sehemu salama ni chooni, maana kitovu akichukua mtu mbaya anao uwezo wa kufanya vibaya, ni bora kitupia chooni tena ukipenda kabla ya kutupia unaomba maana ni sehemu ya mwili wa mwanao, huko amna anae weza kukifikia.
Mie niliambiwa nikitie kwenye chupa ya mafuta anayopaka mtoto hata mtu mbaya akija kuchukua hatamdhuru mtoto kwasabu asili iliyomo kwenye kitovu ameshajipaka mwenyewe
HaBari doctor, Me naomba unisaidie mwanangu ana wiki Moja toka nijifungue ila utosi wake audundi je ni tatizo gan
Kinawekwa kwenye zizi la mbuzi kinachamganyika na mbolea afu unafagia ile mholea unaweka kwenye mgomba shambani ule mgomba unaitwa mgomba wa mtoto ndizi ikikomaa hairusuwi kuuzwa tunapika tunakula😂 by eliza
Aiseeh 😃😃😃😃👍👍
Kwa kweli tukiangalia Mawazo mengi ya watu inaonekana kwamba KITOVU ni kitu cha kiimani sana,
Mimi kwa Upande wangu wa Imani--Baada ya kitovu kuanguka Unafanyia Maombi na kukikabidhi kwa Mungu kwa njia ya Maombi,
Then baada ya Hapo unakuwa huru kwa kufanya Chochote, (Utupe au Uifadhi) naamini Hakutakuwa na Madhara tena😊.
Okay
Kilipotea chenyewe yesu ni mlinzi.
😂😂
Amin
Kawaida kitovu kikotoka kinatakiwa kitupwe na siwara kila mtu kutambua kwa kama kuna watu wabaya wakakitumia katika faida zao
Okay 👍
Unakichukua unakifanyia maombi. Unafunga kila roho ambazo zinaweza kuinuka kwa mtoto kupitia kitovu kwa maombi kisha unakichoma moto
Okay 🙏
Abar doktar kitov kikatika na angali akijakauka vzur je ni vibaya
Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@@DrMwanyika mbona mm sioni. Iyo namba
Mwanangu mm kinatoa majimaji ila kimekatika
@ibrahimuwanchara4224 Kwenye profile picha hapo juu mkuu
mim mwananang ana miak3 ila ninach mpk leo nimekifung na kitambaa nimewek kweny beg la nguo ninaogop kukitupa wala kukifukia moyo wang hautak kabsaa bs huw nawaz nawez fukia kikafukuliw na wachawi
Okay kiache nguo humo humo
Habari dr mimi huwa nakifukia chini mana kitovu ndio maisha ya mtoto
Okay.
Dkt, je baada ya kitovu kukatika ni kawaid kutokwa na maji maji ?
Hapana
Sisi kweti hufukia lkn samahani Dtr mtoto wangu ana mwenzi mmoja na amemea mfano wa meno ndani ya mdomo
Nitumie picha WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Kitovu kifukiwe ktk mazingira yetu tunayotoka yaani nyumbani Kwa wazazi Kwa baba au mama kwani mtoto anafuata na anakua karibu zaidi na Ile seemu kilipofukiwa kitovu chake
Okay 👍
Dokta naomba uniambie kuwashwa na tumbo kwa mjamzito ni madhara au sio madhara?
Bonyeza link hii sikiliza video
ua-cam.com/video/GD9B2jn2uyo/v-deo.html
Mamaangu aliniambia niweke kitapotea cenyewe.hakuna mrinzi kama Damu ya Yesu Christo.
Amina ndugu 🙏
Thanks Dr Mwanyika kwa mafundisho yako
👍
Doct mtt wangu wiki ya tatu ajapona kitovu
@RechoProches Okay uende hospitali wakufanyie Uchunguzi
Naomba nisaidie doctor mtoto wangu ana miez miwil na wiki moja sasa lakin kitovu chake bado hakijakauka kinakuwa kam kidonda kibichi je shida inaweza kuwa nini??
Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Doctor mimi mwangu ana mwezi lakin ziwa lake upande wa kulia linatoa vimaji maji na nikibinya kuna kama kipeke itakua ni nini shida dokta
Kawaida una binya ili iwaje?
Na ika Kaa sawa tu
Mimi pia najifunza. Lkn pia Kuna Imani nyingine natamani sana kujua kuhusu kitovu. Wanasema wakati kinadondoka, kikidondokea kwenye uume wa mtt, mwisho wa siku anakuwa Hana uwezo wa kusimamisha uume. Hili nalo limekaaje?
