Niliota nimenunua slippers za red za watoyo wangu na wa shemeji nikiwa nawaelezea mwenye ako na tabia mzuri ndio atapewa mmoja yao ambaye sai ni marehemu akasema anza na sisi wakubwa wengine wangoje utawaletea zao,niliona miguu yake nikawa anataka kumvalisha hizo slippers na nikaamka usingizin maana ni nini
Amen
Bwana yesu asifiwe, mtumishi niliota my first born amekufa na babayake ndio anashugulikia mashishi yake na mtoto Ako sawa shuleni Ina maana gani