Part 3_USHUHUDA WA MTANZANIA ALIYEKUFA NA KUFIKA MBINGUNI KISHA KUREJEA DUNIANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 277

  • @favouredbygod4163
    @favouredbygod4163 3 роки тому +26

    Jactan na timu yako mnafanya kazi kubwa ya Mungu kuwafikishia watu wa Mungu ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu. Msisahau kuombea kazi hii maana adui hapendi. Ushuhuda ni silaha kubwa ya kiroho kwa watu wa Mungu maandiko yanasema walimshinda kwa damu ya Mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @omaebarongo1892
    @omaebarongo1892 3 роки тому +4

    Mafunzo mazuri Sana Mwenyezi Mungu atuelekeze na kutuzaidia tuende mapenzi yake

  • @janesuday4175
    @janesuday4175 3 роки тому +7

    Kaka jactan kazi yako ni njema sana Mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @magrethedson7445
    @magrethedson7445 3 роки тому +20

    Ninawaombea watazamaji wenzangu waliosikia na kutazama ushuhuda huu mpaka mwisho, wote kwa pamoja tumwamini huyu Yesu Kristo kwa kumaanisha maana yeye ndiye njia pekee ya uzima wa milele, ili siku moja tukaishi naye katika ule Ufalme ujao.

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 роки тому +4

    Amen!!! Nimebarikiwa sana na ushuhuda huu jmn!!!

  • @florakalumbilo6206
    @florakalumbilo6206 3 роки тому +2

    Kwa kweli huu ushuhuda ni fundisho kubwa sana Mungu tusaidie ili tuweze kuishi maisha matakatifu ili mshitaki wetu asiweze kutushtaki.

  • @daniele.kossan5994
    @daniele.kossan5994 3 роки тому +9

    Nimefurahi sana ujumbe huu maana nimepata kitu kikubwa.

  • @selemanmwaisela4733
    @selemanmwaisela4733 3 роки тому +1

    Ameni 🙏🙏🙏 ubarikiwe mtumishi kwa kutufundisha

  • @kashindyedaudkisinza183
    @kashindyedaudkisinza183 3 роки тому

    Mungu akubariki ufanye Kaz ake kikubwa kuombeana ktk safar hii in gmu sana bila kuongoxwa na ROHO wa mungu hatuwez

  • @nestorypeter8127
    @nestorypeter8127 3 роки тому +2

    Mungu nimwema nimejengwa pakubwa nami namtukuza mungu

  • @beatricelucas7936
    @beatricelucas7936 3 роки тому +2

    daah mtumishi ata nguvu yakuandika chochote nakosa kumbe mimi sikitu kwa mungu sijaona nilofanya zuri mbele ya mungu nahitaji niitafute njia yake kwa nguvu zote asante mungu kwa hiki nimefunguliwa hakika

  • @michaelkibonaofficial9150
    @michaelkibonaofficial9150 3 роки тому +6

    Aiseeee Amejibu vema sanaa swali la kwamba je? Ni sauti gani alikuwa anaisiki....yan amejibu vemaaaaaaaaaaaa hakika ni Bwana

  • @emmanuelfrancis4777
    @emmanuelfrancis4777 3 роки тому +3

    Ameni nimefurahishwa na ujumbe huu umenijenga maana unaelezea habari za mbingu maana mambo ya dunia ni ubatili

  • @paulojohn2580
    @paulojohn2580 Рік тому +1

    Amen

  • @frolacharles6788
    @frolacharles6788 3 роки тому +7

    Mungu Akubariki sana nimejifunza vitu vingi sana

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому +1

    Jamani Mungu anatupitisha njia nyingi

  • @fefedordjuma7093
    @fefedordjuma7093 3 роки тому +5

    Machozi yamenitoka 😭😭😭😭 japokua ni mkristo nawaza haya mapambo ya mwili je nikifa itakuaje Mungu wangu nisaidie baba unipe mwisho mwema 😭😭😭😭😭 atakae soma ujumbe huu anisaidie kwa maombi niachane na mapambo ya mwili 😥😥😥😥

