Kuna sababu Salam anamchukia huyu jamaa. Harmonize ni tishio kubwa Sana kwa umaarufu wa diamond kwa kuwa anafanya mziki kwa njia tofauti Sana. Big up young man
Nilijua sipendi musiki but mziki wa konde boy naufuatilia kuliko kunywa maji.jeshi congratulations from kuwait. Mungu yuko tena naongea japo sisikii yako
Jamani sijawai pata like hata (5) from konde boy jeshi [TEMBO]🐘🐘🐘🐘 leo anamiliki KONDE GANG LEBO🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩 I need your support please ua-cam.com/video/sfYwKBkL1sU/v-deo.html
#One #love #kwa #wanangu wa #kitaa nyie ndo mna #nunua #CD #Sijaona kama #harmonize tanzania hiii #salute kwa #konde gang #wordwide #watashindana na #Ibra #from #liwale
ukitaka mziki mzuri msikize jeshi konde boy ukitaka mziki wa kistaarabu msikize ali kiba ukitaka mziki wa vurugu na hisia kali msikize diamond plutnumz vijana wetu wote we proud of them!
Wtu wa Simba atuna mngangano coz ligi ya Simba tembo afiki c achidane na zuchu kwaza 😏😏😏 coz ligi yke n 100% percent acheni nyinyi amufiki ukweli 😏🤫🤫🤫🤫🤫 Kode fanya yko achana na Abdul coz ahufiki na utawai fika 🤫🤫😏😏😏🤫 ifike👊👊👊👊
@@ghettoqueen4716 Je Unahitaji kufahamu Faida utakazo zipata kwa kula Tende katika mwili Wako, Gusa link 👇👇 Uelimike, tafadhali Subscribe pia ua-cam.com/video/jOWr7RszNFU/v-deo.html
Je Unahitaji kufahamu Faida utakazo zipata kwa kula Tende katika mwili Wako, Gusa link 👇👇 Uelimike, tafadhali Subscribe pia ua-cam.com/video/jOWr7RszNFU/v-deo.html
Konde boy Jeshi..........watanzania konde kigereza ameng'oa hapa ama vipi Sometimes what you dream is what you receive.... Ila nyimbo kali Nipe like zangu basi
Am from 🇰🇪 let me say this at this moment Music industry Tz🇹🇿 KondeBoy s the Man Diamond na Kiba Walikua miaka Jana na juzi sasa time ya huyu Mtoto wa Mtwara.!! Kalas!
Niwah kushangaa maneno ya sele et harmonaiz angalie kond waoneshe wote wakate tamaa kwan wao sio mungu utabili wao wakatabilie njaa zao zitaisha Lin lkn sio kond harm ndo bc kashang'aa bgp kond
My songs for life jenshi. matatizo. vibaya. wapo. never give up 🙏🙏🙏nd sawa from ibrah 🙏🙏when I fill like giving up I come watch them nd I stand up again nd move on 🙏
TUPO PAMOJA.. Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
Style ya uimbaji na aina ya beat inaonekana umechukuwa mahadhi ya nyimbo ya whozu Mi amor na ya willy paul magnetico kisha umezisamle zote 2 na kuzicombine ndio ukapata idea ya style ya kuimba hii jeshi. Only wenye masikio ya good music ndio tunaweza kubaini hichi kitu
Let's gather here after kuiskiza ukweli wote fro m Jeshi himself 👌. We love you Jeshi n we ain't stopping supporting you. All the way from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦 locked. ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Diamond amekua msanii wa Kawaida Sana now ashindane na Ibrah ,Konde Boy Jeshi yuko another level I say kuwa mshabik wa #jeshi ni raha lakn upande mwengne ni kiki sizizoeleweka Wapi likes za MAJESHI wote👇