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Kitovu Ni uchafu kwa Nini kitunzwe?? Tupa chooni acha Imani potofu
Shukrani Sana ndugu yangu ubarikiwe
Dr umri sahihi wa kumpa mtot mdogo maji ya kunywa ni upi?
Akisha funga miezi 6 ndugu yangu
Nilijifungua maziwa hayatoki daktar akanipa ushauri nimpe maji Yale ambayo umechemsha kwa usafi yakipoa unanywesha kijiko kimoja alhamdulillah maji ya kunywa kwa mtoto muhimu
@mwasitiabubakarAbdallah 🥴
Mungu wangu ndugu kilakitu niimani yako
Aminaaaaa ndugu yangu
Eti kitofu wakati wa kudondoka kikidondokea sehemu za Siri za mtoto anakiwa tasa?
Hapana
Dr.samahan mi mtoto wangu analia sana ucku shida ni nini??
Mchana halii?
Kitovu ukiweka vibaya mwanaume akalia anakufa ko nihatari unaweza gombana na mkeo akakufanyia vibaya ko nihatar
Sawa mkuu
Sisi tunahifadhi sehemu sarama Mana hatavito uvyetu mama arivitunza mpakasasa nakiramtoto chake kinafahamika natmezariwa watoto kumi
Okay
Kitovu kutupa chooni au dampo sio vzri inabidi kifukiwe ardhini kwasababu hakuna mtu atakaeju kam umefukia kitovu ten unavyofukia muwe watu wawili too
Sawa sawa ndugu yangu
Sisi kwwtu unatafuta kitambaa cheusi unakifunga unamfungia mwanao kiunoni kinasaidiwa hata kwenye magonjwa y dege dege na watu wabaya hawamfat mwanao" mm nasali lkn kitovu cha mwanangu lzima nimfugie kiunon wanangu wote had ile kamba ikikatika na chenyewe kimeisha
Okay 👍
Mimi ni mkristo, naamini kitovu kinamaana kubwa sana ktk maisha ya muhusika.
Kwahiyo sisi huwa tunamnunulia mtoto shamba tunakisaga kitovu tunachanganya na mbegu kisha tunazipanda mbegu shambani au unaweza kumnunulia kiwanja ukamjengea nyumba na kupanda mti wa matunda ukakishanganya pia na udongo wa ujenzi pamoja na mti wa matunda
Kwetu kitovu ni uhai na chakula pia hutukumbusha tendo jema la msaada tulioupata tulipokua tumboni nk
Amina ndugu yangu
Ss Huwa tuna tumia kama Kinga ya mtoto huzuia jicho kwa mtoto Huwa tunamfungia mtoto mpka atakapo fikisha miaka mitatu
Okay
Si Dr upande wetu tunakihifazi sehemu salama hatutupi
Okay
Barkiwa sana
Amina
Je n kawaida choo cheusi kwa mtoto mchanga wa siku mbili
Ndio
Dr kwetu tunakifukia na juu tunapanda mti
Okay
Mimi nilitupa ju ni uchafu hakuna kitu mtoi atafanya iyo ni imani ya watu
Okay 👍
Duuh msiniogopeshe
Haya
minatupaga tu atabomani kwenye ng'ombe misinaga imani yaovyo kikubwa nikumuamini mungu watu waache imaniza kizamani
Kabisa 👍
Mimi na swali dkt ukijifunguria nyumbani inatakiwa ufanyaj hudumia ya kwanza
Nenda hospitali haraka sana
Okey sawa
Tayar asha jifungua mtoto utaenda bir kukat kitov chake
@user-er8sf5pn8u Okay
Mm kwakweli sijui
Okay 👍
Dokta samahani ni wakati Gani mtoto mchanga anatakiwa kunyolewa nywelee asantee kwa kufundishaa kuhusu kitovu tumepataa uelewa je kuhusu nywelee nazo ?? Ipojee
Muda wowote kuanzia mtoto akiwa na wiki 1 kwenda juu
Jee doctor ukimwacha nazoo Kuna tatizo
Haina shida
Mi nilikitunza tu kikapotea chenyewe
Okay 👌
Dr sorry. Mm napenda Sana kula chips ivi ni kweli Kuna madhara yanayotokana na kula chips kwa wingi
Sikiliza video ya Ulaji wa Chips kwa Mjamzito ya Dr.Mwanyika
@@DrMwanyika sawa
@MwanaidMajani-dh5zc Okay
Mm najua kitovu unafukia hautupi choon walasehem nyonyete Zaid yakukifukia 😢
Okay
Niliambiwa na mama nitupe popote niache imani potofu kwamaani ss Walokole,, naizo imani kwamba ushiki tena mimbo so kweli me sahiv kijacho,,,,,,,,,,,,,,,,,,naomba kujua maumivu ya tumbo chini ya kitovo inasababishwa na nini kwa mama kijacho
Mimba ya umri gani?