    • @nandafaraja7501
      @nandafaraja7501 3 роки тому

      Inawezekana maana mambo ya mwili hushindana na roho ni lazima kuushinda mwili

    • @selemanmwaisela4733
      @selemanmwaisela4733 3 роки тому +1

      Ameni. Mungu ni mwema yawezekan kamtuma mtumishi kwa ajil yangu mim na wew na mwingine . Ni vyema sas tubadili njia na mienendo yetu tusijisahau na kujiona dunian hapa ni kwetu tumefika. Neema ya bwana na iwe juu yetu

    • @anethkabelinde5350
      @anethkabelinde5350 3 роки тому

      Tunayaweza yote katika yeye atutiae nguvu

    • @sheillahwairai4691
      @sheillahwairai4691 3 роки тому

      Soma romans 8:1- the last line. Mungu awe nawe na akupetamanio la moyo wako.

    • @happywillim579
      @happywillim579 3 роки тому

      Mungu akupe tamanio la moyo wako, mungu tupe mwisho wetu mwema Amen

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 Рік тому +2

    Amen,Mwenyezi Mungu akubariki sana mchungaji.🎉❤

  • @violachelangat7411
    @violachelangat7411 3 роки тому +7

    Thanks brother to give us another chance kupenda mungu saidi,, may God bless you and your family members

  • @alinefeyi6731
    @alinefeyi6731 3 роки тому

    Asante Mungu akubaliki kwa ujumbe huo tumebalikiwa

  • @mc-vick-p4615
    @mc-vick-p4615 3 роки тому +7

    Mungu atusaidiye tushinde majaribu ,kwasababu roho ni radhi lakini mwili ni zaifu.

  • @carokobaai5372
    @carokobaai5372 3 роки тому +5

    A big amen, tumebarikiwa kabisa na tumejifunza mengi amen.

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 3 роки тому +11

    Ushuhuda wa nguvu sana,Mungu akubariki.

  • @paulinekamau7618
    @paulinekamau7618 3 роки тому +5

    Nimejifunza kusaidia wenye hawana au wanaotuomba msaada tuwasaidie.mungu tusaidie kusaidia.namalipo ni hapa hapa.

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 2 роки тому +4

    Ushuhuda huu nilishausoma sasa nimeisikiliza na kumuona mwenyewe kupitia promover na mtumishi Jactan Msafiri mbarikiwe wote imenupa nguvu ya kuzimu kutengeneza maisha yangu na kuwasaidia wahitaji na kufanya kazi ya Mungu na kusoma neno la Mungu na kulitafakali na kuliamini na kuliweka kwenye matendo na kubatizwa maji mengi nk

  • @queenmwaweya9691
    @queenmwaweya9691 2 роки тому +2

    Mungu akubarik mtumishi kwa ushuhuda mzur umefanya niipende kazi yamungu na niifanye kwa bidii mungu nisaidie kumaliza vyema kama nilivyoanza

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 3 роки тому +4

    Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @klo8580
    @klo8580 3 роки тому +4

    Nimejifunza mambo mengi asanteni sana pastor jactan

  • @philiprupia6076
    @philiprupia6076 3 роки тому +5

    Duniani hata kama ungeish miaka mia14:20 300..lkn ile siku ya mwisho ni mbaya sana kwa mwenye dhambi na ni nzuri kwa aliye okoka(big point my Brother)🙌🙌🙌

  • @harrietkiden7808
    @harrietkiden7808 Рік тому +3

    Very young Pastor, but deeply rooted in Jesus👏🏼👏🏼🙏🏽🙏🏽

  • @barakamanu1514
    @barakamanu1514 2 роки тому +3

    asante kwa ushuhuda ndugu Jacktan. Nimetiwa moyo kwamba alipokuwa anajitoa kuwafundisha wengine Neno, mbinguni walifurahia na kunakili juhudi zake zote. Hata wewe Jacktan ujue kwamba unachokifanya kinathaminiwa sana mbinguni. Tungesubiri wachungaji pengine wasingewapatia watu hawa muda wa kutosha kama unavyofanya.