Yao Yao Oh nah nah nah Mmmh Sometimes what you doing Can be receiving Na huwezi kuvuna usichokipanda Thanks God for giving Ghetto sikuwa na umeme wala cable Jeans moja T-Shirt na yebo Ati leo namiliki lebo Lebo, Konde Gang lebo Siku zote kisicho kuua Kitakufanya uwe ngangari Ata mwanga huwezi kumjua So ishi nao kwa tahadhari My sister siku hizi shape ananunua We pambana upate salary Ila usisahau pesa maua So ukikosa hata usijali One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Three love kwa Master na Lita Mlinifanya hasira zizidii Four love, njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe Jeshi! Konde boy Jeshi! Na hizi wananiita Tembo Jeshi! hata we ni Jeshi! Yaani kama huna pigo za kirembo Ni Jeshi! Konde boy Jeshi! Yaani wanangu wananiita Tembo Jeshi! hata we ni Jeshi! Yaani kama huna pigo za kirembo ni jeshi One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Ninaamini Mungu yupo Tena Naongea nae japo sisikii sauti yake Nikianguka ntainuka tena So usishangae why Tembo anahustle peke yake Coz I know, unapokiokota Ndo wakati wakutunza Ili kesho kisije potea Na unaposota ndo wakati wa kujifunza Ili ujue wapi ulipokosea Sio kama siwezi kujibizana Ila mwenzenu nimeumbwa na subra Eey, cheki madili yanavyogogana Coz nina nyota ya Libra Mbona siwaoni walotumwa kunitukana Vichwa vyao viko kibra Tena siku hizi siimbi sana Acha washindane na Ibrah I say One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Three love kwa Master na Lita Mlinifanya hasira zizidii Four love, njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe Jeshi! Konde boy Jeshi! Na hizi wananiita Tembo Jeshi! hata we ni Jeshi! Yaani kama huna pigo za kirembo Ni Jeshi! Konde boy Jeshi! Yaani wanangu wananiita Tembo Jeshi! hata we ni Jeshi! Yaani kama huna pigo za kirembo ni jeshi One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Konde Boy!
The biggest animal can't be shaken with small animals pretending to be brave ...while they just starborn for nothing.. konde boi is a gifted talented Tanzanian musician of this generation ..big up 💪💪💪 our bro were behind to support you
Wow....this pure talent, the writing, choreography and even swag. Harmonise will live to beat any record placed by any East African artist....watch, just WATCH.
Hii nyimbo tamu siku zote kuitoa #1 on trending mpaka wakanye kuna wasanii wengine hawana hata haya at wanaimba gogingo na wowowo ujinga kweli hafu bada ya kuwaimba na wake zao kwamba wako na wowowo wala gogingo hamna wanawatia mikosi wadada za watu bure wawe wanawaimba na wake zao mpaka mke wng mtalajiwa wamemtaja at ana gogingo. Safi sana harmonize kode boy for life watapata tabu sana
Bora harmonize huwaga Haimbi matusi wcb hawajielewi hawatofautishi hata nyimbo za kupiga mbele ya wazee na vijana. One love wanangu kwa wanangu wa kitaa nyie ndo mnanunua CD such a good massage to funs
Yaani nyimbo hii, kwa yeyote mwenye future,sidhani anaweza pita bila kuilike watu wangu. Much love from Kenya/masailand
Umeongea ukweli
🇰🇪👌👌👌
Kuna sababu Salam anamchukia huyu jamaa.
Harmonize ni tishio kubwa Sana kwa umaarufu wa diamond kwa kuwa anafanya mziki kwa njia tofauti Sana. Big up young man
Na ndiye anaepokea kijiti kutoka kwa diamond
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
ua-cam.com/video/22e9oF_GuH8/v-deo.html
Ulijuaje broo
Lol
Anaitwa mzee wakuhamasisha vijana wengi wakisasa kakupambania ndoto zao ndomana me namkubal sna harmonize aisee mungu akubariki sna jeshii💥💥🐘🇧🇮🇧🇮🇧🇮
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
ua-cam.com/video/N8A87jQhruE/v-deo.html
Ameen aki
Well said
Pamoja
@@yahyaxavi8671 sawa tupo
Ninani bado anauskiliza hii ngoma 2024❤ gonga like tujuane kama ww ni team konde❤❤🎉🎉🎉🎉
Mimihapa
Hiiii
💃🏻💃🏻
Jaman hii ngoma nimerudia mala 50 naomben lek zenu
"My sister sikuzi shape wananunua we bambana upate salary.🔥🔥🔥
If you love this verse...weka like⚡
LIKES ZA KUFANYIA NINI???
