CHADEMA WACHACHAMAA KUHUSU MABADILIKO WAJA JUU, HATUWEZI KWENDA KWENYE UCHAGUZI | WATAKE WASITAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 56

  • @HENRYNa-l5y
    @HENRYNa-l5y День тому +1

    Hahahah kweli huyu mama(Pamba) uelewa wake ni mdogo sana hajui hata kitu anaongea!

  • @BasilLucasBenedicto
    @BasilLucasBenedicto День тому +6

    Nimegundua kuwa ukiwa mwanachama wa CCM unapunguza uwezo wa kufkiri. Nashangaa vijana wanaoshadadia CCM chama cha wazee. Amkeni vijana hao wa 1960 kwenda nyuma hawawezi kutusaidia. Ama vp kama mbwai na iwe mbwai. No reforms no election

  • @BozaNassoro
    @BozaNassoro День тому +2

    CCM WANAOGOPA KATIBA MPYA WANAJUA KATIBA MPYA IKIPATIKANA HAWAWEZI KUSHINDA UCHAGUZI WOWOTE

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa День тому +2

    Kweli ccm chama cha wazeee

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako День тому +1

    No reforms no election

  • @KyelaparalegalUnit
    @KyelaparalegalUnit День тому +2

    Tumechoka kuibiwa kiubabe turudi kutubia uchaguzi uwe wa kweli

  • @AbdullyRamadhani
    @AbdullyRamadhani День тому +3

    Chadema wanatoaga nondo kwel

  • @Goofyplayz-fj3ce
    @Goofyplayz-fj3ce День тому +2

    La msingi ni kwamba wote wanakubaliana reforms zinatakiwa. Hakuna shida!

    • @HENRYNa-l5y
      @HENRYNa-l5y День тому

      Bado mmoja uelewa ni mdogo sana, n kama hajui kitu

  • @JonathanMgaiwa
    @JonathanMgaiwa День тому +3

    CCM kiukweli wanapwaya, hata huyu msungumzaji wao hatoshi

  • @GodwinIssack
    @GodwinIssack День тому +1

    Mwanamke asiejielewa na kuingiza uchawa wa kihovyo na kipumbavu wa kutuaminisha upumbavu ulifanywa na madhalimu ya Nchi hii ambayo yanatokana na serikali ya ccm! Sasa ni uhovyo wa kifikra wa kusema samia ameonyesha ameonyesha nini zaidi ya chaguzi police kuumiza kuua Wspinzani wakishirikiana na vijana wa uvccm! Hovyo sana.

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka День тому +2

    Katiba mpya tunataka

  • @susumantalanta8505
    @susumantalanta8505 День тому +2

    Mnatakiwa ku_ balance sauti ya back group maana inakera kusikiliza taarifa yenu

  • @samwelmashamba8922
    @samwelmashamba8922 День тому +2

    Hiyo kelele redioni ...inakera sana

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 День тому

    No reform no election, tuweke deadline ili wajue baada ya hapo iwe ni ngija ngija kila kona ili ufikapo uchaguzi tuhesabu waliokufa wakidai katiba mpya.

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 День тому

    Hana hoja huyu mama. Anazungusha tuu maneno. Asemae no R no E anaeleweka kwa hoja alizotoa

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni День тому +1

    Ndiyo

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 День тому

    Toka mwaka 95 mpaka leo wana ccm uwa wanasema hinataka muda

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa День тому +1

    Popaganda za ccm azinaga mfupa wa kusimamia wanacho kili kwa watanzania manenoyao yanakuwa kama libwata la kuwapumbaza wTanzania mwisho watanzaniawapokama mazombi hajielewi hata kwamstaka bali wa vizazi vyao.ccm mbele kwambele kama ng'ombe asie na macho

  • @KyelaparalegalUnit
    @KyelaparalegalUnit День тому

    Katiba tu ndiyo jibu letu tubadilike muda wa kubadilisha ndiyo huu

  • @rutalaurent8542
    @rutalaurent8542 День тому

    Katiba

  • @PaschalBoi-z8h
    @PaschalBoi-z8h День тому +1

    We mwanamke wa ccm Kuma Kuma mpaka mwisho,kwnd zako huko,tunataka uchaguzi huru na WA haki usibishe

  • @fabby1181
    @fabby1181 День тому

    Vijaya WA CCM hawajitambui

  • @susumantalanta8505
    @susumantalanta8505 День тому +1

    Siwezi kuendelea kusikoliza makelele yenu....yaani mmejiridhisha kutusikilizisha hiyo taarifa yenye makelele kweli...!???
    You are not serious

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 День тому

    Yeye ni nani?

  • @thomaslali705
    @thomaslali705 День тому

    Watalipwa na serikali gani hao watumishi wa tume huru?