  • @drrahaburubago6303
    @drrahaburubago6303 3 роки тому +7

    Mimi nimekuelewa sana hujaongopa hata kitu kimoja. Ukiona na wewe umeelewa na umeamini basi hata wewe ni mteule, sina cha kujazia ila amini tu mbingu ipo na uzuri hakuna mfano. Shida ni tu "mpweke" unakuwa unawapna ndugu Zako huku Duniani utatamani kurudi uwahuburi ila hutWeza

  • @patrickalexander1177
    @patrickalexander1177 3 роки тому +6

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu, kwa maana kwa utumishi huu umewafungua macho wengi sana, umenifanya hata mimi niifanye kazi ya Mungu kwa bidii kwa maana imeandikwa "Amelaaniwa yule aifanyaye kazi ya Bwana kwa ulegevu" Ooh ahsante sana Bwana Yesu kwa kunipenda hata nimepata kuona na kusikiliza ushuhuda huu, jina lako litukuzwe na kupewa sifa milele, Amen.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 роки тому

      Na mimi nikiwemo,maana nilianza kukata Tamaa

    • @happykazungumenzamenza1277
      @happykazungumenzamenza1277 11 місяців тому

      Amen Amen ubarikiwe Kwa ujumbe Mzuri wakutuelimisha nakutuhimiza Tuzidi kudumu Katika wokovu nautakatifu

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 3 роки тому +6

    John 11: 25-26 Jesus said to her, I am the resurrection and the life, those who believe in me will live, even though they die; and those who live and believe in me will never die. Mungu alikurudisha ilikupitia ushuhuda wako wengi waokoke and so that you may countine preaching His Gospel. JESUS your able.

    • @joybek1614
      @joybek1614 3 роки тому +1

      Huyo atusaidie kuhusu kujiremba kwa Wamama ni sahihi?

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 2 роки тому +4

    Ushuhuda huu umetufungua wengi sana. Mungu awabariki sana wapendwa

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 роки тому +8

    Asante kwa ushuhunda umeniwezesha kujiadaa jinsi nitachunga laini zangu na Mungu nisimukosee na aniwenzeshe in Jesus Name Amen

  • @sautiyayesuministry7172
    @sautiyayesuministry7172 3 роки тому +5

    Amina ubarikiwe sana Kwa kweli cjui nisemejeee zaidi MUNGU atuongezee nguvu tuyashinde ya duniani

  • @eunicepilly802
    @eunicepilly802 3 роки тому +3

    Nimejifunza sana Mungu anisaidie ubarikiwe sana Mtumishi

  • @rabecamapunda6389
    @rabecamapunda6389 10 місяців тому +1

    Unaushuhuda mzuri,
    Lakini njoo hapa,
    Matendo 2:37-39
    Matendo 8:14-17
    Matendo 10:47-48
    Matendo 19 :1-7.
    Ndio ubatizo sahihi,
    Utubu kisha ubatizwe katika jina lake Yesu Kristo, ili upate undoleo la dhambi zako. Ubatizo wa maji mengi.

  • @edwardsinkonde9878
    @edwardsinkonde9878 2 роки тому +2

    Ubarikiwe mtumish mungu akutie nguvu

  • @celinenene7974
    @celinenene7974 3 роки тому +2

    Amen Kaka Mungu akubariki unaninjenga sana Mungu akubarikisana unaneemakweli unanifuza mengi sana

  • @julianajoseph5772
    @julianajoseph5772 3 роки тому +2

    Ubarikiwe sana, nimejifunza kitu

  • @SamuelTV218
    @SamuelTV218 2 роки тому +1

    KIJANA ! KWELI UNAFASIRI MAMBO YA KIROHO VIZURI SAAANA !!!!!! IYO NI KWELI

  • @deogratiousfaustina375
    @deogratiousfaustina375 3 роки тому +6

    Nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 3 роки тому +4

    Kwel mkono wa MUNGU ni mkuu sana!💪💪💪💪💪💪

  • @janeysemagogwa2670
    @janeysemagogwa2670 2 роки тому +1

    Nimejifunza kitu🙏 Mbarikiwe sanaa

  • @daemmy3685
    @daemmy3685 3 роки тому +2

    Mungu 🙏🙏🙏 aturehem na atusaidie kufanya mapenzi yke

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 2 роки тому +2

    Kwa yeyote ausikiaye ushuhuda huu na apate kuamini kuwa yesu nimuweza wa yote.