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
ua-cam.com/video/N8A87jQhruE/v-deo.html
Nampenda sana uyu kwasababu ni mtu mwenye heshma na nidham sio mtu wa skendo sio malaya endelea ivyo ivyo mdogoangu ustar sio lazma uwe malaya
nakubaliana na ww chek me at fb BIN DULLY
@@abdulhalimmohamed6770 Pata Siri Ya kufanikiwa maishani 🛫🇹🇿 ua-cam.com/video/-6GX9nB3-ow/v-deo.html
Umenena bro
this goes to all Africans ua-cam.com/video/0f7owsZ6K_M/v-deo.html
Kabisaaa
"sikua na umeme wala cable, jeans mmoja tshirt na yebo hivi leo namiliki label"...............Never give up on your dream.
Kabisa
Uko vizuri sana konde
🐘🔥🇹🇿
*Hii* *ndo* *mara* *ya* *kumi* *nasikiza* *Ukweli* *Konde* *boyi* *jeshi* *hadi* *mimi* *nalia* *nikijipea* *morale* *nikijiita* *mimi* *pia* *jeshi* 😭😭 *natia* *bidii* 🇰🇪
Apo sasa
Jeshi! Nmerudia hii ngoma mara kumi. Kwanza Io beat iko juu
Representing team Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 here ... Tz🇹🇿🇹🇿 show us some love bana twapenda muzik wa bongo
Kevoh wa pipeline will you mind subscribing back please
@@patiencenimmoh3956 😂😂😂
@@jayclassic5164 Kwani nimesema vibaya 😂😂🤭🤭
@@patiencenimmoh3956 mara dar dat
ua-cam.com/video/B4xZQu6BU0Q/v-deo.html
Nyimbo huwa inahimiza sana, na huwa ina ujumbe wa kuelewa maisha, nyimbo kama hizi huwa zina hit siku zote
Konde boy siku hizi wanakuita "tembo"........Siku hizi huimbi wacha washindane na Ibraah.....hii ni Kali sana @Sotic gang 254 represented
"One love kwa wanangu wa kitaa, nyie ndo mnanunua CD" best line ever.............. No doubt
Ndo sisi🤣🤣🤣
Number one
Tujifunze kushukuru tuliko toka
🖖🏻👌🏻
🗣wanangu wa kitaaaaaaa
Nilijua sipendi musiki but mziki wa konde boy naufuatilia kuliko kunywa maji.jeshi congratulations from kuwait. Mungu yuko tena naongea japo sisikii yako
Pata Siri Ya kufanikiwa maishani 🛫🇹🇿 ua-cam.com/video/-6GX9nB3-ow/v-deo.html
Naamini mungu yupo tena naongea naye japo siskii sauti yake🤗🥺
Kama umeangalia hii ngoma zaid ya mara 1 na umekubali kuwa #JESHI kaumizaa...🔥🔥
Basi gonga like twende sawa
Walorudia iyi ngoma zaiti yamara3 tujuwane kwa like this boy he is tallentit we love you from burundi 🇧🇮
Jamani sijawai pata like hata (5) from konde boy jeshi [TEMBO]🐘🐘🐘🐘 leo anamiliki KONDE GANG LEBO🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩 I need your support please ua-cam.com/video/sfYwKBkL1sU/v-deo.html
@@msaranga_ Sou Mocambicano repeti este video 10 vezes
jamaa ni jeshi
Doshi
ua-cam.com/video/BIMrliIXGzo/v-deo.html
Niko hapa mambo ni moto 🔥🔥🔥
Yaani hii imenipa funzo kubwa.. DON'T GIVE UP PEOPLE... Kazi safi konde boy.. 🇰🇪Wakenya likes hapo chini kama mnapenda kazi yake harmonize 👇
UnajuwA Sana mkali!!!