    • @PatrickNdomba-u6s
      @PatrickNdomba-u6s День тому

      Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
      Yani hata Hilo hulijui
      Umezima wapi wewe
      Cuba!?!?
      Acha Ujinga.

  • @ElisanteOlemboko-t5x
    @ElisanteOlemboko-t5x День тому

    Nyamaza

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x День тому

    Ame kubali dada🇹🇿✌️❤️💪💪💪💪💪🚣🚣🚣🚣🚣🚣‍♀️🤸‍♂️🤸🤸‍♂️🏊‍♀️🚣‍♀️🏋🏋💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏

  • @PovertyPeace
    @PovertyPeace День тому

    Wasipoenda safi tu nayo ni demokrasia

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 День тому +1

    Badilikeni mnaweka makelele mengi

    • @MmohamediSaidi
      @MmohamediSaidi День тому

      Kumbe we mkundu pia

    • @jamesmwanakombe
      @jamesmwanakombe День тому

      we ni msenge tu una rrte wanaweka makell wakat wanasema ukweli chawa ww

  • @obadiahambakisye7159
    @obadiahambakisye7159 День тому

    Toja

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 День тому

    Chadema mshavurugwa mkisusa uchaguzi poaaaa tu nchi hii iliendeshwa miaka mingi chini ya mfumo wa CHAMA kimoja ko Wala hatuoni shida hata msipo shiriki zaidi nchi itakuwa na amani

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 23 години тому

      Jitambue ww awaja kataa uchaguzii kwa nn wana kaataa tume uruu boya ww jibu oja iyoo

    • @simonsadala2386
      @simonsadala2386 16 годин тому

      @RomanMwinyi tume huru ni Mali ya wananchi na sio Mali ya Chadema ko sisi wananchi ndo tumerizika na tume tuliyonayo hiyo hiyooo CHADEMA awamu hii mshaingia kwenye 18 za Ccm mkizira vyama vingine vipo vitakavyo shiriki

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 День тому

    Act wazalendo wata take place,amini kwamba

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l День тому

    Simple English no reform no election mince hakunna muundo hakuna uchaguzi when we talk about no reform it has wide exploration through different angle
    Reform ina upana mrefu ktk luga yao wenyewe kwahiyo ccm hatuitaji akili kariri tunaitaji akili rasilimali

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq День тому

    Sio wasishiliki bali wajifute kabisa

  • @jacksonmsola154
    @jacksonmsola154 День тому

    Kwa maelezo ya mjumbe wa chadema ni wazi kuwa ccm watatawala Sana,waliokimbia kwenye bunge la katiba ni chadema nw uchaguzi umekaribia ndiyo katiba inaibuka,katiba siyo ya vyama ni ya watanzania

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 День тому

      Hukufuatilia kilichoendelea kwenye mikutano ile ya Bunge La Katiba. Yawezekana ulikuwa shule ya msingi 😂

    • @GraceDeo-g1n
      @GraceDeo-g1n День тому

      Kichwa panzi

    • @Goofyplayz-fj3ce
      @Goofyplayz-fj3ce День тому

      Katiba ni ya Watanzania kweli. Vyma vimo ndani ya Wa Tanzania. Kwa hiyo katiba ni ya vyama pia. Si ndio theory of logic inavyosema? Mfano: Watanzania ni makiba yote yaliyomo Tanzania. Wagogo ni kabila liliopo ndani ya Tanzania. Kwa hiyo Wagogo ni.............., malizia logically 😊😊😊😊😊

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 23 години тому

      We chiziii Sasa chadema sio wana inchii kwani wana toka wap matako ww

  • @mostshareking3051
    @mostshareking3051 День тому

    Kelele tupu

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 День тому

    Refomu itafanywa baada ya miaka 30 kaeni kwa kutulia.

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 День тому

    CCM N DHAIFU LAKIN UKWEL N KWAMBA HAINA MBADALA

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 День тому

    Na nyie watangazaji mbona kelele nyingi sasa.

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 День тому

    Chadema si walikimbia mjadala wa katiba mkatoka nje. Haya endelea kukaa nje.kama sasa ndio mmeshutuka mmechelewa

    • @evelina9621
      @evelina9621 День тому

      .mama.unasema.kweli.ccm.inamambo.yasiopendeza..hata.ndani.ccm.yenyewe.mmtangù.mwanzo.ukitoa.nyyerere.wanachagua.wanayemtaka.kumpa.magizo.imepoteza.ukweli.wote.ndio.viongozi.wazuri.wamewapoteza.wenyeakili.wanawaua..hiyo.siri.wanajui.wenye.au.mpango.wa.mungu.sijuiukweli.wakitaka.mtu.wanayemtawala.apite.pIla
      Kupigwa.nimeyaona.achani.ubishi.ccm.mkubali.ccm.uchaguzihuru.tume