  • @geniegesture9432
    @geniegesture9432 3 роки тому +1

    Jesus is lord....naye ndiye njia ya kufika mbinguni

  • @marthajackson8667
    @marthajackson8667 2 роки тому +1

    ndungu zangu kejeli hazitatufikisha popote wewe ukipinga wapo watakao kubali hata yesu alikataliwa tena wakamkejeli sana kama mnavyo mkejeli huyu. kaka songambele!!

  • @olooasa3478
    @olooasa3478 5 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi umenijenga sana,Mimi pia sikufa Bali nilipelekwa juu nikakuta watu wanachomwa sana hakika tunahitaji wokovu wa kweli,mungu atusamehe sana

  • @flourishing_wilderness6072
    @flourishing_wilderness6072 10 місяців тому +1

    Mungu ni yuleyule jana leo na hata milele. Hatabadilisha standard zake za utakatifu na haki ili aweze kuaccomodate kizazi flani na style zao za maisha. Mungu tusaidie tufikie mwisho mwema

  • @mwajumamasumbuko2170
    @mwajumamasumbuko2170 3 роки тому +6

    Tunajifunza jamani eeh

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 3 роки тому +3

    Jactan kazi yako n njema mnooo

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 3 роки тому +3

    Mungu atusaidie tuishi maisha matakatifu yanayo mpendeza yeye, ubarikiwe kaka endelea kumuamini na kumtumikia Mungu katika jina la Yesu Kristo

  • @elizabethmuthike9623
    @elizabethmuthike9623 3 роки тому +8

    Huu ushuuda umenijenga sanasana

    • @maggyjefwa7552
      @maggyjefwa7552 3 роки тому +1

      Ushuhuda huu umenifunza mengi na Mungu anisaidie kutambua sauti ya Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu awabariki sana

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 3 роки тому +6

    AMEEN USHUHUDA WAKUTUJENGA..MUNGU TUREHEMU TUFANYE NAKUFWATA YALIYO HAKI

  • @ruthstephen2791
    @ruthstephen2791 3 роки тому +2

    Amen. Mungu akumbuke utumishi wako Jacktan. Ubarikiwe

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +3

    Nimejifunza kwa kweli unacho kifanya hapa duniani ndio ticket yako ya kukupeleka wakati wa mwisho

  • @janesuday4175
    @janesuday4175 3 роки тому +3

    Mungu awabariki watumishi huu ushuhuda umenihamisha sehemu moja kwenda nyingine,Mungu anisaidie na atusaidie tuyaishi mapenzi yake.ni hasara sana kuikosa mbingu.

  • @annstersianganga6772
    @annstersianganga6772 2 роки тому +1

    Kwa yoooote nasema Mungu atukuzwe asante kwa kushea ma sisi. No mimi kutoka Kenya

  • @anethkabelinde5350
    @anethkabelinde5350 3 роки тому +1

    Hapa KWENE sauti hata Mimi nikimlilia Mungu kwa jambo flani jibu linakuja bila kuelewa limekujaje na unasikia sauti inakusemesha kabisa..Roho mtakatifu n mwema sana..mda mwingne ukikutana na gum mpk unashindwa ufanyeje Mungu antoa maelekezo ch kumfanya..sema watu wengi hatujui kupambanua sauti Ila Mungu anasa nasi Sana

  • @sophianahinja1018
    @sophianahinja1018 3 роки тому +2

    Asante mungu kwa ushuhuda huu nimejifunza kitu.Amiin

  • @jack-mx8et
    @jack-mx8et 2 роки тому +1

    Ameen, namini kwa jina la Yesu nimejifunza nimebrikiwa

  • @noelsanga6711
    @noelsanga6711 3 роки тому +2

    Hallelujah hallelujah hallelujah Amen..