Saf jesh wanyooshe
Eti anavuta bangi pambamba mwanetu uprove wrong
Never give up na nyimbo hii ya jeshi zinanifanya nisikate tamaa gonga like Kama unamkubali jeshi
ua-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/v-deo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔 Jua Leo Tafadhali;
Jeshiiiiiiiiiiiiii,kutoka kwa t-shirt na yebo hadi kumiliki Lebo si mchezo✊✊
Ingekua likes zinapeanwa more than one basi kila comment ningeipa likes million....respect the jeshi GENG ❤️❤️👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahaha
Imekaa pooowa
Jeshii
Wanajeshi wahili camp la kond gang say yesssssayaaaa
Konde booooy... Jeeeshiiii
My Ghana people let's show some Love here ❤🇬🇭🇬🇭🇹🇿🇹🇿
Konde Kenya tuko wapi konga tukisonga l can't stop listing for this song
Kwa Kweli Jeshi Kondeboy Katoka Mbali sana Toka nyakati za "Matatizo"Hadi Kuwa Jeshi Mad Love For This Fighting Spirit Harmonize🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
#One #love #kwa #wanangu wa #kitaa nyie ndo mna #nunua #CD #Sijaona kama #harmonize tanzania hiii #salute kwa #konde gang #wordwide #watashindana na #Ibra
#from #liwale
Massage kali msee katisha
@@boazmasinde2764 zaidi ya sanaaa
Siku zote kisichokuua kitakufanya uwe ngangariiiii,real love kwa master na lita mlifanya hasira Zizidi 🤫🤫 like za hizi lines hapA
Pw jeshiiiiiii
🤝🤝🤝
Jeshi KONDE GENG mambo MBAYA bro uko JUU🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hapa mwanetu konde ulikuwa na hasira sana, 2024 we bado ni jeshi ✊🏾
Duuuh waache washindane na ibrah coz jeshi sio level zao...........KONDE GANG FOR LIFE
nobody thought konde will reach this far, this proves you can reach anywhere as long as you believe in yourself,mkimpata mwambieni congratulations💯
Talented, big Ique
Yes ofcourse 💪💪
Yeah...true.
Congrats
Bro 🔥🔥🔥
ukitaka mziki mzuri msikize jeshi konde boy ukitaka mziki wa kistaarabu msikize ali kiba ukitaka mziki wa vurugu na hisia kali msikize diamond plutnumz vijana wetu wote we proud of them!
(👌👌
Kweli 🎯👐🏻
From Kenya...I agree..I also love rayvanny and Marioo
Just came back on this to confirm your pure and strong heart after hearing your interview bro! We ndio Jeshi kabsa ✊🏿
KING 🤴 OF EAST AFRICA LIKE KAMA WAMKUBALI KONDE BOY 🐘
🐘🐘🐘🐘🐘🐘
''Tena siku hizi hata siimbi sana, acha washindane na ibrah" JESHI💪.
jeshii
kudadi ke
@@djbensntz7981 jeshiii
Wtu wa Simba atuna mngangano coz ligi ya Simba tembo afiki c achidane na zuchu kwaza 😏😏😏 coz ligi yke n 100% percent acheni nyinyi amufiki ukweli 😏🤫🤫🤫🤫🤫 Kode fanya yko achana na Abdul coz ahufiki na utawai fika 🤫🤫😏😏😏🤫 ifike👊👊👊👊
Hahahhh uyoo m'bayaaaaaaaa🔥🔥🔥
jeshi,,,,konde boy jeshi this song is on fire wapi love ya 254 kwake harmonize
Eunice, ua-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/v-deo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔
Konde boy mkali wao
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
ua-cam.com/video/22e9oF_GuH8/v-deo.html
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
ua-cam.com/video/22e9oF_GuH8/v-deo.html
@@ghettoqueen4716 Je Unahitaji kufahamu Faida utakazo zipata kwa kula Tende katika mwili Wako,
Gusa link 👇👇 Uelimike, tafadhali Subscribe pia ua-cam.com/video/jOWr7RszNFU/v-deo.html
Nimerudi after #vibaya 🤣🤣💯💯💯
When Harmo said.... "Tena ata siku hizi siimbi sana, Wacha washindane na ibrah" 🔥😂... Tembo Gang
ua-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/v-deo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔
😂😂
shots fired!!! 10 nail😂😂
Nimecheka sana hapo
Je Unahitaji kufahamu Faida utakazo zipata kwa kula Tende katika mwili Wako,
Gusa link 👇👇 Uelimike, tafadhali Subscribe pia ua-cam.com/video/jOWr7RszNFU/v-deo.html
Daaaaah!! 🤗🤗🤗
Inagusa kumoyo, Konde kweli Konde shamba la madini
Konde boy Jeshi..........watanzania konde kigereza ameng'oa hapa ama vipi
Sometimes what you dream is what you receive....
