MBARIKIWA AMVAA IPM KWA KUTANGAZA ITIKADI ZA UGANGA KANISANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 2 місяці тому

    Huyo mtume IPM ni mganga wa kienyeji anayetumia kanisa,ni sawa na yule kiboko ya wachawi!! Mbarikiwa wewe ni mtumishi wa Lord Jesus Christ 🙏 Blessed.

  • @raphaeledson2002
    @raphaeledson2002 2 місяці тому

    Amina baba

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 2 місяці тому +1

    iPm is one of I'm proud to be.... members, who recognizes himself as Christianity, but for sure, he is for his interests over ignorant christians who don't use their time to read and understand bible scriptures, they believe in man miracles rather than in divine power.

  • @Petitejollie
    @Petitejollie 2 місяці тому

    Aliposema Yesu sio baba yetu wa Imani nimeishia kushangaa daaah aiseee!!!Mungu wangu

  • @Dolkasidanieli
    @Dolkasidanieli 2 місяці тому

    Huyo i.p.m nikanjanja katumwa wakala wakuzimu

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 2 місяці тому

    Huyo ni muislamu, njaa ya maisha ndio imemuleta kanisani ndio maana anafundisha ibada ya sanamu maana kwenye uislamu kuchinja ni ibada yao takatifu.

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 2 місяці тому

    IPM ni jinga kabisa, amekuja kutupotosha wakristo, ajirekebishe kabla anguko kuu halijamkuta

  • @wizebiligetwaziri5540
    @wizebiligetwaziri5540 2 місяці тому +1

    Nikushindwa kwako kumuelewa hizo nimila Zipo kwenye bibilia kuchinja ama kafara nijina lina kusumbua kama anawashawishi waende kwaganga iyo ojayako nisahii lakini kama nikuchinja kwaimani sio vibaya mbona mnashindwa kuyaelewa maandiko matakatifu

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  2 місяці тому

      Umemsikiliza alichoongea??

    • @zionembassytv5672
      @zionembassytv5672 2 місяці тому

      Mila zipi? Hivi nani amewaroga? Huo ni uganga

    • @wizebiligetwaziri5540
      @wizebiligetwaziri5540 2 місяці тому

      ​@@zionembassytv5672kwani ibraimu alifanyaga nini alivyo chinja alimaanisha nini shida ujuaji mwingi

    • @wizebiligetwaziri5540
      @wizebiligetwaziri5540 2 місяці тому

      ​@@HelbethMlelwa kwani ibraimu alichinja kwakuwanga ama ilikua kutolea mungu

    • @Dolkasidanieli
      @Dolkasidanieli 2 місяці тому

      Huyo i.p.m. katumwa kanjanja huyo

  • @mujwasteven
    @mujwasteven 2 місяці тому

    Huyu alikuwa mwislam achungulia akaona kuna watu wanapiga hela akagundua kuna wakristo wengi mazezeta naye akajumuika kwenye upigaji huo. Ni maoni yangu

  • @Dolkasidanieli
    @Dolkasidanieli 2 місяці тому

    Huyo mganga anjenti wakule kuzimu anadariri zote zote

  • @wizebiligetwaziri5540
    @wizebiligetwaziri5540 2 місяці тому

    Mnashindwa kumuelewa kwanamna anavyo fafanua kafara zakishetani ila yeye anaposema kuchinja nikwanjia yaimani tu

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 2 місяці тому

    Ujo nnganga kabisa bola umempa vidonge vwake mganga wa kienyeji kabisa ,aludi kwenye dini yake ,hatuna Mambo hayo sie

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 2 місяці тому

    Huo sio Ukristo. Bali kuchinja ni upagani kabisa. Bora ajiite kwa dini alikotoka maana ameingia Ukristo Ukubwani akome kabisa.

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 2 місяці тому

    Ikiwa sadaka za kuchinja zimekatazwa. Mbonamnabatiza Kwa maji mengi ikiwa ubatizo huu ulibatilishwa na YOHANA yu ajae atabatiza Kwa moto na Roho mtakatifu. Huoni kaka utii hakuna ktk Hilo maana Bado ubatizo wa maji mengi unafanyika ikiwa ni kosa au dhambi ya kutotii, hivyo hakuna mtumishi hata mmoja anayetii hizo biblia zenu. Hata Amos 5:21 imeshakataliwa wote msiotii.

  • @mujwasteven
    @mujwasteven 2 місяці тому

    Huyu alikuwa mwislam achungulia akaona kuna watu wanapiga hela akagundua kuna wakristo wengi mazezeta naye akajumuika kwenye upigaji huo. Ni maoni yangu

  • @mujwasteven
    @mujwasteven 2 місяці тому

    Huyu alikuwa mwislam achungulia akaona kuna watu wanapiga hela akagundua kuna wakristo wengi wanapelekwapelekwa naye akajumuika kwenye upigaji huo. Ni maoni yangu