  • @eleonorandole9244
    @eleonorandole9244 3 роки тому +1

    Duuuh ni ajabu sana......inaogopesha

  • @priscillambingu7399
    @priscillambingu7399 3 роки тому +1

    Nikweli sauti iko nakumbuka mimi nikiwa mdogo niliitwa na. sauti kubwa sana ikiniambiya kunanyoka itatuuma iko ndani sauti iliniita maratatu sauti yakutisha kubwa ikaniita mara tatu ikanisukuma niende kwenda dani nikaona nyoka kubwa nikapiga nduru sana nikiitaji msaada na huko ilikuwa msitu kulitokeya mzee anaiuwa na akaenda zake kwahivo mungu yuko kweli

  • @florencemuasya2629
    @florencemuasya2629 2 роки тому +2

    Jina la bwana libarikiwe sana mwenyezi mungu ni mwaminifu 🙏

  • @shadrackjames108
    @shadrackjames108 3 роки тому +2

    Amina mtumishi nimebalikiwa kupitia ushuda ubalikiwe

  • @mariamkisoma1988
    @mariamkisoma1988 3 роки тому +2

    Amen, nimebarikiwa na nimejifunza mengi sana kupitia huu ushuhuda

  • @kashindimwaliasha9546
    @kashindimwaliasha9546 3 роки тому +4

    My Lord Jesus Christ be with you my brother. Ushuhuda wako humenisaidia naamini ninakwenda ku correct Yale nilikuwa sifanyi

  • @sifandayishimiye1929
    @sifandayishimiye1929 7 місяців тому +1

    Yesu nibwana

  • @josephenemuthuri5351
    @josephenemuthuri5351 Рік тому +1

    Barikiwa sana kaka , Mungu akulinde

  • @NasraMrisho-z4o
    @NasraMrisho-z4o 4 місяці тому +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @luckylucas2125
    @luckylucas2125 3 роки тому +4

    Bwana Yesu asifiwe sana kwa kazi zake kubwa.. Nimefurahi kuskia maneno mazuri

  • @Priscakihiyo4352
    @Priscakihiyo4352 3 роки тому +5

    Ameeeeeeen kubwaaa kwa Mungu mweza wa yote 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @pastorjamesmajaliwa7843
    @pastorjamesmajaliwa7843 3 роки тому +4

    Ubalikiwe Sana mtumishi maana kwaayo umenipa kusonga mbele na kuwamini na kuishi maisha matakatifu na kuendelea kutumika katika nguvu mpya

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 2 роки тому +1

    Ushuhuda mzuri sana 🙏 wakunifanya nizidi kumtumaini MUNGU wambinguni 🙏🙏 ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU wambinguni 🙏

  • @happywillim579
    @happywillim579 3 роки тому +2

    Mungu tupe mwisho wetu mwema Amen

  • @sweetberthacharles6960
    @sweetberthacharles6960 3 роки тому +3

    Hallelujah utukufu kwa Mungu aliyeumba mbingu na Dunia 🙏

  • @pauloropian8116
    @pauloropian8116 3 роки тому +6

    Glory be to God of Israel.

  • @doreenmgiz5213
    @doreenmgiz5213 3 роки тому +3

    N/B Utakatifu na haki ndio password

    • @aikamhehe2907
      @aikamhehe2907 3 роки тому

      Kabisa sasa umenifungua akili aiseeee asante sanaaa nilikuwa nikitafakari bira majibu🙏

  • @marympemba1829
    @marympemba1829 3 роки тому +3

    Tunashukuru kwa ushuhuda mzuri unaofundisha sana 🙏🙏

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 роки тому +3

    Eeeh Mungu nijalie mwisho mwema wa matendo mema 🤲🤲🤲🤲🤲😢😢😢😢

  • @joylynenalija4795
    @joylynenalija4795 3 роки тому +4

    Amen,nashukuru sn kwa ushuhuda mzur kaka Jactan. Nmeuckiliza kuanzia mwanzo,nmejifunza mengi ikiwemo utoaji,kusaidia wenye uhitaji,kutimiza mapenzi ya Mungu hapa dunian lkn pia kujikana na ya ulimwengu huu ili kuupata uzima wa milele na kwamba hakuna andiko litakalositirika,haki itatendeka cku ile🙏

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 3 роки тому +9

    Sio sauti kwa maana ya sauti bali ni “fikra”. Sauti ya kifikra inakuwa. Yaani unawaza jambo halafu ghafla unapata wazo kuwa fanya kitu fulani ndio inakuwa sauti.

