THE STORY BOOK: JULIUS CAESAR SHUJAA WA ROMA ALIYEFIKIA KUITWA MUNGU
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Hujawah kosea Jamal ,big up kwako kaka mkubwa ,endelea kutujuza 🇰🇪🇰🇪
From Mozambique, nawapata vyema Wasafi Media... Estão de parabéns, Prof Jamal que Deus te abençoe ......... Tunae penda Story book tujuane kwa likes
Ila wewe ni damu ya bongo wewe.. mozambique unaongea kiswahil kabisa vizur
Malawi Lilongwe..,Professor Jamal.....tuko pamoja sana.....tunaelimika mpaka huku
Kama tuko pamoja weka like yako kwaajili ya Jamal
Waoooo kaisari alikuwa mbabe kinomaaa,what a story
Asante profesar Jamal
Ubarikiwe sana
Oohh!! Jamali hapoiii na haboiiii Kama vp tupia like zenu wadau wenzangu. Here we go now 🏃🏃
Sina Cha kusema zaidi ya kukuombea tu upate afya njema, uishi miaka mingi hapa duniani🙏🙏🙏 Jamal
Nawapat vyema🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kosa kubwa kwa mwanadamu yeyote ni kukubali maabudu... Ata uwe na mali aje ukilazimisha watu wakuite Mungu downfall inaanzia hapo 👌👌👌
Big up Jamal, napenda kusikiliza The story book
Unatuhabarisha yale yasiyojulikana sana.
Big up
From Mozambique naipenda sana the story book pamoja na nsimulizi Mr. Jamal Mustapha! Que Allah subhana wa ta'ala te abençoe pelo teu trabalho.
Young Embuka killer barkhesa bro unajua sana kuliko saut Kali na ubunifu mzuri
Progress's jamal type historia ya jemedari khalid bin Walid ambae alipambana vita mia moja bila kushindwa
Umeweza
@@umiomar-fd6or 2nbhht
1month
Story nimeimaliza.
Jamal hat off 👏 👏 👏
Prof. Me naitwa Abouy and am living amarica, nitapenda ukitoa historia ya Mtume Muhammad S A W
Anaijulia wapi,, anahofia kuchekecha, afu tumyumbishe.. izi nyingi n mjumlisho kka
@@omarykatongo4943 Kweli waisalam watamsomea asahivi kitabu
Namm nataman historia ya muhamadi dahhh❤❤❤
Nakuomba unitafute am enthusiastic n devine partially may God meet us to prosparate the bible.
Professor on fire 🔥 always best narrator
#Support from Isiolo Kenya
Ujawai haribu kazi
Nimekuja jua kinachokufanya uitwe Professor ni your DEEP RESEARCH.upo makini bro
Kaka Amna cha umakini, kwa mfano hii story ukiangalia movie ya blood and sad yote haya yamo
@@sirfabiano767 naelewa sikatai but anajiongeza kwa research na hiyo ni mojawapo
Nashangaa sana comment nyingi hazipo ktk kujifunza nini yesu alimaanisha aliposema ya Caesar apewe Caesar na ya Mungu apewe Mungu na nini sababu ya jeshi la kirumi kumtesa yesu maana hapa nahisi kuna siri imefichwa kupitia historia hizi
Kama mie ningekua skuli Mwanafunzi na Jamaal ni Mwalimu ningekua namtizamaaa weeeeeeeee paka anipige na chaki voo 😂😂😂 Nampenda na namuelewa ❤ Mwenyezi Mungu nitunzie Jamaal🌹 Simjui ila nampenda miee 💋
Ya Kaisari Mpe Kaiser Ya Mungu Mpe Mungu Julius Caesar Hatariih Mpaka Mtu unapewa uunguu n Hatariih
Jamaaal nimeanza kukusikiza juzi lkn naona umenitach Sana mashaallaah tunafaidi Sana endelea bro....
Bro sauti tu inatosha kuthibisha kwamba you are incredible 🙏
Ooh Jamal I’ve got my popcorns🍿 besides me bring it on now🔥🔥🔥 the story teller
Nakupata sana kaka nikiwa Chicago
Ndugu yangu Mwenyezi Mungu akuweke zaidi. Kwa maana tunajifunza zaidi na zaidi. Sasa ni wakati wa kumchambua Janus. Tunataka kumjua huyu Janus ni nani na anahusikaje na January mosi ya ulimwengu wote.
Siwezi kuamini kwamba yeye ni mungu ni mungu mpaka mwisho wa dunia haiwezekani aitwe mungu mungu ni yeye mwenyewe mwenye nguvu
Soma tena ulichoandika,,alafu urudi utuambie kama na wewe umeelewa!!
😂😂😂
I really like his voice..... He knows how to explain and intiate the story..... big up man.
Wewe ni professor 💯💯💯👏👏
Unatujuaza mambo mengi Sana big up jamal🙏
The best narrator ever. Big up big bro. Napenda simulizi zako❤ Ombi langu ni ufanikiwe milele...❤
For sure the movies about this people zina usiri kiasi leo najipa majibu mwenyewe thanks alot brother
Safi ni story nzuri sanaaa
Nilikuwa naomba unataka na reference za vitabu ili tuwe tunarejea.
professor jamal endelea kufanya kazi nzuri.... tupo hapa siku zote kukusapot
💎💎💎💎💎💪💪💪💪🤝🤝🤝
You're my the Best all time in history
Unyama flan Jamal Mustafa appreciate broo
Dat a example of history of North Africa. 🤣🤣🙌umesumarzy module yote ya ivader( roman)🙌🙌🙌🙌♥️♥️🙏🙏🙏
Form Uganda nakufwata Sana tuu
Umetisha mzee professor, upo vizuri sana
Yes this thebest one
Big up #JAMAL🙏🤩
Mungu aendelee kubariki kazi ya mikono yako professor🙏
*Kazi ya ku eleza stories
I do love this story book alot!!! Thenx Jamal, I have learnt alot from you!! May the lord bless you!!! Am ranking you the best east Africa 💥💥💥
Tengenezeni Podcast ya The Story Book!