Ila nyimbo kali
Nipe like zangu basi
Naombeni ata like 10 tu jmani
i like this hits
This is great nowadays musicians wanashindana ati nani ni mnoma but konde boy is not competing he's doing good music🇰🇪🇰🇪👍
Yes, trueee. Anafanya kile ambacho Mungu anampa na hicho ndo kitamsimamisha mda mrefu
Wanafiki sana nyie nani anashindana nae sasa
Very true....Konde gang ni jeshi wacha tumuiye tu tembo
Yes.jeshiiii
@@malianonicass7029 Wee elewa statement kwanza
Bila shaka alie tengeneza mdundo ni hunternation Young legendary big up brother
Am from 🇰🇪 let me say this at this moment Music industry Tz🇹🇿 KondeBoy s the Man Diamond na Kiba Walikua miaka Jana na juzi sasa time ya huyu Mtoto wa Mtwara.!! Kalas!
true that brother
Это правда
Hata siku hizi siimbi sana acha washindane na ibraaa...lyrics 🔥🔥🔥🔥
I was looking for this comment lol
Kama unaamini kondegang ni number 1 in Tz weka like tuende sawa.🇲🇿
Bado hajafkia kuw no1 lkn akkaza anaweza saiv tuc mjaze misifa
One love brother 🔥 🔥 🔥 🔥
Now ndio masanii mwny mashairi makali ndio yeye na no1..
From Kenya we say Bravoo. Kazi safi
Jeshiiiiiiii🇰🇪🇰🇪
Traduction en un.mot svp?
Yesssss,,,,Kenya🇰🇪 pia tuko ndani ya tembooo🌹
Nmekupendaa upo wap mie npo Zanzibar
Nice song pamoja kondee more from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
ua-cam.com/video/N8A87jQhruE/v-deo.html
Jeshi ni jeshi kabisa. Jamani kutoka zamani konde nikonde 🇷🇼🇷🇼 RWANDA wote wanapenda harmonize 100%%%%%%%%%%%%%%%% gonga like tuende sasa✌🏻
Jamani Jeshi unanikosha sana duh napenda sana nyimbo zako
Niwah kushangaa maneno ya sele et harmonaiz angalie kond waoneshe wote wakate tamaa kwan wao sio mungu utabili wao wakatabilie njaa zao zitaisha Lin lkn sio kond harm ndo bc kashang'aa bgp kond
Si katoka 2015 au
My songs for life jenshi. matatizo. vibaya. wapo. never give up 🙏🙏🙏nd sawa from ibrah 🙏🙏when I fill like giving up I come watch them nd I stand up again nd move on 🙏
Naomba kila siku,mungu yupo ijapo simuoni🙏🏾🙏🏾🙏🏾, KONDE BOY. Gonga like if you agree
LIKES ZA KUFANYIA NINI???
Amen
@@utdforever9236 upendo
Waache washindane na Ibraah 😅😅🙌🙌🙌 JESHIII
Aiseeee anae juwa anajuwa2 JESHI anajuwa hadi abowa
Yaani anajua mpk anaboaaaaaaa
Nakunda
N’a mimi nitaongeza bidii asante sana mungu akuzidishie wimbo huu kama unahustle huku USA lazima mtu akupongeze
Team Konde Boy naomba likes zenu... LOVE from BURUNDI
😁__Kwa Master na Rita mlinifanya hasila zizidi__😁 kama umeskia huu mstali gonga like tujuane👍
I hope wanajuta mpaka we leo
Master na Rita ni kina nani?