    • @josephmpemba8004
      @josephmpemba8004 3 роки тому +1

      NDUGU KUNA SAUTI YA NDANI NA FIKRA. HIVI NI VITU TOFAUTI. FIKRA ZINAKUWA NDANI YA AKILI NA ZINATOKA MOYONI. SAUTI YA NDANI INATOKA KWA ROHO MTAKATIFU NA INAPITIA KWENYE DHAMIRI YA MTU. MSIKILIZE ANAYESEMA MAANA ANASEMA KUPITIA EXPERIENCE YAKE KIBINAFSI. ANAVYOSEMA NI KWELI.

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 3 роки тому

      JOSEPH HIZZA roho mtakatifu ndio huyu huyu aliyewafunulia watu kuandika biblia? Wakaandika mpaka habari za manabii kulala na wake za watu? Jifunze kujua maana ya nafsi. Nilisema sauti ya kifikra ila sikumalizia. Sauti hiyo huletwa na nafsi kwa uwezo wa Mungu.

    • @paschalhoya2489
      @paschalhoya2489 3 роки тому

      asante sana

  • @jeremiahkausi2987
    @jeremiahkausi2987 11 місяців тому +1

    True story am blessed

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 роки тому +4

    Amina Mungu azidi kututoa gizani na kutufungua ufahamu tuzudi kumtumikia 🙏🙏🙏

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +2

    Eee Mungu nirehemu nifanye mapenzi yako

  • @theresiakasambala4080
    @theresiakasambala4080 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi kiukweli nimebarikiwa sana

  • @patrickalexander1177
    @patrickalexander1177 3 роки тому +9

    Nimefuatilia ushuhuda wake mpaka hapa nilipofika aisee amenibariki sana na amenifanya nianze kuzitafakari njia zangu. Jamaan Mungu yupo na kuna maisha baada ya kifo, tafakarini njia zenu.

  • @christinajmnkenyi724
    @christinajmnkenyi724 3 роки тому +1

    Je hiyo screen inaonesha mema tu??

  • @drnow1528
    @drnow1528 3 роки тому +3

    Kwa wastani watu 9000wanakufa kwa kila dakika jee mlango ni huo huo?

    • @estherkoya8410
      @estherkoya8410 3 роки тому

      Kwa mwanadamu haiwezekan lakin kwa MUNGU yote yanawezekana

  • @AlfaSanga
    @AlfaSanga 3 роки тому +14

    Mwenye masikio na asikie, Amina.

    • @imki8031
      @imki8031 3 роки тому +1

      Jina labwana nalihimidiwe

    • @orverfredy2694
      @orverfredy2694 3 роки тому

      Amina, yaani ninavo soma baadhi ya comments naona shetani alivyo funga watu jamani dah.😔😔😔

  • @PauloKatelanya
    @PauloKatelanya Рік тому +1

    Ubalikiwe

  • @bikyeobewalo8730
    @bikyeobewalo8730 3 роки тому +4

    Asante sana mtumichi unajuwa kuelewecha mtu na akaelewa🙏❤

  • @medardjackson9155
    @medardjackson9155 3 роки тому +4

    Leo nimekuwa na ibada njema huu ushuhuda nimefuatilia tokea mwanzo umenifungua sana

  • @theunstoppabletips
    @theunstoppabletips 3 роки тому +4

    Amen,,hakika nimebarikiwa sana na uchumbe huo

  • @mmma6210
    @mmma6210 2 роки тому +1

    Amen

  • @waithirajohnny6502
    @waithirajohnny6502 3 роки тому +3

    Wooow thenkyou so much...I'm so much edified... God bless you & Rich out to many more in Jesus Name 🙏