Goli la nzinze alifunga THIERRY HENRY e dhidi ya real Madrid 2009 el classico,,,katika jumla ya magoli 6 aliyofungwa madrid siku hiyo ,,,moja lipo kama hili za nzinze,,,mbwa mimi nina kumbukumbu . anayebisha ,,anitafute jioni .
😂😂😂😂...The fact kwamba commentator anajaribu kutetea goli halali "aliyeko kwenye nyavu hatumuhesabii", nimecheka saana! Kubwa kuliko matangazo yanatolewa kwa Kiingereza, nimelia sana🤣
Hii highlights ni ya Simba SC. Ebu tuambie unaumia ukiwa wapi Wana Simba SC tukulipie pain killer utulize maumivu 😂😂😂😂😂. CHEZA zako NAMI Simba SC nicheze game zangu, VYURA FC 🐸🐸🐸🐸🐸 Wewe.
Kila goti litapigwa kupoteza mechi tatu mfululizo aimaanishi yanga ilikuwa mbovu kumbuka hii ni timu Bora ukanda huu wa maziwa mamii kwa misimu mitatu+,weka akiba ya maneno utayatumia mwakani.
Makolo mnachekesha sana... Hamjiamini...si mnaongoza ligi jaman,...wasiwasi wa nn tena!!??😂😂😂😂😂 Yaan bado hajasema..hata hivyo tulimic sana hiyo milio ya GSM, mara Yanga B....
Mtegemee MUNGU siku zote, pia jiepushe na dhambi ili uone uheri wa MUNGU milele kama ujumbe huu umekufikia gonga like.
Giving your life to Christ is tje best option that you will make and never regret
@@nynyarugusumatukio255 bado hujasema mpaka useme au we naye ndiyo wale waliokunywa uji ya mngonjwa baad ap kafa
Aminaa
Amina hakika naona umuhimu wa kumtegema Mwenyezi Mungu, nime sign mkataba mpya leo kazini
Mwenzako kaongea neno zuri weww unajitoa akili@@JeremiaKirway
Naipenda Sana jamani hii timu yanga raha jamani duuh tumesemwa Sana jamani achen tufurahi wana yanga ilove you yangaaaaaaa 💛💛💚💚💚💛💚💚💚💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚🎉
Asante Mungu. Leo niliikadhi yanga kwa Familia takatifu. Narudi kwao kwa shukrani.
Mungu mwema saana tunamshukuru saana🎉🎉🎉🎉🎉
Alhamdulillah
Mwaka mpyawana yanga salamu ni mkono tu😂😂😂
Maestro Clement mzize🎉🎉🎉
Chuma 1 assist 2
We huogopi😂
Me naanzaa kuogopa huyu mzize ni noma
Gusa Achia twende kwao Germany 🇩🇪 machine Germany 🇩🇪 football ⚽ ⚽
Yanga bingwaa ❤❤❤❤❤
Bado Yanga hatuchezi mpira mzuri sana japo tunashinda!
Hata mzize angefaa kuwa man of the match ..kahusika kwenye magoli ma tatu
Yote magoli aliohusika Mzize offside😅😅😅
Mzize ni noma
❤❤❤❤ yanga ndo wenyewe
Wa wapi?
Ebu tuambie club BINGWA una mtaji wa magoal mangapi?
Yanga bana mmetuludisha kwenyemateso tena
Na bado....ingawa najua ww ni mwananchi mwenzangu
😅😅😅😅😅pole utawasalimia basi huko mbondole waambie wasiompenda karudi kwenye kiti chake
Mashabiki ambao tulikuwa bega kwa bega na timu yetu mpk leo tunapata rahaa tujuwane kwa like👍
Hongereni buana this is right u deserve to win walizidiwa
💚💛💚💛💚💛💚💛🖐️🖐️🖐️🖐️ mungu wetu ni mwema🙏🙏🙏
sorry ni Mungu na sio mungu, jina la Mungu lazima lianze na herufi kubwa
Mm naitwa baraka yanga niatari sana sana
Hilo kinaitwa pila Ramovic 🌻🌻💛
Xaxa hapo kilichobaki ni kuiba Kombe Tu nakulipeka Msimbazi😂 hawa Yanga wapo Seriously xana na mechi zao
😅😂😂😂
Kwahiyo uto ndio anaoongoza ligi???