Miez 3
Ni Hali ya kawaida mkuu yakizidi utaenda hospitali wakuchunguze sawa eeh
Sawa
Okay
Na vipi mbina kondo lanyuma linabaki hospitali
Ulitaka uondoke nalo?
@@DrMwanyika hapana nilitaka kusema kama linabaki hospitali na hatuoni shida kwanini tuoneshida kutupa kitovu Cha mtoto????
@AstedJoeltito Okay
Dr.kitovu kikianguka huwa kinachukua mda gani kufunga?wangu analia kinapanda
Fuatilia video zetu ndugu yangu kuhusu Ngiri ya Kitovu kwa Kichanga
Bora uchimbe shimo ufukie au kama nimtu washamba nenda ukakifukie huko huko shambani
Okay shukrani Sana ubarikiwe
Huku kwetu Zanzibar wengi wetu Huwa tunachimba kishimo kidogo tu na kukihifadhi
Okay
Mtoto alie tairiwa au tohara unamshauriaje?
Kuhusu nini?
@@DrMwanyikaAtari na faida ya ku tairiwa.
@annayambayamba8614 Okay
Sisi tunafukiaa chini
Okay
Mimi na kichomaga
Sijakuelewa
Mimi naajua unakiweka kwenye mgomba inakuwa mgomba unavyo stawi namtoto anaka ivo
Okay
Me nilitupa nyumban kwetu je! kunashida jamani
Mkuu Mimi nataka niwasikilize watu wa imani hapo maana mwenyewe Sina uhakika
Mm nimekua nikimuona mamà angu alikua mtoto akikatika kitovu aulikua anakitunza vizuri ndani ya kopo watoto wanakua wanakikuta nakukiona pia
Okay
mi nilikitupa chooni
Okay
Ni kiungo ambcho,kilisha isha kazi yake,,hivyo kichimbiwe ardhin,,au chooni,,ili wale wasshirikina wasiweze kukipata nakuendelea kukuitumia
Okay
Dr ultrasound Aina shida kufanya mara kwa mara,
Ndio Mkuu
Warangi wanatupa kwenye boma tu ngombe😅😅
Ety eeh 😁😁😁
Et doctor ni kweli kitovu cha mtoto kikiangukia kwenye sehemu yake ya siri kama ni mtoto wa kiume baadae hataweza kusimamisha?
Fuatilia video zetu hapa UA-cam
Sisi tunawekaga to kweny mafuta ya mtt anayopaka kinayanyuka humo humo akiwa anapaka
Sawa sawa
Je, kitovu kinapokaribia kukatika hutoa harufu kali?
Hapana ndugu
@@DrMwanyika kwa hiyo ya faa niende tuu hospital?
Ndio
Hakina kazi ye yote kikishatoka ni cha kutupwa tu na hakina umuhimu wowote tena
Okay
Dr Mimi Nina watoto tano ila kitovu natupa tu
Okay
Tukiachana na iman nivizur kiungo chochote cha mwanaadamu kistirie kwani kuonekana pia sio vizur
Okay
Kaka naomba namba zaki
Kwenye Profile picha hapo juu mkuu
kitovu kinafukiwa sehemu ambayo imetulia sana ambayo haina pilika pilika kama vile ktk mgomba katikati na mtu asikuone
Okay 👍
Docter naomba nisaidie mwanangu anawiki moja na siku mbili kitovu kimedondoka baada ya siku ya tatu lakini nimekaa siku tano kinatoa vidamu kidogo apa kwenye kitovu tatizo nini
@zawadipeter8333 mpeleke hospital akafanyiwe Uchunguzi
Mimi mamaangu mkwe aliniambia nikakitupe mtoni anasema hata yy alikuwa anatupa mtoni pia ambako mto huo maji ayakauki miaka nenda miaka rudi
Okay
Namutoto kulia usku Nini tatizo
Message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Dokt me naujauzito wa miez 7 mtoto anacheza sawa lakin tumbo langu lipo kawaida to halionyesh kama na mimba...ispokuwa kuna mda kama usku ndo linakuwa... lakin mda mwingi linarudi kawaida...je nitakuwa na tatizo lolote?