Very true
Waliyo tazama 2024
Am a big fan of Jamal .keep doing it brother
Uko vizuri sana bro JAMAL...Story Nzuri
Big up professor Allah akupe mafanikio na umri mrefu ✍️✍️✍️
Nakubar proffersor tunamuhitaji na Shaka Zulu🔥🔥
Unajua sana big up.
Fiti brother big up sana
I like to learn something very day so I listen to these amazing stories from wasafi everyday. Appreciate ur work🥰😍👍🏼👏🏻👏🏻👏🏻
Imagine unapata Dinner yako nzuuri ,, huku unasikiliza the story book😋😋😋
Kwakwel iko amezing san
Nakukubari bro fact unayosema
hongera kazi zuri Sana , 💙💚💙💚💙🇰🇪
Professor Jamal Aplil vamos 👏👏👏
Nimependa
Confidence, ,,the mother of destiny. Kujiamini ni mzazi wa matokeo
Professor Jamal 🔥🔥🔥🔥
Story nzuri xana mumngu akulinde akuepushe na mabaya
Kaka Jamal masimulizi yako yana mvuto kwa weledi na mpangilio wa nakala zako, ujaliwe zaidi.
kazi safi kabisa.nimeifurahia simulizi hili la kihistoria la julius ceasar
Kazi nzur jamal 🔥🔥🔥💪💪💪
Jamri respect nipo dsm APA upo vzr🇹🇿🇹🇿🇹🇿
umenisaidia saana kuyaelewa maisha halisi ya julius ceasar. asanta sana
Big up nice work jamal greetings from mombasa kenya
Amazing professor Jamal. .unatutoa tongotongo sana
Asante studio
Nakukubali Professor tunaomba uje utupe historia ya mwanzilishi wa theory ya ujamaa
Kiukweli profeser unatujuulisha ming sana ambayo hatuyajuw kabisa ila Allah akupe nguvu uzidi kutufunza
Kindly bring the Story Book on Internet in deep
Nice Uchambuzi❤️🙌🏾🙏🏾
But wh cizer alipewa cheo chakuitwa dictator?
Nice nice professor Jamal
Hizi story zinasimuliwa na watu tofautitofauti ila huyu Jamal April kawazidi wenzie Ubunifu.. anasimulia kwa utashi mkubwa sana. Bgup sana Wmedia
I LISTEN THIS STORY IN WINTER TO MAKE MY ROOM WARM......
Huyo ndiye mnyama wa nne au utawala wa miguuni katika sanamu aliyoiona Nebukadneza
You're the best story teller 🔥🔥🔥
ukitaka kumuelewa vizur prof jamal nenda kaitazame movie ya spartcus tena ipo NETFLIX 😗😗 BIG UP BRO JAMAL
Niko Roma, naijua sana historia hii. Hongera sana the Story book
La terza guerra servile, anche nota come rivolta o guerra di Spartaco,[1] fu una guerra combattuta tra la Repubblica romana e un esercito di schiavi ribelli tra il 73 e il 71 a.C. in Italia; la guerra terminò con la vittoria dell'esercito romano, comandato da Marco Licinio Crasso.
Si trattò della terza e ultima delle guerre servili, una serie di ribellioni di schiavi contro la Repubblica romana, condotte in tempi diversi senza alcun legame tra loro e tutte destinate a risolversi in un insuccesso; a differenza delle precedenti, però, nella terza guerra servile, le bande di schiavi ribelli, rapidamente ingrossatesi, misero effettivamente in pericolo il controllo romano sull'Italia. Anche dopo la fine della guerra, infatti, il ricordo dello scontro continuò a condizionare almeno in parte la politica romana degli anni seguenti.
Here we gooooooo!!!!!
Good work..more of this tafadhali 🤪
MITANO TENA KWAKO #PROFESSORJAMAL🙏🤩🏡
tumpe kwamapoja,👊👊👊👊👊
Love from Norway ❄❄
From Uholanzi hapa... natamani sana kufika Norway...🙏
Na location inaonyesha uko buza 🤣🤣🤣🤣
@Gabriel karibu Norway Oslo, ila baridi kali huku.
Ya kwa mkapa
Wallah leo nimefurahi sana kumuona julio cesar
I thought it was just a movie's Good narrations i like it.
Good. Umejitahidi kusimulia. Next time tell us about the Vandal rule under Genseric, The Mamlukes and the Ottoman Empire under Sultan Selim I
Leo nimekua mtu wa 72, like kwangu jmn
Great story book 📖
King prof Jamal
Umetisha professor
Ya Kaisari mwachie Kaisari
Imagine unakuwa mtawala mpaka Yesu anakujua
I really appreciate the story book 📚.
I love the way yuo narrate
Baba alizaliwa familia ya kitajiri au masikini sijaelewa vizuri hapo!!!!
Hadithi nzuri twaitaka kila siku
Professor we nouma sana pia tupe story yaliojoficha hususani tanzania yetu
From kenya,, and I love your stories
Safi sana bro upo vizuri
Professor 🔥🔥🔥
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ahsante mwalim
Good the story book by professor