😂😂😂😂
Aaa
😂😂😂
Boker juu sana, Gori zuri sana 💚💚💛🌻🌻
Gusa achia twende kwaoooo 🎉
😂😂😂🎉
Asanteni
Goli la nzinze alifunga THIERRY HENRY e dhidi ya real Madrid 2009 el classico,,,katika jumla ya magoli 6 aliyofungwa madrid siku hiyo ,,,moja lipo kama hili za nzinze,,,mbwa mimi nina kumbukumbu . anayebisha ,,anitafute jioni .
Germany mashine game 5 goal 18
Daaahh furah mpk kichwa kinauma
Gari limewaka halafu break imekata jiandaeni yanga ninona
Eeeeeeeeeee eeeeee alo tano🖐️ilove you yanga💛💚💛
Wakwanza mwenyew like bas
Salute Wananchi
gusa achia twende kwao umetulipa mapema mnooo💛🖤💚
Wakati unasema timu mbovu kumbuka kuna mkubwa nae alishakula tano na akiwa na full squad
So
Kweli kbisa
Amejizima data😂
YANGA BINGWAAA💛
Goli la tano aliyeona Midadi ya golikipa akitamani autoe tujuane😅😂
🎉🎉🎉🎉yanga makof hatimaye Tunarud kwenye 5g naomba tucheze nasimba
🎉🎉🎉🎉🎉 Yanga bingwa makolo mtaisoma no
Azam complex how are things going chamanz complex good morning farther
Safi
Amina amina
Acha uzinzi ukamuone Yesu*
Waooo yanga
❤❤❤❤❤❤❤yangaaaaa🎉🎉🎉
Yanga forever, the biggest club in Tanzania ❤❤❤
Dah jamani Kuna watu wanatuaribia ligi Dah hii Sio sawa😮
Tatizo tuliwaambia nafasi za kufungwa 4 nichache kwahiy waini mkagoma sas tumeanza 5G. Asante mungu
😂😂😂😂...The fact kwamba commentator anajaribu kutetea goli halali "aliyeko kwenye nyavu hatumuhesabii", nimecheka saana! Kubwa kuliko matangazo yanatolewa kwa Kiingereza, nimelia sana🤣
Hajanufaika na mpira
Beki anausidikiza mpira wa mzize pole pole had wavuni..kweli tigo pesa hizi😂😂sema fresh mmeamua kuwapa wananchi sikukuu njema 🏃
Hii fountain gate ina wachezaji wa viwango vya chini sana.
Kolo walipowafunga 4 kiwango kilikuwa juu?
Mzize ni noma
I love yanga 💛💚
💛💚💛💚💛💚
Sisi ndo yanga😂😂
Alhamdulilah
Inaitwa Kwa kijeruman BERÜHRE, LASS UNS ZU IHNEN GEHEN(Gusa Achia twende kwao)
😂😂😂😂😂
Genau,das stimmt mein Freund
Waaaooooh
Vp hko bado wazee hajaitisha kikao au😂😂😂
Kawaida ni bingwa❤❤❤❤
Aaa unyama nan lakin
bombo class kama harmonize tuuu mamae ukimpa vers ana kuua ndo pakome
😁😁😁😁 uzuri caf hamna GSM
Yanga hii unsifungajeeeee 💚💛💚💛💚💛🥎🥎🏆🏆🏆🏆🙏
Thanks God
Yangavssimba
2021
Nasubiri Kihama cha Kolo na Tabora United
Kama tulivyo mfanya Mwanzo tutaendelea hapo hapo🤣🤣🤣🤣. Asili mliipenda WENYEWE🤣🤣🤣vipi utamu wa ASALI Bado unazunguk kichwani pako MTANI WANGU WA JADI 😂
Katimu kabovu haka wamekaonea jamni😂
Hivi hiyo Long range ya Babu Kaju mmeiona??
Simba hakuna wachezaji minguvu muda wote mpaka sisi watazamaji tunaona mchezo wampira wamiguu kama ubondia muda wote wamekunja sura
Hii highlights ni ya Simba SC.