Wewe mkenya sio😂
Kabisa ila napenda bongo flavour mbaya
Makali 😆
"Siku hizi hata siimbi saana acha washindane na ibraah" .. Konde gang 4 life
Ibraah means diamond platinums🤣🤣🤣
@@denniswambua3599 nooo , Ibraa ni young musician wa konde boy
019 Kenya
ua-cam.com/video/N8A87jQhruE/v-deo.html
Ok
Frx
Siku zote kisicho kuuwa kitakufanya uwe ngangali(what doesn't kill you can only make you stronger)👊👊👊jeshi
Nishawambiag Mimi na Konde Geng milele mkanikatalia mambo sindio hayo
TUPO PAMOJA.. Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
Namimi kabisa
Jeshi gonga likee apo
Sema konde uwe funika kifua samtaimzi moja
Kwa msimu huu atukuwezi
Tembo Jeshi. Konde boy for everybody.Gonga like tukisonga
Mwanangu cheki ua-cam.com/video/mnXPVbLmdHw/v-deo.html
Nice God bless u more
@@patrickmudaki3719 kazi nzuri
show love kaka nimesha subscribe
Style ya uimbaji na aina ya beat inaonekana umechukuwa mahadhi ya nyimbo ya whozu Mi amor na ya willy paul magnetico kisha umezisamle zote 2 na kuzicombine ndio ukapata idea ya style ya kuimba hii jeshi. Only wenye masikio ya good music ndio tunaweza kubaini hichi kitu
ua-cam.com/video/mC5XCtBZ7W8/v-deo.html
This guy is taking Africa...I like the way he is constantly.....jeshi Kenyan 🇰🇪
Amen unandiona kale kale ubwele mh udzaone mmene mulungu amasinthilabzinthu.konde boy jesh uyu mwanangu
Daaah mnaoikubal mkowapi jmn, gonga like tujuane💪💪💪
Matusi ...0%
Lyrics ...100%
Mzuka ...100%
Beat ....100%
Hii ngoma lazima JESHI aingie 2M subscribers
Nakubqbaliii 💪 💪 lazma aingie
Lzmaaaaaaa
Agreed
Mipasho 100% one love kwa jeshi
Kabxa kabxa
Who is loving this with me from Zambia? Hit here💪❤❤❤
Mukali sana uyu
Maningi che
Lol tamufwa
Am in Solwezi zambia❤️ jeshi noma sana mzee baba
MIMI NA WEWE TUNATEMBEA NJIANI TUKAOKOTA MILIONI 200 JEE UTAIFANYIA NINI LAKI MOJA NITAKAYO KUPA???????????
Let's gather here after kuiskiza ukweli wote fro m Jeshi himself 👌.
We love you Jeshi n we ain't stopping supporting you.
All the way from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦 locked. ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Yan huu wimbo nmeshaurepeat zaid ya mara 15 ...yan dah konde umetowa sn huu wimbo
Likes za wakenya🇰🇪🇰🇪wenye wanatambua konde boy..jeshi👑💯
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏
LIKES ZA KUFANYIA NINI???
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
ua-cam.com/video/N8A87jQhruE/v-deo.html
Hii Ngoma nimeielewa sna ilakwabongo wanafki watazua maneno,konde boy.jeshi
Iove to you ❤🇹🇿
Moja ya nyimbo ambayo huwa siichoki kuisikiliza ni hii naipenda kuliko nyimbo zote za wasanij wote
Kaka unajua sana daaah
jeshiiiiii🙌🏽🙌🏽🔥🔥
Jeshi 💉💉🔥🔥🔥
Nadhani tupo wawili mkuu....
Tupo watatu
After vibaya I came here to recall the fact akisema let them fight with ibraah! Na kweli kijana anatisha
Nakubali konde boy
Tembo atakuja kua mnyama hatari sana let's keep on watching him,#jeshi
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA......
Saàaaana tuu🐘🐘
True
Diamond amekua msanii wa Kawaida Sana now ashindane na Ibrah ,Konde Boy Jeshi yuko another level I say kuwa mshabik wa #jeshi ni raha lakn upande mwengne ni kiki sizizoeleweka
Wapi likes za MAJESHI wote👇
Yao Yao
Oh nah nah nah
Mmmh
Sometimes what you doing
Can be receiving
Na huwezi kuvuna usichokipanda
Thanks God for giving
Ghetto sikuwa na umeme wala cable
Jeans moja T-Shirt na yebo
Ati leo namiliki lebo
Lebo, Konde Gang lebo
Siku zote kisicho kuua
Kitakufanya uwe ngangari
Ata mwanga huwezi kumjua
So ishi nao kwa tahadhari
My sister siku hizi shape ananunua
We pambana upate salary
Ila usisahau pesa maua
So ukikosa hata usijali
One love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidii
Three love kwa Master na Lita
Mlinifanya hasira zizidii
Four love, njia ngumu nilizopita
Mkanipa na jina mkasema niitwe
Jeshi! Konde boy Jeshi!