Unavyosema kawaida una maana gani?
@@DrMwanyika yan tumbo siyo kubwa...halionyeshi kabisa kama na mimba ya miez 7 na ule msta wa tumbon sina hauonekan kabisa lakin..naskia mtoto akicheza....je nn shida ya tumbo kutokuwa kubwa kama wajawazito wengine ila mm nimarayangu yakwanza kubeba mimba.
Dada acha kujifananisha na watu wengine tumbo lako ni tumbo lako tu haliwezi fanana na wengine
@@DrMwanyika sawa nimekuelewa inshaallah
Amina
Kitofu ukizika sivibaya ukihifathi kwa tiba inafaa zaidi hapa duniani kilakitu nitiba nywele nitiba mavuzi nitiba kikwapa tiba kucha tiba uchafu wa wakitofu tiba nk Sasa basi kitofu hutumika kwakupendwa kama mtoto anvyopendwa hakuna anaye chukia mtoto mchanga huyo anakuwa mchawi kitofu nitiba ya majipu nk kwahiyo ukitupa sawa Tena mbali uki hifathi nivizuri zaidi wenu mtaalam wa tiba asilia tukiungana na tiba za kisasa ufumbuzi zaidi kwa kuwanusuru wangonjwa wetu
Amina ndugu yangu
Dr mm niko nje ya mada ya kitovu, nina swali, kuna mahusiano gan ya ukiwa unanyonysha harafu maziwa yakawa yanauma yanavuta vuta kama visindano inakuwa ni nini?
Hali ya kawaida ndugu yangu hiyo kwa mtu anayenyosha!
Hii naona imesimama kimila zaid kila sehemu wana mila zao wengne wanafanya hadi sherehe za kimila kama kupika pombe za kimila na kukizika kile kitovu,ila mm naona ni busara kukizika kipande kilichodondoka maana ni sehemu ya mwili
Ila mm Dr naomba unijuze ,Je ni kweli kuwa ulaji wa udongo kwa mama mjamzito hupelekea kupungua kwa damu mwilini???
Okay
@@DrMwanyika ni kweli dr ulaji wa udongo hukausha damu kwq mama mjamzito??
Bonyeza link hii sikiliza video
ua-cam.com/video/PS4kfQKeQu8/v-deo.html
Wangu ako na miezi miwili na bado kimefura dokta
Okay
Wengine wanamila zao zakufukia kitovu
Okay
kwaimani yangu mi hua no na tupa chooni
Okays
Kuna nyumba nilipanga wakati Fulani Kuna mpangaji mpare alijifunguwa mtoto wa kike ila kilicho nishangaza kile kitovu kilileta ugomvi mkumbwa mnooo,upande wa mwanaume wanataka kitovu wanasema kinatakiwa kuzikwa kwao,wao ni waruguru wa mgeta na mpare anasema kitovu kinazikwa Kwa mwanamke mpaka ndugu wa mwanamke upareni wakaja kukichukuwa kwanguvu na kurudi same
Aaaah aiseeeh pole yao ndugu yangu
Hahaha jamn nmecheka kipare ndo tulivyo wapare ila kama wakwe zako sio washirikina 💯 unaweza kuwapa wakwe ila kama wakwe zako hawaelewek bora nikimeze dadeq.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😄😄😄
Doctar mtoto wangu anapata choo kigumu sana
@lizmwosha4298 Pole sana message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu
Doctor hbr na Kama kitovu kinatoa harufu Ila bado kuanguka unafanya nn doctor je unaweza kumpaka spirit manaa kina unyevu unyevu?
Mpeleke hospitali wamchunguze ndugu yangu kwanza
Hello, ulifanikiwa ndugu?? Maana na mimi ndo tatizo ilo ilo lipo kwa mwanangu
Okay mpeleke hospital akafanyiwe uchunguzi ndugu yangu
Doctor na tunaojfungua🎉 kwa operation tunaruhusiwa kufunga tumbo
Naomba usikilize video zetu hapa UA-cam
Samahn doctor, froup la whatsp najiungaje?
WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Sisi kwetu tunafukua katika mti unaozaa na alikichukua mama sana sana mgomba ili asipate shida ya uzazi ukubwani
Amina ndugu yangu
Ndokita mm mwanangu alikunywa maji machafu tumbon ipi timba yk nisaidie
Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Mimi hutupa chooni au nakichanga na taka zingine nakichoma nakukiteza, lekini lengo haswa la kufanya hivyo ni kwa ajili ya unzi ili kisije tumika na watu wabaya kwa lengo la kumdhuru mtoto
Okay 👌
Dr me mtoto angu anamiezi sita but ngozi ake inakuwa na vipere vidogo kama vya joto na badae anakuwa anatokwa na kama ngozi ya juu naomba msaada
@samorastephano1322 Pole sana message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
mtoto wangu wa tatu nilichimba shimo nikafukia hawa wawili sijui vilipotea tuuu
Aiseeeh pole sana ndugu yangu
Watu wengi wanakihifazi
Okay
Dr samahani, mwanangu leo siku ya 11 kitovu hakijakatika na kinatoa viusaha kwa mbali? Nifanyaje Doctor??
Mpeleke hospital akafanyiwe uchunguzi na Daktari
@@DrMwanyika sawa sawa
Okay
@@DrMwanyika docta samahan eti nikweli kbs siku ya 13.. na siku ya 14 ndo siku yakupata mtoto wa kiume..??? Natamani mno
@annambunda6601 Nadharia tu hizo unaweza fanya na usipate wa kiume 😄
Mi mwanangu anamwaka na miez2 hana jino ata moja shida nn Dr
Nitumie message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Namba yako naipataje
Iko Iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Tunatupa choon
Okay
Mimi huwa nafukia
Okay
Mi watto wangu wa tano nilitupa chooni2
Okay 👌
Doctor cha mtoto wang anasiku ya saba kitovu chake akijakatika bado
Tafadhari sikiliza video 👆
Mimi mtoto wakwanza nikipeleka kwa mama mkwe akasema tupa uvnguni mwakitanda mtoto wa pili nilikitupa chooni mtoto wa tatu nilikitupa chooni mtoto wa nne wifi yangu alikuwepo akasema ukitupe uvunguni hila wale wawili nivyo tupa chooni wakovizuri kifikira nijayanti niwatu wakujituma wkiujumla wakovizuri kuliko nilivyo tupa uvunguni mwa kitanda
Okay 👍
Mm kitonvu cha mwanangu kilianguka chenyewe na kikaishia ivyo ivyo wakati natoka hospitali kikaanguka na sikukiona tena
Okay
Kuna watu wasema kitonvu kikiangua kwa chini ya uchi wa mott kaka ni wakiume atakua shoga au kama ni wa kike atakua anajikojolea kitanda je Dr imekaaje hii ni kweli au
@Ashanty-fb7su Hakuna ukweli wowote ndugu yangu
Niimani potovu kwakweli kikitoka unatupa tu choon hakuna lakutokea ukijengea Iman kuwa itakuwa hiv hakika inakuwa lakin ukichukulia Kam uchafu mwingine hakuna kitakachotokea chochote maan kunakitu kingine watu husema kitovu kikidondokea sehem za sir Kwa mtoto huleta shida mmh bado mm hapo pia sitaki kuamin Kam kunaukweli ndani yake
Sawa ndugu yangu ni kweli
Kiukweli me nilitupa chooni
Okay
Dr mi kwenye jamii ninayoishi wote wanafukia afu juu anapanda mgomba na akiwa wakiume kinafukiwa kimeangalia juu mtoto anakua na nguvu za kutosha sio poa tuheshim mila zetu jmn
Okay 👍
Mimi naamini sehemu salama ni chooni, maana kitovu akichukua mtu mbaya anao uwezo wa kufanya vibaya, ni bora kitupia chooni tena ukipenda kabla ya kutupia unaomba maana ni sehemu ya mwili wa mwanao, huko amna anae weza kukifikia.
Amina sana ndugu yangu ✅
Mie niliambiwa nikitie kwenye chupa ya mafuta anayopaka mtoto hata mtu mbaya akija kuchukua hatamdhuru mtoto kwasabu asili iliyomo kwenye kitovu ameshajipaka mwenyewe
Okay hongera sana
Mimi ninawatoto wawili lakin sikumbuki nakitupiaga wapi kwakweli
Okay
Kama hakijakauka vizuri na ana miezi miwili afanye???
Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Kwetu burundi tunakihifadhi vizuri ikitokea mtoto anaumwa macho au mtu mzima unavhukuwa kitovu kile unapitisha kwenye macho mgonjwa anapona
Okay
kuna wengine wana wana wafungia mukononi ili iwekinga kwa mutoto kukitoa hadi miaka mitano
Sawa sawa
Sorry mwanangu ana wiki kitovu kimeshakatika ila bado kinatoa harufu pia akijakauka naweza kumpaka spiit
Mpeleke hospital akafanyiwe uchunguzi na watamuandikia Dawa