Ebu tuambie unaumia ukiwa wapi Wana Simba SC tukulipie pain killer utulize maumivu 😂😂😂😂😂.
CHEZA zako NAMI Simba SC nicheze game zangu, VYURA FC 🐸🐸🐸🐸🐸 Wewe.
Mazoezi kwa ajili ya Fatuma Mwagala na timu yake
Mmmh, msema kweli Caf champion 😀
Wacha tufurah wanayanga jamanii
KITUO KINACHOFUATA NI TAREHE 5 JANUARY 2025
Hii ni comedy sio mpira😂
Uhakika dingiiiiii wapigwe tuuu
Tukishinda goli nyingi simba wanajisahau kama nao walichezea mashine za kutosha au mnaumia tulivyo wapa magoli machache😂😂😂
Tumche mungu jamani
ni Mungu jifunze Jina la Mungu lazima lianze na M kubwa, ukiandika mungu inamaana ya miungu
Gusa achia twende kwao
Daahaa chuma 5 mamae
Kipa wenge sana ilo goli la 5 alikuwa anacheza nn😂
Kacheza yanga kufunga😂😂
Kama camara vile 😂😂😂
Hiyo ndiyo gusa achia
Ya watu wana uza game unaona hazarani
Na wew tulikununua kolo ndio maana tukakupiga 5G. YANGA BINGWA TENA 🏆🏆🏆🏆
Unaumia ukiwa wapi,vaa miwan uone piraaa wew acha kuropokaa
😂😂😂😂 nachoka mie wewe umeona nini
Nyie nunueni marefa tu
Kuna mda rangi ya kijani huwafanya wapinzani wadhani majani kumbe adui🤣😁🤣
😂😂😂
Nappita tu jmni😂😂😂😂😂
Gusa achia tukutane kweny nyavu😂😂😂😂
Asante kapombe
Kila goti litapigwa kupoteza mechi tatu mfululizo aimaanishi yanga ilikuwa mbovu kumbuka hii ni timu Bora ukanda huu wa maziwa mamii kwa misimu mitatu+,weka akiba ya maneno utayatumia mwakani.
Now Mazembe is coming 🤨we are coming to get our 3 points from you
Wanakimbia km hawataki 😅
Hiv. Hil goll la tano bek alishindwa kukimbiaa zaid jmn
Alikuwa kipa ataucheza akapunguza kasi, ilikuwa ngumu kuanza mbio upya na kuuvuka mpira, kama ushacheza boll hii utailelewa
Hatimae wamefika kwenye zile mechy zakuhonga sasa mechy zakindugu zakiGSM
Tutaihonga na timu Yako pia
Hapo niutam ndani yautam utajua hujui hongera pia kwakuumia😅😅😅😅😅
Ukishindwa kabisa kustahmili basi tangulia pale ununio kabla hujatekwa😅😅😅
A boy from DUBAI
Gusa achia twende kwao😅😅😅😅😅😅
Yanga A vs Yanga B. Hii ligi TFF wataiua wasipochukua hatua
Hayo ni makasiriko
Kumbuka simba naye alichezea mashine tena ile ndio yanga B haswaa maana ilimeguka kutoka yanga A
Makolo mnachekesha sana...
Hamjiamini...si mnaongoza ligi jaman,...wasiwasi wa nn tena!!??😂😂😂😂😂
Yaan bado hajasema..hata hivyo tulimic sana hiyo milio ya GSM, mara Yanga B....
Zile 5 mlizopigwa na nyie mwaka jana mnakuwa nani yanga C 😂😂😂😂😂😂😂😂
❤❤
Goli la mchongo
Mbon makasirik makol
Yaaaaan hii GUSA ACHIA TWENDE KWAO😂😂😂😂
Acts 3:19 - Repent therefore, and turn back, that your sins may be blotted out. Bro or sister the kingdom of God is near you repent now.
Mambo moto moto
Yanga baba lao
Sifa ziende Kwa mchungaji wao Kwa maombi mabaya Kwa yanga
Kira mtu ashinde mechi zake
Woyoooo
Vibund hivyo