Na hizi wananiita Tembo
Jeshi! hata we ni Jeshi!
Yaani kama huna pigo za kirembo
Ni Jeshi! Konde boy Jeshi!
Yaani wanangu wananiita Tembo
Jeshi! hata we ni Jeshi!
Yaani kama huna pigo za kirembo ni jeshi
One love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidii
Ninaamini Mungu yupo
Tena Naongea nae japo sisikii sauti yake
Nikianguka ntainuka tena
So usishangae why Tembo anahustle peke yake
Coz I know, unapokiokota
Ndo wakati wakutunza Ili kesho kisije potea
Na unaposota ndo wakati wa kujifunza
Ili ujue wapi ulipokosea
Sio kama siwezi kujibizana
Ila mwenzenu nimeumbwa na subra
Eey, cheki madili yanavyogogana
Coz nina nyota ya Libra
Mbona siwaoni walotumwa kunitukana
Vichwa vyao viko kibra
Tena siku hizi siimbi sana
Acha washindane na Ibrah
I say One love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidii
Three love kwa Master na Lita
Mlinifanya hasira zizidii
Four love, njia ngumu nilizopita
Mkanipa na jina mkasema niitwe
Jeshi! Konde boy Jeshi!
Na hizi wananiita Tembo
Jeshi! hata we ni Jeshi!
Yaani kama huna pigo za kirembo
Ni Jeshi! Konde boy Jeshi!
Yaani wanangu wananiita Tembo
Jeshi! hata we ni Jeshi!
Yaani kama huna pigo za kirembo ni jeshi
One love kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta
Mnafanya niongeze bidii
Konde Boy!
nasing along na hizi lyrics Buda. wazii
Kennedy Nyongesa You are welcome man 💪
Kali sana
Shabash!
Pamoja
Woooow 🔥🔥🔥🔥
JESHI 👽🤴💪konde boy ni JESHI 💪💪...Kama unaamini yeye ni jeshi gonga like yako hapa
Jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiii aminiaaaaaaaaa
@@radhamannandule2525 miaaa💯💯
Kam umeskiliza audio 🎧na kuangalia vdeo 🎬Leo Leo bas we ni jeshii 💪
💪💪💪🇨🇩
Tembo
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
ua-cam.com/video/N8A87jQhruE/v-deo.html
Kama wamkubali Konde Boy #Jeshi but... Wewe ni mmoja wa familia kubwa #KondeGang4Everybody
Naombeni like za konde apa sijawah pata like
HipHop BongoFlav SoulMusic ni tamaduni za kusini mwa TZ kutamba. Inakuja natural kwa kondeboi. Tamba mdogo wangu
The biggest animal can't be shaken with small animals pretending to be brave ...while they just starborn for nothing.. konde boi is a gifted talented Tanzanian musician of this generation ..big up 💪💪💪 our bro were behind to support you
True
True
Sure
Diamond katoa baba Yao
Harmonize ndio jeshi wa baba Yao 🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥
One luv jeshi
Wapi likes zake
Kama ukivuta bangi unatoa hit kama hizi, tafadhali vuta gunia moja.
😂😂😂😂
😆😆😆😂😂
Hahahahahh
Kwanini lakini😊
Avute sanaaa
Konde boy sichoki kumsikiliza. Hii nyimbo ina ujumbe mzuri
We msenge unajuwa sana ndio maana tunakukubali sisi ni wale wauza cD
🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸💪💪💪💪👍👍👍
😊😊😊😊🤝🇹🇿
😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
Hata we ni jeshi 💪🇰🇪❣️🐘
Jesh hatari kweli.
Just like.
ua-cam.com/video/22e9oF_GuH8/v-deo.html
🔥 acha washindane na ibra jeshi is in his own league 🙌🏾
Ramos Big Talent, ua-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/v-deo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔 Jua Leo Tafadhali;
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
ua-cam.com/video/22e9oF_GuH8/v-deo.html
Wow....this pure talent, the writing, choreography and even swag. Harmonise will live to beat any record placed by any East African artist....watch, just WATCH.
U said it all
Sim is ok ba
Nataka likes My pipoo Coz napenda huyu jamaa 100% On his Music
Unatuzinguaaaa temboo yachiaaa mzgoo huuu
Hii nyimbo tamu siku zote kuitoa #1 on trending mpaka wakanye kuna wasanii wengine hawana hata haya at wanaimba gogingo na wowowo ujinga kweli hafu bada ya kuwaimba na wake zao kwamba wako na wowowo wala gogingo hamna wanawatia mikosi wadada za watu bure wawe wanawaimba na wake zao mpaka mke wng mtalajiwa wamemtaja at ana gogingo. Safi sana harmonize kode boy for life watapata tabu sana
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA....
😂😂😂Yani nimecheka mpaka nimepaliwa na maji🤣🤣
We inakuuma nn,,,, hahaha kwanza we shabik wa alikiba ,,, nasikia saiv mashabik wa kiba mmehamia kwa hamo ,,,
Bora harmonize huwaga Haimbi matusi wcb hawajielewi hawatofautishi hata nyimbo za kupiga mbele ya wazee na vijana.
One love wanangu kwa wanangu wa kitaa nyie ndo mnanunua CD such a good massage to funs
@@peterreuben1788 sie wa Kiba na Harmonize kwa pamoja
Konde geng for life, weka like kama munaamini konde boy yupo topp sanaaaaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Konde boy jeshi uko juu
More than wow 😃😃😃
Wapi likes ya KENYA 🇰🇪
Pamoja Na TZ
Balaaaaa jengine hili 💥☄️🔥🔥 Piga like kama wewe nishabiki wa Jeshi !
Konde jeshiiiii
ua-cam.com/video/efGoxkrcO_I/v-deo.html
Kama na wew nijeshi gonga like hapa
Acha washindane na Ibrah...wallahi tena wallahi..wapi likes za Konde Boy wanangu.
Ibrah atashindana tu na baba levo na Myb kdogo queen darling bt hao wengne apo WCB hawezani nao...yy bado n mtoto sna...hafki bei uyo ibrah
Kweli tembo hii ni kwerekweche. Imeisha hiyo wameelewa mpaka fyade. ✌✌✌
Nimetoka kuangalia #attitude nikaja na huku na bado naendlea na ziaraa ya jeshi songs
Tuko pamoja
@@getrudealamis5682 nakubalii this is how we can show love to our musicians
❤❤❤
Kitu kimeheleweka man Sio Majitapo hapa
Guys #JESHI on the 🌍🚀🚀✈️🏦🏦🏦
J - Jeshi
E- Elephant
S- Sara
H- Harmonize
I - Ibraah
Umetishaaa😘😘
😂😂😂❤
True
Imeisha hyo...acha tuone mwalimu kashasha atasemaje
Umetisha mzee baba, yaan 100%
Maturity on its level,,, watoto, wazazi can watch this, hakuna matusi wala maneno ya ngono👌👌👏👏💯💯big up the guru.
# konde boy.
Umetisha sana
Hi,girl!
Ni kweli
I cant stop rewinding this song. One of the very best songs ever written
Hyghhy. Yh
Treading No 1in Kenya now
Temboo n mnomaah sana hpa 254
@@Dunmediatv ua-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/v-deo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔 Jua Leo Tafadhali;
@@youtubesuccessshorts7389 thank so much share my channel ed susscribe
Mwisho! An artist true story ! I am his fun forever? Real like him for total respect! Anaheshima
Jeshiiiiii tumekumbali team 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 weka likes if you love Jeshiiiiii
🐘🐘🐘🐘🐘
Pamoja
@@boazmasinde2764 oyoo
@@boazmasinde2764 tena
Jeshii
IL S'APPELLE HARMONIZE ET CETTE CHANSON EST UNE PREUVE MARQUANTE D'UN SOLDAT ,GO ON BRO,